ALICHOKIAMUA NIFFER BAADA YA KUTOKA POLISI ASEMA ATAFANYA KWA NCHI NZIMA ATAWEKA WAKALA.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 ноя 2024

Комментарии • 60

  • @HawaNangasu
    @HawaNangasu 3 часа назад

    Hongera bint Mungu akuondolee hasadi za waja

  • @evelina9621
    @evelina9621 18 часов назад +3

    Asante.dada
    Nifer.kuna.watu.wanapotea.hawaonekani.huyu.dada.mungu.amlindeawe.nanguvu

  • @StevenPeter-sg7zo
    @StevenPeter-sg7zo 4 часа назад +1

    Ukiskia fursa zinaonekana kwenye matatizo ndyo hvyo.,
    Niffer ana akili kubwa sana hongera kwake.

  • @happymrianga2795
    @happymrianga2795 7 часов назад +2

    Anajituma sana.

  • @AbutwalibuMohamedy
    @AbutwalibuMohamedy 12 часов назад +1

    Kwa nini hujasajili?

  • @AsaphAroko
    @AsaphAroko 58 минут назад

    Kwa nini hajafikiswa mahakamani?

  • @ElizabethDaudi-b6v
    @ElizabethDaudi-b6v 2 часа назад

    Akili ni nywele aise,hongera kwakutumia akili mapema kabla hakijaumana

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 16 часов назад +1

    Nice ❤

  • @Devota-mr6ng
    @Devota-mr6ng 20 часов назад +4

    Jitahid kumsaidia wahitaj ila fuata vibali maalumu vyaselikari ili usionekane mbaya machoni pa watu kazi njema

  • @jimmymhina1264
    @jimmymhina1264 10 часов назад +1

    Nice Neffer

  • @ODENILWILA
    @ODENILWILA 18 часов назад +2

    Ukichangisha hela mitandaoni bila vibali ni matapeli

  • @teddybear-u5b
    @teddybear-u5b 18 часов назад +2

    Huy hakomi tu ....

  • @robertmsukwa8466
    @robertmsukwa8466 9 часов назад +2

    Hadi akamatwe ndo atangaze foundation yake

  • @Romana77-m4o
    @Romana77-m4o 15 часов назад

    MUNGU akubaliki sana mdogo angu

  • @sarahkinyashi6213
    @sarahkinyashi6213 11 часов назад

    Mungu awacmamie ktk yote 🙏🙏

  • @shamiramsoke1365
    @shamiramsoke1365 12 часов назад

    Hongera dada Niffa

  • @IssaMatandi
    @IssaMatandi 18 часов назад

    Hongera sana Niffer

  • @juliethkatabwa5306
    @juliethkatabwa5306 17 часов назад

    Mungu akutunze niffer. Huo ni wito. Lakini fuata utaratibu.

  • @JumaAthuman-bk6hx
    @JumaAthuman-bk6hx 18 часов назад +1

    WOTE NI WAPIGAJI TU,MSIDANGANYIKE WATANZANIA,HAKUNA CHA UBALOZI.

  • @AminiSalumu-g1y
    @AminiSalumu-g1y 18 часов назад

    Safi dada Niffer pambana tupo pa1

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 18 часов назад +1

    Niffer, Mungu azidi kukutangulia, kama umeshaomba msamaha, na yameisha, sasa songa mbele kwa nguvu kubwa zaidi, tunaamini ulikua na nia njema ila ni kutokufuata utaratibu .
    Wanawake tunaweza sana kwa kuwa tuna huruma , tungeungana hii nchi ingeongozwa na wanawake cku zote, cc ni Taifa kubwa, tukiamua tunaweza na ujao tena tutaongoza.

    • @mswakisaid2320
      @mswakisaid2320 15 часов назад

      Ukijitambua tu kuwa wewe ni mwànamke INATOSHA

  • @irenemichael
    @irenemichael 18 часов назад

    Asante nifer❤

  • @ElvisDamin
    @ElvisDamin 19 часов назад +1

    VITU VYA KUFOSI KWANI LAZIMA UWE NA FOUNDATION C UFANYE MISHE ZAKO

  • @Kingstonbagamoyo
    @Kingstonbagamoyo 12 часов назад

    Mh mm Bado machale yananicheza nyie wengine hamjaishi kariakoo 🎵

  • @juliethkatabwa5306
    @juliethkatabwa5306 17 часов назад +1

    Omba msamaha. Wito wako utaendelea. Fuata utaratibu. Kufanya kosa sio kosa. Kurudia ndio kosa.

  • @ShaibuAwadhi
    @ShaibuAwadhi 9 часов назад

    Ni mwanzo mzuri Kila jambo na wakati wake songa mbele unaunekana nifa una karama tunaomba serkari ikusamehe ili uanze kutumikia wantanzia Kwa hari mpya Mimi nakutakia Kila kheri katika mipango yako

  • @AsaphAroko
    @AsaphAroko 56 минут назад

    Hapendi mtu ni mtapeli tu.

  • @saidmasoud9004
    @saidmasoud9004 5 часов назад

    Wasamehewe tu

  • @MrossoBarth
    @MrossoBarth 19 часов назад +2

    Toa Board ya wazamini ya foundation yako

    • @MinskBelarus-il2tl
      @MinskBelarus-il2tl 4 часа назад

      Kwahiyo akiitoa ndio utamuombea MSAMAHA 😮😮😮

  • @FrankMahuna-xb7lt
    @FrankMahuna-xb7lt 6 часов назад

    Hana lolote bhana huyo ni tapeli had akamatwe ndo afungue foundation

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 3 часа назад

    Wewe ni mwizi tu

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 18 часов назад

    Wewe ni mfn bora kwa mabinti wapambanaji, endelea kupambana na ktk biashara zako wabebe zaidi wanawake na mabinti wenzio, wainue, ukimuinua mwanamke umewainua watoto, umeiinua jamii.

  • @BrianBruno-nb8tz
    @BrianBruno-nb8tz 6 часов назад

    Kwer aisee niffer

  • @KhadijazabronMwajombe
    @KhadijazabronMwajombe 13 часов назад +1

    Maisha ayataki ivo binti 😢😢😢

  • @MrossoBarth
    @MrossoBarth 19 часов назад +1

    Wewe ni mtafutaji tu

  • @chikusangalala7759
    @chikusangalala7759 16 часов назад

    Nifa ana akili sana

  • @PascalMsafiri-x1f
    @PascalMsafiri-x1f 23 часа назад +1

    Wameshindwa kukamata matapeli wanao bomowa nyumba zawatu kiholela....wanakamata wasamariya wema....anayehiba anazurura mitaani..aliyehibiwa anaingiya gerezani......upuuzitu kwani walilazimisha mtu

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 14 часов назад

      Kila jambo lina utaratibu wake angefuata taratibu hayo tasingetokea hilo ndo kubwa

  • @gracemtango
    @gracemtango 18 часов назад

    Ila huyu dada wa kihaya ana kiherehere kwann asitulie anatafuta pesa kwa nguvu sana

    • @juliethkatabwa5306
      @juliethkatabwa5306 17 часов назад +1

      Husianze ukabila patakuwa hapatoshi

    • @KhadijazabronMwajombe
      @KhadijazabronMwajombe 13 часов назад

      Hahaha hahaha yaani ameludi tu ameanza 😂😂😂😂ako na kihelele sijapata Ona

    • @MinskBelarus-il2tl
      @MinskBelarus-il2tl 4 часа назад

      Hata wewe MPARE una Sifa zako.....au tuziweke BAYANA?

  • @PascalMsafiri-x1f
    @PascalMsafiri-x1f 23 часа назад +1

    🇺🇲🇺🇲🇺🇲 nifeer unafaa kuwa kiongozi🤙🤙🤙🤙🤙🙏 maana wewe nimwanamke mwenye akilisana

    • @ElvisDamin
      @ElvisDamin 19 часов назад

      Kwani unafkir ni yeye huyo? Danganywa tu😅

    • @FrankMahuna-xb7lt
      @FrankMahuna-xb7lt 6 часов назад +1

      Hana sifa ya uongoz labda utapel

  • @OmmyMbondole
    @OmmyMbondole 19 часов назад +1

    Dada pambana una wabaya wengi wanakuonea wivu

  • @NikasiMbuya
    @NikasiMbuya 19 часов назад +1

    Aliyekua anakuponda nae msaidie ili ajifunze kutokuropoka hovyo

  • @HarunakiongoziMohamed
    @HarunakiongoziMohamed 11 часов назад

    Wiz. Tu

  • @raymondmhozya8894
    @raymondmhozya8894 21 час назад

    Akili nying niffer

  • @RamadhanJuma-y5u
    @RamadhanJuma-y5u 3 часа назад

    Mwizi wewe

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 17 часов назад

    Mwizi mkubwa wewe

  • @marysiasawaki3698
    @marysiasawaki3698 22 часа назад

    Yaani huyu dada anapenda ushindani wa kijinga sana yaani mpk namuonea huruma sana maana sio kila mwenye mbuo ndio mshindi jitafakari sana kwa nn unachukiwa na watu sana biffer ........kuwa low key kutakusaisia sana,huyi OG anamdeni wa karibu millluon 60 na hamjazikipa hiyo foundation mmh .....😂🎉

    • @teddybear-u5b
      @teddybear-u5b 18 часов назад

      Anapenda ush8ndani sana uy binti .... foundation mchezo lbda Kuna mtunnyuma yake ....

    • @gracemtango
      @gracemtango 18 часов назад

      Kabisa anakiherehere mno jamani anataka mafanikio yaharaka mno

    • @PeterMarco-xz1gh
      @PeterMarco-xz1gh 16 часов назад

      Mnaomchukia ni nyie sisi wengine tunampenda balaaa ten tunampenda San tu,ni wivu tu unawasumbua

    • @teddybear-u5b
      @teddybear-u5b 12 часов назад

      @@PeterMarco-xz1gh we mpende tu ...