ALIYEANZA BIASHARA KWA BOOM LA CHUO ATAMANI KUREJESHA FEDHA SERIKALINI ASIMULIA KILICHOTOKEA.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 ноя 2024

Комментарии • 15

  • @JoanNestory-h4v
    @JoanNestory-h4v 11 дней назад +1

    Hongera kijana na Mungu aendelee kukutunza

  • @sophiaamnaay9726
    @sophiaamnaay9726 10 дней назад

    Hongera sana. Wengine walitamba mno kuliko matajiri. Walibadili mtindo wa maisha ulaji,uvaaji,starehe mbalimbali nk. Mungu ni mwema kila mmoja alijaliwa alichopanda.

  • @simiyuadventsingers3277
    @simiyuadventsingers3277 8 дней назад

    Hongera San

  • @kalengashoppingcenter1108
    @kalengashoppingcenter1108 9 дней назад

    Hongera

  • @onesmokaunda8
    @onesmokaunda8 9 дней назад

    Utafika mbali bro

  • @Ndu-wa.uroony2
    @Ndu-wa.uroony2 11 дней назад +1

    Hongers jamaa
    Ni afadhali sana watoe pesa za mitaji kuliko za kusomea,watanzania tuna maarifa tayari hatuhitaji elimu

  • @AngelPallangyo
    @AngelPallangyo 9 дней назад

    Keep it up my friend ..u made it

  • @ombeni11
    @ombeni11 10 дней назад

    I like this guy. God bless you bro and keep going and rise

    • @GADITV
      @GADITV  10 дней назад

      I appreciate that

  • @SebastianNgowi
    @SebastianNgowi 11 дней назад +3

    Mimi nilitumia boom kulipa mahari mwanangu sahv nina mke na watoto watatu unaonaje hivyo😂

  • @Nyamko-christmas
    @Nyamko-christmas 11 дней назад +1

    😂😂😂😂😂😂 boom kumbe ni kubwa kihasi hiki hadi mtu anasoma bado anabakisha chenji ya kufanya biashara

    • @olicej7837
      @olicej7837 8 дней назад

      Ni akiri ya mtu maana Kuna watu wanapewa million 3 kuanza biashara lkn bado wanafel

    • @Nyamko-christmas
      @Nyamko-christmas 6 дней назад

      @olicej7837 yani ni hivi hela ya boom imepimwa kwa matumizi yako na haijawah kutosha sasa wewe imtoshe yeye na ibaki afanye biashara?? Vijana wanatumia content za uongo watu wengi wameanza biashara wakiwa chuo ila si kwa hela ya boom ni kwa vyanzo vingine ila wao wanaona wakisema hivyo ndio itakuwa deal ila ni uongo