Nakupenda sana mkuu wangu mstaafu wa mkoa Kigoma. Ninakuombea sana kwa Mungu upite kwa kishindo jimboni kwako. Natamani na ninapenda sana kuendelea kukuona ukijenga nchi hata kama umestaafu. Mungu akufungulie njia na awe na wewe daima, Amen. Asante Millard Ayo kwa updates za huyu ndugu. 🤝
Nakumiss mzee wangu Maganga😭😭 nakumbuka hii video nimefanya Mimi Asante kwa kuniamini kwa Kila kitu toka kigoma Hadi mvomero bado unaishi moyoni mwangu kusema ukweli.
bibiangu mzuri Mungu akubariki sana.Nakupenda wazee na watoto hasa wanaoishi kwa mazingira mangumu!! Mungu niwezeshe siku moja nifanye jambo kubwa kwao!! Naomba maombi yenu Wapendwa siku moja nirudi kutoa shukrani hapa 13-07-2020
Mzee ninakubali Sana hata marehemu baba yangu Paschal mpondi aliyekuwa askar jeshi katika kambi ya navy kigambon,kigoma pamja na mirambo barracks aliwai kunizungumzia kuhusiana na utendaji wako wa kazi na utu wako
Mkuu ndoto hua Haifi labda kwanaoishi bila kujua mungu aliwaleta kwaajili gani hapa duniania. Nikikuangalia wewe na kaka yangu wa sabini na moja . Mnafanana tuuu
Pumzukeni wazeee muwaachie vijana nao wafanye kazi kujenga taifa unataka ustaafu na miaka 80 kweli nakushauri upumzike tulia hio pension yako kula Na Mama yako sio uigawe utakuja kujuta utagawa pension na mwisho wa siku ubunge hupati unabaki kupoangaza macho tulia Mzee wangu nakupenda Sana ndo Mana nakupa ushauri huu
Ushauri mzr. Maana vijana wapo. Akikosa ubunge ujue presha na sukari vitamnyemelea kwa Kasi. Umri huo sio wa kuchezea. Ni atulie atoe ushauri kwa vijana
Wazee wetu mnaostaafu jaribuni muelewe nini maana ya kustaafu, Ina maana umri umekwenda unahitaji kupumzisha mwili na akili, Ushauri ni bora upumzike, nguvu ulizonazo bora ulime, utunze wajukuu furahia maisha uliyotesekea, Bungeni utaenda kusinzia tu mkuu wetu
Hii nzuri kukumbuka kwa mama baraka toshaaa mnooooo hongera mzee

Mungu akutendee Kwa jina la Yesu Kristo
@@japhethgeriad4519 Amina ndugu yangu
Pole sana bibi mungu akutie nguvu nimekuona kunke
Umehuzunika sana bibi mshukuru mungu kwakila jambo
Milad ayo tuko pamoja nawewe kwa kaziyako safi
Namiye nakuombea mungu ushinde kwa kishindo aaamiiinaaa
Mzazi makini sana huyu aisee kizazi hiki tusikiache kipotee.
Mungu akupe pumziko la amani Amina
Huyu mama anaongea kwa akili sana
Hongera saana bibi kwa Maisha yako...
We nimzee wang lkn nakufatilia sa na uko vzr' nautashnda kwa kishindo na Bibi yetu Mola ambalik
Alikuwa kigoma anaweza kazi sana
Iraalishindwa nakifo kimemchukuwa😭😭😭
Hii ndio maana halisi ys mtoto kwa hakui,65 yrs lakin kwa mama ni mtoto tu anapewa shule ya Mungu wa Yakobo
Nakushauri upumzike maana kule Bungeni utasikia usingizi mzito.
Daaaaaah maneno ya huyu bibi mazito saana.Bwana ampe hatua sana
Endelea Mkuu, bado una hazina ya kutumika kwa Watanzania
Kumbe ukisitaafu unataka kazi nyingine
Sawa Mkuu unastahili tena sana All the best
Hiyo ndio shida ya kuingiza wanajeshi kwenye siasa, lazima atatamni zaidi
haman wanajeshi hawana tamaa ni mtu anajiona anafaa anagombea sio mbaya ,afande maganga ana uzoefu mkubwa
Brother , wazungu wanasema you are stricking personalities ...
Mwanajeshi ni mtanzania,tusiwe na akili za leo...kesho kutwa tutaja jisuta.Hoja je anastahili.
Bado sukuma ndani
Mm yupo vizuri na mungu
Mzee ninakubali Sana hata marehemu baba yangu Paschal mpondi aliyekuwa askar jeshi katika kambi ya navy kigambon,kigoma pamja na mirambo barracks aliwai kunizungumzia kuhusiana na utendaji wako wa kazi na utu wako
Wp
Huyu mzee alikuwa candidate mwenzangu Jimbo la Mvomero. 😁🤣
Kuna Jamaa, sehemu moja hivi limeandika vitu naona vinatokea sasa
Aaa,kumbe mchongo,!!!!!!!!!
Ongera sana
Mzee ni vizur upumzike umeshatumikia sana taifa inatosha
NAMKUBALI SANA MZEE HUYU
HUYU MZEE NI MIONGONI
MWA WATU WENYE NGUVUU
Mama nimekuelewa sana umeingea mambo mazri sana sana.
Huyu anafaa Kigoma aliipaisha
Dawa.
Jamani mbona nafsi zenu haziridhiki mpumzikeni na wenzenu wale.
Ila maza wa uyu RC ni mbabe
Machozi yamenitoka kiongozi kua mmyenyekevu kwa mama yake na mama ni mama
Mpaka octoba tutaona maigizo mengi. nijuavyo wanasiasa wapo location
Mkuu ndoto hua Haifi labda kwanaoishi bila kujua mungu aliwaleta kwaajili gani hapa duniania. Nikikuangalia wewe na kaka yangu wa sabini na moja . Mnafanana tuuu
Ukovizuli Mzee kunavitu najifunza kwako
Saw
Duh kuaga kote kumbe tamaa mbele haya subiri magufuli atakavyoamuka.
Ukuu wa mkoa hakuridhika? Mimi sijui Kama anaweza kushinda Ila Mwanry sawa
Ahaa
saf mama
Pesa zote hizo kwa mamako unashindwa kuboresha makazi
Pumzukeni wazeee muwaachie vijana nao wafanye kazi kujenga taifa unataka ustaafu na miaka 80 kweli nakushauri upumzike tulia hio pension yako kula Na Mama yako sio uigawe utakuja kujuta utagawa pension na mwisho wa siku ubunge hupati unabaki kupoangaza macho tulia Mzee wangu nakupenda Sana ndo Mana nakupa ushauri huu
Ushauri mzr. Maana vijana wapo. Akikosa ubunge ujue presha na sukari vitamnyemelea kwa Kasi. Umri huo sio wa kuchezea. Ni atulie atoe ushauri kwa vijana
Acha fikila za kitoto huyu bado kijana Jimbo hili linamfaa
Jaman pumziken twna
Dar
Mbona nyumba yako hatuioni"au hujajenga kijijini?
Aaaa,kumbe mzee anataka kutengeneza nchi yani akisitafu aache watu imara wasio penda utani.
Baraka za bibi
Nakushauri uuwachie vijana nao wafanye Mambo Yao pia ,nadhani huko bungeni hutofanya chochote zaidi ya kuupiga usingizi Kama mzee wasira.
Hahahahahaha mbavu zangu
Wazee wetu mnaostaafu jaribuni muelewe nini maana ya kustaafu, Ina maana umri umekwenda unahitaji kupumzisha mwili na akili, Ushauri ni bora upumzike, nguvu ulizonazo bora ulime, utunze wajukuu furahia maisha uliyotesekea, Bungeni utaenda kusinzia tu mkuu wetu
Bado agrey mwanri.
Na yule akipita nahis na uwazir juu
.
Kama akishinda ubunge, basi anaweza kuwa waziri wa ulinzi na jkt
Kabisa ndg.
Hongera xn mkuu pambana kuijenga nchi na kijij chetu unatuhamasisha vijana tunaojaribu kufuata nyayo zako umeni inspire sana
Kunke hapo