Anastasia muema,,,Unajua na Nyimbo zako ni Nzuri Sana ila kwa nyimbo zako zote WEMA WAKO WA AJABU Aisee 🙌 Ina ujumbe mzito Sana na Nzuri Nakupenda Sana 🤝❤️
@Anastacia Muema unatakiwa kutengenezewa SANAMU la kukumbuka namna unavoinjilisha na hasa kwa sisi vijana kupitia talanta uliyopewa na Mungu♥♥♥Aliko RAJO nako maua yapelekwe wimbo mzuri na hauchoshi✊✊
Jamani mashabiki wa Dodoma tunaompenda madam wetu mwinjilishaji karibuni tumpongeze bila kuchoka madam Anastacia mwenyezi mungu akulinde sana na endelea kutuinjilisha na music mzuri
Hongera sana saidi ya sana mpendwa wetu katika kristu.Mungu wetu akuongezee maarifa tele tele na akupe afya ya roho na mwli siku sote❤❤❤.njooni tumeimbie mungu wetu daima dawama hadi binguni🎉🎉🎉.🙏🙏🙏
❤ Lovely and very inspiring song.God bless you sister Annastacia Muema.May you climb higher and higher in the ladder of music that praises God.Remember what St Augustine said concerning singing well.He said,when you sing well,you pray twice.Only God knows the number of times you pray through your music.
I have loved everything about this music 🥰🥰: The verses ✅ The picture Quality ✅ The dancing skills ✅ The dress code ✅ Anastasia, May God's blessings keep following you 🙏😘. I'm so honored you shared it 🤗🥰
Somebody like my comment ❤
Anastasia muema,,,Unajua na Nyimbo zako ni Nzuri Sana ila kwa nyimbo zako zote WEMA WAKO WA AJABU Aisee 🙌 Ina ujumbe mzito Sana na Nzuri Nakupenda Sana 🤝❤️
@Anastacia Muema unatakiwa kutengenezewa SANAMU la kukumbuka namna unavoinjilisha na hasa kwa sisi vijana kupitia talanta uliyopewa na Mungu♥♥♥Aliko RAJO nako maua yapelekwe wimbo mzuri na hauchoshi✊✊
Hakikisha utakuja harusi yangu mwaka kesho
@raphaelkingori-s8z wapi itafanyika!?
Hakika naipenda na inapendeza kazi yake anasaut had raha mungu ampe maisha maref adumu katk uinjirishaj
This song never gets old♥️♥️♥️😘😘😘This lady is really talented aaaaw
Wow.. wa kwanza kukomenti naomba like zangu 😂😂😂
Congratulations sana Kwa wimbo mzuri Dada Annastacia na Timu Yako 🙌🏽🥰❤️❤️❤️
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Keep it up my dear you always sounds good be blessed 🙌
Mnapendeza sana napenda kuimba pia
I want you guys to admit that this lady is blessed ❤❤❤
Good message
Catholic queen ❤❤❤❤🎉🎉🎉
Ubarikiwe sana Anastasia Kwa kututunzia nyimbo Tamu za katoliki kanisa letu❤️❤️❤️❤️
Absolutely 💯❤❤❤❤❤
Dada nyimbo zako zinanifariji sana Mimi na familia yangu. Hakika umemutangaza Mungu wetu barikiwa sana.
Njooni tumwimbie tumtukuze na tumchezeee❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Jamani mashabiki wa Dodoma tunaompenda madam wetu mwinjilishaji karibuni tumpongeze bila kuchoka madam Anastacia mwenyezi mungu akulinde sana na endelea kutuinjilisha na music mzuri
Kazi njema Dada yetu Anastacia Muema...Karibu nisahau Roho mtakatifu naye ni nani..Niko ngangari❤❤❤
Amina balikiwa Kwa nyimbo mzur tunakupenda sana wekeni like hapa wapendwa ❤❤❤
Asante sana kwa upendo🙏🙏❤️❤️❤️
Hongera sana anastazia muema dada safi sana mungu akulinde siku zote
Asante Sana dada yetu kwa nyimbo nzuri hongera Sana kwako
Good job big siz❤️❤️❤️...Tubarikiwe kupitia huu wimbo🙏🙏🙏
Wow, so nice, hongera sana dada.
Amen and amen njoni tumwimbie nyimbo za shangwe
🙏🙏🙏🙏
Hongera sana Anastacia Mungu akubariki zaidi🎉🎉🎉❤❤
Hongera sana kipenzi hujawah kupoa Mungu akutunze zaidi🎉❤🙏
Pongezi sana dada. Wimbo nzuri mno❤🎉
Awww❤ wonderful en beuriful song... Annie wetu tunakupeda .. ❣️🥰our very own 🥰
Woooow akaipaa duniaa majiraa yaa mwakaa❤❤❤❤Njoooni tumwimbie kwa ukuu wakee
Hongera sana saidi ya sana mpendwa wetu katika kristu.Mungu wetu akuongezee maarifa tele tele na akupe afya ya roho na mwli siku sote❤❤❤.njooni tumeimbie mungu wetu daima dawama hadi binguni🎉🎉🎉.🙏🙏🙏
Sauti nzuri ya kumpendeza Mungu na Viumbe wake. Asante Anastasia 🎉🎉🎉🎉❤🎉
Dada la dada ....ubarikiwe sana❤❤❤
Congratulations mum, nyimbo zako zinanipa matumaini
Dah hongera Sana kwa wimbo mzuri
Asante sana🙏❤️
Wimbo mtamu sana waguza nyoyo congratulations Rajo production bwana Ray Ufunguo muziki wako upo dunia nyingine
Wow wow wow Anastacia wafanya kazi safi san👏👏👏👏
Kazi safi ..uijilishaji kupitia wimbo❤
Wow wow wow, haki ann may Almighty reward you
A Very blessing song ❤❤❤ indeed ukuu wa Mungu wetu haupimiki
yaani mie huyu dada nampendaga sana,natamani kuongea naye ananibariki sana❤❤❤❤
Hongera sana dada Anastasia kwauimbaji mzuri Mwenyezi Mungu aendelee kukubaliki na sisi pia tubalikiwe kwa nyimbo zako nzuri❤❤
Hongera sana dada na group lako, nguvu zake Bwana zitamalaki kweli
I say imedunda sana huhu wimbo ❤🥰👌my favorite Singer 😊
Awesome voices, fantastic attire, kweli njooni tumwimbie Bwana. Nimeipenda
Allelluya njoni tumwimbie ....🎉🎉❤❤ Super voices,,, dance performance on top Muema,,,hongera wapishi
Wow....Mungu azidi kukubariki dear❤
Naiwatch hapa tu hapa nikiwa honey moon 🤣❤️❤️💗 shukrani kwa Mungu
Ahsante sister kwa wimbo mzuri unanibariki Sana, mungu azidi kukupa afya njema sikuzote sister❤❤
Njooni tumwimbie nyimbo za shangwe🎉❤baraka tele Anastacia
Huu nao umeenda shule. Congratulations Annastacia. Keep it up!
🎉🎉🎉wow congratulations njooni tumuimbie❤❤❤
Wimbo mzuri sana. Congratulations 🎊
Anastacia you’re so blessed 🥰🥰🥰 this is a real gift from God 🥰🥰🥰 Mungu aendelee na ku kubariki 🤗🤗🤗🤗
Hongera sana dada angu kipenzi njooni tumwimbiee❤❤🎉🎉
Hongera dada angu kwa nyimbo nzuri,hakika mungu anaendelea kukujaria.
❤❤❤ wimbo mzuri ambao Unapendeza sana
Kazi nzuri Muema Anastasia ❤❤🎉
Asanteni Sana kwawimbo mtamu huu ,mungu akubaliki
Be blessed sister anastasia muema I love your songs
twasema asante kwa wimbo huu !🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Goma
"Njooni tumwimbie nyimbo za shangwe" Kazi safiiii🎉🎉🎉
Wimbo mtaamu saana 🎉❤ congratulations Queen,,,,,,this is the way soote Kwa pamoja tumwimbieni
Hakika mungu anakutumia na usisahau Hilo nazipenda nyimbo zako na zinanibariki sana na kama ni sauti MUNGU kakupa
Amina kubwa Sana
Wow wonderful song dear be blessed Ann for great songs
God bless Ann so as she continues with her talent ❤❤❤❤❤❤
Njooni tumwimbie ❤🎉❤🎉 congratulations 🎉👏 our own ❤
Hongera sana dear Ann ❤❤❤🎉🎉🎉🎉barikiwa sana
Nilikumis kipenzi asante , ujumbe mzuri sauti kama malaika hakika umebarikiwa asante 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Kazi njema dadangu Anastasia 🎉
Endelea kuhubiri Kwa kuimba
Dada upo vizuri sana ubarikiwe
Very inspiring and exciting song, Congratulations Annastancia
Hongera sana dada anastacia muema mungu akubariki sana ,,
This lady is super start her song is just touching I love her songs alot go ghurl you are blessings to many
Njooni tumwimbie🥳🥳hongera sana Anastacia kwa wimbo mzuri,Asifiwe Mungu🙏
wow congratulations 🎉🎉....twendeni tumsifu kwa nyimbo na sala🙏🙏
Hapo Sasa, njooni tumwimbie ❤
❤ Lovely and very inspiring song.God bless you sister Annastacia Muema.May you climb higher and higher in the ladder of music that praises God.Remember what St Augustine said concerning singing well.He said,when you sing well,you pray twice.Only God knows the number of times you pray through your music.
Again here we have a gift from our queen 👑
Beats🥰wimbo mtamu wa kumsifu kwa kutuumba,,heko kwa mtunzi RAY UFUNGUO.
What a nice song,,,, this is just on another level 🎉🎉
Congratulations for this
Hujawai kuniangusha Anastacia wangu❤❤
Good work 👍🎉❤🎉🎉🎉🎉 Congratulations and God bless Anastacia 🙏🙏🙏
Super cool 🎉🎉🎉congratulations my sister 😘 ❤️ ❤️ ❤️
Tumtukuze aliyetuumba kwa nyimbo🎉🎉🎉🎉🎉…. Sadakta my dear
Dear Anastacia many many thanks for this music, am inspired and I like the song
Hongera sana dada Annastacia. Mungu aendelee kukuinua🎉🎉🎉
From Mombasa twakupata vizuri sana daa nyimbo tam sana congrats sis ❤❤
Hongera sana Ann🎉🎉
Na mungu azidi kukubariki kwa hiki kipaji alichokupaa❤❤🙏
veroh davie na kicheko tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣nakuona sanaa cuzoo hongera sanaaa
Kazi safi sana Hongera Ann 🥳🥳
Wow, love the song nice one🥰🥰🌹
Blessed you are and a blessing to many too. Lovely song, keeps my heart melting, love you wetu❤
Amina🙏 kazi nzuri mwanangu, baraka tele 🙌🙌
Na si mnichunie maembe wakuu😊❤❤
Hongera sana dada kwa kazi njema 👏👏🥳🥳🔥
I have loved everything about this music 🥰🥰:
The verses ✅
The picture Quality ✅
The dancing skills ✅
The dress code ✅
Anastasia, May God's blessings keep following you 🙏😘. I'm so honored you shared it 🤗🥰
Mungu ni mwema,
Hivyo,
Anastacia Muema,
Heko!
You have use your talent nice sis, muema be blessed always kueneza injili 🎉🎉🎉🎉congratulations ❤❤❤❤❤
Wow this beautiful our Creator should be very 😊 happy
Wimbo mzuri❤❤
Asante sana❤️❤️
Hongera Kwa wimbo Bora. Mola Akubariki.
Huu wimbo ni fire fire ❤❤❤
This song gives me chills 🥺🥺 I loved it god bless you 😌
Hongera sana dada Muema.Mwenyezi Mungu akumimie baraka zake tele.🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
This is a very nice entry song I love it congratulations dear you are really blessed
Wimbo poa sana Hongera sana mwiitu wa mwaitu
Superb #no1 fan
Congrats msanii ,kwa kweli twabarikiwa
Njooni tumeimbie❤ Hongera siz❤
Though I don't understand kiswahiri but I love your songs my beautiful friend❤❤❤
Wakenya wajivunia Anastasia wetu