Anastacia Muema - Mtangulize Mungu (Official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 янв 2025

Комментарии • 855

  • @anastaciamuema
    @anastaciamuema  6 месяцев назад +20

    Send "SKIZA 6988009" to 811 to use MTANGULIZE MUNGU as your SKIZA TUNE. Show your support please🙏❤️💕💕

    • @jimmiegw.4292
      @jimmiegw.4292 6 месяцев назад +4

      Waited for it

    • @paulkams3100
      @paulkams3100 4 месяца назад +2

      God Bless You Abundantly Above All You Can Ask And Think In Jesus Might Name 🙏❤❤❤ never lose its powers and abilities

  • @anastaciamuema
    @anastaciamuema  7 месяцев назад +121

    Atafanya njia pasipo na njia na atatupitisha ambapo hapapitiki. Wimbo huu ukatupatie matumaini na kututia nguvu tunapoendelea na safari hii ya imani. Je unataza wimbo huu ukiwa sehemu gani?

    • @chellahpretty
      @chellahpretty 7 месяцев назад +3

      Amina 🙏 Amina🙏
      Ujumbe mzuuri sana dada Ann,, kwa kweli tukimtanguliza Mungu atafanya njia pasipo na njia na kutupitisha pasipopitika🙏 tumtegemee yeye tu siku zote kwa magumu na hata kwa raha🙏🙏 very uplifting😍😍😍
      Zidi kubarikiwa katika kazi hii🙏🙏
      Watching from Nairobi 🤗

    • @SmilingMonarchButterfly-kh4ve
      @SmilingMonarchButterfly-kh4ve 7 месяцев назад +2

      Nikiwa Turkey (uturuki) nimekupata vyema wimbo mzuri huu . Ahsante sana Dada, Mungu azidi kukutunza na kukushikilia sana katika utume wako 🙏🏽❤️🙏🏽

    • @ann6641
      @ann6641 7 месяцев назад +2

      Nautazama nikiwa Kenya,,hakika tunapaswa kumtanguliza mungu kila jambo,ubarikiwe sana dada kwa ujumbe wako mwema wa matumaini

    • @sikatendedidas7255
      @sikatendedidas7255 7 месяцев назад +1

      NAutazama wimbo bora kwasasa kwene sikiyo langu nikiwa usa 🇺🇸 Pennsylvania

    • @JSSTATIONERY
      @JSSTATIONERY 7 месяцев назад +1

      Ni kiwa Tanzania very good song kweli mungu afanye pasipo na njia katika maisha yangu pawe nanjia nitakutumaini milele yote

  • @JohnMumo-cp7vs
    @JohnMumo-cp7vs 7 месяцев назад +46

    Wa kwaza uku nipeeni likes ,, wimbo mzuri sana keep it up ❤ mungu azidi kukuongezea uwedelee na kutupa matumaini

  • @anastaciamuema
    @anastaciamuema  7 месяцев назад +74

    *LYRICS*
    MTANGULIZE MUNGU
    Chorus: Atafanya njia pasipo na njia, atakupitisha pasipo pitika, mtumaini Mungu, mtumaini yeye. Mtangulize Mungu, mtangulize yeye.
    1. Ukiulizwa ni nani anayekupandisha, waambie ni yule anayepandisha jua kila kukicha.
    2. Wanaochukia unapoinuliwa juu, wajue hata taa wala haitawakia uvunguni.
    3. Hata wakisema watokea mahali du ni, wajue yupo anayewasha nyota katika giza nene.

    • @celestinekambua4217
      @celestinekambua4217 7 месяцев назад

      🎉thank you for the relics

    • @celestinekambua4217
      @celestinekambua4217 7 месяцев назад

      Congratulations 🎉 dear nice song indeed i love it he is making ways for us all. Blessed be God forever

    • @EpifaniBekam
      @EpifaniBekam 7 месяцев назад

      Yani Siku ukija mwanza fanya kongamano la kiingilio tutakuja kukuona ata kama tsh 50,000

    • @kipawacrew5639
      @kipawacrew5639 7 месяцев назад +1

      The lyrics please aki haiko correct my favourite

    • @belindaoyugi
      @belindaoyugi 7 месяцев назад

      With English translation. What a message. Congratulations our girl.

  • @JoyceNgure-d3h
    @JoyceNgure-d3h 29 дней назад +1

    Beautiful 🥰 Songs Gal God bless you Kwa njia ya uimbaji

  • @MsaniiRecordsEastAfrica
    @MsaniiRecordsEastAfrica 7 месяцев назад +10

    Hongera sana dada Anastacia, hakika tumtangulishe Mungu. Kazi Safi kwa jumla 👏👏👏👏

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  6 месяцев назад +1

      AMINA🙏🙏
      Baraka tele wanaMsanii Records😊♥️

  • @MsafiriBalebanga
    @MsafiriBalebanga 7 месяцев назад +12

    Ubarikiwe dada,Nahutazama nikiwa Congo DRC,mimi ni mwimbaji wa kwaya mtakatifu cesilia hapa nyumbani Baraka.nabarikwa nanapata matumaini kupitia wimbo huu.

  • @EdnahOtieno
    @EdnahOtieno 7 месяцев назад +4

    ❤❤❤❤ wimbo huu waendana na sauti aisee!! Barikiwa zaidi dada muema ❤❤❤

  • @nancymbithe5736
    @nancymbithe5736 7 месяцев назад +2

    Wow!!so amazing one .Have loved it🤗🥰.May God bless you abundantly,Ann😘🙏

  • @FelisterKerubo-xq1ui
    @FelisterKerubo-xq1ui 3 месяца назад +2

    Congratulations ❤❤❤

  • @veronicahbalama305
    @veronicahbalama305 7 месяцев назад +4

    Nimebarikiwa na wimbo hongera sana kazi nzuri ❤

  • @ivynececilia9440
    @ivynececilia9440 7 месяцев назад

    Nice one Anastacia 🎉🎉🎉🎉 congratulations ❤❤

  • @jamesgakuru
    @jamesgakuru 7 месяцев назад +4

    Wonderful song Anastasia Muema. The melody beats, and words really touching. Reminding us to prioritize God in our plans. Hongera Malkia wa Muziki Katoliki.

  • @wamupepe5301
    @wamupepe5301 Месяц назад +1

    Aksanti kwa nyimbo bora . Ni kweli ni vema kutangulisha MUNGU kweli kweli navyote ni TAYARI .

  • @wamupepe5301
    @wamupepe5301 2 месяца назад +1

    Ni kweli 👍

  • @DomianKyalo
    @DomianKyalo Месяц назад +1

    Nice one...congrats 👏

  • @sarahmbabazi7348
    @sarahmbabazi7348 Месяц назад +1

    🎉🎉🎉congratulations

  • @edwinjhilbajojo2429
    @edwinjhilbajojo2429 7 месяцев назад +3

    Kwa kweli utume wako umebadilisha maisha ya wengi,,,mmoja wapo akiwa ni mimi. Ubarikiwe sana dada angu kaa kazi nzuri,,,,❤❤❤❤

  • @dakiwa254
    @dakiwa254 7 месяцев назад +7

    I have no words... So so so....... touching. If you agree like this comment

  • @YohanaMaswaga-p4z
    @YohanaMaswaga-p4z 7 месяцев назад +23

    Mungu akubaliki sana wa kwaza jamani kutoka Dodoma❤❤

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  7 месяцев назад +2

      Asante sana kwa kutazama. Ubarikiwe sana❤️

  • @marymuema-u6m
    @marymuema-u6m 7 месяцев назад +3

    Mtangulize Mungu👏👏👏
    Nice one dear sister ❤❤❤❤❤

  • @brightonpeter1034
    @brightonpeter1034 7 месяцев назад +4

    Mtangulize mungu, nice and impressive song 🎉🎉 viva Muema✅

  • @AgnesNthoki
    @AgnesNthoki 7 месяцев назад +3

    He will make a way where there is no way😊♥️......and am sure He will when the time is right 🙏🙏

  • @Orengejoseph-u7r
    @Orengejoseph-u7r 2 месяца назад +1

    Congratulations for the good work of evangelism

  • @HighTensionHTMastertalkp-en4mg
    @HighTensionHTMastertalkp-en4mg 7 месяцев назад +7

    Our future Catholic music is in the right hands with you sister, Great mind, Great vibes, Good song. May the Lord Almighty walk with you always.

  • @lucycatekenyaofficial1066
    @lucycatekenyaofficial1066 7 месяцев назад

    Kazi safi sana! Keep blessing us gal 🙏 ❤

  • @marywandia3719
    @marywandia3719 7 месяцев назад +4

    Mungu atangulie kwa kila jambo🙏 Mungu aendelee kukumiminia baraka Dada Anastacia 🎉🎉

  • @JastinMassawe
    @JastinMassawe 7 месяцев назад +16

    First like and coment jaman Nipeni maua yangu... Anastacia Muema 🎉

  • @thepebrisfamilygracedbless6668
    @thepebrisfamilygracedbless6668 7 месяцев назад

    Mtangulize Mungu is another bigger Hit Siz and as I always say, you are a one Dedicated Lady who has never Dissappointed since Day one... Keep Scaling the Heights dear na ujue we have never left you paths. Neither are we doing it anytime soon...
    Congrats are in Order our Dearest Siz🎉🎉🎉❤

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  7 месяцев назад

      Thankyou so much dear bro ❤️❤️
      May God bless you in your ministry as well.😊🙏🙏

  • @DjTijay254
    @DjTijay254 7 месяцев назад +3

    Kwa kweli Mungu mbele Kwa mambo yote....safi sana ❤❤❤

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  6 месяцев назад +2

      Asante sana Dj🙏♥️♥️♥️

    • @DjTijay254
      @DjTijay254 6 месяцев назад

      @@anastaciamuemabe blessed,,,na niitwe appearance next time 🤗🤗

  • @JecaKinoge
    @JecaKinoge 7 месяцев назад

    Barikiwa sana sana saaana kwa Kaz nziriiii!

  • @essy8840
    @essy8840 7 месяцев назад +2

    This is such an inspiring song, i love love👌mtangulize yeye🙏

  • @felistasmburugu
    @felistasmburugu 7 месяцев назад +2

    Nice song there Anne. Very nice song with strong message. Encouraging 🎉. Keep winning🎉🎉. Mungu mbele. Congratulations 🎊 👏 💐

  • @EmmyMagala
    @EmmyMagala 4 месяца назад +1

    Binfisi barikiwa Sana nahuduma yako Mungu akutunze kwaajili yetuu❤❤

  • @edsonsambala4545
    @edsonsambala4545 7 месяцев назад +11

    Mtangulize Mungu, Mtangulize Yeye. Mungu azidi kukuinua katika utume huu wa uimbaji.

  • @angelamutethyamwinzi262
    @angelamutethyamwinzi262 7 месяцев назад +4

    Wapi likes za Annastacia. Congratulations gal🎉🎉🎉🎉🎉

  • @atimrosemary-d3v
    @atimrosemary-d3v 7 месяцев назад +4

    Everything is perfect, the gospel song , the presentation and the voice of the participants.

  • @mercykivivya5171
    @mercykivivya5171 7 месяцев назад +4

    Jamani sitosheki na huu wimbo...new fav😍Atafanya njia pasipo njia..mtangulize yeye

  • @Kunjira-xs3xf
    @Kunjira-xs3xf 6 месяцев назад +2

    Good song congratulations ❤❤❤

  • @SimonPeter-k9f
    @SimonPeter-k9f 7 месяцев назад +2

    Hongera sana dada yangu wanibariki kila uchao kwa uimbaji wako mwema. Mungu na akubariki in the name of the Father, son and the holy spirit 🙏

  • @YohanaMaswaga-p4z
    @YohanaMaswaga-p4z 7 месяцев назад +6

    Hongera dada Kwa nyimbo zenu ❤❤❤❤❤

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  7 месяцев назад +1

      Asante sana❤️❤️❤️

    • @AdrewMakokha
      @AdrewMakokha 5 месяцев назад

      Good work Anastasia namesake to my lovely

  • @DianaEliasy-ue6ld
    @DianaEliasy-ue6ld 7 месяцев назад +3

    Waooo dada nyimbo nzuri sana ya kututia moyo🥰💃🌹 na kumtumainia mungu Kwa kila jambo ubarikiwa sana dada Kwa utume wako nakupenda Sana kutoka iringa 🌹🌹napenda unavyoimba nabarikiwa sana nikisikikiza nyimbo zako🙏🙏🙏🥰

  • @TabbyTabby-z6z
    @TabbyTabby-z6z 7 месяцев назад +4

    Wow congratulations 🎉👏❤ dear sister the song is touching akh,,pia tuekee sikiza plz may God bless you so much

  • @LucyOmary-e8s
    @LucyOmary-e8s 4 месяца назад +1

    Yaan dada kiukweli kazi nzur sana barikiwa mno mno mno

  • @YulithaYoram
    @YulithaYoram 16 дней назад +1

    Huu wimbo umekuwa ni faraja sna katika kipindi hiki cha kuwapoteza ndugu zangu 😭😭😭

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  16 дней назад +1

      @@YulithaYoram pole kwa kuwapoteza ndugu zako.
      Mungu yupo pamoja nawe.🙏🙏🙏

  • @hastingsmutoka
    @hastingsmutoka Месяц назад +1

    Sure.God makes a way where there seems to be no way.

  • @FaizahMartin
    @FaizahMartin 5 месяцев назад +1

    Congratulations dear Ann❤ Watching from Dar es Salaam

  • @julianakituto5124
    @julianakituto5124 7 месяцев назад +1

    Hongera Ann na Mungu azidi kukubariki na kukuongoza katika kazi yako ya uimbaji,

  • @elizabethkilonzi325
    @elizabethkilonzi325 5 месяцев назад

    Aki soprano ya Anastasia Ni tamu❤❤😊❤❤

  • @petronilambinya2540
    @petronilambinya2540 7 месяцев назад +1

    kabisa tutangulize Mungu ,tumtumaini yeye tu...motomoto....can see Angeline hapo doing well😘😘😘💞💞

  • @Redemtermakumbi
    @Redemtermakumbi 5 месяцев назад +1

    Na itatia mtu nguvu❤

  • @Hope2026-g5k
    @Hope2026-g5k 7 месяцев назад +5

    My all-time soloist has done it again. The angels are rejoicing in the heavens. May God give you good health and many more years to praise Him with your team. ❤❤❤

  • @styvmuuo5878
    @styvmuuo5878 7 месяцев назад +1

    Good work queen of music... The best songs ever... Hizi niliskia on sunday feels like nimeenda church.. Kindly check on the sound output of the songs.. It's always soo low low..

  • @nonkuria9559
    @nonkuria9559 4 месяца назад +1

    Utunzi FM Shimanyi......Sauti Anastasia Muema tick

  • @ClovisBoxer
    @ClovisBoxer 7 месяцев назад +5

    Ubalikiwe dada tunakufuata kila siku huku kwetu 🇧🇮🇧🇮 burundi.isitoshe pia mimi ni mwanakwaya marikia wa unyenyekevu

  • @artistde0757
    @artistde0757 6 месяцев назад +1

    ❤..keep it

  • @kawawambatha9347
    @kawawambatha9347 7 месяцев назад +4

    Wow💕kazi njema Mola akuzidishie💞💞🥰

  • @emmahbooooo
    @emmahbooooo 7 месяцев назад +3

    Hallelujah Hallelujah, hakika atanifanyia njia pasipo njia. 👏

  • @AnastanciaAkeru
    @AnastanciaAkeru 7 месяцев назад +5

    Kazi mzuri my namesake Anastancia

  • @isharaakilimali4616
    @isharaakilimali4616 7 месяцев назад +3

    Kweli wimbo nzuri ! Mwenyezi Mungu Asifiwe na akujalie neema na baraka tele.

  • @Kunjira-xs3xf
    @Kunjira-xs3xf 6 месяцев назад +2

    Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu❤❤

  • @anthonyluhumbika4693
    @anthonyluhumbika4693 7 месяцев назад +2

    Kazi Iko vizuri mno,Mungu akubarki dada Anastacia.🙏🙏

  • @emmanuelmunene4125
    @emmanuelmunene4125 7 месяцев назад +4

    Anastacia Muema akii kusema ukweli I as a Kenyan I love your songs siku haiwezi isha kama cjaskiza nyimbo zako kama Maisha yangu na Inakuwaje tunasikia maneno much love from Nesh Manuuh from Embu Kenya🥰😍 uwasalimu Lawrence Kameja na Tumaini Swai.Thanks.Tafadhali tafuta siku utembelee Kenya 😍😍

  • @amag-cj8rn
    @amag-cj8rn 6 месяцев назад +1

    Barikiwa Sana dada katika utume wako🎉🎉🎉❤

  • @wilkisterekesa3885
    @wilkisterekesa3885 7 месяцев назад +3

    Mtangulize Mungu ❤❤ Amina na kweli nilimtanguliza na hivyo ndivyo nang'aa kazini 🙏🙏

  • @gracelilawola2780
    @gracelilawola2780 7 месяцев назад +2

    Maua Yako dada anastacia 🎉🎉 🎉 congratulations Mungu aendelee kuwa naweee 🙌🙌🙌

  • @emmanuelmoshi8168
    @emmanuelmoshi8168 7 месяцев назад +3

    Wimbo mzuri mnoo hongeraa dada anastacia

  • @martinmutuku8256
    @martinmutuku8256 7 месяцев назад +2

    This girl , she is on top oooh ❤❤ love her , wuendete vaasa mwa 💕💕

  • @felistusfelicia9098
    @felistusfelicia9098 6 месяцев назад +2

    Anafanya pasipo na njia, Atakupitisha pasipopitika ❤️❤️ Am Blessed 🙏🙏🙏

  • @yunisvyasyole5490
    @yunisvyasyole5490 7 месяцев назад +7

    Mungu amuongoze nampenda Sana huyu dada jamani nyimbo zake zinanipa nguvu katika Maisha you🎉❤❤

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  6 месяцев назад +1

      Amina🙏🙏🙏
      Ubarikiwe sana mpendwa♥️♥️♥️♥️♥️♥️

  • @jeanboscofazila4507
    @jeanboscofazila4507 7 месяцев назад

    Mtumainie Mungu. Asante sana 🎉🎉🎉

  • @doreenmweni3696
    @doreenmweni3696 6 месяцев назад +1

    Wow, this is powerful

  • @kipngetichpatrick6729
    @kipngetichpatrick6729 7 месяцев назад +2

    Natamani sana ungejua ninavyopenda nyimbo zako Muema, natamani sana ningekuwa na uwezo wa kukutuza kwa njia ya kipekee, naamnini ipo siku nitafanya hivyo,
    Ninakuombea sana Muema ili Mungu akujalie unyenyekevu siku zote, aweke kiburi mbali nawe, ili tuzidi kubarikiwa kwa utume wako, all the best Muema,

  • @EVELINSimon-ru2le
    @EVELINSimon-ru2le 4 месяца назад +1

    Hongereni kwa kazi nzuri Mungu azidi kuwainuia na kuwapigania katika utume nasi tunazidi kuwaombea mzidi kusonga mbele

  • @hillarykibet7264
    @hillarykibet7264 7 месяцев назад

    Very nice song Ann I have been waiting that's great continue and hope God will uplift you high and high ❤

  • @MCAUGUSTIN
    @MCAUGUSTIN 7 месяцев назад +3

    Ongera zaidi kiukweli dada yetu kwa kazi nzuri ya kitume.

  • @MichelleManga-bc4ri
    @MichelleManga-bc4ri 7 месяцев назад

    Your such a wonderful woman congratulations my sister,,,on another level kudos❤

  • @josephmatei6590
    @josephmatei6590 7 месяцев назад +3

    atafanya njia pasipo na njia😍😍😍😍... congrats Ann, No limits for our girl. tunapita pasipopitika😊😊

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  6 месяцев назад

      Amina🙏🙏🙏♥️🙏♥️
      Uzidi kubarikiwa mpendwa🥳

  • @eunicebukokhe553
    @eunicebukokhe553 7 месяцев назад +3

    Wow wimbo mzuri....kipawa nayo ulipewa ... weeeeeee ❤❤❤

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  6 месяцев назад +1

      Asante sana na Amina🙏🙏❤️❤️

  • @sikatendedidas7255
    @sikatendedidas7255 7 месяцев назад +7

    that’s why I call you Queen of Catholic music@anastacia

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  6 месяцев назад +1

      I’m humbled dear one. Be blessed❤

  • @waromokello
    @waromokello 7 месяцев назад +4

    Yes, yes...the beautiful song we waited for. God bless you

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  4 месяца назад

      Thankyou so much for waiting patiently 😊🌺

  • @philipkimanzi1589
    @philipkimanzi1589 7 месяцев назад

    What a Nice song ❤
    Great job Ann❤

  • @germainmiderho8243
    @germainmiderho8243 7 месяцев назад +4

    Whaou ❤ be blessed Miss Anastacia
    We will be happy to welcome you to Bukavu(DRC)

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  7 месяцев назад

      Amen and be blessed as well.
      I will definitely come there one day!😊

  • @lydiaodhiambo-f6e
    @lydiaodhiambo-f6e 7 месяцев назад

    Another one from God 🎉🎉

  • @lidyasimiyu9218
    @lidyasimiyu9218 6 месяцев назад +2

    Amazing song the daughter of the soil may God continue using you as a vessels to inspire others through singing

  • @awuorcess3222
    @awuorcess3222 7 месяцев назад +5

    I believe He will change my situation in India as I struggle with my son's treatment..namtumainia🙏you've lifted my spirit ..God bless you 🙏

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  7 месяцев назад +2

      No situation is permanent dearest. May God see you through. All shall be well in Jesus’ mighty name.🙏🙏🙏❤️❤️❤️

  • @hanifakaluki6410
    @hanifakaluki6410 6 месяцев назад +3

    I listen this song more than 3 times in a day... Glory be to God

  • @janetkatui7841
    @janetkatui7841 7 месяцев назад +1

    Congratulations 🎊 👏 baby girl...indeed tumtagulize mungu kwa mambo yetu...be blessed 🙌

  • @LevyBakar
    @LevyBakar 6 месяцев назад +1

    Amazing❤❤

  • @HopeKisilu
    @HopeKisilu 7 месяцев назад +4

    Hakika atafanya njia🙏❤️

  • @ndetichrissantos652
    @ndetichrissantos652 7 месяцев назад +3

    Amina Amina...aaaasantee kwa kutujenga .wimbo unaleta matumaini sana.
    ❤❤❤

  • @atimrosemary-d3v
    @atimrosemary-d3v 7 месяцев назад +6

    No wonder, you are the queen of catholic gospel songs. To me, this is the best of all your gospel songs.

  • @brianmusyoka4355
    @brianmusyoka4355 7 месяцев назад +6

    Mtumaini Mungu!! Mtangulize Yeye!!🎉🎉🎉

  • @MasikoHillary
    @MasikoHillary 7 месяцев назад +3

    Congratulations upon You dear Queen for the new song release.Our God is wonderful.

  • @LucyOmary-e8s
    @LucyOmary-e8s 4 месяца назад +1

    Dada uko vizuri kiukweli ninachokupenda huna majivuno

  • @annawawuda9590
    @annawawuda9590 7 месяцев назад

    Asante Anastasia 🙏🙏🙏
    Utukufu wote Kwa mungu🙏🙏🙏🙏

  • @VictorJidinga
    @VictorJidinga 4 месяца назад +1

    Barikiwa sana ..Kazi Yako ni njema sana

  • @GREGORYTHEGREATTV
    @GREGORYTHEGREATTV 6 месяцев назад +1

    God bless for good work sister

  • @wariohalkanodida
    @wariohalkanodida 7 месяцев назад +2

    Nice one❤ congrats ann

  • @patrickmatuu2413
    @patrickmatuu2413 7 месяцев назад +2

    Tutangulize Mungu Kwa kila jambo 👌👌a very nice one Ann keep going