ANNOINT AMANI - ASIFIWE BWANA ( NI YEYE OFFICIAL VIDEO )

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 янв 2025

Комментарии • 69

  • @FaridahRashid-j1t
    @FaridahRashid-j1t 24 дня назад +3

    Huu wimbo umenikumbusha wakati mtoto wangu alikuwa mgonjwa kila mtu alinikana ni mungu pekee muokoa

  • @Chebaibaiever
    @Chebaibaiever Месяц назад +4

    Blessed 🙏🙏🙏 from Kenya 🇰🇪🇰🇪 my dream to meet you one day

  • @msebukwatv1
    @msebukwatv1 Месяц назад +10

    Safi sana huu ndio ujumbe na injili kamili inaaza kutoka kwenye muonekano wako mwenyewe alafu unacho ongea no comment naimani ukijishusha na kunyenyekea zaidi utakua mwimbaji mzuri tanzania nzima maana wengine wamesha jikongorosha tub😂

  • @africanacyber3040
    @africanacyber3040 Месяц назад +13

    First to view naomba likes zangu jameni.AMEN🙏🙏🙏

  • @DottoSeleman-bl8rh
    @DottoSeleman-bl8rh 18 дней назад +1

    I love songs from Zambia nazambia tuna wasikiliza mungu aendelee kuwa Linda mwovu shetani

  • @RichardMalau-sh3os
    @RichardMalau-sh3os Месяц назад +2

    Halleluya mtumishi wa bwana yesu asifiwe mwokozi wetu napenda sana huduma yako nimependezwa nayo

  • @MussaSungura-g5u
    @MussaSungura-g5u Месяц назад +1

    Sijasikia hata jina la YESU hata Moro Kuna bwan Kuna MUNGU anaitwa mungu wa Dunia hii mwenye macho haambiwi tazama

  • @jeanmjimmy
    @jeanmjimmy Месяц назад +1

    Nani ameona vazi la Amani.

  • @Sashaloyceug256
    @Sashaloyceug256 Месяц назад +2

    Glory and honour back to God hallelujah 🙌🙌🙌, more blessings to u brother for praising nd worshiping God always 🙏🙏🙏, I like ur voice 😊😊😊😊😊

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 Месяц назад

    Asante matha. Pamoja na madongo yote wanayokurushia hukuweka mikono miguuni umejipa moyo mwimbie aliekuita kwa kwenda mbele.ancha na mbweha wabweke.watatulia .wasipotulia kwa amani watatulia kwa shali

  • @easternarantale2745
    @easternarantale2745 Месяц назад +1

    Sisi ni wale tunapiganiwa na bwana....Asifiwe bwana 🥰🥰🥰✅✅✅✅

  • @HappynessJose
    @HappynessJose Месяц назад

    Champee naye nini anapapasa mangaindi au abebe yeye Dave tunashukuru mungu nimwema sana kila wakat

  • @NjokiSteve
    @NjokiSteve Месяц назад +1

    Asifiwe bwana mwokozi🙏🙏🙏🙏🙏 I really love your songs

  • @brayantsixbert
    @brayantsixbert Месяц назад

    Napenda nyimbo zaco zote ata uimbe unalia bado nyimbo zaco nazipenda xanaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @ÉLÉPHANTGERVAIS
    @ÉLÉPHANTGERVAIS Месяц назад +2

    Baba Bikemwa sasa

  • @MariethaSumaye
    @MariethaSumaye Месяц назад

    Mungu akubariki mtumishi azidi kukupigania nyimbo zako zinanibariki sanaa.

  • @JosephOmuse-y6v
    @JosephOmuse-y6v Месяц назад

    Very powerful songs n great confidence.continue persisting...

  • @JemutaiMaggie
    @JemutaiMaggie Месяц назад

    Congratulations 🎉🎉❤❤ broo keep it up. may God blessed u has you served God.

  • @catherinengina6802
    @catherinengina6802 Месяц назад

    Hapa nilipo shida zangu zimekoma❤🎉

  • @BettyKanini-ho9lg
    @BettyKanini-ho9lg Месяц назад

    Upendo wa Mungu watutosha , keep up the good work and be blessed

  • @aggybona7658
    @aggybona7658 Месяц назад

    AMEN akuna MUNGU milimani asante YESU umegeuza mabaya kuwa baraka kwangu.

  • @mercyCherono-w7k
    @mercyCherono-w7k Месяц назад

    Mm glory glory to
    God 🙏🙏💐💐🎄🎄🎄🌹🌹🌹

  • @beatricemoraa5643
    @beatricemoraa5643 Месяц назад

    Asifiwe bwana mtumishi wa mungu barikiwa sana milele na milele Amina

  • @philipsikala6952
    @philipsikala6952 Месяц назад

    My favourite artist Asifiwe mwokozi

  • @morumbukibiego8637
    @morumbukibiego8637 26 дней назад

    Amina Annointed amani Mungu abariki kazi nzuri🙏

  • @MercyKavere-t8f
    @MercyKavere-t8f Месяц назад +2

    Amen mtumishi wa mungu asifiwe mwokozi 🙏🙏🙏🙏 l really like your songs 🎵 👏 🙌 may God uplift you abundantly

  • @salumsalumrobert
    @salumsalumrobert Месяц назад

    Hakika mungu wetu anasitaili sifa zote ubarikiwe mtumishi wa mungu

  • @CharlesLukogo-v6c
    @CharlesLukogo-v6c 21 день назад

    Ubarikiwe mtumishi wamungu anoint ❤🐓

  • @RehemaGodfrey
    @RehemaGodfrey Месяц назад

    🙏🙏🤝🤝🤝🖐️🖐️🖐️🖐️hakika hayupo ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @DaimaKyabatima
    @DaimaKyabatima Месяц назад

    Mungu akuzidishiye pawa asante kwakunibariki

  • @MaryAlberto-f1q
    @MaryAlberto-f1q Месяц назад

    Najikitaa natabasamu moyo wangu umejaaa amanii🥰🥰 ubarikiwee Sanaa🥰🥰🥰

  • @catherinengina6802
    @catherinengina6802 Месяц назад

    Baba wa mayatima Mume wa wajane asiyeshindwa asiyedanganya wala kudanganyika❤❤🇰🇪🇰🇪

  • @Wamana-g8d
    @Wamana-g8d Месяц назад +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤thanks a lot for this beautiful song my dear brother I love you so much I hope you’re doing well

  • @jeniferkabigumila1653
    @jeniferkabigumila1653 Месяц назад +1

    Unaendeleaje mtumishi naweza kupata mawasiliano yako Kaka yangu ,hongera pia Kwa KAZI nzuri mungu akubariki

  • @JanetkalamaJanetkalama
    @JanetkalamaJanetkalama Месяц назад

    Amen ubarikiwe mtumishi wa Mungu huu wimbo umnguza aki tunakupenda from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @StacyCheruto
    @StacyCheruto Месяц назад

    Wimbo mtamu sana anoint mungu azidi kukupa nguvu yakuendelesha injili,,

  • @MrNitsondaudiTz
    @MrNitsondaudiTz Месяц назад +2

    Asifiwe sana ❤❤❤

  • @dorcahnyabo4713
    @dorcahnyabo4713 Месяц назад

    hakika mu ngu ni wa mapendo glory to God and honour ❤❤ much love from Kenya 🇰🇪

  • @EsterErasto-g6b
    @EsterErasto-g6b Месяц назад

    Tito lwila💯💯

  • @nicholasmutua212
    @nicholasmutua212 Месяц назад

    Kongore Sana mtumishi wa mungu Apostle Nicholas Kenya Nairobi KAZI nzuri sana

  • @CosmasMaweu_official
    @CosmasMaweu_official Месяц назад

    Mtumishi wa annoit amani mungu akubariki sana 🙏 kwa ujube huu🎉 wimbo huu humenifuza mengi sana😊🎉❤

  • @linetkemunto8964
    @linetkemunto8964 Месяц назад

    Wow ni yeye mfalme 🎉

  • @mary-cm5je
    @mary-cm5je Месяц назад

    Asifiwe bwana ameen 🙏🙏🙏🇰🇪

  • @MargaretAtieno-xx7ys
    @MargaretAtieno-xx7ys Месяц назад

    Tunapiganiwa na Mungu kabisa bila yeye hatuwezi vita🥲

  • @ebenezerdaniely2686
    @ebenezerdaniely2686 Месяц назад

    Kazi nzuri saana mr, kwa nyakati hizi yahitajika kutambua na kujua ukuu wa Mungu wetu maana bila hivyo tutamzoea saana na hatimayake tutajaishia motoni badala ya patakatifu nakutwa machozi ya taabu zetu za duniani

  • @Nani-ww8yg
    @Nani-ww8yg Месяц назад

    Amen him Alone we worship our Lord Almighty No one is like him .

  • @miltonmulolryambundunene5044
    @miltonmulolryambundunene5044 Месяц назад

    Aksante ♥️♥️♥️

  • @JothanyEmmanuel-gp6xo
    @JothanyEmmanuel-gp6xo Месяц назад

    Waoooh barikiwa kaka wimbo mzuri

  • @MaryKundu-jz7dr
    @MaryKundu-jz7dr Месяц назад

    Amina 🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @meshackmuoki8217
    @meshackmuoki8217 Месяц назад

    Umebarikiwa ndugu.

  • @samwelibenson1802
    @samwelibenson1802 Месяц назад

    Hongera kwa hudumu hallelujah hallelujah ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @AnnJedich
    @AnnJedich Месяц назад

    Wow Sifa nkwake

  • @MusukwaAmos
    @MusukwaAmos Месяц назад

    Hongela Sana brother

  • @abemandia
    @abemandia Месяц назад

    heshima kwa Bwana

  • @MoosaMd-h6b
    @MoosaMd-h6b Месяц назад

    Asifiwe Bwana Mungu wa majeshi. Heshima kwa Bwana amen.

  • @HappyMariki-vg5tn
    @HappyMariki-vg5tn Месяц назад

    Ameeeeeeen ni yeye tuu❤

  • @حسنعلي-ث6ظ5خ
    @حسنعلي-ث6ظ5خ Месяц назад

    🙏🙏🙏🙏Ameeen

  • @athanaslangat1014
    @athanaslangat1014 Месяц назад

    Hakika Mungu ni pendo

  • @nancysamaria
    @nancysamaria Месяц назад

    Hallelujah 🙏🙏🙏🙏

  • @Elishaponde
    @Elishaponde Месяц назад

    Ubarikiwe sana kka

  • @AnnahMbelenzi
    @AnnahMbelenzi 23 дня назад

    Oooooh my God ..who is here 2025....

  • @Esther-rm7fg
    @Esther-rm7fg Месяц назад

    Safi amen

  • @chombosamoo7958
    @chombosamoo7958 Месяц назад

    🎉🎉🎉🎉

  • @brayantsixbert
    @brayantsixbert Месяц назад

    Ubalikiwe

  • @BaruanikisubiKisubi
    @BaruanikisubiKisubi Месяц назад

    ruclips.net/video/6oUzGbNblQs/видео.htmlsi=gzjXlgYi86lfg1I5

  • @Altrafilmproduction
    @Altrafilmproduction Месяц назад

    ruclips.net/video/uit2G6hnOHs/видео.htmlsi=xLRNqtxbAhFD-seb