MTOTO WA RAIS SAMIA ANYESHEWA NA MVUA AKIPELEKA MILIONI KUMI KWA MSANII BI MWANAHAWA

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 57

  • @giztony2009
    @giztony2009 Месяц назад +3

    Information is power! Pale tuu alivyohojiwa na zamaradi tv nilijua kitakachofuata

  • @user-er9xv9yz7b
    @user-er9xv9yz7b Месяц назад

    Ubarikiwe sana Rais wetu Mungu akubariki sana sana tu mama yetu Mungu akubariki sana sana mama

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz Месяц назад +1

    Mashaaalah anafanana mama yake, Allah atusitiri, familia zetu,

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 Месяц назад

    Hongera sana mama ,Mh wangu RAIS WANGU SAMIA SALUHU Barikiwa sana kwa hiki ulichotoa yaani Nazid kukupenda zaidi

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 Месяц назад +2

    Watungie wimbo hao walosema hutompata Mama Samia..wazibe midomo😃

  • @maulidimopen1273
    @maulidimopen1273 Месяц назад +2

    Mtoto wa Mama Samia Mzuri Mashallah, ❤❤❤

  • @RashidiDaudi-jn9uh
    @RashidiDaudi-jn9uh Месяц назад

    Maashaalhu ni mzuri

  • @user-rf4yq9yj7u
    @user-rf4yq9yj7u Месяц назад

    Namshauri mama samia kujitahidi kuwasaidia wagonjwa maana kwenye vitabu vya dini maandiko yanasema hakika ataeipa uhai nafsi moja hakika ujira wake ni sawa kama amewapa uhai binadamu woote

  • @moshielfesty7992
    @moshielfesty7992 Месяц назад

    Mashaallah

  • @user-rf4yq9yj7u
    @user-rf4yq9yj7u Месяц назад +1

    Siku ambae haitomfaa mtu mali yake wala watoto wake .... Hapa hamna kitu hii ni sawa kama imepotea tuu sidhani.kama kwa mungu ipo ... Ila kwa wagonjwa na mayatima hakika haipotei

  • @NicodemusKithi-xe7mg
    @NicodemusKithi-xe7mg Месяц назад

    Sio yeye amtafute ,yatakiwa nyinyi ndio mmtafute na mzidi kumhudumia

  • @user-jv1ch4tr8q
    @user-jv1ch4tr8q Месяц назад

    Allah akuongoze dadaangu

  • @happynkya9770
    @happynkya9770 Месяц назад

    salahe wa zamaradi mketema bila kurusha yale mahojiano yake wala asingeonekana,hongera sana mahojiano yenu yameleta matokeo

  • @setiseti5281
    @setiseti5281 Месяц назад

    Alihamdulilah

  • @yuahahmad6651
    @yuahahmad6651 Месяц назад

    Da!!!

  • @zaitunimuhunzi9886
    @zaitunimuhunzi9886 Месяц назад

    Ila kwa hili apongezwe kijana alieendesha nae kipindi cha zamaradi TV ndie aliemuibua na tatizo lake likafanikiwa hongera zake kaahidi katekeleza

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 Месяц назад

    Heading mbovu kabisa kwakweli daaah kwani yy nani mvua isimnyeshee. Mmekosa Heading nyie

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 Месяц назад

    YULE BIBI WA ZANZIBARI ANASEMA ENZI YANGU YA UJANA NILIWEKA AKIBA NOW NAKULA BATA MWANAHAWA VIP JAMANI KWELI SANAA SO MCHEZO

  • @jameshazard2513
    @jameshazard2513 Месяц назад

    Ivi watanzania jamani wanahabari hamjui mnafanya Nini siyo ananyeshewa na mvua huyo au mnatafuta tu sifa msaada hutakiwi kutaja Hadi kiasi dah 😂😂😂😂

  • @shijandobehe4953
    @shijandobehe4953 Месяц назад

    Kwaiyo asinyeshewe mvua kisa mtoto wa raisi hiku kitaa mvua ndio tunaogaga tukiwa kazini

  • @SwalehSaleh
    @SwalehSaleh Месяц назад +1

    Tubu mama

  • @MbossoMbosso-rw4ox
    @MbossoMbosso-rw4ox Месяц назад

    Axinyeeshewe na mvua yy Nan achen usengeee kama Amna vitu vya kupost kalalen wamenyeeshewa manambii sembuse uyo anayeoga na kutoa uchafu mwulin😂😂😂😂😂😂

  • @HabibuHoseni-sv8hd
    @HabibuHoseni-sv8hd Месяц назад

    Huyu kumbe ni mwana wa samia nishawai kumuona posta siku moja hivi nikajiuliz huy ni mama au kumbe ni mwanae nilimuona kweny wizara ya nishat maeneo ya tanesko posta nikasem mam si ndo huy apa mara sie 😊😅😅😅 na alikua na wsmamiz pia

  • @user-rf4yq9yj7u
    @user-rf4yq9yj7u Месяц назад

    Sijapenda muimba taarab kupewa hicho kiwango kikubwa cha pesa kuna watu wapo mahututi muhimbili na kesi zao ni kubwa kubwa hawasaidiwi na wanakufa may allah guide our president in right peaple to help and right path

    • @yassirabdallah3230
      @yassirabdallah3230 Месяц назад

      ilikuaje tena 🤔

    • @user-wf3wk5to7t
      @user-wf3wk5to7t Месяц назад

      Alhamdulilahi nimefurahi sana mhe Rais kumpa msaada huyo msanii kutokana na hali yake bdo alikuwa anaimba kwa umri wake ni mtihani kukaa kwenye steji kuimba kutafuta tonge kweli jamani mpaka ajekudondoka kwenye steji sisi hatuna uwezo wa kumsaidia lakini roho inauma kumuona mzee wetu anapata shida

    • @user-wf3wk5to7t
      @user-wf3wk5to7t Месяц назад

      Allah atufanyie wepesi na wagonjwa mhe Raisi awaone hospitali kuwasaidia na kila Allah alompa uwezo Inshallah Allah amuwezeshe kutoa sada kwa wagonjwa na tunaomba duwa Allah atuondolee mitihani ya maradhi na walokuwa wanaumwa Allah awaponeshe mhe Rais anatamani atusaidie sote lakini haiwezekani nyumba kwa nyumba but mm hata akisaidiwa mwenzangu nafutahi sanna na shukuru Alhamdulilahi Allah amsimamie Mhe Rais wetu ampe umri mrefu na afya njema Allahuma Amin

  • @israelkisaila8401
    @israelkisaila8401 Месяц назад

    Mtoto ana ulinzi?

    • @munamuna3921
      @munamuna3921 Месяц назад

      Kabeba hela 😅😅😅nacheka kama kazuri

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 Месяц назад

    Sauti bado IPO vizuri muandalieni tamasha

  • @user-iw5hu3mc7l
    @user-iw5hu3mc7l Месяц назад

    M zanz mwenzqke wanagap wanaumwa mbona hatoi pesa?; tena pesa zetu hizo

    • @martinchambala9399
      @martinchambala9399 Месяц назад +1

      Hapana ndugu acha uongo mbona mama amesaidia watu sana labda haufuatilii 2

    • @patimaissa8572
      @patimaissa8572 Месяц назад +2

      Acha makasiriko huyu mama nae kakitumikia sana chama

    • @MosesAntony-gh4yt
      @MosesAntony-gh4yt Месяц назад +1

      Wewe unataka amsaidiye nani mbona makasiriko

    • @AliHassan-ib8lq
      @AliHassan-ib8lq Месяц назад +3

      Hizo ten million ni zenu kutoka wapi?
      Kwani yeye halipwi mshahara? Kabla ya kuwa kiongozi hadi leo hafikishi hizo kwenye account yake? Kila mtu anahitaji kusaidia yule anaetaka mwenyewe.

    • @Shuu.A
      @Shuu.A Месяц назад +2

      Roho mbaya na uhasidi zimakukaa lol hutoenda mbele kwa roho mbaya

  • @bavonichristopha1693
    @bavonichristopha1693 Месяц назад +12

    Mmmh kichwa cha habari mtoto wa raisi anyeshewa na mvua kwani mtoto wa raisi hawazi kunyeshewa na mvua nyie wasafi punguzeni uchawa bhana