Rais Samia: Suala la Ulipaji Kodi ni Gumu, Watu Wengi Hawapendi Kulipa Kodi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 окт 2024
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, anazindua rasmi Tume ya Rais ya Marekebisho ya Kodi. Tume hii imeundwa kwa lengo la kufanya mapitio na maboresho katika mfumo wa kodi nchini, ili kuhakikisha uwajibikaji, ufanisi, na unafuu wa kodi kwa wananchi na wafanyabiashara.
    Unaweza kutufuatilia kupitia;
    TWITTER: / thechanzo
    INSTAGRAM: / thechanzo
    FACEBOOK: / thechanzo
    TIKTOK: www.tiktok.com....
    Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
    Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
    The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Комментарии • 4

  • @thomaskwibonelwa9240
    @thomaskwibonelwa9240 12 часов назад +1

    Siku zote mlipaji asipona thamani ya Kodi anayolipa hukosa maana ya kulipa Kodi. Serikali iendelee kutumia fedha za walipa Kodi vizuri na walipakodi waone matunda ya kodi zao.

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 10 часов назад

    Kodi hailejeikwetu sisiraia walipakodi ,munatapanyakodi zetu kwamatu.miziyenubinafusi cag nishahidi

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 11 часов назад

    Mngekuwa mnapima viwanja sambamba na kundoa migogoro ya ardhi sawa na kulipa Kodi sawa yaaani mvuke malengo kuondoa migogoro na kupima tunge wasifu

  • @BarakaWiliam-hx9nk
    @BarakaWiliam-hx9nk 9 часов назад

    Kuanzia wewe wabunge hamlipi kodi kazi kuiba tuu ukiletewa taarifa na CAG huzifanyii kazi pia serikali ipunguze anasa unakopa pesa zinakwenda wapi hatuoni unachofanya safari za nje nyingiiiiiiiii