RICARDOMOMO DIAMOND WANAMCHUKIA HALAFU ANAWAONGOZA/HARMONIZE HAJULIKANI NA MEEK MILL ANGEKUWA DIAMON
HTML-код
- Опубликовано: 26 июн 2024
- Kwa maoni au ushauri comment hapo chini bila kusahau ku like na kushare ili kuweza kupata update mbali mbali ndani na nje Ya Tanzania
Tufollow katika ukurasa wetu wa instagram @BONGO TRENDY TV
Na kulike facebook page Bongo trendy online Развлечения
Nzuri iyoo
Huyu jamaa anaongea kama mondi
Ndo kaka ake Mond uyo
Kaka Ricardo shida ya watanzania wengi ni wanafki na hawana roho nzuri..wengi Kwa wanafki ..ila nakukubaligi Sana Ricardo. .unajuwa Sana kuongea kaka
Fact
King Diamond forever.
Mnaoji bubu 😂😂
Ila harmonize 😂😂😂
Diamond hawezekaniki africa
Heka lakini anafanya nae funga domo
Wezombi haujui Simba wamasimba dangote 🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🌍🌍🌍🌍
Ndio momo yule jamaa onando sijui ndio anapeleka watu kimataifa uuuuhhhhfffff!
Upo sahihi Kaka
Wewe ricado kelele wewe fanya yako domo kaya achana na hamo sasa. Subiri ujiobe ya hamo sasa ndio maana mkeo amekukimbia. Acha chuki na hamo😮😮😮😮😮😮
Choko wewe sasa apo kaongea nini kibaya kuhusu mtu mfupi
Hakuna kibaya ameomgea kwa harmo