Killy - Nihurumie (Official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 янв 2025

Комментарии • 506

  • @Blessing32162
    @Blessing32162 Год назад +116

    Bonge la ngoma nimekuwa nikiisubilia kwa mda mrefu sana embu wekeni laik zenu hap nizione!

  • @BabaBalingasi-hp6gd
    @BabaBalingasi-hp6gd Год назад +9

    Aisseee trakii kalii sana...
    Kili ni hatari. Tunaojua mziki mzurii huu ndo wenyewe

  • @Densoboy
    @Densoboy Год назад +9

    #killy
    Nakubali fundi huna kazi ndogo🤭🤭.

  • @reubenmathias7695
    @reubenmathias7695 Год назад +7

    Killy umeimba maisha ya wengi kwa sasa

  • @Kaulichifgabz
    @Kaulichifgabz Год назад +21

    Fundi siku zote hakoseagi 🔥🔥✨️🎶💣❤️📌

  • @KeizzyHuncho
    @KeizzyHuncho Год назад +9

    Kaka killy unajua san ngoma ni Kali sana...ila usituangushe tudondoshee mangoma na mangoma kama ulivoua ile roho na mwisho hits songs...uko vzr mnoo

    • @JaxonDoxa
      @JaxonDoxa 10 месяцев назад

      Yupo vzr kwer ata me namwelewa sana kaka mkubwa❤❤

  • @musajack7276
    @musajack7276 Год назад +3

    Mwanamuziki wangu pendwa sana tangu enzi zileee
    Namkubali sana huyu jamaa

  • @tinnojulius7760
    @tinnojulius7760 Год назад +32

    Killy always kills it a pure talent, we love you you're music has been part of our life keep going bro

  • @alexandrodieumerci
    @alexandrodieumerci Год назад +6

    Baada ya kutoka Konde gang team yangu pendwa sikukuacha kwa sababu ya uwezo wako,big up sana kwa wimbo huu mtamu.from BURUNDI 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @EliudPetro-pf7ks
    @EliudPetro-pf7ks Год назад +2

    Bonge la ngoma mwanangu killy nakubali achana na huyooo makondeee hapendiii maendeleo ya yako.

  • @mkabilidorah6209
    @mkabilidorah6209 Год назад +8

    Real talent let's keep supporting. Wanangu wa gulf piteni hapa saudi arabia ❤

  • @em_vee_josh
    @em_vee_josh Год назад +41

    This boy really delivers some good music for his audience ❤❤ from Kenya 🇰🇪

  • @jozzybill_tz
    @jozzybill_tz Год назад +6

    Nihurumie hii ngoma ni 🔥 🔥🔥🔥 sana

  • @blonekasereka6961
    @blonekasereka6961 Год назад +5

    Kichupa kikali saana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 killy wewe ni fundi kwa kweli

  • @hamisimganga3328
    @hamisimganga3328 11 месяцев назад +1

    🎉nihurimie mzgo mzigon

  • @waziriomar1414
    @waziriomar1414 Год назад +1

    Bonge ya nyimbo 👊

  • @anthonydeogratias7890
    @anthonydeogratias7890 Год назад +3

    Fundi Killy nihurumie umeuwa sanaaa🔥🎶🎧🎤

  • @paulcalistus7172
    @paulcalistus7172 Год назад +3

    Kazi kubwa hongera Bro

  • @peterjosephmjaka
    @peterjosephmjaka Год назад +4

    Kaka unajuwa hizii kazii big up xanaa

  • @emmkaygamingzone1586
    @emmkaygamingzone1586 Год назад +4

    Killy kama killy🇰🇪🇰🇪much love

  • @UjusMukandama
    @UjusMukandama Год назад +4

    Mzigo mnene 🔥🔥🙏

  • @wanjembogo2289
    @wanjembogo2289 Год назад +6

    Napenda maandishi yako killy ,your lyrics are real

  • @justinog3105
    @justinog3105 Год назад +1

    Kiukweli ii ni bonge ya video we ni fundi ❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇰🇪🇰🇪🇰🇪✅

  • @deeclassicafrica07
    @deeclassicafrica07 Год назад +1

    Umetisha sana mkuu 🎉🎉🎉

  • @Clever579
    @Clever579 Год назад

    Ngoma kaliii sema umefer kutoa video,Yani umechelewesha

  • @peterjosephmjaka
    @peterjosephmjaka Год назад +3

    Yaani hii kama tupo kwenye xayari nyingine tuh yaani balaa xio lakitoto 🔥🔥🔥

  • @TonnyBOY_
    @TonnyBOY_ Год назад +2

    Kazi inakuja broh

  • @NoelNyella-eg6nt
    @NoelNyella-eg6nt Год назад +3

    Mungu akulinde mdau unajua unatunene wahuni tunaolia

  • @johnstonejunior6304
    @johnstonejunior6304 Год назад +1

    Siku zote we ndio fundi

  • @miguelrosarioyessa7327
    @miguelrosarioyessa7327 Год назад

    Fundi wewe mkali sana, yani nimependa sana hii nyimbo.

  • @japhetdavid1770
    @japhetdavid1770 Год назад +2

    Upo vizuri sana bro... From 254 🇰🇪 tunakutambuaaa sanaa... Bongee la hit....

  • @AfricanSumwa
    @AfricanSumwa Месяц назад

    Killy, tangu enzi za Rudi hadi leo kwenye Nihurumie, hujawahi kosea, pure talent 🙌🙌🙌🙌

  • @geniusgangkenya8732
    @geniusgangkenya8732 Год назад +1

    🔥🔥🔥🔥Kivumbi leo!💥💥💯

  • @amantone
    @amantone Год назад +3

    FUNDII NI MMOJA TU 🙌🙌🔥☄️

  • @hedrickrichard1522
    @hedrickrichard1522 Год назад +1

    Killy fundi wangu

  • @yusufujohn7791
    @yusufujohn7791 11 месяцев назад +1

    Killy aisee huyu jamaa q najua sana, ni msanii pekee hatoagi ngoma kwa kukurupuka. Jah bless u mkuu

  • @MaQajare
    @MaQajare Год назад +19

    More love from Kenya❤❤❤

    • @Apirijohns
      @Apirijohns Год назад +1

      Kazi kubwa bro❤❤❤❤

  • @princedishan4697
    @princedishan4697 Год назад +3

    Umeupiga mwingi kaka❣️

  • @mohaaddy5618
    @mohaaddy5618 Год назад +3

    Bonge la ngoma killy u killed it bro

  • @joshuamwamuye66
    @joshuamwamuye66 11 месяцев назад +1

    Killy wewe ni fundi bana nyimbo kma hzi ndio tunazi hitaji Sasa video Iko sawa nyimbo nzuri aisee uko vzr

  • @MalikNishani
    @MalikNishani Год назад +2

    Big up killy wimbo upo vizuri

  • @Jk_rules_
    @Jk_rules_ Год назад +1

    Tamuu❤

  • @bwastybwoyz8574
    @bwastybwoyz8574 Год назад +1

    Kwa mashairi uko vzur sana mwamba big up🌟🌟🎶🎶🎶💯💯💯🔥✅

  • @mohamedkitemwe3569
    @mohamedkitemwe3569 Год назад +2

    Pamoja sana 👍👍

  • @omaryluambano3495
    @omaryluambano3495 Год назад +5

    Mziki 🎧❤️ mzuri uwa ujifichi kama unakubalina na mimi like apa twende sawa

  • @Immamk__44
    @Immamk__44 Год назад +10

    Killy's on fire remove some depression with good music 😊

  • @theblxck
    @theblxck Год назад +4

    We’re waiting For You Killy

  • @josephjamesnzowa3989
    @josephjamesnzowa3989 Год назад +1

    Always,kipaji kikubwa anacho huyu mwamba..Ufike mbali🔥

  • @AdamMohamed-fv3qo
    @AdamMohamed-fv3qo Год назад +2

    Big up kill

  • @kakaideson6886
    @kakaideson6886 2 месяца назад

    Kwan Jeshi alirongwa na kajala kufukuza our talented killy😢😢

  • @FabriceKadio
    @FabriceKadio 2 месяца назад +1

    Nakubali 🎉🎉🤔

  • @amazonwinner467
    @amazonwinner467 Год назад +2

    Hii kazi kaka
    Gud aidea
    Gud song
    Bg up killy
    Umeua sana blood

  • @emmalastboyofficial416
    @emmalastboyofficial416 Год назад +21

    This talent is never disappoint 🎉❤

  • @mansoorhamed3091
    @mansoorhamed3091 Год назад +1

    Nyimbo nzuri kapita njia za alikiba

  • @shivokenya8761
    @shivokenya8761 Год назад +10

    ❤❤❤ nice

  • @brayanogora810
    @brayanogora810 Год назад +1

    Fundi sana

  • @NTOREBOY
    @NTOREBOY Год назад +2

    nikajuwa broo umesahau kuitoleya video hii ngoma ila leo umetowa asante your the best for me

  • @brianwafula-op4gu
    @brianwafula-op4gu Год назад +2

    Nice one 💔💔💔💔🔥🔥🔥🔥💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @BRAQ2
    @BRAQ2 Год назад +3

    This is too massive melodies 💪❤️🇿🇲
    Playing on repeat since dropped 🎉

  • @SundayKenga
    @SundayKenga 11 месяцев назад +1

    This is an international song of the year ❤❤❤❤❤❤❤from Kenya

  • @riksonforever1169
    @riksonforever1169 Год назад +1

    Killy uyuu sasa ndio killy yule wa rudi big up ufundi mwing umefanyika humu

  • @arnoldsun4548
    @arnoldsun4548 Год назад +15

    Definition of Good music🎤🎼🎹🎶❤

  • @jxcandle1451
    @jxcandle1451 Год назад +1

    🔥🔥🔥🔥broo

  • @UWEZOANISET
    @UWEZOANISET Год назад +2

    🎉🎉🎉 from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @PELEUSADERICK-kf6mw
    @PELEUSADERICK-kf6mw 8 месяцев назад

    Killy we mkali me nakubar ukwer jmn Asa ngoma ya nihurumie pereus wmiruki apa ❤❤

  • @maswetabongomovie302
    @maswetabongomovie302 Год назад +1

    Safi ngoma kweli sanaaaa

  • @kalvocaliz
    @kalvocaliz Год назад +1

    Ngoma kali kaka keep it up💯

  • @afrodomusic5934
    @afrodomusic5934 Год назад +12

    Killy,,,, kills it again 🔥💯

  • @MojaMbili-kd6yo
    @MojaMbili-kd6yo Год назад +1

    My brother killy piga kazi tu mambo yatajipa video kali na ngoma kali kinoma 💪💪

  • @EmanuelMazera
    @EmanuelMazera Год назад +3

    Kaliii🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Datmond_ke
    @Datmond_ke Год назад

    Uzito wa ngoma moja kali niurumie a boy from konde gange much love from Kenyan ARTIST

  • @user-samweli
    @user-samweli Год назад +2

    Nihurumie 🤴

  • @thentuzumusic
    @thentuzumusic Год назад +2

    WAKWAZA MIMI LEO

  • @EMONiyonyishu
    @EMONiyonyishu Год назад

    Nakupenda killy sana ayisha nakupenda killy sana kunisamehe

  • @jeremymwaura5934
    @jeremymwaura5934 Год назад +8

    killy kills willingly filling our ears with sweet music....

  • @HakizimanaFiston
    @HakizimanaFiston Год назад

    Anajuwa hamna maneno mengi sawa aimbe iyi ngoma mkingereza oky noma sana ngoma ya mademu viruka njiya wasorizika nando wengi wanaume wanateseka sana

  • @jaykillertz9231
    @jaykillertz9231 Год назад +3

    Killy fireeee🔥🔥

  • @A.JStars-kd9rh
    @A.JStars-kd9rh Год назад +1

    Killy ni msaani tofahuti na wasahani wengini

  • @AyubuMatende-kf3qe
    @AyubuMatende-kf3qe Год назад

    Jamaaa katisha sana bora katoka konde gang kwa sabubu kule hakuna chochote

  • @farajiabdallah7438
    @farajiabdallah7438 Год назад +1

    Ngoma kali sanaa 🔥🔥🙌

  • @HashimuMussa-o1w
    @HashimuMussa-o1w Год назад

    Wewe unajua san killy nakukubali san ety kaza tu mwendo

  • @ELIYAYOHANA-pc3jx
    @ELIYAYOHANA-pc3jx Год назад

    Killy na killer zake kivumbii co poah

  • @timothysalehe402
    @timothysalehe402 Год назад +1

    Ngoma kali sana

  • @saliieking7279
    @saliieking7279 Год назад

    Killy jitahidi usiwe unakaa kmya sana bila kuachia Ngoma tunakumis

  • @officialisaiah3979
    @officialisaiah3979 Год назад

    Pambania una dhahabu kinywani mwako. Ita ngara tuu killy..🎉❤

  • @DalvanOkemwa
    @DalvanOkemwa Год назад +1

    Good vedio, vocals hatarii unyama mkubwa keep going 🇰🇪

  • @Kipmoddyofficial
    @Kipmoddyofficial Год назад +1

    Fundiiiiiiii🔥🔥🙌🙌🙌🙌

  • @joskprotas8959
    @joskprotas8959 Год назад

    The meaning of bongo fleva tulikuwa tusha miss hiz sound zetu za kibongo so sweet

  • @tellodelucky6864
    @tellodelucky6864 Год назад +2

    All the way from Zenji..#Marashi ya Karafuu🔥🔥🔥🙌

  • @PresenterAli
    @PresenterAli Год назад +1

    Maaad talent 🔥🔥👊

  • @RachelBlackbeauty-ez5rm
    @RachelBlackbeauty-ez5rm Год назад

    🔥🔥🔥 sichoki kusikiliza huu wimbo ninoma sana

  • @revocatusmtahaba9955
    @revocatusmtahaba9955 Год назад

    We jamaa unakipaji sana sema hujatulia, saiv tulia fanya mziki wako kivyako usipende maisha ya msaada maana hakuna msaada wa bure

  • @charolazima4074
    @charolazima4074 Год назад +2

    Big up bro 🎉🎉🎉💥💥💥💥💥💥❤️

  • @caxyle
    @caxyle 11 месяцев назад +2

    U killed it broh 🔥🔥 it touches our daily life ✍

  • @SerenakaremboDzombo
    @SerenakaremboDzombo Год назад

    Hadi unafanana na IBRA aki si uko poa boychild🎉🎉❤❤

  • @YanolilThug
    @YanolilThug Год назад +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🥶

  • @dorusdenis
    @dorusdenis Год назад +1

    Keeep it up bro

  • @ladinimambo2257
    @ladinimambo2257 Год назад

    For real, kill ni mnyama sana, kama bado unachembe ya wasiwasi kachek ngoma zake japo3 tu utajua huyu jaaa ni kiler

  • @Tellaaxis
    @Tellaaxis Год назад +1

    Killy my favourite artist sana #tellaaxistz

  • @NiyonsabaJovinIbrahim
    @NiyonsabaJovinIbrahim Год назад

    Kijyana upounabifanyavizuli Sana Tena Sana tunakubali 🔥🔥🔥