Watu MNA roho mbaya kila cku nacomment hata, like sipati nipeni bhana na mm Leo all in all killy your so talent bruh keep pushing we are here for supporting u🙏🙏🎬🎬
Kali sana hiii mungu jamani asaidie kond izndeleye waku weka vizingiti waweke akini awato weza sisi kond tuna endelea mbele ila Nina chunga ma albumu zao kuanzia kwa msanii anjella tz chid killy na ibra wote na harmonizi wato nachunga ni balaaa ila
😭😭😭😭 polee sana mke wng kipnz kwa kukuachaa najua ulikuaa ukipitiaa kipnd kigum sana mama angu ilaa yote imekuaa ni changamoto za maisha tu mke wng kipnz sasa nimerudy na tuko pamoja as u know let love continue🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
mimi ni mwanamuziki pia ila since day one kwa wenye sikio wanisaidie kutambua killy ni msanii ambaye uimbaji wake wa tofauti. The same bongo fleva ila njia zakw tofauti kabisa mpk kichwa inauma
Wamakonde mko wapi nami nipate likes japo 20, mimi ni mwanafamilia mwenzenu nimetamani kumringishia mke wangu, yeye ni wa ile team nyengine, lakini mwaka huu atahama tu, mana si kwa mabalaa haya 😂😂😂 Konde Music world-wide
I am a very big fan of Konde gang💪💪 na siku zote Konde gang muziki wao haujawahi niangusha, mazee muzidi kubarikiwa sana na msonge mbele zaidi...tunawapenda sanaa❤
Konde geng to world...harmonize gat good finest Artist with sweet vocals...killy,Angela,wizzy and Ibraah mnawapa wcB pressure...nimeisikiza Mara 20lakkin bado Tamuu saaana aki naomba likes za Makonde to world
hii ngoma kali mno toka imetoka naiona ina views 15 mpka saiv haija fikisha million saport ya boss mmakonde ipo wap hasa maana sion vijana mki pelekwa mbele zaid au mpo chin ya carpet killy mzik una uweza sema kaa chonjo sio ilimlad ukubwa au jna la mahara pambana mzee juhud zako ndio mafanikio yako
Ningue pendelea harmoniz achungue diamond atosha album yake njo naye a toshe wa pambane wote ka sahaa moja na dakika moja ili tuone nani mukali kwasabu wana seaga kwamba harmoniz amu fikiye diamond mi najua harmoniz ni mkali
Good video wanangu wa konde gang naombeni japo lik 10 plz sijawai fikisha😭😭
Konde Gang fc tujuane hapa jamani
Jameni hadi waleo roho haijaiacha kuniuma kwa kumpoteza mpenzi😢😢😢. Mnieke kwa dua jameni.
Wabongo ebu nipeni hizo likes 20 ntambe nazo wanangu 🇶🇦
Naombeni likes za Killy kutona Kenya🤞
Hii ,,,nyimbo n ,,,
Amazing sana ,,,vp tukimpa saport yake ,,,,like kwake,,,,kill
Walio kuwa na msubiri Mtalaam Killy kwa hamu sana Gonga like 👍 hapo tujuane💪🏾
👇
ruclips.net/video/jHSeeWdqzKQ/видео.html
🔥🔥
💥💥💥
💯💯
Daaah Kumbe tuko wengi walio kuwa nasubiri kwa hamu
Ningependa kupata likes 1k kwa video ya killy 👏👏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🐘🔥
Kily
ruclips.net/video/BgMGzu78Y88/видео.html
nakubal
Daah hii ngoma Ni noumaaaa jamn naombeni like zenu japo nimechelewa
Piga cm fire jamniiiiiiiiiiiiiii💖💕
Imgne sijaipata likee kutoka konde music from NOBODY sijapewa like kwa Hiii ROHO nitaumwaa nikikosa like hataa mojaa ,,,ndahamaaa
ruclips.net/video/BgMGzu78Y88/видео.html
Heri ww mm sina ata moja yangu tu,😅😅😂
@@jaybclassics3807 chukua io
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wakenya wenye tulisubiri Jana nabado tunasubiri Sai kuipeleka trending piga LIKE ❤️🎵
ruclips.net/video/BgMGzu78Y88/видео.html
No noma sanaaaaaa
Kwa Nini amnipi like Kama wewe shabiki kweli wa brother killy kond gang weka like hapo chini❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Jamn like nyingi kwa official killy
Kwa kaz nuzur kutoka KONDE"""" MUSIC WORLD WIDE"""" #jeshiii!!""
ruclips.net/video/jHSeeWdqzKQ/видео.html
😊👏
Aysha uko pow sana mwendo wa mawe tu
ruclips.net/video/BgMGzu78Y88/видео.html
HUU WIMBO UMENIGUSA SANAA TRUE STORY KWANGU 😭😭😭 LOVE FROM KENYA.
NIPE LIKES ATA 50 AKY WOYEE
Pompogo
Heart break is real
Killy umeua baba nakupa aslimia mia...we ni noumah yaan kwa siku nasikiliza Mara 50😍😍
Mambo Ni🔥🔥🔥 Kama unamkubali Killy Gonga Like 👇👇👇
@Mustafa Namtonya kweli Mimi nimegoga likes za huu wimbo... Ni mtamu kiukweli.... Wimbo ni 🔥🔥 🔥 🔥...
🔥🔥😍
🔥🔥🔥🔥
ruclips.net/video/BgMGzu78Y88/видео.html
Director,, site,,, msaniii @kilii hii kali,, wakenya mko wapi likes bana😂😂😂alafu press the hashtag upate lash#nilini🙏
Killy upo vzr cjui kiba kafeli wapi kwako ama halipi vizuri
Watu MNA roho mbaya kila cku nacomment hata, like sipati nipeni bhana na mm Leo all in all killy your so talent bruh keep pushing we are here for supporting u🙏🙏🎬🎬
Usikonde tatzo ubz
😂😂😂😂
Una faidika nn ukipata like ??
Vimba sasa
Ndiyo hiyo kula basi😂🤣
killy ni noma sanaaa tisha sanaaaa wewe ni zaidi ya mbosso lavala na yule dada vai
,Nyimbo moja alafu unasema kamzidi mbosso wewe unajamba tu
.Mbona wa tz mnawachukia wasanii wa WCB wakati hapa Kenya wanapendwa kweli kweli
@@benhakeem98 umetumwa nn
Kwanini watu hawajui ngoma Kali..hii ngoma Kali Sana @killy
Kali sana hiii mungu jamani asaidie kond izndeleye waku weka vizingiti waweke akini awato weza sisi kond tuna endelea mbele ila Nina chunga ma albumu zao kuanzia kwa msanii anjella tz chid killy na ibra wote na harmonizi wato nachunga ni balaaa ila
ruclips.net/video/jHSeeWdqzKQ/видео.html
Sijawahi kukoment ila leo nimekoment, KILLY UNAJUA SANA KAZI NZURI SANA
Kongoma iko top sana kama unapenda mziki mzuri nipe like yako hapa,,,,,Boss Nature from kenya
Kumaramako kuimbaa ujui msenge nenda karimeee
Kwapamoja tunasema konde gang for every body 🚀🚀
Jamani hii Roho iko 🔥🔥🔥like nyingi kwa Killy
Mungu akutangulie kwa yote 🤴🏻 killy
Kazi safi sana pigs ingine na chinga yani coma Lowe Kali tuwanyamazishe wanaoiljiita wasafi
Kazi safi sana piga ingine na chinga yani goma liwe Kali tuwanyamazishe wanaojiita wasafi broo
Fundi
Jembe langu popote uendapo nipo na wewe fundi hujawahi kukosea tangu rudi hadi roho
Eti tangu Rudi Hadi roho 😂😂
Ahsante killy umetusemea wengi naomba like zenu tafadhal
🔥🔥🔥
Ngoma kali killy tuliokuwa tukiisubili kwa hamu umekuja kivingine na watu walivyo fikiri unajitahid kaka KONDE GANG FOR EVERY BAD💪💪💪
🔥🤞🏼
Konde Geng 🙌🙌🔥🔥🔥 🙌 Harmonize Mungu Akubilk Na Konde Geng Kwa Ujumla
I believe this is konde music world 🌎 wide killy you choose the right way nipeni likes basi..all the way from Kenya 🇰🇪
ruclips.net/video/jHSeeWdqzKQ/видео.html
Wakenya tuko nyuma ya konde gang sio wale wasafi
ruclips.net/video/BgMGzu78Y88/видео.html
Yap
Kama unakubari kua hii Ngoma ina Radha ya bongo freva za kitambo gonga like nying
video kali sana 💥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥
Nakubal killy unajua (shikamoo)
huu wimbo umeniliza sana toka jana 😭😭😭 dah mungu wewe ndo ujuae kesho yetu plz nirudishie Mohammed wangu 😭😭
😭😭😭😭 polee sana mke wng kipnz kwa kukuachaa najua ulikuaa ukipitiaa kipnd kigum sana mama angu ilaa yote imekuaa ni changamoto za maisha tu mke wng kipnz sasa nimerudy na tuko pamoja as u know let love continue🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Duh leo nimechelewa mno ila sio mbaya naombeni like twende sawa
Tunaomba roho irudiweee🏃🏃🏃🏃🏃
daahhh ngoma kali big up killy
Mambo ni🙉
Konde gang ni next level 👌💯.. kwa manao kubali tujuane kwa like 👍 tyu
a boY from Tz
,,,Inasikika kama Atarudi ya Harmonize. ..Anyway ngoma kali sana 100% yes.
Asiee weka like asipewa twende kazi.hili goma go trend 1..
Mziki mzuri usiyo kuwa na matusi umebaki kong geng tu anae kubali ilo like hapa🔥🔥🔥🔥💪😍😍😍
Hujui unamuiga konde kila kitu ila humuwez konde nomaa sana
tulikuwa tuna hisubiri iyo video kwa hamu sana
mimi ni mwanamuziki pia ila since day one kwa wenye sikio wanisaidie kutambua killy ni msanii ambaye uimbaji wake wa tofauti. The same bongo fleva ila njia zakw tofauti kabisa mpk kichwa inauma
Killy jana leo na hata milele
Yaani usiposhikwa na simanzi ukitazama hii video,hauna roho
😂😂😂
🤣
Kweli
Kwani lazima? 😃
ruclips.net/video/BgMGzu78Y88/видео.html
Wamakonde mko wapi nami nipate likes japo 20, mimi ni mwanafamilia mwenzenu nimetamani kumringishia mke wangu, yeye ni wa ile team nyengine, lakini mwaka huu atahama tu, mana si kwa mabalaa haya 😂😂😂
Konde Music world-wide
Kitu safi
Konde gang for you.. Killy mjengoni.
Movie n la moto kinoma yani hata kabla sijatazama.
Kama unapenda mziki wa killy gonga like hi video hatar Sana...Yani killy kaflow kikonde asilia hamna uchafu wa WCB🇰🇪
Hiyo saut 2 enyewe god bless
Roho bado inauma mpaka sasa😭😭😭😭😭kama pia wewe Roho BDO inauma piga like😭😭😭@officialkilly aki Roho
Yeah hata mm roho Inauma daah nimefka bongo girlfriend wangu ameshapewa mimba... Daahh what a sad roho inaniuma 😭😪
Pole,,,it's life though
ruclips.net/video/BgMGzu78Y88/видео.html
Mliamua hamtawai nipea likes 😭 enwei n sawa tu nawapenda sana wenzangu tunao penda mziki mzuri
💥💥💥
😊
Oyaaaa Rudi,nikwambie,gubu la Nini mwenzako roho inaniuma ,,,,,,, started from bottom now here
Kondegang for everybody 🔥🔥piga like kwa ajili ya chuo cha mziki wa kishua
Noma sana 💪
Noma sanaa
🔥🔥🔥
Mkono wa Harmonize 98% umeingia ktk hii song ila kaitendea haki for 100%
Kabisa
Kweli naona uandishi wa harmo the king of stanza
Harmo kwenye uandishi ni hatari hata ukiskiza nyimbo ya angel ni uandishi wa harmonize
Uyo msanii wA muda kuliko amo
@@saidollarchain2895 harmo hatari
Ponce Moja la nyimbo, Keep up Brother Killy, you will goner make It.# Konde Gang #temboooo🐘🐘🐘🇰🇪🇰🇪 Nipe Likes,,,
Mh aseeee me beat hili kwa kwel MOCO nae salute kwake💪💪💪💪 2nasubir cheed nae aseeeeeeeeeeeee....... @harmonize_tz 🤜🤛
Gentleman Killy mdogo wangu hi vídeo hatari mpaka ROHO inauma💣🔥 Konde Gang 4You💥🧯
Unique video and idea
Amitsha san kijana sichoki kuisikiliza
I am a very big fan of Konde gang💪💪 na siku zote Konde gang muziki wao haujawahi niangusha, mazee muzidi kubarikiwa sana na msonge mbele zaidi...tunawapenda sanaa❤
From Kenya,imetufikia kabisaaaa,apa sokoni
Nakubali sana konde geng
Twende baba 👌🏿😌😌nyimbo Tamu 🥺🥺
Kumbe Kuwasha sio wasafi tu Hadi konde gang skuizi wamewasha..like 10 tu Yan.
Kiali Rwanda nyimbo nzuli kweri like hapa
Huyu killy tumeangalieni kwa macho mawili. Hukimuangaliakwa jicho moja kama kuku huwezi kumuona vizuri
Mzee wa kuliza mashabik
Killy under KONDEGANG on another level,,,Nipewe likes zangu
Boom
Boom
Boom
Boom
Boom
harmonize endelea na moyo ulonao unaish na watu vizur sana salut kwako mkal
Killy ni Dangerous sana kwa wasafi wah Mondi Huna Bahati Konde Gang ishakuwa for Everybody 😂😂😂😂😂💯
Lol. Kuna wasanii wengi wanajua kuimba kushinda wasanii wakubwa. Ila biashara?
@@levis.andere Kabisa @Levis
Kwa kweli kabisa mond ngoja Sana kazi unanyo Kaka wa tandale, please guys sopport kwa killy iwe juu sana
Mondi ckuzote akojuu killy bado mtoto
@@mouqsinabdul3351 kwel bro👏👏👏
I see 1m views in just 20 hours.🔥🔥🔥KONDE MUSIC WORLD WIDE
Powerful
If God wish
It's one of the best Song , In God's Name Amen
Hio nayo zii...forever yaeza isifike 1M
impossible. mayb in 3 days
Nice song for east African
Killy kauwaa mapenzi ni noma ukitendwa na unae muamini
Acha tu bro
Tunaomba ROHO irudiwee 🤣🤣🤣
Umu ndan tunazisikia ladha za harmo 80% na ibra 10%.... bonge la ngoma
Yaan mule mule ...
Kabisaa
Nasi
🔥🤞🏼 one love
🔥👌🏻
Kazi nzuri sana
Nataka likes 10k tuu kutoka 🇹🇿+🇺🇬,+🇰🇪
Kwan hzo like zinakusaidien nn??
Wa wap huyu😂😂
@@vicentmasaba8639 na huku upo hahahaha
@@patrickvunjabei117 😂😂
kiukweli leo nimeshinda nasiliza huo wimbo wa killy wewe humo umerudi ngapi melodies Nzuri sana
Nimeikubali... Kali hii.. nyimbo iliyopangika...
Konde geng to world...harmonize gat good finest Artist with sweet vocals...killy,Angela,wizzy and Ibraah mnawapa wcB pressure...nimeisikiza Mara 20lakkin bado Tamuu saaana aki naomba likes za Makonde to world
Mmh jaman hamuezi sifia mziki mzuri bila kutaja WCB ila nyimbo nzuri.
Wcb they have no content....konde to world
@@mogerepannah9214 then u want WCB to carry you to the world... 😂😂😂😂
@Joro is me not interested go get flight am in a comfort zone#Konde geng
Nahomba post hii irudiwe pls mpaa 100k kwa saa mojaa🇧🇮🇧🇮
Bgp Sanaa bro
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪FROM KENYA NIPEENI LIKES ZA KILLY JAMENI
💥💥💥 Kweli nmeamini kondegang ni mahali sahihi kwa vijana wenye vipaji Kama #killy 💥💥
Atali ngoma noma nzuri kweli
FROM JAPAN SUPPORTING KONDE GANG,
KONDE GANG FOR EVERYBODY
#KONDEOGANGWORLDWIDE
Sijawai penda Konde Gang but Killy is another hit man🔥
Ngoma Moto fun kutoka Kenya nakubali kazi
toka niingie konde gem sijawai kupata laiki ata kumi sijuwi awanipendi najisikia vibaya ndugu zangu
🔥🔥😂
Pimbi wewe . Like kwa kazi gan sasa, yaani wasanii waimbe like upewe Wewe
@@victaboy7273 🤣🤣🤣🤣
We ni msenge sana umevia sijui 😂
@@victaboy7273 l
Makofi mengi jmn, Killytz he just killed it!🔥
Japo uandishi mashairi amepita njia za Ibraah 🙌
Huyu mdau anajua saaana
Tuipeleke #1on trending lets go people 🔥🔥🔥🔥
ruclips.net/video/BgMGzu78Y88/видео.html
Kenyans in the building💕💛💞💗💖🎶🎵🎼🎧🎙🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪my ringtone at the moment...killy tunakuoenda sana
Killy wanaweza kondemusic ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Unamjua killy wew,🙌😢❤️
Hiv Ali kiba ana akili Kweli 😂😂😂..
Ngoma Safi Sana Hiii🤩🤩
kama hujui chakusema unyamaze kiazi ww
hii ngoma kali mno toka imetoka naiona ina views 15 mpka saiv haija fikisha million saport ya boss mmakonde ipo wap hasa maana sion vijana mki pelekwa mbele zaid au mpo chin ya carpet killy mzik una uweza sema kaa chonjo sio ilimlad ukubwa au jna la mahara pambana mzee juhud zako ndio mafanikio yako
Ningue pendelea harmoniz achungue diamond atosha album yake njo naye a toshe wa pambane wote ka sahaa moja na dakika moja ili tuone nani mukali kwasabu wana seaga kwamba harmoniz amu fikiye diamond mi najua harmoniz ni mkali
Roho inauma maana kijana anajuwa sn
Hembu like zangu jmn #Killy#kondemusic