Hiki Kilimo kina "PESA" kuliko vyote, Kujenga Majumba & Magari ya Kifahari, Kuvuna kwa Muda Mfupi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 сен 2024
  • CONTACT US
    EMAIL: RUBABAIMANI@GMAIL.COM
    PHONE: +255(0) 764148221
    SUBSCRIBE KUJIFUNZA MENGI ZAIDI

Комментарии • 28

  • @ZakariaJuma-wb5lq
    @ZakariaJuma-wb5lq Год назад +3

    Namna ya kuvuna rozella(karkadee)maana napata tabu sana kuichambua rozella moja moja nishauri kama kuna njia nyengine ya kutumia

  • @tedymsengezi4176
    @tedymsengezi4176 2 года назад

    Mbona mnatuwekea picha ya Ginimbi

  • @jumamussa6812
    @jumamussa6812 9 месяцев назад +1

    Unajua sometimes tuseme ukweli channel nyingi za bongo zimejaa ujinga na hii ni Moja wapo. Hivi unawezaje kuweka content kama hii Kwa maneno ya kufikirika? ingependeza sana kama ungefanya direct interview na mkulima tukaona live shambani, lakini unaongea ukiwa kwenye kijiwe Cha kahawa. Hii sio content bali ni umbea kama umbea mwingine wa vijiwe vya kahawa.
    Badilikeni RUclipsrs wa Tanzania. Wengine tupo serious kufatilia hizi channel za kilimo lakini unakuta ni pumba tu, kama content za kilimo hauwezi Bora uache tu bro. Najua utaumia lakini ukweli lazima usemwe.

    • @RubabaTv
      @RubabaTv  9 месяцев назад

      Fungua yako mwenyewe upost ambavyo sio ujinga.

    • @RubabaTv
      @RubabaTv  9 месяцев назад

      Usiwe wakwanza kutoa maoni bila kujia unachokiongea.
      Kwenye channel hii kua wakulima wengi sana tumefanya mahojianl.
      Unakuja na bandle lako la buku unalalamika kama hata nauli ya kuwafata wakulima umetupa

  • @MbarakasadikiZegega-d5x
    @MbarakasadikiZegega-d5x 16 часов назад

    Naitaji namba za whatsApp

  • @ndizundizu3151
    @ndizundizu3151 2 года назад +2

    Nimefuatilia maelekezo nashukuru nimkulima wa vitunguu mapatikana Nzega

    • @AbdihakimMohamedy
      @AbdihakimMohamedy 2 месяца назад

      @@ndizundizu3151 vp kilimo cha vitungu kinalipa na vp changamoto zake mm naishi marekani ila nyumbani ni tabora mjini

  • @athanaskitime1484
    @athanaskitime1484 3 года назад +2

    Lubaba TV una tukosa baadhi ya views kwa sababu unaleta story Ambazo ni maneno tu, tunataka fact, kama ni ufugaji fanya interview na wafugaji live, kama ni wakulima fanya interview na wakulima sio story Ambazo kila siku hata tuki ingia kwenye magrup ya WhatsApp tunapata

    • @RubabaTv
      @RubabaTv  3 года назад

      Sawa tutalifanyia kazi 🤝

    • @RubabaTv
      @RubabaTv  3 года назад

      Lakini pia jitahidi kusikiliza kunakitu utajifunza, sio story tu kwasababi imesaidia watu wengi sana

    • @hafsahajiabeid5768
      @hafsahajiabeid5768 2 года назад

      wanaleta habari wala sio kweli kuhusu muhogo ekari moja kupata zaidi milioni 10 mimi kuna nambawaliitowa nikamuuulia sikupata majibu sahihi mana walisema morogoro kuna soko la muhogo nilipogatilia alanambia soko liko iringa.

  • @JamesLaizerMoko-l8t
    @JamesLaizerMoko-l8t 6 месяцев назад

    Biashara gani ya kilimo unaweza kuanza ukiwa na mtaji mdogo? Tafadhali nahitaji majibu ili nielewe

    • @RubabaTv
      @RubabaTv  6 месяцев назад

      Wasiliana nasi 0764 148 221

  • @nicodemshello163
    @nicodemshello163 3 месяца назад

    Unasema kweli kabisa

  • @davidchristian9970
    @davidchristian9970 2 года назад

    Nikianza na tikiti eka mbili gharama yake ni sh ngapi na production yake ikoje

    • @RubabaTv
      @RubabaTv  2 года назад

      Wasiliana nasi kwa usaidizi zaidi 0764148221

  • @gilbercarlo325
    @gilbercarlo325 2 года назад

    Mimi naona agenda kubwa hapo ni Ku Sabsikalab ndiyo Shamba lenyewe

  • @JEFF-jr1tc
    @JEFF-jr1tc 3 года назад

    Rubaba bhana ......yaan hii sawa na stories za vijiweni maana saivi washauri wengi vitendo chenga tu..,😎

    • @RubabaTv
      @RubabaTv  3 года назад

      Kama unaamini hivyo ni sawa pia 🤝

  • @shijamalale
    @shijamalale 11 месяцев назад

    Hivi kilimo ni utajiri

  • @habibshamte6771
    @habibshamte6771 Год назад

    Tupe maelezo yenye tija tufahamishe

  • @WahabuKombo
    @WahabuKombo 3 месяца назад

    Je bamia ni matunda?

    • @adoumpmoussah939
      @adoumpmoussah939 2 месяца назад

      Bamia ni Okra kwa english ,angalia kwa you tube,utaiona

  • @paulinacherement2534
    @paulinacherement2534 2 года назад

    Congratulations br

  • @paulinacherement2534
    @paulinacherement2534 2 года назад

    Congratulations br

  • @dittoIhano-uw8by
    @dittoIhano-uw8by Год назад

    Namna yakuanza kulima