Waziri Uchumi wa Buluu atangaza neema kwa wawekezaji Mafuta na Gesi.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 ноя 2024
  • Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi wa serekali ya mapinduzi Zanzibar mh Shaabani Ali Othman amewataka wewekezaji kwenye uchimbaji wa gesi asilia na mafuta kuvitumia visiwa ambavyo wawezaji waliomaliza muda wa leaeni zao hawakukamilisha mchakato huo.

Комментарии •