Ulichotakiwa kusema Adam ni very simple, ungeomba DJ azime mziki then ungesema "Mbasha umenikosea sana kuja stejini na kuniita mabangi, hivyo naomba uje uniombe radhi mbele ya hii kadamnasi uliyonisemea haya maneno maana hayo maneno yako yana madhara makubwa ukizingatia sisi ni kioo cha jamii".
Umeshaharibu bro hapo umekosea sana .Jamii yote inakuona mjinga .Hauna nidhamu sio mvumilivu wewe ni mgonvi unaonekana kabisa hautafika mbali hufiki mbali since una kiburi wanaofika mbali ni wanaonynyekea ADAM HAUFIKI MBALI
Adam nimekupenda sana Ila kosa baada ya Mtama ukamwacha ilipaswa umpasue pasue. Wasanii Kibao wanatakiwa waimbe. Yeye Nani anavuruga Tamasha eti aimbe Mara nyingiiiiii. Unamwambia Asante....anaendelea na Mambo zake. Chapa Mangumiii eti akukumbatie ovyo ovyo kama demu ndio nini bana
Mbasha ,acha azinguliwe ,,huwezi sema mtu bangi kiaje? Sasa wasanii wa nyimbo za injiri na bangi wapi na wapi ,,well done mchomvu ,,,,,bata kama hao tunasepa nao
Na kweli kwa kitendo ulichofanya hadharani inaonekana alichosema ni kweli, hapana shaka unavuta kweli. Kama ulijua una brand ulitakiwa kuwa na self control ili usiiharibu brand yako. Hufaiiiiiiii!!!
adam umezingua tena umezingua saaana,,,kwani banggi ni kitu gani mzee wewe ndyo boya umezingua kinoma huwezi kufanya vile kama ungetaka kumpiga mmtama ungeshuka stage ungeenda chemba alafu uone kama angekuchekea na si ajabu angekunyuka sema mwamba kalinda heshima yake na yako pia haujajua tuu
Adam yupo sahihi sana, mbasha alikosea kuleta utani kama ule kwenye sehemu rasmi kama ile ambayo hata Magufuli alikuwa anaangalia live. Adam mchomvu ni brand tena kubwa tu, so nyie mnao comment kumtukana Adam mnaonekana hamjui nini maana ya BRAND
Baba John ujafanya mitikasi poa pande Kama zile unge finya afu mute mute unamfata raia wako unasema nae ki VIP Pale ulikuwa una host jambo la social Budah humble ni muhimu Sana keep it up
Kweli buana kuna watu wanatafuta udhaifu wa mtu nakusema mbele za watu mi zingeumuka ngumi za kwenda. Watu kama hao dawa yao kuwatia aibu tu muonekane bila bila yaani
Huyu amekosa nidhamu na maadili ya utangazaji kitendo kama kile chafanywa na MC wa mtaani sio kwa mtangazaji kama yeye aiseeee amedhalilisha watangazaji wenzie
Ulichokifanya Adamu umejivunjia heshima hata Kama mtu akikuuzi unatakiwa kuvumiliana huo siuungwana na hiyo kauli yako ifute siyo nzuri mwanangu.Mtu anasifiwa kwa tabia nzuri ikiwa na uvumulivu hasira hasara.Huo ni ushauri tu.Mungu akusaidie.
Adam ulichokifnya ni xahihi. Haiwezekan kitu kama kile mbele za raia zaid ya 300 unaongea ujinga ambao haukuxtail kuongelea pale. Kwan nani hajui kama Adam anavuta bangi?? Xhobo zmemfnya mpka amekula tama takatifu. Kila mtu na life xtyle yake. Big Up Mchomvu
Acha kujipendekeza kwa Mh: Rais kama umeshindwa kuvumilia neno moja la Mbasha ukaamua kumpga mbele ya Umma je unavosema Mh: Rais akae vacation alaf ww upge njaro za kampen, Watu wa kampen wanatukanaga matus na kejel nying utazivumilia km neno moja la Mbasha umeshndwa...Ww Adam huwez kitu Akil zako ni za kitoto bado tafuta maarifa upanue fikra...Mh: Rais hawez kukuamin ww namm skuamin tena we bdo mtoto n mwil tu ndo mkubwa
@@stellandege5594 hawez nmemshusha sana huyu jamaa nlikuw namheshimu alaf nlikuw namwona bonge la brother kumbe bado ana akil za shule ya msing....hwz kitu akae tu na utoto wake Asijipendekeze kw Mh: Rais ....huyu akipew nafas atapga wapinzan mitama
@@lamecktv4269 Bro usiseme hivyo hakuna aliyekamilika 100℅ zaidi ya MUNGU pekee. That's why kuna "species of human being " mbalimbali duniani. Kama tulivyotofauti, tunatofautiana kuongea, kuishi na hata Ku react kwenye different situations. Na Hekima tunatofautiana pia kulingana na malezi, imani zetu na person behavior. For really alichokifanya mbasha si sawa ni kama amemdharau jamaa kwa sababu pale kila mtu tupo kazini. Lazima heshima iwepo waeshimiane. Angekuwa mstaarabu ashuke tu, ila kama kaona jamaa kama jinga flan coz anambania muda wake. Na ile reaction ya Mchomvu kweli sio nzuri, sio ya kistaaravu maybe ange solve palepale kwa maneno kama mbasha alivyosema kwa maneno. Ila tunarudi pale pale differentiation ya human being.
KARIBU KATIKA IBADA YA JUMAPILI YA LEO KUTOKA HAPA OMEGA MINISTRIES CHURCH OF ALL NATIONS KWA MTU WA MUNGU NABII S.S ROLINGA, MBEZI BEACH - DAR ES SALAAM PIA USISAHAU KU SUBSCRIBE CHANNEL YETU PENDWA, GUSA LINK HII CHINI KUTAZAMA #LIVE UBARIKIWE ruclips.net/video/4a5HEnARDD4/видео.html
Huyu Ashitakiwe na Jamhuri, huwezi kufanya jambo la Aibu hivyo la kumpiga mtu hadharani. Halafu anajisifia ujinga.. Naomba Serikali imchukulie hatua kali za kisheria.. Hatuwezi kuwa na watu wapuuzi kiasi hiki na wasio na staha hata chembe. Hatua zichukuliwe na iwe fundisho kwa wapuuzi wote. MUNGU awabariki Tanzania.
Hiyo ni tabia mbaya tena wivu kakuita mvuta bangi kwani uongo mbona umekaa kibangi bangi pia kauli zako mwenyewe za bangi bangi mashauzi ya bure ushtakiwe kabisa ningekuwa na uwezo ningekufunga
@@marytemba777 Alivyokaa ni aina ya maisha aliyochagua hatupaswi kuingilia maisha ya mtu, Waliomchagua kwenye shughuli yao wanajua uwezo wake ndio maana hawakuniita Mimi au wewe. Siungi mkono kupigwa kwa Mbasha ila lazma tuheshimu watu na kuacha mzaha kwenye kazi za watu.
Anayekudhalilisha mdhalilishe ili watu wengine wajifunze. Hata kama ningekuwa mimi ningemchota bzr tu. Adamu huna kosa, Kama ni bangi zinamhusu nn, na kwann azitaje kwa ubaya.
hata kama tunataniana ila sehemu ambapo unautolea utani ni lazima uwe na mipaka yake wakubwa, adamu kafanya kweli watu kama hawa ni kuzibua tuu ata kama tunataniana ila jee unaufanyia wapi utani huo na unauchukulia na uzito upi... isitoshe watu wanabrand majina yao leo hii ukuje tuu from uko useme hivyo ata kama ingekuwa mimi ningemaind ila sasa kumaind tunatofautiana FID Q ahusike hapo na kitu yake ya KIBERITI aliongelea mambo hizi
Adam alikosea lakin hata nshikaji pia nae alikosea, hata kama mtu anavuta bangi huwezi msema kwenye umati mkubwa vile na yye ndio ana host stage. Angekuwa mstaarabu wala isingefika huko.
Hajaita adam mabangi lkn sema alisema adam wee bangi sanaa.. kukwambia bangi snaa sio ndo mvuta bangi, kwamm najua huo ni msemo wa kihuni tuu kwahyo haikuwa nafaida yakumuaibisha kwa kumkat mtama mbele za watu vilee.. Sio gud kabsa
Nikwel unachosema ila Adam ni kioo cha jamii ( mtu professional kwa kaz ya utangazaji) so hatutegemei ufanye mambo ya ajabu kama Yale alafu mbaya zaidi mbele ya camera. Yeye mwenyewe kasema yawezekana Rais alikuwa anatazama show sasa kwa maana hiyo anadhani Rais kamchukuliaje kama sio kajishusha zaidi??
Nidhamu ni muhimu sana,ulitakiwa kujicontrol sasa ukisema siyo Mara moja maana yake kuna mambo nyuma ulitaka umalzie jukwaani kiukweli unatutia aibu wa Tz hatuko hivo bana.Mungu akusamehe
Umefanya poa sana wa chuga hatutaki hizo mapigo za ki dar frimarket ni za kichokostick aache shobo za ki k......a!? Nimemmaind huyo boya ki se.......e? Yaniii!?..??!
Yesu alitemewa mate na kupigwa bila kosa na akasamehe,,mjanja hapo kati ya nyie ni yule atakae msamehe mwenzake,,inaonekana we Adam unakiburi na hasira lakini unaweza potea kusahaulika na kujutia miaka yako unayosema umetengeneza jina,,Njoo kwa Yesu akufundishe upendo na upole
Hawa ndo wasanii wanaweza push mziki huu , hovyo kabisa ulichofanha wewe sijui adam unaitwa?? Mbele ya Jukwaa, clouds wakikuacha basi wewe ndo image ya clouds ilivyo kiundani...
Hawa Watangazaji wasiokua na nidhamu wapewe Onyo Tamasha lilikua likifuatliwa na Watanzania wengi akiwemo Mkuu wa Nchi yeye analeta hasira za kijinga kiukweli kachafua image ya Tamasha.. tunajua amekwazwa ila angepotezea kulinda heshima yake.. Respect is the source of Achievement.
Adamu anaonyesha in jinsi gani hajitambui alicho tendewa angekuwa na subra ...ameonyesha in mbumbavu kiasi gani halafu waaandaaji WA shuguli wanatakiwa wamuondoe halaka kundini in mpumbuavu sana
Nayy ndio maana kalishwa mamitama. Kitu unatakiwa kujua ni kuchunga kauli zako. Kuna watu wana mioyo midogo kuhimili matusi hasa mbele za watu. Tatizo liko kwa mbasha kumwita mwenzie mvuta bangi. Mbasha kazingua na ndio sababu ya haya yote
Mimi naona Sawa tu!ni vema watu wengine wafundishwe adabu Kwa vitendo mtu anakujaje kukuchafulia brand yako tena adharani na wew ni public figure.anyway nadhani hapo mmeona tofauti Kati ya wanaume wa Arusha na dar.mitama indelee tu ili nidhamu idumishwe
Mbasha ni mshamba tena wa level za juuu kbs utan utan gan mbele ya watu kias kile acha apokee sawa sawa na kiwashwa waashwa chake mpumbav 1 yule shobo za kishamba kwahy kam anavuta hiyo bang ye anatakaje
Unamwambiaje mwenzio mvut bangi mbel za umma huon km unamzalilisha au kuzalilishwa km anavuta bangi bc usilete masiara sehem ya kazi angeongea pemben bc
@@chancehoffmann9083 tatizo ukweli unauma angeambiwa MTU ambaye c mvuta bangi asinge fanya vile, yeye kwa kuwa ni kweli ndomaana kathibitisha, kiufupi alikosea sana tena sana
Sema Adam kama we ni real dude una mind nini sasa Mbasha kusema unavuta bangi..Si unaona Tyson ana acres kadhaa za bangi na anavuta mpaka mbele ya press... Bangi za kuvutia chooni hii ndo ending yake...N its drugs...means acha kama mimi..Just a piece of wisdom phoniiiieee
safiii saana Adam dawa ya waduwanziii ndio hio hawezi kukudhalilisha kihivyo big up man
Ulichotakiwa kusema Adam ni very simple, ungeomba DJ azime mziki then ungesema "Mbasha umenikosea sana kuja stejini na kuniita mabangi, hivyo naomba uje uniombe radhi mbele ya hii kadamnasi uliyonisemea haya maneno maana hayo maneno yako yana madhara makubwa ukizingatia sisi ni kioo cha jamii".
Point kubwa sana hiyo mtanzania mwenye high degree of understanding
Kwa Adam hii alidhihilisha alicho sema mbasha mbasha pia midhaha bibilia inakataa Kama wewe nj mkristo
Saf sana....Tanzania inataka watu km ww wanaoweza kupambanua mbivu na Mbichi
5 3ghy
Fresh sana mchomvu
Km bangi inasaidia bas leo imekusaidia
Umeshaharibu bro hapo umekosea sana .Jamii yote inakuona mjinga .Hauna nidhamu sio mvumilivu wewe ni mgonvi unaonekana kabisa hautafika mbali hufiki mbali since una kiburi wanaofika mbali ni wanaonynyekea
ADAM HAUFIKI MBALI
Salute mwamba vinega Kama hao una nyotoa jombaa!!
Adam nimekupenda sana Ila kosa baada ya Mtama ukamwacha ilipaswa umpasue pasue.
Wasanii Kibao wanatakiwa waimbe. Yeye Nani anavuruga Tamasha eti aimbe Mara nyingiiiiii. Unamwambia Asante....anaendelea na Mambo zake. Chapa Mangumiii eti akukumbatie ovyo ovyo kama demu ndio nini bana
Tatizo watangazaji wa clouds mnajionaga bora sana umpige mtumishi wa mungu kisa adamu mabange ushamba tu
Mbasha ,acha azinguliwe ,,huwezi sema mtu bangi kiaje? Sasa wasanii wa nyimbo za injiri na bangi wapi na wapi ,,well done mchomvu ,,,,,bata kama hao tunasepa nao
Adam nimekuelewa, kumchafua mtu ni dakika moja ila kumsafisha Ni gharama Adam alikuwa anaprotect image yake na brand aliyoitengeneza
Na kweli kwa kitendo ulichofanya hadharani inaonekana alichosema ni kweli, hapana shaka unavuta kweli. Kama ulijua una brand ulitakiwa kuwa na self control ili usiiharibu brand yako. Hufaiiiiiiii!!!
Atakam ww ungeitwa mabangi usinge kubali
Umetisha broo jina ni brand, almost twenty years,mtu anaaribu for the one second mzee
adam umezingua tena umezingua saaana,,,kwani banggi ni kitu gani mzee wewe ndyo boya umezingua kinoma huwezi kufanya vile kama ungetaka kumpiga mmtama ungeshuka stage ungeenda chemba alafu uone kama angekuchekea na si ajabu angekunyuka sema mwamba kalinda heshima yake na yako pia haujajua tuu
🤣🤣🤣
Bange Bange kweli (noma)haifai baada ya kumpiga kwala(Mbasha)sasa anataka kumchapa fimbo (Magu) ndio sababu Magu anapiga vita madawa ya kulevya.
Adam yupo sahihi sana, mbasha alikosea kuleta utani kama ule kwenye sehemu rasmi kama ile ambayo hata Magufuli alikuwa anaangalia live. Adam mchomvu ni brand tena kubwa tu, so nyie mnao comment kumtukana Adam mnaonekana hamjui nini maana ya BRAND
Brand pasipo kua na Hekima ni Sawa na bure2
Na hikima ya mtu tunaipima anapokua na Hasira
Hawa ndio watu wanao piga hata wake zao hadharani
Kabla hajahukumiwa Mchonvu,,basis ahukumiwe Mbasha ye alikua juu ya umati iweje amuite mchomnvu (mibangii) sa mchonvu pale kadhihirisha bangiii
Jane Rupia Asante Jane 🤝
Tukio lenyewe Lina viashiria vya kibangibangi, naona kajibainisha tabia yake ilivyo, ni dhahiri ni bangi!
Baba John ujafanya mitikasi poa pande Kama zile unge finya afu mute mute unamfata raia wako unasema nae ki VIP
Pale ulikuwa una host jambo la social
Budah humble ni muhimu Sana keep it up
Kweli buana kuna watu wanatafuta udhaifu wa mtu nakusema mbele za watu mi zingeumuka ngumi za kwenda. Watu kama hao dawa yao kuwatia aibu tu muonekane bila bila yaani
Unapojishika ndevu umajiliwaza sheikh
We Adam Mchovu mshenzi sana
Adam siyo mshenzi, mshenzi ni yule aliyempa nafasi ya kushika maiki..
Uko sahihi Mchomvu awezikukuzalilisha mbele ya Umma ...
Vinega kama hao tunawaona tyuuuu na Tunaishi nao...
Huyu amekosa nidhamu na maadili ya utangazaji kitendo kama kile chafanywa na MC wa mtaani sio kwa mtangazaji kama yeye aiseeee amedhalilisha watangazaji wenzie
Sanaaaaa anatakiwa apewe adhabu
Uyu ni kubwa jinga sana
Alafu alikuwa ndo master of ceremony a.k.a MC au Host amepaniki sana aiseee huyu jamaaa issue ilikuwa ni utani tu pale wanafurahi.
Angefanya liliomy au angekuwa wasafi mngeongea ivyo? Kwani alimbutua bilasababu
@@thubututv.5094 Yan ww pia ungekuwa karibu ningekupiga mtama,Yan mtumishi wa mungu unamwita mwenzako bangi,hiv ni jina zur?
Ulichokifanya Adamu umejivunjia heshima hata Kama mtu akikuuzi unatakiwa kuvumiliana huo siuungwana na hiyo kauli yako ifute siyo nzuri mwanangu.Mtu anasifiwa kwa tabia nzuri ikiwa na uvumulivu hasira hasara.Huo ni ushauri tu.Mungu akusaidie.
Adam ulichokifnya ni xahihi. Haiwezekan kitu kama kile mbele za raia zaid ya 300 unaongea ujinga ambao haukuxtail kuongelea pale. Kwan nani hajui kama Adam anavuta bangi?? Xhobo zmemfnya mpka amekula tama takatifu. Kila mtu na life xtyle yake. Big Up Mchomvu
Siku zote mvuta bangi hakubali ipite ivi ivi pale unapomwambia anavuta Bangi. Lazima akuzingue, NIKIPIMO TOSHA KUA MCHOMVU ANAVUTA BANGI
Adamu bangi sanaaa
Acha kujipendekeza kwa Mh: Rais kama umeshindwa kuvumilia neno moja la Mbasha ukaamua kumpga mbele ya Umma je unavosema Mh: Rais akae vacation alaf ww upge njaro za kampen, Watu wa kampen wanatukanaga matus na kejel nying utazivumilia km neno moja la Mbasha umeshndwa...Ww Adam huwez kitu Akil zako ni za kitoto bado tafuta maarifa upanue fikra...Mh: Rais hawez kukuamin ww namm skuamin tena we bdo mtoto n mwil tu ndo mkubwa
Yaani ww big up na kweli kashindwa kuvumilia neno moja tuu ataweza kwingine
@@stellandege5594 hawez nmemshusha sana huyu jamaa nlikuw namheshimu alaf nlikuw namwona bonge la brother kumbe bado ana akil za shule ya msing....hwz kitu akae tu na utoto wake Asijipendekeze kw Mh: Rais ....huyu akipew nafas atapga wapinzan mitama
@@lamecktv4269 big up
@@lamecktv4269 Bro usiseme hivyo hakuna aliyekamilika 100℅ zaidi ya MUNGU pekee. That's why kuna "species of human being " mbalimbali duniani. Kama tulivyotofauti, tunatofautiana kuongea, kuishi na hata Ku react kwenye different situations. Na Hekima tunatofautiana pia kulingana na malezi, imani zetu na person behavior. For really alichokifanya mbasha si sawa ni kama amemdharau jamaa kwa sababu pale kila mtu tupo kazini. Lazima heshima iwepo waeshimiane. Angekuwa mstaarabu ashuke tu, ila kama kaona jamaa kama jinga flan coz anambania muda wake. Na ile reaction ya Mchomvu kweli sio nzuri, sio ya kistaaravu maybe ange solve palepale kwa maneno kama mbasha alivyosema kwa maneno. Ila tunarudi pale pale differentiation ya human being.
@@lamecktv4269 hivyo usimlaumu Mchomvu tu
Sanaaa mchomvu nakukubali sanaa wanafiki kama hao nikumalizana nao tu nimependa sanaa hawezi kuku chafua kwenye umati wa watu
Adam lijidhalilisha tu,hajaonesha utofauti kati yake na wahuni wavuta bangi wa mtaani
Wewe bwege kweri wewe huna tofauti na shirole tabia mbaya uroufanya umepewa nafasi nzuri rakini umeboronga sana
piga makolo hao arifu mi nawatamanigi laana jombiii
So arusha apa punguzeni bangeee wasenge nyieeee
Vitu vinawanyewe hvy presenter unampigajee msani public hata Kama kakosea
@@romesjunior4008 we ni fala ujui lolot. Anaekuonyesha ufala mpe apo apo
KARIBU KATIKA IBADA YA JUMAPILI YA LEO KUTOKA HAPA OMEGA MINISTRIES CHURCH OF ALL NATIONS KWA MTU WA MUNGU NABII S.S ROLINGA, MBEZI BEACH - DAR ES SALAAM PIA USISAHAU KU SUBSCRIBE CHANNEL YETU PENDWA, GUSA LINK HII CHINI KUTAZAMA #LIVE UBARIKIWE
ruclips.net/video/4a5HEnARDD4/видео.html
Mchovu nAkukubl lakini umezingua sanaa
Anazinguaaaa huyuuuu....... jamaa kazinguaa sana ajichanganye siku nyingine avamie mziki mwingine...
Hahahahah! Akuanzae mmalize unamuita mwenzio bangi mbele ya watu zaidi ya elfu 2 Piga huyooo
Huyu Ashitakiwe na Jamhuri, huwezi kufanya jambo la Aibu hivyo la kumpiga mtu hadharani. Halafu anajisifia ujinga.. Naomba Serikali imchukulie hatua kali za kisheria.. Hatuwezi kuwa na watu wapuuzi kiasi hiki na wasio na staha hata chembe.
Hatua zichukuliwe na iwe fundisho kwa wapuuzi wote.
MUNGU awabariki Tanzania.
Mbasha ndiye aliye anza ku disturb peace kama nikushitakiwa anze mbasha kwanza
Hiyo ni tabia mbaya tena wivu kakuita mvuta bangi kwani uongo mbona umekaa kibangi bangi pia kauli zako mwenyewe za bangi bangi mashauzi ya bure ushtakiwe kabisa ningekuwa na uwezo ningekufunga
@@marytemba777 Alivyokaa ni aina ya maisha aliyochagua hatupaswi kuingilia maisha ya mtu, Waliomchagua kwenye shughuli yao wanajua uwezo wake ndio maana hawakuniita Mimi au wewe. Siungi mkono kupigwa kwa Mbasha ila lazma tuheshimu watu na kuacha mzaha kwenye kazi za watu.
Achana na Tukio, Ila umemwona Adam alivokonda. Wish isiwe level mbaya ya arosto.
Adam safi sana.....
Anayekudhalilisha mdhalilishe ili watu wengine wajifunze. Hata kama ningekuwa mimi ningemchota bzr tu. Adamu huna kosa, Kama ni bangi zinamhusu nn, na kwann azitaje kwa ubaya.
Wewe ulisikia hayo mabangi au unanukuu ya adam
Ani adam sjui nkukanaje ani ingekuwa kauli yangu ata Wasafi usngekaa coz huna maadili kwa kitendo hiki kweli unavuta bangi wew
Kimsingi mbasha alidhamiria kutania kweli ila response ya mchomvu, haikuwa utani ila ukweli uumizao. Tatizo ni utani umefanyikia wapi??????
Kweli
Kabisa
yah nikwel ila sasa adam amekosea alipo react inaonyesha kweli kitu anakula ndio maana aka mind coz ukwel unauma
Kwel
Umesema VYEMA Denis Julius
hata kama tunataniana ila sehemu ambapo unautolea utani ni lazima uwe na mipaka yake wakubwa, adamu kafanya kweli watu kama hawa ni kuzibua tuu ata kama tunataniana ila jee unaufanyia wapi utani huo na unauchukulia na uzito upi... isitoshe watu wanabrand majina yao leo hii ukuje tuu from uko useme hivyo ata kama ingekuwa mimi ningemaind ila sasa kumaind tunatofautiana FID Q ahusike hapo na kitu yake ya KIBERITI aliongelea mambo hizi
Sometimes respect was forced big up
Adam alikosea lakin hata nshikaji pia nae alikosea, hata kama mtu anavuta bangi huwezi msema kwenye umati mkubwa vile na yye ndio ana host stage. Angekuwa mstaarabu wala isingefika huko.
Hajaita adam mabangi lkn sema alisema adam wee bangi sanaa.. kukwambia bangi snaa sio ndo mvuta bangi, kwamm najua huo ni msemo wa kihuni tuu kwahyo haikuwa nafaida yakumuaibisha kwa kumkat mtama mbele za watu vilee.. Sio gud kabsa
Wanadamu tunapswa kuheshimiana mbasha km alimwambia ivo lazima jamaa na yeye amaindi na ndio maana na yeye ameamua kumufanya kweli ili nithamu iwepo
Nikwel unachosema ila Adam ni kioo cha jamii ( mtu professional kwa kaz ya utangazaji) so hatutegemei ufanye mambo ya ajabu kama Yale alafu mbaya zaidi mbele ya camera. Yeye mwenyewe kasema yawezekana Rais alikuwa anatazama show sasa kwa maana hiyo anadhani Rais kamchukuliaje kama sio kajishusha zaidi??
Nidhamu ni muhimu sana,ulitakiwa kujicontrol sasa ukisema siyo Mara moja maana yake kuna mambo nyuma ulitaka umalzie jukwaani kiukweli unatutia aibu wa Tz hatuko hivo bana.Mungu akusamehe
Mwanaume mzma unamind bang AF umemaanisha unajisifia ujinga broo et utamtafuta private kwa lip mbona hajakulipizia ucmtafute coz utapoteza mda Mr kumind
Wasikufokee Mchonvu 😂😂😂
Chuga hatunaga mbili, ni moja tu yani ukizingua unaoga vitasa na imeisha iyo. Sororosha like km hupendagi upimbi
😂😂
Linaonekana livuta bangi kabisa hili 😎😎
Adamu bangi kawida braza uxinge maind braza
Umezingua bro
Nakubali mchomvu
Adam alidhihirisha kweli Yee bangi. Maana wavuta bangi wengine akili zao sio nzuri
Umefanya poa sana wa chuga hatutaki hizo mapigo za ki dar frimarket ni za kichokostick aache shobo za ki k......a!? Nimemmaind huyo boya ki se.......e? Yaniii!?..??!
Pale hukufanya jambo la hekima pale, alikuwa amekuacha anaondoka zake ulimpigia nini? Angeamua arudi mzipige?
Mbasha angekufa ww sio kwa buti lile
me nashangaa kwa nn hakumkata mtama palepalee akasubiri aondokee??
adamu ni hatariii🔥🔥🔥
Nimejikuta nacheeka kama mazuri vile🤣🤣🤣🤣
Kweli unavuta bangi,bangeeee shikamooooo
Mmeharibu sana wazee
Yesu alitemewa mate na kupigwa bila kosa na akasamehe,,mjanja hapo kati ya nyie ni yule atakae msamehe mwenzake,,inaonekana we Adam unakiburi na hasira lakini unaweza potea kusahaulika na kujutia miaka yako unayosema umetengeneza jina,,Njoo kwa Yesu akufundishe upendo na upole
Nidhamu mbaya unafundisha wadogo zako nini??mfukuzeni kazi hana adabu huyu..et jina jina au njaa hujaona wenye majina na wanadabu
Hawa ndo wasanii wanaweza push mziki huu , hovyo kabisa ulichofanha wewe sijui adam unaitwa?? Mbele ya Jukwaa, clouds wakikuacha basi wewe ndo image ya clouds ilivyo kiundani...
Hawa Watangazaji wasiokua na nidhamu wapewe Onyo Tamasha lilikua likifuatliwa na Watanzania wengi akiwemo Mkuu wa Nchi yeye analeta hasira za kijinga kiukweli kachafua image ya Tamasha.. tunajua amekwazwa ila angepotezea kulinda heshima yake.. Respect is the source of Achievement.
Adam amemaind ivyo coz ana vuta mibangi kweli
Huyu jamaa kweli navuta bangi
Kweli mabange nimemdharau saaana
Adamu anaonyesha in jinsi gani hajitambui alicho tendewa angekuwa na subra ...ameonyesha in mbumbavu kiasi gani halafu waaandaaji WA shuguli wanatakiwa wamuondoe halaka kundini in mpumbuavu sana
Sasa wew kama hau vuti bangi kilicho ku kasirisha ni nini sasa?
Jamaa hatari buti za jeshi hizo kachezea msela
Kwani tatizo liko wapi bangi si unavuta kweli au ndo vile ukweli unauma😅
Apo sasa
Hahahahahahah🤣🤣🤣
Nayy ndio maana kalishwa mamitama. Kitu unatakiwa kujua ni kuchunga kauli zako. Kuna watu wana mioyo midogo kuhimili matusi hasa mbele za watu. Tatizo liko kwa mbasha kumwita mwenzie mvuta bangi.
Mbasha kazingua na ndio sababu ya haya yote
Anavuta hata Domo linaonekana
😂😂🤣😁😆dah
Kwa upande wangu Adam ulichofanya siyo, hata kama alikukosea unatakiwa kuwa na hekima. Sasa mbele ya hao viongozi umeonekanaje?
Wote wamekosea na sio nidhamu. Mbasha alikosea Ila adam ndio amekusea kabisa. Hivyo tu
Kaka unaroho kama yangu, kakukosea sana
Msamehee bure
Kitendo cha kumpiga mtamx mwenzio ni cha kihuni wewe si MTU mzuri
Mchovu huna sera
Huyo jamaa ungekuta mm ameniambia hivo namtunua hatari
😂 hapo anakoenda nina mashaka nako....lazim alienda kujiboost
Mimi naona Sawa tu!ni vema watu wengine wafundishwe adabu Kwa vitendo mtu anakujaje kukuchafulia brand yako tena adharani na wew ni public figure.anyway nadhani hapo mmeona tofauti Kati ya wanaume wa Arusha na dar.mitama indelee tu ili nidhamu idumishwe
Yaan jamaa mstahilimivu sana hajakujibu kajifanya mjinga ingekuwa ni mimi tungezipiga hadharani! Ni kweli jamaa kakosea lakini sio kumpiga mtama mbele za watuungetumia busara nyingne umekosa heshima!
Huyu jamaa mshamba tuu hapo kadhihirisha kua kweli #Baaaaaangi! aje anipige na mimi huo#Mtama aone..nani akuelewe wewe mshamba tu..Mbasha msataarabu sana angekua mwingine angekinukisha.hapo hapo!
Afu kumbe Adam ni backstabber....courage the cowardly 🐕
Ndio Nini Sasa ,,,Mimi mshamba
polee Adam mchomvu
Chariii ya ara arifu😊🤣🤣🤣🤣
Wewe mshamba sanaa nazani atashule ulishia ra 3, uwenzi fanya vitu vyakishamba mbele yamkuu we2 wanchi, ulikua unalibu shunguli yamuishimiwa wetu, tumejisikia Chungu sanaa sisi, acha madawa wewe yatakuhua agalia afya yako ilivyo box wewe
Mshkaj kafel kwann sasa aite jina la ovyo mbele za watu mda wakaz. Unaniita jina lakisenge ata mm ninge mind
Ile inaitwa Presidential katafunuwa
Mbasha ni mshamba tena wa level za juuu kbs utan utan gan mbele ya watu kias kile acha apokee sawa sawa na kiwashwa waashwa chake mpumbav 1 yule shobo za kishamba kwahy kam anavuta hiyo bang ye anatakaje
Adamu ulichofanya co ktu kzur kabisa
Yani tena anaongea live atamtafuta... huyu mtu sio mzima kichwani aisee
Kabisa ame koseya sana kwani bangi si starehe yake
Unamwambiaje mwenzio mvut bangi mbel za umma huon km unamzalilisha au kuzalilishwa km anavuta bangi bc usilete masiara sehem ya kazi angeongea pemben bc
@@chancehoffmann9083 tatizo ukweli unauma angeambiwa MTU ambaye c mvuta bangi asinge fanya vile, yeye kwa kuwa ni kweli ndomaana kathibitisha, kiufupi alikosea sana tena sana
Ungekua ww ni mtu maarufu Kama Adamu ni sehem yako yakupata kipato Alaf mtu anakuharibia namna hiyo.....ww ungefanyaje??
Mchomvu punguza bangi unajiharibia brand yako
Hukutakiwa ku react namna ile
Narudia tena punguza bangi
Mbasha Alicho kifanya si sahihi Acha apigwe
Huyu jamaa dah...😂😂😂
we bro bwege huna moyo wa kukaa kweny intertyment kna mond huwaoni ,mbna wao wanatkanwa lkn wnakausha kak nlkuheshim sana kumbe na wew kiazi
I can't wear black glasses during night time my eyes won't see anything😎
😀😀😀😂😂
Chugaaa niajeee??ukizungua tuna kuzingua x100000 apigwe na mitama ya shingo fala uyooo
Yaan umedhibitishia umati kama kweli we ni mvuta bangi ungenyamaza pale ungeonekana we muungwana
Huwezi kupigana mbele ya umati
kichwachake kimejaa tope ajielewi nakamakweli umesomea habari bac mtaala wa kenya kwa tz atunakitu kamaiko umeonesha chuki naunatakiwa kuomba lazi angalizo uyukijana sikuiz amebakiwa na jina analolote umaarufu umemlevya achaneni nayee
Sasa mheahimiwa Makufuli mgombane wanna wa CCM....namuangalia shilole kamuaibisha mwenziwe na Huyu ndio hivo hivoo
Sema Adam kama we ni real dude una mind nini sasa Mbasha kusema unavuta bangi..Si unaona Tyson ana acres kadhaa za bangi na anavuta mpaka mbele ya press...
Bangi za kuvutia chooni hii ndo ending yake...N its drugs...means acha kama mimi..Just a piece of wisdom phoniiiieee
Na hapo ndo kadhihirisha kuwa yeye bang kweli.
Ila Adam kazingua saana na sio nidhamu kabsaa
Ha ta a Kama ni mimi ningemkandaa kofiii 😂