ADAM MCHOMVU NDANI YA WASAFI TV KWA MARA KWANZA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии • 1,5 тыс.

  • @zainamsangi
    @zainamsangi 4 года назад +71

    Adamu noma umebadil kipindi ghafla 👍👍 Adam mchomvu your talented bro

  • @TanzaniaExpert
    @TanzaniaExpert 4 года назад +32

    Dah brother Mchovuu humu anaonyesha kuwaa yeye Ni Legendary kabisaaa respect Sanaa wasafiii

  • @abbasimdimu73
    @abbasimdimu73 4 года назад +8

    Motown Sanya kaongezewa ujanja kwenye fani!bigup wape mashavu wana@mchomvu

  • @fatumaramadhan9301
    @fatumaramadhan9301 4 года назад +9

    Great job.. Bonge moja ya collaboration😘😘😍✌mtangazaj kakutana na legend ✌

  • @princessfa9048
    @princessfa9048 4 года назад +115

    Kuhoji presenter unajikuta unahojiwa ww nakufundishwa mbinu mbadala 😊😊big up Adam baba john

    • @successdna5644
      @successdna5644 4 года назад +3

      instagram.com/p/CC8up8uDOZh/?igshid=1iahc22mnsjur

    • @pastatv174
      @pastatv174 4 года назад +4

      Acha kabisa

    • @pastatv174
      @pastatv174 4 года назад +3

      Apo ndipo unasaidiwa kaz😂😂😂😂

    • @officialfredoo3549
      @officialfredoo3549 4 года назад +2

      Princess fa dah wee kadada kila page waliopost wassafi umecomment😂

    • @princessfa9048
      @princessfa9048 4 года назад +1

      Official fredoo sio kila page ila hiki kipindi tu NAKIPENDA😂😂😂

  • @emmanuelnzaligo6262
    @emmanuelnzaligo6262 4 года назад +2

    Mmetisha kinoma noma halafu namkubali sana adam mchomvu big up sana bro

  • @sadickkoloa7548
    @sadickkoloa7548 4 года назад +14

    Hii nayo imebambaa kinoma nomaaaaaa
    Kwanza nimeipenda mmekutana wote ma - presenter halafu hamna habar yan
    Pili mpo more funny yaniii,
    Shall out kwako Mo Town Sanya (Neddy) na kwake Adam Mchomvu (Joh Makin,Mr Blue (Byser).) Big up kwenu nguvu kazi
    Your make me happy 2day.

  • @mwandishisaidkaita7.
    @mwandishisaidkaita7. 4 года назад +2

    Nimekubali MO town Sanya. Kipindi very creative.

  • @mukrimkhamis678
    @mukrimkhamis678 4 года назад +10

    Jmaaa anafundishwa kutangaza Bdo yupo previous level##aise Adam upo juu Sana##maestro of interviews

    • @kulwaabdallah3279
      @kulwaabdallah3279 4 года назад

      ata ukiwa unajua ukikutana na wanaojua unaonekana ujui kwaiyo lazima ufundishwe

    • @kulwaabdallah3279
      @kulwaabdallah3279 4 года назад

      ata ukiwa unajua ukikutana na wanaojua unaonekana ujui kwaiyo lazima ufundishwe

  • @zennahmtoto1867
    @zennahmtoto1867 4 года назад +1

    Hii yaleo kalii sana😀😀😀😀Adam fala snaa

  • @bernardmsengi6029
    @bernardmsengi6029 4 года назад +8

    Hongera sanaa Adams Mchomvu heri kujenga daraja kuliko ukuta, nimekubali uwepo wako hapo. Barikiwa sanaa.

  • @justinekakobe7779
    @justinekakobe7779 4 года назад +2

    Aisee...NmeipendA...xnaaa..Adamu n muhuniiii Nakubaliii 💪💪🎤🎤

  • @MrN0bad
    @MrN0bad 4 года назад +36

    Sema nini mmeua sana bonge moja la pindi na big up kwa mr. Blue wetu wa leo

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 4 года назад +2

    Daah noma sana yani WASAFI inazidi kuwa bora siku adi siku noma sana

  • @dashuusaalim1943
    @dashuusaalim1943 4 года назад +12

    Mo town !!!? ndo mwanzo leo nkuone lkn anza anza yko ni Bomba mashallaaaah....napenda nikusskize tuu mtoto wa watu Allah akupe umri twaweeel (mrefu) na wny mafanikio tellee..aaamyna

  • @masoudjuma2090
    @masoudjuma2090 4 года назад +13

    my favorite tv show!!!!!!!!!111
    shout out 2 moo town, keep going bro

  • @johnmungulele5165
    @johnmungulele5165 4 года назад +15

    Daaaah hiki ndicho twakitaka ss nimependa Sana kipindi Sana ety you make me happy

  • @yousufswaleh354
    @yousufswaleh354 4 года назад +13

    Adam acha ujinga Aki.... I make my day Aki hahahahahahahaha

  • @christianluvanga2673
    @christianluvanga2673 4 года назад +18

    Really appreciate it Mchomvu 👏👏👏🔥🔥

  • @fundimiguuclassicweartz4787
    @fundimiguuclassicweartz4787 4 года назад +3

    Ukwel hichi kipindi nakikubl sanaaaa Wasaf Tv 👐👐👐

  • @bensonfikirini4112
    @bensonfikirini4112 4 года назад +3

    Huwezi amin nimecheeeka sana aisee mchomvu kawa Mr Brue

  • @rayyannaceeb9991
    @rayyannaceeb9991 4 года назад +2

    Haaha nimeipenda mzee baba Adam kuapia kwenye pindi lenuu....afsaaaa umetishaa sanya

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 4 года назад +35

    😂😂😂 Hv ni kwel bonge la pind umetsha sanaaa 👊 mwanangu Mo Sanyaa

  • @mwambarock3696
    @mwambarock3696 4 года назад +2

    Kizazi Sana 🤙 🤙 🤙 🤙 ma bifu tupa kule #wcb kiboko ya mabisho

  • @daniellyimo636
    @daniellyimo636 4 года назад +3

    Wabongo wengi hua Awataki kuonekana hawa mjui Mtu Fulani😄😄😄😄😄

  • @damianmachilutv1167
    @damianmachilutv1167 4 года назад +23

    Dahh hawa jamaa wameendesha kipindi vizuri sana leo, yani kipindi kimechangamka sana

  • @josephmapunda7321
    @josephmapunda7321 4 года назад +40

    Watanzania wajuaji hata kitu akielewi yy anaelewa kwan ukisema Adam simjui kuna kes
    Wabongo mungu anatuona tu

  • @josephgolden6365
    @josephgolden6365 4 года назад +7

    Wabongo noma kweli, kila swali lina jibu lake

  • @mbangunjungwa2129
    @mbangunjungwa2129 4 года назад +5

    Jamaa mpo poa sana adamu more love am salut u man

  • @somanda8140
    @somanda8140 Год назад +1

    Daaaa hiii Kali sana nimeipenda mpka bas

  • @hamissyerhyer373
    @hamissyerhyer373 4 года назад +6

    Hujawai kosea Mo sanya lakin leo umekutana na mwambwa mchomvu japokua yeye ni radio presenter lakin nahic kakuongezea maujuz fulan iv kwenye kupzent💪

  • @jostamzxkaole3113
    @jostamzxkaole3113 4 года назад

    Wote..Watangazaji apoo..@#mmebadirisga ubunifu.. Nimeipendaaa iyooo👍🏻💥💥💥🤗🤗🤗

  • @ibnrashadmammytashi7167
    @ibnrashadmammytashi7167 4 года назад +3

    Hahahahaha sanya wallai ww mbinguni utakuskiya sauti Love you Brother iyo jeje too weweee bila kukucheku fra akuna ni qatar bt naisi kama Niko Africa

  • @emmanuelnzaligo6262
    @emmanuelnzaligo6262 4 года назад +2

    Mmetisha

  • @denisksylivester7846
    @denisksylivester7846 4 года назад +16

    Congratulations Sanya.. Great Job💪

  • @athumanshaban1895
    @athumanshaban1895 4 года назад +1

    Jamaa yuko vizuri sana kwenye kipindi cha xxl radio clous fm,pia hata muziki

  • @Averone14
    @Averone14 4 года назад +3

    Dah hawa majamaa wameniua kweli..hv kwa nini wabongo kama hatujui kitu hatukubali kushindwa.. dah sasa bi kidude na joh makini wapi na wapi😂😂😂😂. Aendelee kupumzika bibi yetu mkongwe kwenye mziki wa taarab🙌🏽. Nice idea nice show wakuu👏🏼

  • @zuberiahmadi7685
    @zuberiahmadi7685 4 года назад +1

    Noma sana yani mmetisha

  • @hassanjoseph8344
    @hassanjoseph8344 4 года назад +6

    Katka inteview zote za motown sanya hii ni 🔥🔥 ase mmetisha mbya motown sanya ndo hbr ya town

  • @mwanzashinyanga8060
    @mwanzashinyanga8060 4 года назад +3

    hii nimeipenda huu ndio utanzania tuliozoea sio kuwekeana mabifu

  • @abuusadallah4965
    @abuusadallah4965 4 года назад +18

    Kizazi sana hii nimekipenda kipind cha leo 🔥🔥

  • @rajansharky3386
    @rajansharky3386 4 года назад +3

    Nimejifunza kitu kupitia hii interview, yan cc wabongo 🙌🙌. Ni lazima ujibu kila swali.

  • @bilalbizimana980
    @bilalbizimana980 4 года назад +4

    Hapo PA Una Covid19 amenimalizaa
    From Kenya Mombasa

  • @chunahofficial945
    @chunahofficial945 4 года назад +8

    Aliyekutn na mr blue anasif San,😂😂

  • @jizomontana1899
    @jizomontana1899 4 года назад +101

    Adam umeua kwenye interview bora uende tu wasafi😆😆😆

    • @peterscharless6876
      @peterscharless6876 4 года назад +4

      Mbona tayal yupo wasaf huyo

    • @pastatv174
      @pastatv174 4 года назад +1

      Misha yako bado tuko nae xxl sema support ndio kitu ambacho

    • @pastatv174
      @pastatv174 4 года назад +1

      @@peterscharless6876 maisha yako

    • @user-pe9uo4ec6y
      @user-pe9uo4ec6y 4 года назад

      Vyote ni Mali ya mtu mmoja

    • @jacklineulomi7780
      @jacklineulomi7780 4 года назад +1

      Weee komaa abak clous aende jela tena

  • @teamritaforever492
    @teamritaforever492 4 года назад +2

    Hii show nimeipenda sana ,,,naisi kama kunakitu kizuri apa

  • @praxedadominic5193
    @praxedadominic5193 4 года назад +52

    Hawa watangazaji wanadhambi jmn apo kwa Mr blue huyo baba kaniacha hoii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @abasialimussa5372
    @abasialimussa5372 4 года назад +18

    Wabongo wamevurugwa dadekiii😂😂😂😂😂😂

    • @kakamkubwa4879
      @kakamkubwa4879 4 года назад

      😂😂😂😂watu wana mambo meng mjini

  • @mlachakeofficial8289
    @mlachakeofficial8289 4 года назад +27

    Hiii nayo mmeua likes za kenya 🇰🇪

  • @hassaniwaziri5193
    @hassaniwaziri5193 4 года назад +1

    Hiii program inapendeza sana inatufuraisha hadi tunaoangalia

  • @robbyhushpuppy991
    @robbyhushpuppy991 4 года назад +65

    DAAA HAPA KW MR:BLUE PAMENIUWAA KW CHEKOOO 🤣🤣🤣

  • @ashaally6993
    @ashaally6993 4 года назад +3

    Nimeletwa hapa na Adam mchomvu umeua baba la baba 👌😂😂

  • @manbonge3015
    @manbonge3015 4 года назад +9

    More town Sanya yani hii gonga beat Bonge la idea bro big up Sana. Duh always gonga beat makes my day

  • @stanleyndelwa7491
    @stanleyndelwa7491 4 года назад +1

    Moja SHOW kaliiiii sanaa kwa mwaka Huuu ni hiiii afu Ipo Fun kinyamaaa ..... Adam si mnyamwez bwanaa Hanaga Kokolo yaniii Kipidi kilikua on 🚨🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @macmctz4829
    @macmctz4829 4 года назад +5

    Adam Mchomvu ni mtu flani tallented sana anaweza kuwa comedian ukiachana na rap na utangazaji. Unaweza ukawa unajijua kabisa huwezi utangazaji but ukawa inspired kujaribu.. Namuelewa sana na humu ndani amegeuka host na kumfuza kijana how to do it. Saafi

  • @faridkibavu2028
    @faridkibavu2028 4 года назад +79

    What a show,I liked the show!!!🙏🙏

    • @juniormokiwa890
      @juniormokiwa890 4 года назад

      🔥🔥🔥

    • @Agent-oi9sj
      @Agent-oi9sj 4 года назад

      Mond Bin Laden!!!! 🙌🏾

    • @marypeschke1750
      @marypeschke1750 4 года назад

      Wewe si Diamond wacha uwongo.

    • @bonifastarimo9636
      @bonifastarimo9636 4 года назад

      U suppose to take him in WCB media cos his talented man no kuremba mic zinamuanya mtoto wa nyumba chuga boy. Mond i appreciate u bro, no jealous, no what, keep moving with the guys who need to developing

    • @hgrintercon9537
      @hgrintercon9537 4 года назад +1

      Hii show ni photocopy ya kipindi cha 50cent..nice try though.

  • @tiktokTviral
    @tiktokTviral 4 года назад +4

    ADAM MCHOMVU NI NOMA SANA NAMKUBALISANA LEGENDARY NIMEIPENDA SANA IYO NOMA SANA.

  • @abouhafs2891
    @abouhafs2891 4 года назад +6

    Adam mchomvu....big presenter big up sana mob lov from +254

  • @michaelbalton7866
    @michaelbalton7866 4 года назад +7

    safi hii ni freestyle ya ubunifu, big up Mchovu

  • @japhetherman2307
    @japhetherman2307 4 года назад +1

    Gud idea... nimemuelewa mchomvu

  • @aminathaaibrahim3426
    @aminathaaibrahim3426 4 года назад +32

    Hahhah Adam mchonvu kubali sana wewe kaka

  • @saidihermes3107
    @saidihermes3107 4 года назад +1

    Mzee kakutana na Mr Blue kafurahi mbayaaaaa shenzi kabisa😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @katambotz9226
    @katambotz9226 4 года назад +130

    Kipindi cha leooo kimenogaaa kama unakubali gonga like 🤣🤣🤣

  • @benjamininyambaso5041
    @benjamininyambaso5041 4 года назад +12

    hahahaha blue blue ndo adam mchovuu wabongo MUNGU anawaonaaa
    😂😂😂

  • @razackmuna5785
    @razackmuna5785 4 года назад +25

    🤣🤣🤣🤣🤣 nmechek ad mbavu zimeuma covid 19

  • @hassanalsuleiman4939
    @hassanalsuleiman4939 4 года назад +2

    mwambie mo town aje pande zakwetuuu kipindi kipo hot🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @hebrontemu4868
    @hebrontemu4868 4 года назад +171

    Hapo inaonyesha jinsi gani adam mchomvu alivyo mtanganzaji mkongwe nakumfundisha dogo jinsi yaku present kipindi hicho

    • @omarjogo4338
      @omarjogo4338 4 года назад +6

      We muelea sana kwa kweli

    • @ritchiexanti9587
      @ritchiexanti9587 4 года назад +14

      They r just having fun banaaaaa..... Motown sanya is one of the best pia🔥🔥🔥🔥

    • @crispingerald3000
      @crispingerald3000 4 года назад +6

      Adam nimnyama kinoma kanyosha ana mfundisha dogo

    • @omarjogo4338
      @omarjogo4338 4 года назад +3

      @@ritchiexanti9587 the boy is doing well

    • @sampartick2235
      @sampartick2235 4 года назад +1

      Jah bless

  • @rajabramz9031
    @rajabramz9031 4 года назад +9

    Ahahaha ebana this is the best ever...Big Up Bros....

  • @itsjonahfather7941
    @itsjonahfather7941 4 года назад +7

    Ujue huyu mzee wa mr bluee chengaa sana🤣🤣🤣

  • @jasminyiddysulaiman9807
    @jasminyiddysulaiman9807 4 года назад

    Woooow!mchomvu km momvu!hapo kwa Mr blue😀😀😀😀

  • @tabithadaniel7364
    @tabithadaniel7364 4 года назад +22

    Sema Adam amenogesha sanaaa

  • @deusisindwa616
    @deusisindwa616 4 года назад +1

    Mmetisha baba

  • @daviderasmus5538
    @daviderasmus5538 4 года назад +6

    13:24 😂😂😂 hatarii
    Big up sana mchomvu

  • @babawatotobabu7229
    @babawatotobabu7229 4 года назад

    mchaga leo umenichekesha sana ukiwa na adam mchonvi🇰🇪🇰🇪🇰🇪😀😀😀

  • @nawihadj6674
    @nawihadj6674 4 года назад +3

    Adam ww ndo CR7 wa utangazAji wallahy upo vzr mno

  • @emilymideva8783
    @emilymideva8783 4 года назад +1

    Woow that's great Tanyaa #254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @2kiss_tz659
    @2kiss_tz659 4 года назад +176

    Kama unaamini bifu la wasafi na clouds kwishinei gonga like nyingi

  • @dfinalpatrick8555
    @dfinalpatrick8555 3 года назад

    Chimba ufukie mwenyewe😂😂😂kipindi nimekisoma fresh big up all of you

  • @iammusic3404
    @iammusic3404 4 года назад +26

    Jamani eti namzuka hapa
    Angejua madudu anayokwenda kuimba sasa🙈😂😂😂😂😂😭🔥
    If you love motown sanya say mwah😘😳

  • @eliudijastini645
    @eliudijastini645 4 года назад

    Wananchi tunanjaa kaliii kwelii tukobize namaishaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣💥

  • @allymatilda7519
    @allymatilda7519 4 года назад +3

    Adam ni fala sanaa nimechekaaa kifalaa adam anajua sana🤣🤣🤣

  • @naamohamed9964
    @naamohamed9964 4 года назад +1

    😃😃😃😃😃etiii Mr bluu

  • @berthawilliam8313
    @berthawilliam8313 4 года назад +6

    Best show 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @xandernyabitwax1756
    @xandernyabitwax1756 4 года назад +1

    Dah Mr blue noma San

  • @jojoninga2727
    @jojoninga2727 4 года назад +5

    The show is so so amazing!!!!! @motown sanya 🤗🤗

  • @giftmsokele9776
    @giftmsokele9776 4 года назад

    😁😁😁😁😁 iko p sana. ..... wasaf raha sana

  • @bienfaitfahamu492
    @bienfaitfahamu492 4 года назад +9

    Kazi kazi tu 🔥🔥🔥🔥🇨🇩🇨🇩🌍

  • @samhendawallaa9984
    @samhendawallaa9984 4 года назад +1

    Hatari sana sina mbavu

  • @RioIpo
    @RioIpo 4 года назад +27

    Eti Covid 19 hahahaha leo nacheka kama mwehu hapa jamani mtaniuwaaa eti Covid nnayo hahaha

  • @sikuzanikipindya553
    @sikuzanikipindya553 4 года назад +1

    Dah namkubali sana kwa kuchana

  • @uwimanaalia9450
    @uwimanaalia9450 4 года назад +31

    aiseee 😂😂🤣mbav zang nawapend 🇹🇿❤️🇧🇮

    • @successdna5644
      @successdna5644 4 года назад

      instagram.com/p/CC8up8uDOZh/?igshid=1iahc22mnsjur

  • @johansenrauben6166
    @johansenrauben6166 4 года назад +1

    Wana mnazingua kinoma noma

  • @imanimwashilindi8615
    @imanimwashilindi8615 4 года назад +10

    Mzee kapagawa kumuona Mr blue

  • @yuzzobizneswachamwinoikulu1102
    @yuzzobizneswachamwinoikulu1102 4 года назад +1

    Kitengee unanifurahishaaa sanaaaa

  • @williepedro5295
    @williepedro5295 4 года назад +8

    😂😂😂😂
    Hii ni Jeje 3rd version😂

  • @mwadiabakari256
    @mwadiabakari256 4 года назад +2

    Nimefurahi peke yangu walahi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @allyhussein6363
    @allyhussein6363 4 года назад +5

    Adam respect xnaa. Umenifnya nimecheka xanaaaaaa

  • @eventelias3566
    @eventelias3566 4 года назад +1

    Adam umeonesha ukubwa; much respect Bro👊

  • @Bullah_tz
    @Bullah_tz 4 года назад +7

    Kwamba interview na bibi kidude 😁😁😁😁

  • @joenedyk2072
    @joenedyk2072 4 года назад +2

    Dah yan nyinyi sio pw mmetish mnavy wa enjoy hao watuu😂😂😂😂😂😂😂