Asante sana Mch Gwajima mbunge wetu.kwa Kutukumbuka.... mito inatumalizia watu, inabomoa mpaka nyumba zilizo kwenye ramani ya mipango miji ... kwakweli kingo za mito.... mtusaidie wananchi. Mito Nyakasanga, tegeta, mpiji ni hatari unapanuka kwa kiasi cha kutisha. Mungu tusaidie mlione hili. Asante sana Mbunge wetu Gwajima kwa kuwakilisha.
Gwajima gwajima Mungu akusamehe uliwadanganya wana nchi londa kuhusu barabara leo watoto wanashindwa kwenda shule alafu unapiga porojo za uongo Bungeni
wewe unajua nini kuhusu Mtu anaeitwa mtumishi wa Mungu kabla huja comment jaribu kufikiri kwanza, nakupa ufahamu Hata Rais ni mtumishi wa Mungu kwa kuwa kiongozi wa watu kwa kuwa Mungu ni Mungu wa watu wote wenye mwili, uje nikufundishe wewe.
Gwajima ni mzee wa story za vijiweni, anawakamata akili wajinga kwa jinsi anavyo present unaweza ukadhani ni mtaalam kweli kumbe ni mastori ya town tu.
Sasa gwajima mambo ya ziwa victoria yanakuhusu nini wananchi wa kawe tuna shida nyingi umeacha kuzungumzuia mambo ya kawe umeanza mambo ya zebaki kwani huko kanda ya ziwa hawana mbunge wa kuwasemea

Yaani tanzania mabepari ndowanao kubarika kwajima yoko sahihi rakini wasio jiri afya xawatu hao wanaogopa wanapewa rushwa tu
Unafaa kuwa waziri wa Madini.
samahanii jee munatumiaa mfumoo ngani kubesabubuzalishaji kishaa mfumo nganii unatumika pvpi kutumika helabza mtz
Australia nawala sangara toka Lake Victoria na kama wangekuwa na zebaki wasingefika Australia. Dr Ngwajima ni muongo.
Gwajima gwajima Mungu akusamehe uliwadanganya wana nchi londa kuhusu barabara leo watoto wanashindwa kwenda shule alafu unapiga porojo za uongo Bungeni
Acha zako wewe serikali ndo inayonjenga sio yeye
Gwajima J anapoint kubwa ya Bioaccumulation
Halfu.kama.akinamama.kuugua.kansa.inawezekana.utumiaji.wa.majira.yampango.uzazi.yanana.wauza
Unapopoat kitu usitoe maelezo mengi hvyooo. Mm binafsi nachukia
Yaani ukiwasikia unapata chefuchefu
Hili ni Bunge....
Huu ni Askofu sio mtmshi wa Selikali hakuna aweza tumikia Mabwana 2, akabidhi Uaskofu watu wengine,yeye amtumikie kaisali ndo kAmchagua,
wewe unajua nini kuhusu Mtu anaeitwa mtumishi wa Mungu kabla huja comment jaribu kufikiri kwanza, nakupa ufahamu Hata Rais ni mtumishi wa Mungu kwa kuwa kiongozi wa watu kwa kuwa Mungu ni Mungu wa watu wote wenye mwili, uje nikufundishe wewe.
Gwajima ni mzee wa story za vijiweni, anawakamata akili wajinga kwa jinsi anavyo present unaweza ukadhani ni mtaalam kweli kumbe ni mastori ya town tu.
Accridated ndo nini tena bwana Waziri? Inaitwa "Accredited" ndugu!
Wamemvua nguo
Waziri kalewa pombe
Sasa gwajima mambo ya ziwa victoria yanakuhusu nini wananchi wa kawe tuna shida nyingi umeacha kuzungumzuia mambo ya kawe umeanza mambo ya zebaki kwani huko kanda ya ziwa hawana mbunge wa kuwasemea
Kwan yeye anatokea wapi
😂😂😂😂
Samaki wanauzwa nchi nzima kwahiyo kama wanasumu Gwajima nae anaweza kupata madhara hayo,Kwahiyo hakuna kuchangia hoja kwake ni muhimu sana!