UNAIJUA MIAMBA MITATU HII YA SIASA TANZANIA? NYERERE, MAALIM SEIF, MBOWE. UNA MAONI GANI?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 сен 2024
  • Hii ni tafakuri juu ya wanasiasa watatu ambao wameathiri kwa kiasi kikubwa siasa za Tanzania kwa kujenga vyama imara - Mwalimu Julius Nyerere, Maalim Seif Shariff Hamad, na Freeman Mbowe. Nani anasema hayo? Fuatilia uchambuzi huu mfupi.

Комментарии • 48

  • @reginaldtemu6305
    @reginaldtemu6305 2 года назад +1

    I fully agree with you.

  • @johnedward1351
    @johnedward1351 2 года назад +2

    Nakubali

  • @maryfranknamkumba9182
    @maryfranknamkumba9182 2 года назад +2

    Ahsante kaka Ngurumo. Nakubaliana na mchango wao katika kuongoza vyama vyao kufikia hapo vilipofikia

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 2 года назад +3

    Mh.A.Gurumo Nakubaliana na wewe,na uchambuzi wa hao Maprofesa kwa 99%. Mungu ibariki Tanzania, mbariki Mbowe na makamanda wote

  • @johnedward1351
    @johnedward1351 2 года назад +6

    Mbowe is father of modern politics. Ni baba wa siasa za kileo

  • @benedictmrisho5947
    @benedictmrisho5947 2 года назад +2

    Heshima yataifa letu ndani na nje ya nchi imetokana ma wanasiasa wengi waliowahi kuishi ktk nchi yetu so hao 3 tu. Mf Dr Ahmed Sakim, Marais wetu, mabalozi nk. Kwa hiyo Tanzania ijayo klhazina kubwa ya wanasiasa maarufu.

    • @1961nungwi
      @1961nungwi Год назад

      Benedict: Swala kilikuwa kutaja Watatu waliofanya kazi ya Siasa ya kupigiwa mfano na kwa muda mrefu. Sio wooote!

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 2 года назад +2

    Maalim alitufundusha siasa za kuipenda na kuitetea Zanzibar bila ya kuyumba wala kuogopa

  • @bernardsamizi7289
    @bernardsamizi7289 2 года назад +4

    Nakubaliana na maprofesa hao Mbowe ni Mwamba.

  • @eliajimmy95
    @eliajimmy95 2 года назад +3

    Mbona naona act wazalendo inakufa sasa maana huyu kiongozi wao zitto ni mchumiatumbo

  • @allyikanga4263
    @allyikanga4263 2 года назад

    Sanaet

  • @joaneskailembo4485
    @joaneskailembo4485 2 года назад +1

    TRUE

  • @jumakilinja6341
    @jumakilinja6341 2 года назад +3

    Mungu akubariki sana Ngurumo

    • @georgebongi4844
      @georgebongi4844 2 года назад

      Nakubaliana na fikra za maprofesor ni kweli mwl. Nyerere na maalim Seif na Mbowe kuwa ni wanasiasa bora kabisa

  • @samsonfulgence5553
    @samsonfulgence5553 2 года назад +4

    Ndiyo ninakubaliana na mtizamo na uchambuzi huu 💯

  • @zainabsuleiman-8757
    @zainabsuleiman-8757 Год назад +1

    Mbowe tosha tunamuelewa tangu mwazo agombee urais 2025

  • @tausiramadhani4259
    @tausiramadhani4259 2 года назад +1

    Nakubaliana

  • @bonifacemwanga3115
    @bonifacemwanga3115 Год назад +1

    Nakubaliana ww MW NYERERE (MAALIM SEIF) F/A MBOWE hao ndio pekee nawakubali wengine hhhh wapo wspo tu

  • @ramadhanmahongole5663
    @ramadhanmahongole5663 2 года назад +4

    mimi kwa mtazamo wangu naona mbowe ndio mwanasiasa bora mahili kuwahi kutokea Tanzania

  • @tryphonelwegasira7333
    @tryphonelwegasira7333 Год назад

    UKO sawa kabisa. Hawajakosea maprofesa. KWA Sasa tunaweza KUWA na wasiwasi Kama wakati wa Baba wa Taifa alivyotaka kun'atuka tuliona hakuna wa kulingana na yeye kiuongozi tulikuwa na wasiwasi.Hata KWA Mbowe Ana kipaji kumfuatia KWA Baba wa Taifa.Mbowe NI wa Karne hii ya vyama bingo anafaa!!!

  • @smukelomkhize9775
    @smukelomkhize9775 2 года назад +2

    Kamkubwa wangu nakusoma unaongea Deep kabisa lnapendeza

  • @justusndyamukama4808
    @justusndyamukama4808 2 года назад

    Nimekuelewa. Asante.

  • @bakarimwamsho2608
    @bakarimwamsho2608 2 года назад +1

    Tundu lisu

  • @josephshuma1975
    @josephshuma1975 2 года назад +1

    Nakubaliana na wewe

    • @masanjamkinga3566
      @masanjamkinga3566 2 года назад

      Nakubaliana

    • @vuaiabdallah332
      @vuaiabdallah332 2 года назад

      Kimtazamo wa nje utamuongelea maalim seif kua muunganishaji wazanzibar ila ukija kiundan kabisa tunajua cc wazanzibar co wanaojiita wazanzibar Kuna vtu mctusemee tunajua cc wazanzibar co wanaojiita wazanzibar kwenye kuunganisha wazanzibar Hilo nakataa sana kuunganisha kwake co kizanzibar tatzo lenu mnaojita watafit wa siasa mnatafit kichama co kitaifa njoo. Zanzibar watafuten wazanzibar co wanaojiita wazanzibar mtapata meng

  • @fabianmnyenyelwa8752
    @fabianmnyenyelwa8752 2 года назад +1

    huyu ambaye anamshauri mbowe aende ccm ni kati ya watu wasiotambua nini maana ya uongozi
    na hawa ni kati ya watu wanaololazimisha kuwa viongozi bila kujua jamii atakayoiongoza inataka
    nini.

  • @hamadkhamis6572
    @hamadkhamis6572 2 года назад +2

    Huyo mbunge anajaribu kupinga ukweli na kuleta ukereketwa, maprofesor wamefanya uchambuzi kwa kutumia akili sio kwa kutumia matumbo.

  • @monahairy3393
    @monahairy3393 2 года назад +1

    Bowe nikiogozi wa kuigwa

  • @benedictmrisho5947
    @benedictmrisho5947 2 года назад

    Hizo zinaitwa hisa za kisiasa. Bahati mbaya hakuna Soko la Hisa za Kisiasa ( SHK) "Political Stock Exchange Market" (PSEM). Hisa hizi huonekana Sana kipindi Cha uvlchaguzi. Wingi wa mashabiki na wameachana wanaomuunga mkono mwanasiasa.

  • @swahilimagnet
    @swahilimagnet 2 года назад +2

    Mbowe is superb

  • @eliajimmy95
    @eliajimmy95 2 года назад

    Uko sahihi kabisa

  • @thadeusmateru1356
    @thadeusmateru1356 2 года назад

    Sawia

  • @stevenkatani3047
    @stevenkatani3047 2 года назад

    Kwa mbowe umefeli ungewka magufuli apo

  • @emmasonanjawe9042
    @emmasonanjawe9042 2 года назад +1

    %1000000000

  • @eliajimmy95
    @eliajimmy95 2 года назад

    Huyo mbunge wa CCM nimeipenda kauli inaonekana aliondoka chadema akiwa bado anampenda mwenyekiti wake

  • @ramadhanmahongole5663
    @ramadhanmahongole5663 2 года назад

    Wewe hapo mbunge wa Ccm ndio unatumia vibaya ubunge wako unatakiwa ijiunge na Chadema hapo ndipo ubunge wako ungetumika vizuri

  • @nurumnyumba7964
    @nurumnyumba7964 2 года назад

    mbowe ni zaidi

  • @alexjovin2981
    @alexjovin2981 2 года назад

    Nimwamba

  • @meshacknyagawa2471
    @meshacknyagawa2471 2 года назад +1

    Mbowe ni mashuhuri ni shujaa yupo ndani ya mioyo ya mamilioni ya watanzania

  • @jacksonjonathan2262
    @jacksonjonathan2262 2 года назад +1

    Me nasema ongeza sauti hapo kwa mh.mbowe

  • @fabianmnyenyelwa8752
    @fabianmnyenyelwa8752 2 года назад +1

    nakubalian na wewe asilimia mia moja

  • @joshuaswai8203
    @joshuaswai8203 2 года назад +1

    Mbowe ni baba lao amepitia magumu hakina mfano na Mbowe ni Yule Yule amebarikiwa sana huyu jamaa

  • @mwl.frankmadembo7472
    @mwl.frankmadembo7472 2 года назад

    Mbowe is the first following with Maalim seif. Then the last one is Mwalimu Julius K Nyerere.
    Ni kwa sababu Nyerere aliongoza nchi ikiwa na wasomi wachache sana

  • @isaacndashuka5959
    @isaacndashuka5959 2 года назад

    Nakubaliana kwa watu wawili.1.Freeman mbowe.2.maalim seif. Kwa habari ya nyerere ni kwamba alikuwa mtu wa hila