Huu wimbo umenibari sana ilifika nilikua sielewani na mtoto wangu baada ya kupata ujumbe kwenye wimbo huu nilimsamehe mwanangu Lucy Mungu akubariki sana kwakunipatanisha na mtoto wangu
Amen! Nimesamehe wote waliyo nikoseya ilinimuone Mungu baba. Nikweli neno musamaha inakuwaka nguvu kuitowa. Wandugu wapendwa samehe waliyo kukoseya iliumuone Mungu. For give those who have sin against you so that you can see God and your sin we be forgiven.
Accenti sana mutoto wana Emmanuel N’a Kazi y’a Mikôno yake Kasi Njema Dada Wimbo muzuri saaana Ubarikiwe Kamue Hosanna Hallelujah Ndio Sameh Sameh Amen Shalom
Bado niko hapa sasa ni 2024 Oktoba😭😭
Asant da Lucy pamoja na kaka Lusekelo kwa wimbo mzur. Mungu awatie nguvu ktka huduma yen
Huu wimbo umenibari sana ilifika nilikua sielewani na mtoto wangu baada ya kupata ujumbe kwenye wimbo huu nilimsamehe mwanangu Lucy Mungu akubariki sana kwakunipatanisha na mtoto wangu
Kwelli dada lucy ili huwezekumpa utukufu mungu na mungu habaliki sana
Nabarikiwa Sana na nyimbo zako mtumishi Lucy daima Mungu azidi kukuinua kiroho
Kama unaangaria sahZ uskose kugonga like hapa mm mshamba wa ng'anda Amina. 2020 octoba
Wimbo mzuri unaogusa hisia za watu kwa kweli sister kristo aendelee kukuatamia panda viwango vingne dada tazama msalaba utakufikisha panapo nafasi
Balikiwa dada rusi unafalij sana
Touching song forgive words is very important and God will forgive you too your sin so that you will reach and see the kingdom of God
Dah! Huu wimbo unafikirisha sana kwa kweli.
Amen! Nimesamehe wote waliyo nikoseya ilinimuone Mungu baba. Nikweli neno musamaha inakuwaka nguvu kuitowa. Wandugu wapendwa samehe waliyo kukoseya iliumuone Mungu. For give those who have sin against you so that you can see God and your sin we be forgiven.
Xj.
Wimbo unanigusa Sana ubarikiwe Sana dada ruthi
Kweli kabisa kusamehea huponya moyo
Naupenda Sana huu wimbo nimepata faida kubwa mnoo ktk kusamehe 🙏🙏🙏🙏
Ameni msamaha ❤❤❤nimzuri
Pole Dada yangu,mungu yupo nawe
Ni kweli ukisamehe na kuachilia,unapata amani moyoni.
Sana
Nakukubali San Asante kwa uduma
Nimewasahe ili nimuone Mungu.nimeachilia.
Dada Lucy hiyonyimbo yanisamehe inaelimisha Sana safari ya kuitafuta mbingu
Hongera kwa wimbo mzuli
Poleee dada yanguu❤
hongera saaaana jaman kwa huduma
Nimekusamehe kwafaida yangu mwenyewe 🙏🙏🙏🙏🙌
Am blessed Mungu asante tujaalie mioyo ya kusamehe. Asantee Yesu Kristo bariki watumishi wako hawa
Yesu awabariki sana, huduma yenu izidi kuinuliwa.
Touching song!
Bless u sister lucy
Touching song,i will come back and read this comment in 2040 God willingly 🙏
Nabarikiwasana
Hongera sana
Accenti sana mutoto wana Emmanuel N’a Kazi y’a Mikôno yake Kasi Njema Dada Wimbo muzuri saaana Ubarikiwe Kamue Hosanna Hallelujah Ndio Sameh Sameh Amen Shalom
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Nikisikia hii nyimbo nawasamehe wote walionikosea
We should for our own good nice song
Hatali sana nimefunguliwa
Asante sana
Kweli kabisa
UJUMBE ULIOMO NDANI YA WIMBO HUU NI TIBA YA MOYO ULIOUGUA NA WENYE UTAMBUZI.
Kweli.kbs msamaha ukiobwa na usamehe kweli kweli cyo unasema nimekusamehe lakin sitasahau
Nawapenda mnavyo omba
Napenda san wimbo wako
2020 tupo pamoja tena watumishi wa mungu
Sauti nzuri, maneno mazuri. Msamehe umeona Mungu.
Nice song
🌹🌹🙏🙏samehe bure
Amina yatosha
wimbo mzur sana
Aksanti sana dada, mungu akubariki
🙏🙏
❤
Ahsante, naiona nguvu ya kusamehe
Asante Kwa Wimbo Muzuri Unaojaa Mafundisho Mazito
Hongera
Gud
Kabisa kusamehe ni neno LA busara
Ndiyo kabisa nime ku samehe
Pole sana dada yangu
Samehe ili umuone Mungu
Nmesameha kila mtu aliye nkosea na mimi pia nahitaji kusamehewa
Mungu awabariki
Nipe neema ya kusamehe na kuomba msamaha
Nimewaseh wote mlio nikosea
Nimekusamehe
Mtu ni wa kusamehe mwengine Mara kwa Mara ili uone ufalme wa mbiinguni..
Ameen
Nimekusamehe nakuachilia
Mwaka wa 2020 nimekusamehe
💘 2019
Kweli mamy
Ina burudisha na kubariki
Nice
Kuna nguv kwenye msamaha
Asante San dada
muwe mnaweka HD videos sasa 360 kwenye tv yangu ya inchi 60 naona chenga tu
Nikweli kabisa
Ujumbe umefika ahsante sana watumishi wamungu
Hatamimi nimesamehe kwajili yawalio nikosea
mmmh🙏🙏
Joseph. Nashukur sana kwaneno zr
Samehe sabamala sabini
Emmanuel Mugogo Benefits
play list
Darrod
Ahsante, naiona nguvu ya kusamehe
Nimekusamehe