HAYA NDIO MAISHA HALISI YA OSTAZ JUMA NAMUSOMA,,,TAZAMA HAPA MAJUMBA YAKE NA MAGARI YA KIFAHARI...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 янв 2025

Комментарии • 82

  • @chizashungu8364
    @chizashungu8364 3 месяца назад +1

    Kwa tabia zake hawezi kuwa na furaha.Mwenyezi Mungu ni Fundi.

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 Год назад +6

    Hongera mzee nyumba Kali Sana,,fanya uimalizie Sasa rangi na garden patakuwa pakali zaidi... big up....wanaoibeza watuoneshe za kwao

  • @barakabarkey9374
    @barakabarkey9374 Год назад +4

    Fèlicotation ostaz juma nakubari 🙏🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 Год назад +6

    wow wow papa namsoma you have a nice house i love it bravo iam happy for yoy

  • @webstonjaphet674
    @webstonjaphet674 Год назад +5

    Hongera nyumba nzuri tu eneo kubwa

  • @Atb300
    @Atb300 Год назад +1

    Big up bro🔥🔥🔥🔥

  • @emarsonjuma9045
    @emarsonjuma9045 Год назад +1

    Nampungia mkono musoma Juma from kenya

  • @bossmtoto133
    @bossmtoto133 Год назад +2

    Tanzania ni nchi ya ajabu sana Ustadh juma ni mganga tapeli kawatapeli watanzania wengi sana nashagaa anatowa wapi nguvu hii ya kusimama kwenye media na kuongea yani huyu tapeli

  • @NicholausKalolo
    @NicholausKalolo Год назад +2

    safi sana mzee wangu

  • @maxezeaguttu7821
    @maxezeaguttu7821 Год назад +7

    Ostaz kazidi wengi mnooo... Kumbuka Kuna kuku wengi wanawika Kila Siku Kwa mice lkn wamepanga

  • @mohamedshaaban9740
    @mohamedshaaban9740 Год назад +5

    Hongera brother Juma

    • @SuzieMahalu
      @SuzieMahalu Год назад

      ruclips.net/video/jy4x0OrGjHI/видео.html

  • @abdallahhamic3586
    @abdallahhamic3586 Год назад +3

    Sasa hauwezi kufanya interview mbka umtaje diamond unafeli wapi we mzee

  • @iwishtv7907
    @iwishtv7907 Год назад +3

    Usitamani Mali zao kwasababu hujui wanachokifanya kupata hizo Mali,
    Biashara kuu za hawa mameneja wa wasanii ni Madagascar ya kulevya

  • @jameschumbula7351
    @jameschumbula7351 Год назад +3

    Sio poa n........🔥🔥🔥🔥🔥

  • @shijalunemhya6546
    @shijalunemhya6546 Год назад +3

    Area gani kwanza pia mjengo wa kujistiri tu huo sio wa kisasa,

  • @jasiri25
    @jasiri25 Год назад +1

    Mwandishi Apo ni mtaa gan ??ili tuthaminishe bei ya nyumba namtaa

  • @tungarazalaurent2602
    @tungarazalaurent2602 Год назад +2

    Apo sio kwako pumbavu kwan unafikir hatukufahamu

  • @colletatesha5265
    @colletatesha5265 Год назад +1

    Ujaliwe upake rang na garden

  • @abdulikilala5902
    @abdulikilala5902 Год назад +4

    Hapa kwake acheni wivu

  • @NzoaSaid
    @NzoaSaid 10 месяцев назад

    Ongera❤

  • @RuJkru-r9i
    @RuJkru-r9i Год назад

    Kwani lazima umtaje daimond

  • @amanijampion3045
    @amanijampion3045 Год назад +4

    Sasa nyumba si kawaida tu, kwani wangapi wana nyumba???!!!

  • @eladiuspeter586
    @eladiuspeter586 Год назад +1

    Sasa hyo Nyumba ya kushindana na diamond ukiwa na miaka 50?

  • @andrecarlos1024
    @andrecarlos1024 Год назад +3

    Ostaz 🇲🇿🇲🇿🤝

  • @lujuomjanja2866
    @lujuomjanja2866 Год назад +3

    Hili zee sifa nyingi kumbe hakuna kitu, Jumba gani hilo we mwandishi acha ushamba ww ujaona nyumba nn?

  • @agwalubifaridah7079
    @agwalubifaridah7079 Год назад +2

    Hapo sio kwake muongo huyo

  • @bwizaparadise4193
    @bwizaparadise4193 Год назад +7

    Anakitu uyu nyumba sio yake 😂😂😂

  • @homesaickofficial7407
    @homesaickofficial7407 Год назад +2

    Sasa mbona atujaona ndani kama nyumba yake yani uyu ajielewi

  • @RuJkru-r9i
    @RuJkru-r9i Год назад +1

    Wewe kweli muislamu mbona unalugha za kihuni ustazi gani mzinifu

  • @adamnasibu5931
    @adamnasibu5931 Год назад +3

    Huyo hapo sio kwake

  • @saidchombo5952
    @saidchombo5952 Год назад +1

    Sio nyumba yake, mshamba tu.

  • @lutenganolukali2122
    @lutenganolukali2122 Год назад +1

    Mbna kawaida tuu

  • @hamadiayossy190
    @hamadiayossy190 Год назад +4

    Nimeamini diamond ni maji usipoyanywa utayaoga, maana hili zee hawezi kuongea bila kumtaja chibu,

    • @SuzieMahalu
      @SuzieMahalu Год назад

      ruclips.net/video/jy4x0OrGjHI/видео.html

  • @TarickHashimu
    @TarickHashimu Год назад +1

    Umejitaidi saxa

  • @uwimana6533
    @uwimana6533 Год назад +1

    Wewe ustadhi chizi mkubwa unasira na maisha ya daimond kipindi ulikua na umri wa daimond ulikua na mafanikio kama yake chizi mkubwa

  • @RuJkru-r9i
    @RuJkru-r9i Год назад

    Kumbe huyu mshaambaa ah kweli huyu hajitambui daimond tu ndo mana pua nyekund kama nguruwe mfukua mihogo

  • @WaziriRamadhan-ML
    @WaziriRamadhan-ML Год назад +2

    Daah huyu mzee muongo hii nyumba siyo yake ni nyumba ya mzee nassor ye anaishi ulaya kabla ht haijajengwa hii nyumba na alikuwa akituma hela na aliyesimamia hii nyumba ni mtoto wa mzee nassor anaitwa aziz😂😂😂

    • @GideonChacha-tn5lz
      @GideonChacha-tn5lz Год назад

      Anatupanga au

    • @WaziriRamadhan-ML
      @WaziriRamadhan-ML Год назад

      @@GideonChacha-tn5lz saaaaaaa siyo yake kbs hiyo nyumba😂😂😂

    • @WaziriRamadhan-ML
      @WaziriRamadhan-ML Год назад +1

      @@GideonChacha-tn5lz na ni nyumba ambayo haishi mtu tokea zaman sn maana hiyo nyumba haijaisha na ndiomaana kahojiwa nje ya nyumba na kusema familia yake haipo katengeneza mazingira tu

    • @GideonChacha-tn5lz
      @GideonChacha-tn5lz Год назад

      Hehehehe daaaaaah hatari,hivi kujenga ghorofa Km hiyo inaeza kuwa Bei gani

    • @GideonChacha-tn5lz
      @GideonChacha-tn5lz Год назад

      Kujenga ghorofa Km hiyo inaeza kuwa Bei gani tuseme

  • @babawamtaa8538
    @babawamtaa8538 Год назад +2

    😂😂kwa jinsi nilivo zisoma comments inaonyesha nyumba niya Mzee nassor😂😂

  • @abelimembe6990
    @abelimembe6990 Год назад

    We mbwa Mbona kila ukihojiwa unamtaja mondi

  • @hashimchaoga9566
    @hashimchaoga9566 Год назад +2

    Sasa ni hill gorofa au nyumba gani? Kwa sababu uelekeo tumeona sio Wa huko kwenye gorofa na ghafla tayari uuko ndani na hatuoni huo ukubwa Wa sebule wala chochote. Kuna siri gani hapa. Kama hilo gorofa hata parking hamna

  • @williammsungu2033
    @williammsungu2033 Год назад +1

    Eti wana natamani wakuone wewe kama nani umekuwa yesu au

  • @koyiasunga9785
    @koyiasunga9785 Год назад +1

    Ujanja ujanja mwingi sana huyo,yaani hapo atanavyoongea anaonekana kabisa siyo kwake.......sasa najiuliza kama una nyumba si uwe muwazi tu.

  • @vincentmushi1247
    @vincentmushi1247 Год назад +1

    Hana nyumba ili lizee linalala guest house...ameazima nyumba ya jirani apige picha kudanganya watu...

  • @hamzaadrin941
    @hamzaadrin941 Год назад +3

    Yani mbwembwe zote kumbe akiinuka tope akikaa maji 😄 🤣 😂 😂 zee jinga sana hili

  • @edwardimaana8827
    @edwardimaana8827 Год назад +1

    Tupe dengano

    • @SuzieMahalu
      @SuzieMahalu Год назад

      ruclips.net/video/jy4x0OrGjHI/видео.html

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 Год назад +1

    Ungekuwa unapesa ungemaliza kwa jeuli yako

    • @SuzieMahalu
      @SuzieMahalu Год назад

      ruclips.net/video/jy4x0OrGjHI/видео.html

  • @uwimana6533
    @uwimana6533 Год назад +2

    Kijumba chenyewe chakawaida mdomo mwingi 😂😂😂😂

  • @husseinhussein9971
    @husseinhussein9971 Год назад +4

    Kelele zote hizo halafu nyumba ina madirisha ya wavu.

    • @jiweg-unit5408
      @jiweg-unit5408 Год назад

      Katika mjengo huo kina dirisha la Nyavu humo tafadhari bwana jamaa kaonyesha mjengo wake siyo Yule mmanyema mburundi diamond 😂😂anasema ana Nyumba 126 mara hotel mara kisiwa 😂😂😂 Zanzibar tafadhari bwana dainamo sifa nyingi then hakuna kitu

    • @SuzieMahalu
      @SuzieMahalu Год назад

      ruclips.net/video/jy4x0OrGjHI/видео.html

  • @MJ-rr6dy
    @MJ-rr6dy Год назад +1

    hana maisha huyo anaonyesha nyumba za jirani

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 Год назад

      Maisha unayo wewe

    • @newbillionaire701
      @newbillionaire701 Год назад +1

      Uyu namjua ana hela mzee hata uyo aliefungua ni mdogo wake kweli nmesom nae najua hadi kwao sio maskini mzee

    • @RobertMnyuzi-ge4rb
      @RobertMnyuzi-ge4rb Год назад

      Wewe unayo

    • @alimatambwe3402
      @alimatambwe3402 Год назад +1

      Afu mtangazaji,tuonyeshe kwako siku moja or kwenu jinsi family yako inavyo ishi.

    • @sirpaza8513
      @sirpaza8513 Год назад

      Wewe una jengo kama hilo.

  • @bossmtoto133
    @bossmtoto133 Год назад +1

    Babu tale sharo millionaire kitate dogo janja PNC wote wanajua huyu ni mganga tapeli sio mganga tuu bali ni mganga tapeli amewatapeli watu wengi sana Tanzania Kenya quatar Zanzibar afu unakuta mjinga anakuja hapa kumtetea kama nimesema uongo basi nife leo

  • @sadikishabani4779
    @sadikishabani4779 Год назад

    KUMA LA MAMA AKE SHAMBA TAPELI TU HUYU CHOKO

    • @SuzieMahalu
      @SuzieMahalu Год назад

      ruclips.net/video/jy4x0OrGjHI/видео.html