Dokta Chris mimi nina matatiz na mume wangu nimekuwa mtu wakumkosea kila imefika stedi kaniambia amenichoka nahanitaki tena na ukija kuangaria mimi bad nampend kikubwa zaid natak kuowa mwezi huu nisaidie nifanye nini iri niweze kusamehewa na mume wangu
Asante,nimefanya hili nimeona jambo la ajabu kwenye maisha yangu BWANA amenifanyia nani ushuhuda kabisa ubarikiwe sana Mtumishi
kuna wengine tunaomba msamaha lakini bado kila mwaka unakumbushiwa yaliyopita sjui kweli kuna ndoa ya kudumu au penzi ndo lishaisha
U have very good content Dr.Chris.Very educative
Asante
Naomba namba kaka
.
Safi
Jamani je vipi mwanaume unaweza muomba msamaha akawa anashindwa kukusamehe
Mimi nipo kwenye mahusiano lkn boy friendi wangu ansema sina vigezo naomba msaada wako maana tunaendana sana naomba ushauri
Docta mie nimemuomba msamaha kwa mwepenzi wangu ndani ya masaa 6 nalia na kumuomba msamaha na amekataa je nifanyaje
We ni mwenzangu namm ata sielew chakufanya na nampenda san
Masaa 6 unachoka mie naomba Msamaha miez 2 sàsa😭 ila naomba kwake na namuomba Mungu ampe roho ya kusamehe
Ww kama mm ukijaribu kusema hili anasema hilo ata sielewi aki nanimemupenda ile mbaya
Dokta Chris mimi nina matatiz na mume wangu nimekuwa mtu wakumkosea kila imefika stedi kaniambia amenichoka nahanitaki tena na ukija kuangaria mimi bad nampend kikubwa zaid natak kuowa mwezi huu nisaidie nifanye nini iri niweze kusamehewa na mume wangu
Naomba namba Yako mkuu 🙏 unamasomo mazuli
Docta mtu unamuomba msamaha lkn haelew kabisa
Unambembeleza wapi anatatumia kumuomba msamaha kama ndio fimbo ya kunichapia kutumia kosa langu nijisikie vibaya navyowaambia nimebembeleza mpka basi
Ww ni Mimi kabisa
😑
Vp yule anaomb msamah lkn haishi kurejea ttzo hilohilo ???!!!
.
Safi