NIFUATE - K2ga Ft Alikiba & Samatta (Official Audio)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 май 2021
  • NIFUATE is the project held by Samakiba Foundation , Founded by Mbwana Ally Samatta and Ally Saleh Kiba, with the aim of raising fund
    K2GA provided the project with this special anthem using his special talent to support the movement Founded by his Kings Music Boss ( Alikiba)
    Connect With K2GA on Social Media:
    Instagram: / k2ga_tz​
    Facebook: / ​
    Audiomack:audiomack.com/k2ga​
    Twitter: / k2ga_
    Connect with Alikiba on Social Media:
    Instagram: / officialalikiba
    Facebook: / officialalikiba
    Twitter: / officialalikiba
    TikTok:vm.tiktok.com/ZSmuTQ2W/
    Connect With Samatta on Social Media:
    Instagram: / samagoal77
    Facebook: / soka360tz
    Twitter: / samagoal_77
    #K2ga #Alikiba #Samatta
    ©2021 Kings Music Records.All rights reserved.
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 827

  • @stephenjuma6573
    @stephenjuma6573 3 года назад +9

    From Kenya naomba tuwafuate na like ata 100 jameni, wapi likes za k2ga na king kiba

  • @jaybacky9613
    @jaybacky9613 3 года назад +44

    Hongera bro umetishaa

  • @rajabkasonga832
    @rajabkasonga832 3 года назад +160

    Kings music for life, gonga like kwa kings music

  • @hkingtv246
    @hkingtv246 3 года назад +5

    Nipeni like nami nijisikir jaman team Kings jaman du ngomq kali sn noma #k2ga

  • @joaotiago4235
    @joaotiago4235 3 года назад +95

    K2GA, Team Kiba 🔥🔥 Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @nobertfanuel2299
    @nobertfanuel2299 3 года назад +6

    Nifuate is🔥🔥🔥🔥 Team samatta&team kiba woote gonga like apa twende sawa

  • @eustacebyarugaba8606
    @eustacebyarugaba8606 3 года назад +69

    Samahani kings music tunaomba huo wimbo Wa nifuate urudiwe

  • @abdulkhalfan4695
    @abdulkhalfan4695 3 года назад +14

    Nice sana 👍🏼
    Hiii kali ❤️

  • @faustinkilote4687
    @faustinkilote4687 3 года назад +6

    Nope like mbili tu kwa kusoma comment 😘😘😘team kinda forever.

  • @khalfanmbaroukmohd4943
    @khalfanmbaroukmohd4943 3 года назад +87

    🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Kings music ndio njia ya maisha yangu tuko mbio sana hawatuon hata vumbi

  • @mshuamsuya789
    @mshuamsuya789 3 года назад +20

    K2,GA sauti unayooo lazima nifuate

  • @frankchibago3206
    @frankchibago3206 3 года назад +34

    Webwenge hakiamungu unajua mpaka unakela mungu akubariki ufike mbali kimziki unajua jombi ,k2ga one

  • @mbmussa_fashionstyle9824
    @mbmussa_fashionstyle9824 3 года назад +283

    Leo na mim nimekuwa Wakwanza jama nipen hata like 50

  • @ross_elly_freedom
    @ross_elly_freedom 3 года назад +11

    K2ga uko vzr brother toto la King's music

  • @eugendawilson1644
    @eugendawilson1644 3 года назад +47

    Karibuni Iringa team kiba f9r life🔥🔥🔥🔥🔥

  • @silversindjalabakeni2533
    @silversindjalabakeni2533 3 года назад +6

    # nifuate bele kwa bele 🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️mpaka kieleweke wangapi tunakubaliyana na project king Kiba and samata 💫

  • @mohamedmussa3931
    @mohamedmussa3931 3 года назад +55

    Team kiba sauti zao zina kutoa stress za maisha ..ni good music.k2ga fire..

  • @infosdestars
    @infosdestars 3 года назад +46

    Ume kuwa Kaka Kali kweli ata kwajili ya Africa league IKO Sawa team kiba #nifuate

  • @aliraeeq
    @aliraeeq 3 года назад +48

    K2ga 🔥🔥🔥 vocal kali

  • @josephatjordan5560
    @josephatjordan5560 3 года назад +74

    K2ga Umeuaaaaaaaa✅✅✅✅🤛🤛
    Jaman Voice hyo nan kaielewa kama mm😳😳❤️❤️☝️

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili 3 года назад +23

  • @omayakiba239
    @omayakiba239 3 года назад +17

    Daaah nimechelewa kucommente nimekua mtu wa78

  • @ibrahimmacheda4934
    @ibrahimmacheda4934 3 года назад +39

    MchizWaUk Nifuatee 🔥🔥🔥

  • @haimahaima9473
    @haimahaima9473 3 года назад +58

    Team kiba hapa 💣💥💥💥

  • @rojatv167
    @rojatv167 3 года назад +97

    Natamani huu wimbo ungesikika na Hivi k2ga ft Tommy fraver

    • @rojatv167
      @rojatv167 3 года назад +3

      Kwamara ya kwanza

  • @ronibiz6926
    @ronibiz6926 3 года назад +22

    Nufuatee mme tishaa Sanah

  • @NellyWaKidato
    @NellyWaKidato 3 года назад +51

    Umakini wa kiwango cha hali ya Juu King's Music Records Lebel 4Life

  • @elardmadeez3382
    @elardmadeez3382 3 года назад +17

    Nifwaaaaaaateeeeeee UKONGA MABEGANI MWA MWANENU #K2GA #kingsmusicforlife

  • @tonyscotts7484
    @tonyscotts7484 3 года назад +5

    Oyaaaa tunatrend namba12 huku

  • @ngoeupdates6698
    @ngoeupdates6698 3 года назад +86

    Baba Ki2ga ..iyoo vocal ni fireee mzeee big up ...ndo TUSHAWAFATA sasaa

    • @lexq-sm6lq
      @lexq-sm6lq 3 года назад +2

      Huyu jamaa mbona kama Alikiba!!

  • @Wilbert_Gaitan10
    @Wilbert_Gaitan10 3 года назад +21

    Oyaaaa huyu jamaa anasautiiii kalii

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 3 года назад +21

    Mambo mazuri #NifuatetwendepamojaIringa

  • @livingstonking9818
    @livingstonking9818 3 года назад +36

    K2g tupeburudani tulimisi sauti yako pamoja mistari yako nice song 🔥🔥🔥💓💓💓🎤🎤🎤🎧🎧🎧🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @official_vanchaz
    @official_vanchaz 3 года назад +25

    First comment🔥🔥🔥🔥Pin this☝🏼

  • @richguardian1286
    @richguardian1286 3 года назад +7

    Jamaa analiza sauti kama kinanda😂💥💥💥k2ga hatarrr kaka

  • @carlosgaetan855
    @carlosgaetan855 3 года назад +17

    rahaa kuwa kings 👍👍👍👍

  • @makondechannelmpeme9741
    @makondechannelmpeme9741 3 года назад +23

    Tujuane apa watu wa king K2GA from moz yeah 🇲🇿

  • @streetmusicindustry2785
    @streetmusicindustry2785 3 года назад +56

    Nifuate ya mwaka huu iko fire sana

  • @rich_kidd36
    @rich_kidd36 3 года назад +26

    Kweli💫

  • @jamalomary8651
    @jamalomary8651 3 года назад +17

    daah cjawah kuwa na shaka na uwezo bravo hit song fln wid different flavour

  • @chrissjoel7752
    @chrissjoel7752 3 года назад +27

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Balaaaaaaaaa

  • @gilbertmushi.
    @gilbertmushi. 3 года назад +5

    Nyimbo nzuri yakuwavuta watu karibu kuwa na upendo,umoja nimeipenda kwel

  • @iddallahshabani1763
    @iddallahshabani1763 3 года назад +26

    Lini iyoooo nifuateee namimi

  • @twahamwega6815
    @twahamwega6815 3 года назад +3

    Mashabiki ndiokilakitu tuiyangalie ngoma msanii apateham yakutoa kaz tusimuangushe

  • @hamisikabei3931
    @hamisikabei3931 3 года назад +14

    Tunakuja mzee

  • @sulleymtown6409
    @sulleymtown6409 3 года назад +7

    Oya k2ga ni nomaa sana

  • @yunusyusuph6002
    @yunusyusuph6002 3 года назад +13

    Daaaaaah kubabek bonge la ngoma lina vibe ya hatar

  • @rojatv167
    @rojatv167 3 года назад +45

    Oyaaa iende trending

  • @pstvtz2198
    @pstvtz2198 3 года назад +227

    Kama umekubalii nifuate naomba like 2 tuuuuu king kibaa from Canada. Hommy tv

  • @Mokiwa_Rajabu
    @Mokiwa_Rajabu 3 года назад +29

    Kituuuu hii iko poa 🔥🔥🔥🔥

  • @edwardnelson335
    @edwardnelson335 3 года назад +24

    k2ga one🔥🔥🔥🔥💥💥💥💥

  • @hafidhhag30
    @hafidhhag30 3 года назад +23

    Nifuate 💥💥💥

  • @suleyhumoud1896
    @suleyhumoud1896 3 года назад +13

    Furaha kubwa ilioje kwa kila Mtanzania kwa hakika ni ubunifu mkubwa sana kwa kisaidia watu tofauti tuwaunge mkono KING na SAMATTA kwa nguvu zote

  • @emmanuelponera3913
    @emmanuelponera3913 3 года назад +5

    K2ga unajua sna adi unaboa yaniiiiiiiii✍️✍️👊

  • @ibraah_leotz730
    @ibraah_leotz730 3 года назад +12

    Mwana mfarume🤴🔥🔥🔥🔥

  • @essaujonathan3773
    @essaujonathan3773 3 года назад +6

    K2ga mchizi wa Uk...🔥🔥🔥🔥

  • @gildansitiel2920
    @gildansitiel2920 3 года назад +31

    😁😁noma alafu huo anaimba utan je akiimba serious

  • @ramadhanrashidi2842
    @ramadhanrashidi2842 3 года назад +5

    Kwan jaman izi like zina utamu gan kila m2 anataka

  • @innocentsafari9159
    @innocentsafari9159 3 года назад +37

    Awwwh! Team kiba🔥🔥🔥🔥👂👏🌟👑

  • @mabubakitambi6599
    @mabubakitambi6599 3 года назад +52

    Fireee

  • @jukaboytz4400
    @jukaboytz4400 3 года назад +38

    Tupambne tuifikishe namba one on trending

    • @hidayaking3383
      @hidayaking3383 3 года назад

      Tatatizo team kiba wavivu sana au sijuwi tuko kidongo ata sielewi

    • @NellyWaKidato
      @NellyWaKidato 3 года назад

      @@hidayaking3383 😍😍😍

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 3 года назад

      Endeleeni kuotaa

    • @NellyWaKidato
      @NellyWaKidato 3 года назад

      @@afterfull-time1348 pokea zawadi nono ya kumwagiwa shahawa mkunduni mwako shoga ww

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 3 года назад

      @@NellyWaKidato Na huo upuuz ndo maana hamuendeleiii

  • @jaymalleytz
    @jaymalleytz 3 года назад +23

    Noma saaana

  • @tadashaclassic7766
    @tadashaclassic7766 3 года назад +6

    Dah! Nimechelewa ila sio mbaya

  • @sumahtanzania4991
    @sumahtanzania4991 3 года назад +3

    Congratulations sana kaka k2ga sauti nzur kama vile kaka aliy kb

  • @twahamwega6815
    @twahamwega6815 3 года назад +4

    Nakubali youngking

  • @suleamber844
    @suleamber844 3 года назад +2

    K2ga ,MCHIZ WA UK tunataka kingsmusic iliyochangamka zaid mnapoa sana mnatuangusha wana kings

  • @suelmasimoes4083
    @suelmasimoes4083 3 года назад +116

    I love kings musica from Moçambique🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @fridaynight5504
    @fridaynight5504 3 года назад +44

    This song is a damn vibe 🤸‍♀️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♀️🤸‍♀️Nifuate 2021 here we come👑👑👏👏👏👏👏👏

  • @tarikiramadhan6039
    @tarikiramadhan6039 3 года назад +5

    Wataelewa tyu moto umewakaaa
    Team kiba for Life
    Naomben jaman👊🏽

  • @mudykai4950
    @mudykai4950 3 года назад +3

    ooyiiiiiiiiiiiii tunakuja tunakuja....🔥🔥🔥🔥🔥🔥 king musc

  • @rajabubojoo9467
    @rajabubojoo9467 3 года назад +6

    Mchiz wa uk ni 🔥🔥🔥🔥

  • @mistalbboy8432
    @mistalbboy8432 3 года назад +16

    Mchizi wa UK🔥🔥

  • @heriethgodfreyhegoxa5551
    @heriethgodfreyhegoxa5551 3 года назад +5

    Woooooh I can't wait to see this💓💓💕💓💕💕✨💕✨💕💓💕❤️💕💓💕💓💕💕💓💕💓💕💓💕💓💕✨💕✨💕✨💕💕✨💕✨💕✨💕✨💕💕✨💕✨💕✨💕💓💕💓💕💓💕💕💓#SAMAKIBA @officialalikiba X @samagoal ths time we need to b the winners @team_kiba

  • @lanafelix8649
    @lanafelix8649 3 года назад +36

    Kings music 👑

  • @yebabatz1776
    @yebabatz1776 3 года назад +31

    Team kiba balaaaa zito like apa

  • @kassimmtepa306
    @kassimmtepa306 3 года назад +5

    K2gaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
    Nakukubari,,,,Snaaaaaaaaaaaaaaa

  • @monicanakshi3667
    @monicanakshi3667 3 года назад +4

    Hongera kipenzi

  • @lilianemmanuel9158
    @lilianemmanuel9158 3 года назад +2

    Samakiba nifuatee iringa kamwene tunakuja mwana wa mfalme ni🙌🙌

  • @omarioncosmas8504
    @omarioncosmas8504 3 года назад +4

    Kali sana nakubali naomba like hata 50 tu

  • @gnoah394
    @gnoah394 3 года назад +2

    Asee mwaka huu mtauwa sna king music mwaka ni wetu

  • @rockeym4411
    @rockeym4411 3 года назад +9

    Sauti 🔥🔥

  • @damsonnotation2231
    @damsonnotation2231 3 года назад +50

    Atalii mzee Kings Music we make it

  • @fridaynight5504
    @fridaynight5504 3 года назад +15

    Let's goooooooooooo Nifuate 2021 uwiiiiiiii🔥🔥🔥 best football song👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @adofood9013
    @adofood9013 3 года назад +8

    K2ga4life 🎶🎶🎶🎶 unajuwa sana brooo

  • @youngpozze
    @youngpozze 3 года назад +34

    K2ga for life 💐 💥

  • @emmanuelmwansasu347
    @emmanuelmwansasu347 3 года назад +32

    Nifate 🙌🔥

  • @anordbwai5620
    @anordbwai5620 3 года назад +3

    Uko Njema Kiba Mdogo k2ga 👍👍👍👍👍

  • @slyvesterpaul1212
    @slyvesterpaul1212 3 года назад +24

    Fireeeee

  • @kingsmusicfans1416
    @kingsmusicfans1416 3 года назад +19

    KINGS MUSIC WORLDWIDE 🌐 💜 ❤ ♥ SO TALENTED #K2GA

  • @idarousomar1
    @idarousomar1 3 года назад +4

    Wimbo umekaa kisoka zaidi big up sana kwenu

  • @ammyskills5588
    @ammyskills5588 3 года назад +4

    Big up kwako k2ga, huwa nakukubali xana nyimbo zako🔥🔥#Hawataki

  • @Neromania_jr
    @Neromania_jr 3 года назад +3

    Mm naitaji tu like kama w n timu kiba

  • @omarmzee758
    @omarmzee758 3 года назад +2

    Ali kiba uyo ki2ga anajua tena anajua sana usiache kumpa kampan yako ili afike mbali zaid, mrith wa saut yako

  • @michaelfrancis9033
    @michaelfrancis9033 3 года назад +6

    Hongera Sana team kiba

  • @elisharaphael7529
    @elisharaphael7529 3 года назад +2

    Oyaaaa ifuate kings music kwa mambo matamu na motooo,Kings music forever

  • @oscarmills0819
    @oscarmills0819 3 года назад +7

    uyu ndio kings music original ndio maana akitoa tu nyimbo inakuwa on trending

  • @chandembanila2147
    @chandembanila2147 3 года назад +13

    Nifuuuaaaaate🤲🏃‍♂️🏃‍♀️

  • @samjuniortz2559
    @samjuniortz2559 3 года назад +4

    Tunaosikiliza hiii ngoma huku tukisoma comment gonga like

  • @kingsmusicfans1416
    @kingsmusicfans1416 3 года назад +11

    KINGS4LIFE 🌍 🌎 🌍 NA TULIKO USA 🇺🇸 TUNA WAFUATA PIA✌

  • @jacobolucas5935
    @jacobolucas5935 3 года назад +2

    Jamani mie nauliza wale walio kimbia king music wako wapi Leo #k2g piga kazi mdog wangu