WAUMINI TANZANIA WAANDAMANA KWENDA KANISANI KWA PASTOR EZEKIEL WAMUOMBEA NA KUIOMBEA NCHI TANZANIA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 июн 2024
  • Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
    Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
    Facebook: / kusagamedia
    Instagram: / kusaganews
    RUclips : www.youtube.com/@kusagatv6320...
    Tiktok. www.tiktok.com/@kusaganews?la...

Комментарии • 52

  • @jonathankisembo3787
    @jonathankisembo3787 4 дня назад

    Watanzania Jameni mumenifundisha mengi hapa, mumekuwa mufano muzuri sana Africa na hata ulimwengu muzima. Nawapenda sana. Mungu azidi kuwabariki daima

  • @AishaTarimo-hj2nj
    @AishaTarimo-hj2nj 11 дней назад +4

    Kusaga hongera sana unapambana sana yaan!! Mungu awe nawe Always

  • @ColletaOngango
    @ColletaOngango 8 дней назад +1

    Mara ya kwanza tangu nizaliwe Taifa jirani, na Mungu wa Binguni ampee Ev EZEKIEL ODERO OBUKO, maisha marefu iwe sehemu ya maisha yako katika Jina la Yesu kristo.

  • @HappinessminjaHappysiami-xx4df
    @HappinessminjaHappysiami-xx4df 10 дней назад +3

    Nimetamani Nami ningekuepo jamani ila sikupata taarifa hizi,kwa Imani najiunganisha na madhabahu hii Mungu ukatende Yale yaliyo mapenzi yako

  • @PriscaMassawe-vb4ix
    @PriscaMassawe-vb4ix 6 дней назад

    Natamani ningekuwepo mungu awabariki kupitia nyietunapokea baraka hizi baba ezekil asante

  • @PriscaMassawe-vb4ix
    @PriscaMassawe-vb4ix 6 дней назад

    Amina mungu akubariki pasta ezekieli

  • @NaomiNakhumicha4636
    @NaomiNakhumicha4636 11 дней назад +2

    Kusaga Tv be blessed 🙌🏻🙌🏻✨✨✨❤

  • @user-er5dt8hg1l
    @user-er5dt8hg1l 6 дней назад

    Mubarikiwe wakenya na watanzania

  • @stevendavid8054
    @stevendavid8054 6 дней назад

    Mungu ikumbuke tanzania

  • @user-mr3fn1hc2y
    @user-mr3fn1hc2y 5 дней назад

    Neno la mungu liiniliwe milele na milele Amina

  • @StelaJohn-nj5yf
    @StelaJohn-nj5yf 6 дней назад

    Glory be to God.. Hallelujah

  • @isayatippe6409
    @isayatippe6409 2 дня назад

    Moyoni mwangu sibarikiwi Sana ninaposikia wachawi wanatajwa Kama watu wasiotakiwa katika jamii wakati Yesu alikufa kwa ajili yao ili waokolewe! Kwa mfano kuna baadhi ya wahubiri wanaosisitiza kuua wachawi, kitu ambacho Agano Jipya halijawahi kutenda!!!
    Tuwahubirie Injili ili waje kwa Mwokozi wao aliyewafia!

  • @hellengoretti1620
    @hellengoretti1620 10 дней назад +1

    Amen😊🙏👏👏👏👏🙏🙏🙏 WAKENYA 🙌🙌🙌🙌

  • @ferdaedward8373
    @ferdaedward8373 8 дней назад

    MUNGU awabariki kupitia nyie tunapokea barka hizi Baba Ezekil Asante kwakukubalikutumwa nakusimama kwajili yetu

  • @user-ql7to3rm3p
    @user-ql7to3rm3p 8 дней назад

    Ameeeeeen ❤❤❤❤❤❤❤🇰🇪🇹🇿🇰🇪🇹🇿🇰🇪🇹🇿🇰🇪🇹🇿Hawa ni watu wa Mungu🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AdhiamboAnn
    @AdhiamboAnn 7 дней назад

    Amen mungu akubariki mtumishi Wa mungu

  • @saraikengara4616
    @saraikengara4616 10 дней назад

    Amina amina amina watazania mnatufundisa sisi wakenya kweli. Twajifunza

  • @user-ce4ll8jz4r
    @user-ce4ll8jz4r 10 дней назад

    Najiungamanisha na ibada hii New life isonge mbele iendelee kumtangaza Yesu .kutoka home Manyara .

  • @NephaelMoriasi
    @NephaelMoriasi 8 дней назад

    Amen 🙏 watanzania wanapenda injili ya bwana ipewe sifa,watanzania wameshinda wakenya

  • @rechealnjeri8930
    @rechealnjeri8930 8 дней назад

    Wamini wa Tanzania mungu ambariki

  • @milkewako4807
    @milkewako4807 10 дней назад

    Watanzania kwa ukweli wanapenda injili sana kwa Roho yote Mungu awabariki

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 11 дней назад +4

    Acheni kudanganya watu mwombe Mungu ili awafunulie kinachoendelea

  • @simamwakalobo1771
    @simamwakalobo1771 10 дней назад +1

    Amina mbalikiwe

  • @helenarhobi1250
    @helenarhobi1250 10 дней назад

    Asanteni kweli tuna amaini. Karibuni Tanzania!

  • @billian1914
    @billian1914 10 дней назад

    ASANTENI SANA WANA WANYOTA, MUNGU AWABARKI SANA TZ+ KENYA.

  • @user-zj4ii6uf7t
    @user-zj4ii6uf7t 9 дней назад

    Hongereni sn wa Tz kwa michongo ya kivuri cha kabisa wakati ni nyoka

  • @angle3600
    @angle3600 7 дней назад

    Ok ,karibuni Kenya,Na pastor Eziekil ubarikiwe,ila sini Tanzania kuna Kiboko ya wa chawiii,ni Kweli Muganga akubaliki kwao

  • @angle3600
    @angle3600 7 дней назад

    Kama ulivyo watowa kwao Mungu wasirudi bure makawa,wabariki na uwaponye

  • @WilliamSamwel-vh5op
    @WilliamSamwel-vh5op 6 дней назад

    Amen🎉 6:55

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 10 дней назад +1

    Viangozi wanazidi kuwa mafisadi wanajua hatutafanya kitu tuna woga wa kuhatarisha amani. Mungu anawaona viongozi

  • @samwelmsongoa1861
    @samwelmsongoa1861 10 дней назад +1

    Kusaga unanipa raha

  • @alicenalulwe84
    @alicenalulwe84 9 дней назад

    Greatness

  • @milkajeruto7756
    @milkajeruto7756 10 дней назад

    Ameeeen

  • @gasperurassa6440
    @gasperurassa6440 10 дней назад

    Amen Amen Amen

  • @nuruhabibasally
    @nuruhabibasally 10 дней назад

    Woow

  • @judithzabron4349
    @judithzabron4349 10 дней назад

    Paster njoo na dodoma

  • @PacificahOmwoyo
    @PacificahOmwoyo 8 дней назад

    Ameeen

  • @user-zk9ox3di4b
    @user-zk9ox3di4b 10 дней назад

    asante sana lakini aimaanishi yakwamba watanganyika awakusoma nawa na wakoloni SA SA serekali ya Samia na CCM wanajificha makanisani ili

  • @evansnyams
    @evansnyams 10 дней назад

    Mimi ni mkenya lakini Tanzania hapo mmetushinda sisi wakenya

  • @jastinekivuyo1173
    @jastinekivuyo1173 8 дней назад

    Amen 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @PriscaMassawe-vb4ix
    @PriscaMassawe-vb4ix 6 дней назад

    Pasta njoo hai

  • @NassonSanga
    @NassonSanga 10 дней назад

    Leta kahama jamani,

  • @user-us7yj6yg8y
    @user-us7yj6yg8y 10 дней назад

    Azam ni chanel mamba ngapi mbona nimeitafut siion

  • @PriscaMassawe-vb4ix
    @PriscaMassawe-vb4ix 6 дней назад

    🎉😂ameni

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 8 дней назад

    😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 10 дней назад +1

    Nani kawatuma

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 11 дней назад

    Acheni kudanganya nyie watanzania,kuna amani gani Africa

  • @angle3600
    @angle3600 7 дней назад

    Kipare anaongea kama wataita

  • @erickmsigala138
    @erickmsigala138 8 дней назад

    Tanzania hakuna amani kuna wajinga wengi! Hawana uwezo wa kukataa udhalimu wawatawala

  • @gasperurassa6440
    @gasperurassa6440 10 дней назад

    Amen Amen Amen

  • @gasperurassa6440
    @gasperurassa6440 10 дней назад

    Amen Amen Amen