Kurasini SDA Choir - Bwana akiwa Upande Wangu

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 янв 2025

Комментарии • 259

  • @PatrickKutungakulivapatrick
    @PatrickKutungakulivapatrick Месяц назад +2

    Kweli watu wa Mungu wimbo huu unaleta nguvu kweli muhishi milele my God bless you I wrote you from drc congo I'm a Pastor

  • @emmanuelnduki6089
    @emmanuelnduki6089 4 месяца назад +3

    nguvu za giza zilinisumbua usiku mlango unagongwa sioni mtu niliondoka na simu yangu ikiimba huu wimbo kweli palipo Yesu mambo shwari hao wenyewe hawakusumbua tenaa Yesu akiwa upande wangu

  • @michaellumumba1779
    @michaellumumba1779 Год назад +2

    Usiwahi kubali kukaa mbali na uwepo wa MUNGU ni jambo baya sana kukaa mbali na Yesu forever. Tuajalie kukaa na wewe Ewe MUNGU wetu.

  • @ruthalfayo-wp3nu
    @ruthalfayo-wp3nu 11 месяцев назад +1

    Mungu azidi kuwapigania. Cku zote na mfike mbali nyimbo nzur Cana zinanisogeza karibu na yesu

  • @ashurantunzwenimana5975
    @ashurantunzwenimana5975 2 месяца назад +1

    Hakuna kabisa nikiwa na YESU nipo Salama 🙏👏

  • @JaneMarale
    @JaneMarale 3 месяца назад

    Hii kwaya jamani tujitahidini tufike Mbinguni tukaimbe pamoja ,naipenda Kurasini kwaya tangia Niko mdogo ,saitu ya tatu naipenda sana maana wanavionjo vizur

  • @nyachirangimlengwa
    @nyachirangimlengwa 4 года назад +8

    Yesu akiwa upande wangu mambo ni shwari...Amen mbarikiwe Kurasini

  • @orphamasden20
    @orphamasden20 4 года назад +26

    Amen,,Kenya- Diaspora team show some love here

  • @joashokombo4593
    @joashokombo4593 4 года назад +4

    Mungu aendelee kuwapa nguvu na kuwa watia moyo ......nabarikiwa na nyimbo nikiwa hapa Kenya ...

  • @davisntuba4742
    @davisntuba4742 4 года назад

    Yaani hii kwaya Mungu anawaona maana mnajua kuuonea ufalme wa mbinguni yaani kama naona Yesu anashuka leo Love Kurasini Choir

  • @Salomek.v
    @Salomek.v Год назад

    Yesu akiwa upande wangu nko salama, Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @ezramwijarubiKesheni
    @ezramwijarubiKesheni 4 года назад +2

    Mungu awabariki tuendelee na kujitayarisha kwa marejeo ya Kristo. Nawaombea Kurasini kuendelea kufanya utumishi kuenzi mema ya Mwalimu wetu ambaye kwa muda aliopanga Yesu. Unyenyekevu, ubunifu, ujasiri, umahili na upendo umeifikisha kwaya yenu hapo mlipo. Nawasihi mzingatie hizo U 5 alizokuwa nazo mwalimu wenu na rafiki wa watu

    • @peninahnjambi7185
      @peninahnjambi7185 4 года назад

      Kuwa na Yesu ni Kenya mikono salama you have blessed my soul may God bless you big and give you strength to continue

    • @christinamgeni2242
      @christinamgeni2242 4 года назад

      Barikiwa saanah

  • @nehemiahmaeri7159
    @nehemiahmaeri7159 4 года назад +5

    Kuwa na Yesu, ni kuwa kwenye mikono salama, Mambo ni shwari,sitikiziki kwa lolote! 🙏🙏
    Wimbo mtamu sana. Zidi kumtumia Mungu wanakurasini, nawapenda sana!!

  • @orengenyabuto4457
    @orengenyabuto4457 4 года назад +7

    Amina. Wimbo unaotukumbusha kuwa Yesu yu mambo yote kwetu

  • @habelkalume9011
    @habelkalume9011 4 года назад +1

    Waaaaaaaaaaah!!! Aki Usidanganywe Mungu wa Hawa Kurasini ni Mungu wa Uwezo......Hii ndiyo kwaya Best hapa EAST Africa

    • @kurasinisdachoir
      @kurasinisdachoir  4 года назад

      Barikiwa na Bwana!

    • @habelkalume9011
      @habelkalume9011 4 года назад

      @@kurasinisdachoir Amina...Kweli nyinyi ndugu mnanibariki msife moyo tafadhali haya ni mapito tu,ntajengeka zaidi nikiona kurasini inakuja tena moto zaidi njoni na mipango tofauti yenye itawawezesha mpenye kwenye mlishindwa,,,,stay blessed frm Msa Kenya

  • @bernardmaranga1429
    @bernardmaranga1429 4 месяца назад

    Amina sana mungu asidi kuinuliwa milele

  • @Annie-mg7sz
    @Annie-mg7sz 3 месяца назад

    Amina wana kurasini
    Wimbo yesu akiwa upande wangu uko so powerful....mbarikiwe mnoo kwa injili hii

  • @OLUNGAJOSHMAH
    @OLUNGAJOSHMAH 4 года назад

    Bwana akiwa upande wangu,nini cha kunihofisha maishani....niko salama milele...Amen Kurasini

  • @hydanruta1511
    @hydanruta1511 4 года назад +1

    sihofii wala siogopi maana Yesu yupo upande wangu ..watesi wangu wapo kimya...Mungu awabariki sana watumishi kwa wimbo mzuri

  • @RuthKwamboka-v5l
    @RuthKwamboka-v5l Год назад

    Amen..am so blessed from Kenya tunawapenda sana

  • @erickratemo2468
    @erickratemo2468 Год назад

    Amen 🙌🙌 niko salama Kwa mikono ya yeso God is good all the time

  • @purityruwa6536
    @purityruwa6536 4 года назад +3

    Aaaammmen....sabato njema. Siogopi kitu coz najua Yesu yunami.

  • @mk.daniels1875
    @mk.daniels1875 4 года назад +7

    When Jesus is on my side i can fear not nothing that can really shake me . Amen

  • @simonrowa4061
    @simonrowa4061 4 года назад +1

    Mbarikiweni sana wajoli kwa kazi nzuri ya kutuongoa nafsi

  • @DorothyMwanyalo-gw9vj
    @DorothyMwanyalo-gw9vj 4 месяца назад

    Mungu awabariki Sana Sauti zenu Tamu🙏🙏

  • @odhiambopeter3562
    @odhiambopeter3562 4 года назад +1

    Nawapenda sana buree,ntawaenzi siku zote,you are the best choir in east Africa

  • @marcelokola9684
    @marcelokola9684 4 года назад +3

    Nice piece....at times like these it's only through Christ our savior who'll see us through.

  • @necdeckmatala7307
    @necdeckmatala7307 2 года назад +1

    Kurasini choir,am blessed

  • @bettiewabomba6602
    @bettiewabomba6602 4 года назад +24

    I am a Catholic but in love with your songs.I need a copy please.

  • @annamoshi3491
    @annamoshi3491 Год назад

    Ameeeen mbarikiwe sana kurasin kwanyimbo zenye ujumbe mzur.

  • @yusuphwillson6202
    @yusuphwillson6202 3 года назад

    Natumain ck moja nitasali pamoja nanyi kwa uwezo wake Mungu

  • @donaldoketch7105
    @donaldoketch7105 4 года назад +5

    Alipo Yesu mambo ni shwari...Amina

  • @lazacki6
    @lazacki6 4 года назад +9

    Asante sana kwaya yangu pendwa. Bwana awabariki sana kwa wimbo mzuri unaonisogeza miguuni pa Yesu. Kuwa na Yesu ni kwenye mikono salama.

  • @muchuialbert3819
    @muchuialbert3819 3 года назад

    LOVELY SONG MBARIKIWE SANA,,,,,,,NABARIKIWA NIKIWA ISIOLO COUNTY,KENYA.

  • @jacksonsindoma9117
    @jacksonsindoma9117 2 года назад

    Ukiishi ndani ya yesu ni salama hakuna wakukuogofya .

  • @crispomaranga4864
    @crispomaranga4864 4 года назад +1

    Wimbo mzuri sana Kurasini, Wimbo ulio na mantiki safi. Amina, zidi kutubariki. Amina.

  • @knowledgemashonganyika7216
    @knowledgemashonganyika7216 4 года назад

    Mbarikiweni kwanyimbo nzuri Kurasini. Amina.

  • @leahwainaina6870
    @leahwainaina6870 2 года назад

    Kuwa na yesu Niko salama, najivunia kuwa yesu.

  • @andrewombongi7919
    @andrewombongi7919 2 года назад

    Nice item blessed me from kenya sda Church karura

  • @rahabukimena8464
    @rahabukimena8464 4 года назад +7

    Amina Bwana awabariki,Sabato njema.

  • @sabrinandimbo1566
    @sabrinandimbo1566 8 месяцев назад

    Alipo yesu mambo ni shwari sitikisiki kwa lolote mbarikiwe sana mimi ni mkatoriki but napenda sana hii nyimbo

  • @norahotunga8938
    @norahotunga8938 4 года назад +1

    Yes....palipo Yesu mambo ni shwari. Thank u kurasini. Much luv

  • @clementrono4708
    @clementrono4708 2 года назад

    Palipo Yesu mambo ni shwari... kuwa na Yesu ni kwenye mikono salama.

  • @victormaobe1869
    @victormaobe1869 4 года назад +5

    Yesu pekee, hakuna wa na cha kunitisha.

  • @obadiamwelela54
    @obadiamwelela54 4 года назад

    maneno mazuri ila uwasilishwaji wake mbovu sana tena dhaifu sana kama vile hamko town bhana. mgogoro ni huu mnapiga mdundo ambapo ni kinyume na viapo vyenu vya ubatizo.

  • @shukranjs4307
    @shukranjs4307 4 года назад

    Amina hakika hakuna wakuniogofya Bwana akiwa upande wangu niko mikononi salama

  • @johngema8196
    @johngema8196 Год назад

    Mnanifariji saaaaaaana, kurasini choir forever

  • @RachelDiana-o4m
    @RachelDiana-o4m Год назад

    I love this choir since childhood may God bless you guys he added you strength to continue with the ministry. every thing are possible with Christ 🙏🙏🙏

    • @RachelDiana-o4m
      @RachelDiana-o4m Год назад

      one day you guys do me a favour of gharama ya ukristo

  • @rosenyaulingo1379
    @rosenyaulingo1379 4 года назад +1

    MUBARIKIWE mno kwa wimbo huuu

  • @fajrinanggar4413
    @fajrinanggar4413 3 года назад +3

    Saya dari indonesia sangat menyukakai lagu lagu rohani dari africa walaupun buta paham atas maknanya. God Bless You.

  • @miltonbillah337
    @miltonbillah337 3 года назад

    When Christ is on our side who can be against us

  • @mosesogachi5535
    @mosesogachi5535 Год назад

    Eeh Kurasini, may ALMIGHTY God bless you, sweet song

  • @ellenmbota1241
    @ellenmbota1241 4 года назад +2

    Amani amani Mungu awabariki

  • @vannyndayake8044
    @vannyndayake8044 3 года назад

    Mubarikiwe saaana munanibariki sana

  • @douglasngome919
    @douglasngome919 Год назад +1

    Masterclass.Nawapenda tu sana.Ujumbe na sauti havijawahi sikika kwa kwaya nyingine. 4:25

  • @jeniphafignas381
    @jeniphafignas381 2 года назад

    Nawapenda sana maana mko ktk ubora wenu watu wa mungu

  • @hangwenyi
    @hangwenyi 3 года назад

    I am at peace with KING JESUS of the cross!

  • @obadiahlucas1398
    @obadiahlucas1398 4 года назад +3

    Amina nawapenda sana nimefalijika sana

  • @JaneMangula-pg5zz
    @JaneMangula-pg5zz Год назад

    Mubarikiwe. Sana.

  • @joshuaogutu2190
    @joshuaogutu2190 4 года назад +2

    Nice song - Kuwa na Yesu, mambo ni salama

  • @abneReborn
    @abneReborn 4 года назад +1

    Alipo yesu mambo ni shwari, sitikisiki

  • @gracekurwijila6195
    @gracekurwijila6195 Год назад

    Wonderful! God bless you for such interesting item. Keep it up!

  • @marysigano5688
    @marysigano5688 2 года назад +1

    Happy sabath day, nazidi kubarikiwa na huu wimbo

  • @joshuansemwa2313
    @joshuansemwa2313 4 года назад

    Kazi nzuri sana mungu awabariki

  • @violetanyumba1697
    @violetanyumba1697 4 года назад +2

    Salama,shwari.simuofu yeyote♥️♥️

  • @Jacksonboy_777
    @Jacksonboy_777 3 года назад

    Nyimbo nzuri

  • @habelkalume9011
    @habelkalume9011 4 года назад +1

    Safiiiii Kurasini.....Kuwa na Yesu mko sawa

  • @christinamunyange5143
    @christinamunyange5143 4 года назад

    Amen, yesu akiwa upande wangu siogopi chochote

    • @pendomshema8941
      @pendomshema8941 4 года назад

      Kuwa na yesu Niko kwenye mikono salama , mungu awabariki sana na wapenda sana

  • @jimmymarwamatjr491
    @jimmymarwamatjr491 Год назад

    Hakika mmenibariki sana

  • @daviesskipesha1351
    @daviesskipesha1351 2 года назад

    Nimebarikiwa Sana na huu wimbo.

  • @nathanfrancisondieki6586
    @nathanfrancisondieki6586 3 года назад

    Nice song, it's better to endorse some one who is achrist than to endorse some one who is not achristian.

  • @LoveWins-y5c
    @LoveWins-y5c 4 года назад +4

    If God is before us who can be against me!! Thank you and God bless you continually.

  • @robinsonagwata659
    @robinsonagwata659 4 года назад +2

    Amen amen. Mungu abariki kazi yenu.

  • @nancyflorence7892
    @nancyflorence7892 2 года назад +1

    I love SDA songs . They bless my heart ❤️

  • @orestaMminza
    @orestaMminza 9 месяцев назад

    Mwende mbali

  • @jimmymarwamatjr491
    @jimmymarwamatjr491 Год назад

    Amina mbarikiwe sana wana wa Mungu.

  • @ruthwamalika9790
    @ruthwamalika9790 4 года назад

    UKweli ukiwa na yesu yote ni salama amen amen

  • @davisntuba4742
    @davisntuba4742 4 года назад

    Nabarikiwa sana

  • @mariamcfarlane5774
    @mariamcfarlane5774 4 года назад +4

    Jesus is on my side, therefore I am safe always in Him. Thanks choirs

  • @jakanyaluo
    @jakanyaluo 4 года назад +20

    I am the first to view this

  • @jamesmgonda
    @jamesmgonda 3 года назад

    Wanamwonekano mzuri sana the choir i like much

  • @K_Emmanuel
    @K_Emmanuel 4 года назад +1

    AMEN AMEN ...Barikiwa Sana waimbaji From Nairobi Kenya

  • @MaryBiyaki-t4y
    @MaryBiyaki-t4y Год назад

    Amen 🙏🙏🙏🙏

  • @athanaskalihamwe3046
    @athanaskalihamwe3046 4 года назад

    Wimbo mzuri kabisa. Barikiweni ndugu zetu.

  • @mokayaeunice8525
    @mokayaeunice8525 2 года назад

    I just love your songs..keep on'the Crown awaits you

  • @DennisOdhiambo2983A
    @DennisOdhiambo2983A 4 года назад

    Sitikisiki kwa lolote..
    Mungu awabariki 🙏🏾

  • @williamogamba1728
    @williamogamba1728 2 года назад

    I real love this I feel like Jesus is coming very soon.

  • @eunicepaul3157
    @eunicepaul3157 3 года назад +1

    I love 💕 u my family,May the Lord be with u forever

  • @dicksonkijigo1348
    @dicksonkijigo1348 3 года назад

    To be honest,always when I see and listen all songs sung by SDA Kurasini choir,I really feel more happy because of the good arrengement of sound from different lows.

  • @marynasyieki3783
    @marynasyieki3783 10 месяцев назад

    Amen amen 2024 mpo🎉🥳💃🙏🙏

  • @veronicankenja9061
    @veronicankenja9061 11 месяцев назад

    Nawapenda sana mbarikiwe sana

  • @PatrickTendwa
    @PatrickTendwa Год назад

    Ukiwa ndani ya yesu huogop chochot

  • @edwardsmagori2555
    @edwardsmagori2555 4 года назад +4

    The song attracts spiritual dance.... Cheza kwani Yesu akiwa upande wetu hakuna atakae kuwa dhidi yetu

  • @danielndungunjoroge5689
    @danielndungunjoroge5689 4 года назад

    Amen mwapendeza Mungu akawabariki

  • @emmanuelnduki6089
    @emmanuelnduki6089 4 месяца назад

    loh palipo Yesu

  • @raphaeltungaraza8826
    @raphaeltungaraza8826 4 года назад +2

    Mbarikiwe

  • @rosemarymochengo1429
    @rosemarymochengo1429 4 года назад +5

    Amen Kurasini choir, may God bless you abundantly.

  • @mk.daniels1875
    @mk.daniels1875 4 года назад +2

    When i'm with Jesus am in safe hands .
    I love you kurasini

  • @jofreychota6227
    @jofreychota6227 4 года назад +1

    Nawakubali sana maana ndiyo walim wangu

    • @zawadikyasi7666
      @zawadikyasi7666 3 года назад

      Hakika hua na barikiwa sana na nyimbo zenu

  • @eliamshahara6330
    @eliamshahara6330 3 года назад

    Ujumbe mzuri