In sha Allah waliokuwa wagonjwa mwenyezimungu awajalie wapone In sha Allah Waweze kutudi ktk majukumu ya kazi poleni sana vijana wetu mwenyezimungu Atawainua Aameen🤲💛💛💛
Yanga vs Al hilal ni do or die naimani tukipata matokeo ya point 3 italeta furaha sana na pia tuna maliza home pale kwa mkapa yule mwarabu hatoki naimani Inshallah 🙏🏼
Mwenyezi mungu atupiganie sana mechi zilizobaki tupate ushindi. Tunawaombea sana team yetu, benchi la ufundi, viongozi wote mkafanye vyema ili tupate point 3. Kila lililo jema kwenu.
By the way tuzid kúiombea timu yetu ikapambane kwa jasho kila mchezaj awe na molal na game ndio tutapat matokeo na sio kuwahofia kwa sabb wao ni waarabu so ni mechi ngum kwetu kwa uwezo wa mungu tutashinda insha allah awape wepes wachezaj wetu
Yaani msipende kwa kujiamini sana waheshimuni wapinzani wenu pia muwe sana makini mnaposhambulia msiache nafasi nyuma zitakazoweza kutumia na wapinzani kutufanyia counterattack na makosa yasiyo ya lazima yayakayoweza kusababisha penati au faulo zitakazofanya tuadhibiwe kujilinda nakukaba ni muhimu mno maana safu yetu ya ulinzi kwasasa kidogo inapwaya kunanamnamfanyie kazi makosa maana magoli tunayofungwa mechi zote yanafanana pia matumizi ya nafasi kwa usahihi na wachezaji wasiwe wabinafsi kwenye pasi watoe pasi wasilazimishe kufunga sehemu ambayo ni ngumu ikiwa uwezo wakumpa pasi aliyekwenye nafasi nzuri hupo. Yaani mechi inayokuja nikujituma kweli kweli kwa wachezaji wetu kwamanufaa ya club na furaha ya wananchi naimani mnajua wajibu wenu ila msijisahau hatuna Cha kupoteza ni do or die point 3 muhimu zije jangwani
sana nimependa comment yako, imegusa maeneo muhimu yenye udhaifu ambayo mara nyingi tumekuwa tukiadhibiwa na wapinzani mfano kuacha nafasi kubwa , ubinafsi mtu analazimisha afunge yeye wakati kuna mwenziye yupo kwenye nafasi nzuri ya kufunga, kukosa utulivu timu inapokuwa kwenye box la mpinzani lakini kingine tumekuwa sio wazuri kwenye kuzuia mipira ya set pcs, tunafungwa sana magoli ya faulo na hata kona, yakifanyiwa kazi hayo yote inshaallah tutatoboa
Kweli Tunamchezo mgumu aiseee..... Mech zilizo bakia ni ngumu.... Lakini mpira ni juhudi na kujituma unaweza ku SCORE popote Yote yanawezekana..... 💪
dua nyingi kwa yanga yangu mungu awatangulie inshaalah
In sha Allah waliokuwa wagonjwa mwenyezimungu awajalie wapone In sha Allah Waweze kutudi ktk majukumu ya kazi poleni sana vijana wetu mwenyezimungu Atawainua Aameen🤲💛💛💛
Mwenyezi Mungu nakuomba wajalie Afya Njema na utulivu Wachezaji wetu wawexe kuipigamia vyema Timu yetu na Taifa Kwa ujumla
Yanga vs Al hilal ni do or die naimani tukipata matokeo ya point 3 italeta furaha sana na pia tuna maliza home pale kwa mkapa yule mwarabu hatoki naimani Inshallah 🙏🏼
yanga daima 💛💚
Gusa aachia twende kwao yanga bingwa insha Allah 💚💚💛💛
Inshaallah mungu awape shufa y haraka n awepe nguvu mkapate kushinda tunawaombeya
Mwenyezi mungu atupiganie sana mechi zilizobaki tupate ushindi. Tunawaombea sana team yetu, benchi la ufundi, viongozi wote mkafanye vyema ili tupate point 3. Kila lililo jema kwenu.
Mwenyezi Mungu atupe ushindi wananchi hakika tutazidi kumshukuru
Mungu atusaidie sana sana Lobo tuingie tusiishie makundi,Jp mach ya All H8lal kwakweli lolote ata km ninamba yeyote ushindi tunauitaji sana.
Inshallah mwenyezi mungu atufanyie wepesi tupate ushindi wa point 3
Inshallah mungu ijarie team yetu ya yanga ipate ushindi..daima mbele nyuma mwiko💚💛
Daima mbele nyuma mwiko. Mungu ibariki timu yangu
Ee mwenyezi mungu ibarik itimu ya wananchi ishininde kwa kishindo
Daima mbele nyuma mwiko kazi iyendelee 💚💚
Kila la kheri CHAMA LANGU pendwa 💚💚💛
Inshallah Mungu yupo na Yanga yetu tutashinda🎉 GUSA ACHIA TWENDE KWAOOO💛💚
Anatokea mdada kashiba ugari wa kisukuma ohoo ali sio msemaji atukome yule dada
Mungu atujalie afya njema,wachezaji wapate uzima wakatupambanie point 3
Gusa achia twende kwao 💛💚💛💚
Wanachama na Wapenzi wa Timu yetu pendwa Tuiombee Timu yetu pedwa ili ipate mafanikio zaid Inshaallah
Mm naitwa Oscar kutoka mbezi beach naitaki timu yngu young frinca kwakishindo mungu awatangulie
Ushindi lazima ila kama game ngumu tuondoke na hata point 1,sio Jamaa watupige mara mbili itakua aibu.daima mbele.
Mungu awatangulie mkashinde wachezaji wetu.
Mungu ibariki yanga❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ yanga❤❤daimaaaa
Mungu awatangulie
Kweli tunawaombea
MUNGU awatie nguvu ...mje na ushindi hapa
Welcome mwamba wa lusaka
In Sha Allah
Nimeangalia ndani ya 18s kweli Yanga TAMU ...😂
Huku RUclips kuna Yanga SC Media hii channel mara nyingi huwa na upotoshaji. je mwnasheria wa yanga halioni hili? Viongozi hamlioni hili?
Mimi Ni mwananchi mwenzenu, nimeachia wimbo wangu mpya Naombeni Sana support yenu wakubwa 🙏
Pambania
InshaAllah kheri
Mim ni mwananchi mwenzenu nimeachia wimbo wangu mpya Naombeni Sana support yenu wakubwa 🙏
Tunamtaka MAX sio chama
Bravo bravo
Ally max yupo wp
Mungu mkubwa inshaallah tutapata matokeo mazuri
Tuko tayar kumuomba mungu tumpste ushindi
Mungu kwanza ushindi mwing yanga bingwa
Ushindi lazima
Daa Max wetu
By the way tuzid kúiombea timu yetu ikapambane kwa jasho kila mchezaj awe na molal na game ndio tutapat matokeo na sio kuwahofia kwa sabb wao ni waarabu so ni mechi ngum kwetu kwa uwezo wa mungu tutashinda insha allah awape wepes wachezaj wetu
Alhilali ni Nomadic Pastoralist washakuwa Mauritania..!!, Vile wao kila mechi kwao ni ugenini
Aiseee yanga imebakia na mchezo migum
Niwatakie mchezo mzuli yanga yangu
Jamani kwani Max nae ni majeruhi?
Yaani msipende kwa kujiamini sana waheshimuni wapinzani wenu pia muwe sana makini mnaposhambulia msiache nafasi nyuma zitakazoweza kutumia na wapinzani kutufanyia counterattack na makosa yasiyo ya lazima yayakayoweza kusababisha penati au faulo zitakazofanya tuadhibiwe kujilinda nakukaba ni muhimu mno maana safu yetu ya ulinzi kwasasa kidogo inapwaya kunanamnamfanyie kazi makosa maana magoli tunayofungwa mechi zote yanafanana pia matumizi ya nafasi kwa usahihi na wachezaji wasiwe wabinafsi kwenye pasi watoe pasi wasilazimishe kufunga sehemu ambayo ni ngumu ikiwa uwezo wakumpa pasi aliyekwenye nafasi nzuri hupo. Yaani mechi inayokuja nikujituma kweli kweli kwa wachezaji wetu kwamanufaa ya club na furaha ya wananchi naimani mnajua wajibu wenu ila msijisahau hatuna Cha kupoteza ni do or die point 3 muhimu zije jangwani
sana nimependa comment yako, imegusa maeneo muhimu yenye udhaifu ambayo mara nyingi tumekuwa tukiadhibiwa na wapinzani mfano kuacha nafasi kubwa , ubinafsi mtu analazimisha afunge yeye wakati kuna mwenziye yupo kwenye nafasi nzuri ya kufunga, kukosa utulivu timu inapokuwa kwenye box la mpinzani lakini kingine tumekuwa sio wazuri kwenye kuzuia mipira ya set pcs, tunafungwa sana magoli ya faulo na hata kona, yakifanyiwa kazi hayo yote inshaallah tutatoboa
Nimechimuhim kwelikweli 😢
Lakini tunataka chama akaanze siyo kuanzia bechi
Chama ndiye mwenye mfumo wa gusa achia twende kwao. Nakili maneno yangu pindi atapoaanza kupata nafasi ya kucheza.
Mazowezi mema
Ushindiiiiii lazimaaaaa
Ally kamwe tupo pamoja nanyi hasa katika maombi. Sala zinajibu.
Yanga tutacgukua pweti 3 ugenini
Nzengeli nasikia anatua Koloni😢
kweli yanga tumeiteka kms
Max😢
NAAMINI TUTAPATA USHINDI.
Kila la kheri
Ni bingwa kweli kweli
🙏🙏🙏🙏🙏
Yao kwasi aenda tu
🎉
Tuta shenyenta uwakika
ruclips.net/video/Zxg5oAra0Y4/видео.html
Mungu atusaidie
Mimi Ni mwananchi mwenzenu, nimeachia wimbo wangu mpya Naombeni Sana support yenu wakubwa 🙏
Mungu atusaidie