Msomali - Ni Wewe (Official Singeli Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 янв 2025

Комментарии • 88

  • @ChamaziMusic
    @ChamaziMusic 7 месяцев назад

    Ni wewe by msomali lyric/Mashairi/kwa maneno
    Intro
    J4D sound
    Ah Vitamin ooohh
    Adasco m2 Baaad
    Chorus
    Ni wewe unaenifanya nijisikie nipo juu kwenye hii dunia
    Ni wewe unaejua mpenzi wako sina pesa unanivumilia
    Ni wewe unaenifanya nijisikie nipo juu kwenye hii dunia
    Ni wewe unaejua mpenzi wako sina pesa unanivumilia
    Oya
    Maisha bila wewe mi siwezi, maisha bila wewe hakuna maisha
    Maisha bila wewe mi siwezi, maisha bila wewe hakuna maisha
    Verse
    Oya
    Usitamani mali zao, wavuta shisha achana nao
    My wee usitamani maisha yao, na ipo siku nitakuwa kama wao
    Yala ooh napenda ukicheka mda wote unavyonikonyeza
    Napenda ukicheka macho unavyolegeza
    Napenda ukicheka mda wote unavyonikonyeza
    Napenda ukicheka macho unavyolegeza
    Wewe ndio langu chaguo, kwako wewe nimeweka kituo
    My ooh langu chaguo, kwako wewe nimeweka kituo
    Mapenzi ni kuvumiliana, nami mpenzi unanivumilia
    Mapenzi ni kuvumiliana, nami mpenzi unanivumilia
    Chorus
    Ni wewe unaenifanya nijisikie nipo juu kwenye hii dunia
    Ni wewe unaejua mpenzi wako sina pesa unanivumilia
    Ni wewe unaenifanya nijisikie nipo juu kwenye hii dunia
    Ni wewe unaejua mpenzi wako sina pesa unanivumilia
    Oya
    Maisha bila wewe mi siwezi, maisha bila wewe hakuna maisha
    Maisha bila wewe mi siwezi, maisha bila wewe hakuna maisha
    Verse 2
    Mahaba kibao hapa, mapenzi ndio kwako
    Usiache mbachao kwa msala upitao
    Baby unataka nini nikupe, niambie
    Vyenye uwezo na mimi nitakupa mamae
    Baby unataka nini nikupe, niambie
    Vyenye uwezo na mimi nitakupa mamae
    Unapohitaji nyimbo nzuri nakuimbia
    Unapotaka kuondoka nakukumbatia
    Unapohitaji kucheka, nami nacheka pia
    Oohh, minacheka pia
    Mapenzi ni kuvumiliana, nami mpenzi unanivumilia
    Mapenzi ni kuvumiliana, nami mpenzi unanivumilia
    Outro
    We wanangu wa kusini moja, kucheleeee
    Wee tajiri vunjaa bei
    From Keko Funiture
    Asandee, shaii dad
    Awe god nyaucstar
    Kima, a we mwanangu masoz
    De smart Dash Papi
    Aahh Msomali hapa
    Oohooh Adasco Adascoo
    In English
    #Intro
    J4D sound
    Ah Vitamin ooohh
    Adasco m2 Baaad
    #Chorus
    It's you who makes me feel on top of this world
    It's you who knows, my love, I have no money, yet you endure
    It's you who makes me feel on top of this world
    It's you who knows, my love, I have no money, yet you endure
    Oh yeah
    Life without you, I can't live, life without you, there's no life
    Life without you, I can't live, life without you, there's no life
    #Verse 1
    Oh yeah
    Don't envy their wealth, those who smoke shisha, leave them
    My dear, don't envy their lives, and one day I'll be like them
    Oh, I love it when you smile all the time, the way you wink at me
    I love it when you smile, the way your eyes soften
    I love it when you smile all the time, the way you wink at me
    I love it when you smile, the way your eyes soften
    You are my choice, with you I've found a place
    My dear, you are my choice, with you I've found a place
    Love is about enduring, and you, my love, you endure me
    Love is about enduring, and you, my love, you endure me
    #Chorus
    It's you who makes me feel on top of this world
    It's you who knows, my love, I have no money, yet you endure
    It's you who makes me feel on top of this world
    It's you who knows, my love, I have no money, yet you endure
    Oh yeah
    Life without you, I can't live, life without you, there's no life
    Life without you, I can't live, life without you, there's no life
    #Verse 2
    Abundant love here, love is truly with you
    Don't leave what you have for a passing challenge
    Baby, what do you want me to give you? Tell me
    What I can afford, I'll give you, my dear
    Baby, what do you want me to give you? Tell me
    What I can afford, I'll give you, my dear
    When you need a good song, I sing for you
    When you want to leave, I hold you tight
    When you need to laugh, I laugh with you too
    Oh, I laugh too
    Love is about enduring, and you, my love, you endure me
    Love is about enduring, and you, my love, you endure me
    #Outro
    You, my southern people, all together, celebrate
    You, rich one, break the price
    From Keko Furniture
    Thank you, shaii dad
    Awe god nyaucstar
    Kima, you, my dear, massoz
    De smart Dash Papi
    Ahh, Msomali here
    Oohooh Adasco Adascoo

  • @ChamaziMusic
    @ChamaziMusic Год назад +2

    Unatisha kamandaa noma sana. full respect from Chamazi,Dar es salaam,🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @Kasboymnaly
    @Kasboymnaly 4 месяца назад

    Daaah msomaly unanifany nifait in my life unaweza sasa brother

  • @fundiseif1096
    @fundiseif1096 Год назад +2

    Vitamin forever 🔥🔥🔥💯💯💯💪

  • @bedagaufrid5998
    @bedagaufrid5998 6 месяцев назад +1

    am from Kenya but unajua ndugu 🔥🔥🔥

  • @ShaniPetiti
    @ShaniPetiti Год назад

    ngoma kali sanaaaaaaaaa❤

  • @djsmokesound
    @djsmokesound Год назад +1

    So pw iyo Kaz kama unamkubalu like❤❤❤

  • @PrinceNdossa
    @PrinceNdossa Год назад

    👏👏👏unyama sana mwananguh by muner msomali

  • @ElizabethJames-i1c
    @ElizabethJames-i1c Год назад +1

    Ngoma iko poa sana❤

  • @Rajamwamba2
    @Rajamwamba2 2 месяца назад

    Hii nimeipenda kaza kama bado nguvuipo nimeipenda na nimeitafuta sana niliisikia nimekaa miezi 3 nimeipata Leo

  • @paulnames6624
    @paulnames6624 Год назад

    We ni staa sana ipo sku tu msomali utafika mafanikio makubw sana

  • @Mussahassan-xo8es
    @Mussahassan-xo8es 8 месяцев назад +1

    Kaka unajua 👊👊👊👊👊👊👊

  • @RamadhanKarim-p8m
    @RamadhanKarim-p8m 6 месяцев назад

    Nakuaprishiet san brooh b.gap👊👊👊👊🔥🔥

  • @khalifamembe1381
    @khalifamembe1381 Год назад

    Ngomaa kalii mwanangu msomali

  • @EckrlistElbahati-j3w
    @EckrlistElbahati-j3w 4 месяца назад

    Oy msomari umetisha santeee sana

  • @RamadhanKarim-p8m
    @RamadhanKarim-p8m 6 месяцев назад

    Nakuaprishiet san brooh B.gap👊👊👊👊👊

  • @Dullahxella
    @Dullahxella Год назад

    Noma xan broo 🔥🔥🔥🔥 VTM

  • @BoyDaema-cr5pi
    @BoyDaema-cr5pi 3 месяца назад

    Napata burudani tá mziki mzuri wa msomali,,kutoka pande za mozambique 🇲🇿

  • @bonacnota8274
    @bonacnota8274 Год назад +1

    fire fire mzee

  • @KhamisMsambala
    @KhamisMsambala Год назад

    Ngoma kali sna msomali

  • @FainataJafary
    @FainataJafary 5 месяцев назад

    We ni balaaaaaaaaaa ❤❤

  • @helenamartin-kk8qd
    @helenamartin-kk8qd Год назад

    Ankooo sadty 💥💯

  • @Starwizzy-os2rh
    @Starwizzy-os2rh 11 месяцев назад

    kizaz xnaa br0 unajua🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ZenaKonga
    @ZenaKonga 4 месяца назад

    Ni wew nakupenda singel man

  • @middypiccolo
    @middypiccolo Год назад

    Bonge la ngomaaa

  • @RashidNdondo
    @RashidNdondo 7 месяцев назад

    Nakubali msomali 😅

  • @dinahila-pb9ls
    @dinahila-pb9ls 7 месяцев назад +1

    yani nazipenda sana nyimbo zako

  • @RizikiChiwembi
    @RizikiChiwembi 3 месяца назад

    Umetisha broo

  • @jacobojames7086
    @jacobojames7086 6 месяцев назад +1

    daaaah wewe ni balaaaaa

  • @AngelSaid-dk8mr
    @AngelSaid-dk8mr 11 месяцев назад +1

    Hii kali❤❤

  • @ADRIANONYALUSI
    @ADRIANONYALUSI Месяц назад +1

    Unajua sana kuimba endelea usiache

  • @AshaSaidi-r5i
    @AshaSaidi-r5i 11 месяцев назад

    Unajuwa San bro❤❤❤

  • @AgnessKauta
    @AgnessKauta 6 месяцев назад

    Unajua sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa🎉🎉🎉🎉

  • @ArafatyArafaty
    @ArafatyArafaty Год назад +2

    hii kali babu japo una kesi yetu

  • @SaleheHasan-t2p
    @SaleheHasan-t2p 3 месяца назад

    Hatar umetisha sana na hii ngoma ni Kali kinoma

  • @LucasMajenje
    @LucasMajenje 3 месяца назад

    Respect familiya

  • @ubavutvonline7831
    @ubavutvonline7831 Год назад

    Msanii mkubwa

  • @kiluza_Fanani_Og
    @kiluza_Fanani_Og Год назад +2

    Umeme

  • @majesttin
    @majesttin Месяц назад

    ❤xan mkubwa bila kuchokah...

  • @TussoLaden0511
    @TussoLaden0511 Год назад

    Ududu mwingii mwananguu vitamin aPa

  • @graystone6768
    @graystone6768 5 месяцев назад +1

    Gud brooo

  • @AgroBreazes
    @AgroBreazes 2 месяца назад +1

    ❤❤

  • @Aisamronaldo
    @Aisamronaldo 4 месяца назад

    Nakupenda mpaka nahc Kam naumwa yaan

  • @AckleyMassawe
    @AckleyMassawe Год назад +1

    Unajua mnooo kubabako 😂😂

  • @IsmailBagaya-hy4xb
    @IsmailBagaya-hy4xb 10 месяцев назад

    Big ap brooo

  • @IsihakaMakulo
    @IsihakaMakulo 8 месяцев назад

    kachafua san man vitamin 📸

  • @asake_wabongo
    @asake_wabongo Год назад +2

    Kali

  • @MartinPatrick-g6c
    @MartinPatrick-g6c 6 месяцев назад

    Dah unaimba uasiria kabisa

  • @Mickymedia50
    @Mickymedia50 Год назад

    Noma

  • @alfredrweyemamu7807
    @alfredrweyemamu7807 2 месяца назад

    huuu mwaka wako mwanetu umeua aseee

  • @PongeziSilivani
    @PongeziSilivani 4 месяца назад +1

    Aloo unajua mwananguu

  • @Aisamronaldo
    @Aisamronaldo 4 месяца назад

    Unajua maomari yaan

  • @amyboe7474
    @amyboe7474 Год назад

    Imeenda

  • @Jafarimakota
    @Jafarimakota 11 месяцев назад

    Nimepend 😂😂😂😂😂

  • @estherchristopher2694
    @estherchristopher2694 Год назад

    U kill it

  • @wagedesempay1983
    @wagedesempay1983 11 месяцев назад

    baba umetisha

  • @DerickDesderius
    @DerickDesderius 7 месяцев назад

    Sikuping mwanang

  • @Kasboymnaly
    @Kasboymnaly 4 месяца назад

    💪💪💪💪💪💪

  • @ayoubakida9862
    @ayoubakida9862 10 месяцев назад

    Kaka unajua😊😊

  • @jamesimuddy118
    @jamesimuddy118 9 месяцев назад

    Nakubal familia yangu

  • @RahimuHamadi
    @RahimuHamadi Год назад +1

    Kaka unajua xana

  • @JohnHussein-to6ex
    @JohnHussein-to6ex 5 месяцев назад

    Dah unajua sana kak

  • @abuubakariw9170
    @abuubakariw9170 7 месяцев назад

    Ckupingiii

  • @Jemsi-y7k
    @Jemsi-y7k 8 дней назад

    🎉

  • @HamadDaud-o4q
    @HamadDaud-o4q Год назад +1

    Sana kk

  • @middypiccolo
    @middypiccolo Год назад

    📌📌

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 11 месяцев назад

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @FainataJafary
    @FainataJafary 6 месяцев назад

  • @ElizabethJames-i1c
    @ElizabethJames-i1c Год назад +1

    🥰🥰🥰

  • @deemelody18
    @deemelody18 9 месяцев назад

    🎉🎉🎉🎉

  • @Jafarimakota
    @Jafarimakota 11 месяцев назад

    Tunaishi kwarosafi vitameni miuck😂😂😂😂😂

  • @ElizabethJames-i1c
    @ElizabethJames-i1c Год назад

    ❤❤❤

  • @dpointer-r6j
    @dpointer-r6j 2 месяца назад

    Kwa sasa me nawakubali wasanii wawili tuuuu ambao ni msomali pamoja na balaa mc ila bado 26kipaji nimempa namba moja afu Uyo msomali ndiye anafuata ila msomali anaifanya singer iwe better anajuw a Sana kuimb

  • @yasinhussein5112
    @yasinhussein5112 8 месяцев назад

    goood

  • @OFFICIAL-iu2wq
    @OFFICIAL-iu2wq 10 месяцев назад

    love song

  • @Japanese-lz1or
    @Japanese-lz1or 8 месяцев назад

    👍👍

  • @KisofaOg-wv8ex
    @KisofaOg-wv8ex Год назад

    👊👊

  • @Anu32-k5k
    @Anu32-k5k 5 месяцев назад

    Gomakari sio pw mimi apa anu 32 nitfute apo uta sikia goma yangu apo

  • @MaryGant-q2y
    @MaryGant-q2y 4 месяца назад

    Davis Jason Taylor Robert Taylor John

  • @NoyesChanning-k7z
    @NoyesChanning-k7z 3 месяца назад

    Clark Jason Wilson Ronald Walker Jessica

  • @SophiaCrement
    @SophiaCrement 4 месяца назад

    Unanikoxha xn yn

  • @TussoLaden0511
    @TussoLaden0511 Год назад

    Ududu mwingii mwananguu vitamin aPa

  • @RahimuHamadi
    @RahimuHamadi Год назад +1

    Kaka unajua xana

  • @middypiccolo
    @middypiccolo Год назад

    📌📌

  • @NassoroBakari-tt6ix
    @NassoroBakari-tt6ix 11 месяцев назад

    ❤❤