Local Cages - Dar es salaam || Ufugaji wa kuku 2000 Bunju. UFUGA KISASA KWENYE ENEO DOGO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии • 28

  • @erickododaokaka6667
    @erickododaokaka6667 9 месяцев назад

    I am pleased and I have an interest. Naweza kukupata vipi

  • @johnkisimba8247
    @johnkisimba8247 Год назад

    Mimi ni john from DRC,nina itaji yakupata bei ya vifa vya incubator.majifunzo ya kutengeneza incubator.

    • @charityfarm1226
      @charityfarm1226  Год назад +1

      karibu John from D.R.C... wasiliana nasi kwa WhatsApp no +255754015010

  • @Bryn88
    @Bryn88 Год назад +2

    Maelekezo ya office zenu dar es salaam tafadhali mko maeneo gani?

    • @charityfarm1226
      @charityfarm1226  Год назад

      tupigie tukuelekez

    • @Bryn88
      @Bryn88 Год назад

      @@charityfarm1226natumaini hamtokuwa kama hzo kampun nyingine ktk simu customer service ni za hvuo had unajuta kupiga simu ndo maana wengi tunaombaga maelezo huku ya kufika kiwandani.

  • @buchujr2260
    @buchujr2260 3 месяца назад

    SAND IKO OVYOO HAINA UBORA.....TUMIA MIC NZURIII

  • @kassimsuleiman733
    @kassimsuleiman733 2 года назад +1

    Nimependa kazi yenu. Jee banda kama hili munajenga kwa kiasi gani

  • @saidimossi365
    @saidimossi365 Год назад +2

    Banda la kuku 2000 linatakiwa urefu saizi ngapi na upana saizi ngapi?

  • @JJ-hw8ob
    @JJ-hw8ob 2 года назад

    Cage mzuri sana. Chini pahali wanakanyanga ni wiremess ya aina gani plastic or chuma?

  • @ROSEMULEI
    @ROSEMULEI 7 месяцев назад

    Hi mtu anaenza weka jongoo kwa kuku wa mayai yakawa fertile ka ya kienyeji

    • @ayuma4747
      @ayuma4747 6 месяцев назад

      Kama sio wa kizungu. Cross breed inaweza

  • @abdillahbakar9850
    @abdillahbakar9850 Год назад

    Kwa zanzibar munapatikana wapi

  • @filipinadaud885
    @filipinadaud885 21 день назад

    Nipo moshi nahitaji kuja ofisini kwenu kama mpo Arusha maelekezo tafadhali

    • @charityfarm1226
      @charityfarm1226  21 день назад

      Arusha tupo maeneo ya Sakina kwa idd, kwa maelekezo zaidi wasiliqna nasi 0654737373

  • @iddialifa7290
    @iddialifa7290 Год назад

    Tunawapataje sasa sioni mawasiliano yenu

  • @ReyRap-tv6yz
    @ReyRap-tv6yz Год назад

    Bei gani la kuku 2000

  • @mathayosanare2522
    @mathayosanare2522 2 года назад +1

    Kazi making hii @charityfarm