Mkwara Kila muda anakimbia number yake , nani atawasumbua mabeki pale mbale? Eti kocha unapanga wote wachezaji mawinga wote wapo pembeni nani atafunga pale mbele au nani atasumbua mabeki?
Mm namwamini sana kocha mwenda na Cyprian musiba wanaongea mpira kweli awafichi maovu. Kama mtu unajua mpira huwezi kusifia ujinga hata kama ni timu yako. Ukisifia Kila kitu hujengi timu yako unabomoa. Jobe na Fred Kobran hana tofauti na mkwara. Bora angebaki Fred kuliko mkwara.

Hata Ngoma hapana mzito Sana aende
Safi Sana mkwara ameshindwa kutufungia mabao aende
Mkwara ni mzuri sana.Ndio maana yuko timu ya Taifa.Ni straika mzuri sema presha ya mashabiki na bahati tu.
Mm nashangaa watu wanamsifia sana mkwara. Wachezaji Simba wakuwaondoa ni mkwara ngoma ivyo
Kweli kabisa
Huyu kweli friji bovu na mawazo yake mabovu kama jina lake
Mukwala na fablic ngoma waondoke
kicha cha habari kifanane na unacho elezea
Hawa team mbili baba na mama wana vituko sana kisa utopolo wamefukuza gamondi na wao wakaona wamfukuze uchebe ujinga tu
Mkwara Kila muda anakimbia number yake , nani atawasumbua mabeki pale mbale? Eti kocha unapanga wote wachezaji mawinga wote wapo pembeni nani atafunga pale mbele au nani atasumbua mabeki?
5.09
Mkwala aletwe straiker mwngine anaejielewa.
Ngoma tupate mtu mwingine sahihi
mchezaji anafunga kwelikweli kafunga magoli mangapi akiwa na timu ipiiiiiiiiiio
Mm namwamini sana kocha mwenda na Cyprian musiba wanaongea mpira kweli awafichi maovu. Kama mtu unajua mpira huwezi kusifia ujinga hata kama ni timu yako. Ukisifia Kila kitu hujengi timu yako unabomoa. Jobe na Fred Kobran hana tofauti na mkwara. Bora angebaki Fred kuliko mkwara.
Sahihi kabisa
hajamkimbia kapombe ila Simba walimuuza
Mukwara anajua sanaa, ni upepo tuuh