Alichokisema SANKARA KARAMOKO Mshambuliaji Tishio Afrika Afunguka Kuhusu Timu Iliyomsajili TANZANIA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 дек 2024

Комментарии • 16

  • @KisununhaElikana
    @KisununhaElikana 5 дней назад +1

    Aje yanga

  • @AidanNsasu
    @AidanNsasu 6 дней назад +1

    ENg. He msikosee Tena kwenyeusajiri huu. Wachukueni mfano sankara, karamoko,na ikangalambo hayomajembe yataibadirisha timu ya yanga msicheze mbali tupatieni rahaaaaaaaaaaaaa😁🙏😄😄👍💃🏃💃🏃💃🏃🏃🏃💃🏃💃🏃

  • @WhiteMwakisulu
    @WhiteMwakisulu 6 дней назад +1

    Uongozi Yanga utumie kila njia kumpata mchezaji huyu Yanga inashida sana na wafungaji kule mbele watumie kila njia kumpata huyu jamaa Sankala

  • @JoseJohanes
    @JoseJohanes Год назад

    Karibu sana

  • @BarakaJuma-t5r
    @BarakaJuma-t5r Год назад

    Ataenda yanga uyo😅😅😅

  • @zengomikomangwa9264
    @zengomikomangwa9264 Год назад

    Timu zetu za Tanganyika na Zanziba( zote za Jamhuri ya Muungano wa Tanzanial ) eo hii Tanganyika itawaifunga timu ya Zanzibar

  • @MagretGeorge-i1r
    @MagretGeorge-i1r 11 месяцев назад

    Jamani sajilini majembe hatutaki wachezaji kutoka Simba wamezeeka mmno

  • @YohanaMaboga
    @YohanaMaboga Год назад

    Akisain Simba utakuwa Raha Sana, Ila kwa viongoz wetu sijui Kama wataweza maana ni mbahili Sana, lakin anafaa Sana kuwa msimbaz.

  • @JahnsonJackson
    @JahnsonJackson 10 дней назад

    Uyu xx aende yanga kwani kuna wachezaji wenzie engine kwaiyo naona ndo itakuwa powa zaidi akiwa apo

  • @labanimatewa-p5h
    @labanimatewa-p5h 2 дня назад

    aende kwa mafindi wa soka yaan aende yanga

  • @FrancoSanguka
    @FrancoSanguka Год назад

    Kila siku mnatupa tetesi mbona amna huakika

  • @steveboy-ip3wm
    @steveboy-ip3wm 11 месяцев назад

    Karbu bongo japo uwezo wa krabu zetu ni mdogo kumudu hiro

  • @MussaMswida-bd5et
    @MussaMswida-bd5et Год назад

    Ita pendeza zaidi endapo dili litakua pw

  • @allymjige4545
    @allymjige4545 Год назад

    Amesema yeye au unasema wewe. kwanini uongea totauti.

  • @MpateIsmail
    @MpateIsmail Год назад

    Mtatombwa sasa nyie mikia kila mchezaji wa yanga mnataka kumchukua nyie acheni tamaa