BAADA YA POLISI KUZUIA MKUTANO WA CHADEMA NGORONGORO SASA LEMA AWAJIBU NA MAKALA WA CCM

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 окт 2024

Комментарии • 24

  • @sundayyohana-qx3ys
    @sundayyohana-qx3ys 2 месяца назад

    inaumiza sana kwa.hili bunge mungu atawahukumu

  • @ulimbagakipole3971
    @ulimbagakipole3971 2 месяца назад +1

    Mtumishi Lema Askofu wetu, wewe kemea tu. Maaskofu wameparalize hawana kauli.

  • @samwelmohonge4573
    @samwelmohonge4573 2 месяца назад +2

    Haki hutawala daima ni swala la muda tu maana naamini hatutakufa wote siku moja😂😂😂😂

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u 2 месяца назад

    Sina chama chochote ila kwa hili mmmmmm mungu awe mhukum mwenyewe ila swali je kuna viongoz wanaenda kanisan polen sana ndugu zangu ila kweli ipo siku.

  • @ulimbagakipole3971
    @ulimbagakipole3971 2 месяца назад

    Bunge la chama kimoja.

  • @AllyMabena
    @AllyMabena 2 месяца назад

    Hapa kunawatu wachache wanata kumhalibia mama sithan kama mama anawatuma Hawa watekaji

  • @ritchiemuta1092
    @ritchiemuta1092 2 месяца назад

    Achananeni na hiyo mikutano ya hadhara NENDENI MITANDAONI. fanye mikutano ktk zoom au Google au X spaces etc hivyo hii shida ya harness ya 18 itaidha au na nyie ni umpo
    Mpo ccm

  • @ritchiemuta1092
    @ritchiemuta1092 2 месяца назад

    Lissu anadai kuna watu wamechukua fedha na mmoja aliyejitokeza ni msigwa lkn tetesi mpo wengi wenu

  • @SylvesterMakenzie
    @SylvesterMakenzie 2 месяца назад

    CCM wanapambana na chadema kila kukicha wametusahau hata ss watanzania kutuletea maendeleo mfano kuunganishiwa umeme vijijini imekuwa ni shinda kweli wamepitisha kwenye visenta baadhi ya Kaya chache harafu wanandanganya umeme umefika vijijini ovyo

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 2 месяца назад

    Bila nguvu ya umma na umoja wa vyama vyenye nguvu kushirikiana na huu uhaini wa ccm kazi ipo

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s Месяц назад

    Watz tumekua mafedhuli wauaji wakubwa

  • @emanuelinaman8240
    @emanuelinaman8240 2 месяца назад

    Lema Ana nidhamu ya kazi nampongeza hao wanaomwita rais mama wanashusha hadi ya uongozi wa nchi mama ni kwa wanawe kwetu ni amiri jeshi mkuu (rais)

  • @AlouiseNgenDanDumwe
    @AlouiseNgenDanDumwe 2 месяца назад

    Kwanini samia asitekwe au watoto wake ili akaone machungu watu wanaopitia

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 2 месяца назад

    Nguvu ya umma inahitajika maandamano nchi mzima na vyama vyote vinavyopinga utekaji

  • @emmanuelmwakyoma5746
    @emmanuelmwakyoma5746 2 месяца назад

    Umeongea kama mhubiri mkubwa kutoka mbinguni sio duniani maana duniani kuna uhaini mkubwa, mpaka wahubiri na mahakama hakuna suruhisho

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 2 месяца назад

    Yaani hivi ukiwa fisiemu lazima uwe na mtindio yaani roho mbya kama joka la kijani undondocha wa kiwango cha lami eti linasema wamejiteka wenyewe ulaaniwe na familia yako

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 2 месяца назад

    Mnatekana wenyewe mnasingizia Polisi .siasa za kijinga zimepitwa na wakati

    • @fredrickmwakalinga6390
      @fredrickmwakalinga6390 2 месяца назад +1

      Akili zako tope kama sio maji taka

    • @anosiata8242
      @anosiata8242 2 месяца назад

      Wewe akili yako imekufa

    • @EpiphaniaLukas
      @EpiphaniaLukas 2 месяца назад

      Afadhali ya tope linamhifadhi salama kambale huyu ni mlaaniwa

    • @PrinceHendry-hp8vv
      @PrinceHendry-hp8vv 2 месяца назад

      Kama chadema wanaweza kuteka watu na polisi ishindwe kuwachomoa walipo basi hatuna polisi au wapo kwajili ya kulinda maslah ya watu flan

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 2 месяца назад

      Subiri yakukute wewe ndio utajua kuwa watu hawasemi kwa kujifurahisha kama wewe undavyojifurahisha kwa maneno yako .