hafai kabisa Magufuli alipokuwa anapoteza watu na kuua vyama vya siasa alikuwa anamshangilia wkt kama kiongozi wa kidini alitakiwa kukemea lkn asilimia kubwa walimshangilia
@@sambulugu9988 Hajaongea vzr Biblia imekataza kuhukumu na watu kutekwa au kuuwawa is wrong maana mahakama zipo kudili na hao watu na sio binadamu mwenzako aamue mtu mwingine afe bila due process
Ukweli tunaitaji kuimbea Tanzania sana Nyerere aliturithisha Nchi yenye SIFA ya amani Lkn Leo Iko wapi Mungu tusaidie Huyu shetani anaetaka Tanzania iharibike akome na hongera kwa watumish Nyie ndio walizimzi Tuzid kuimbea tukikumbuka Bwana asipolinda mji walindao wakesha Bure MUNGU awalinde watumish Wa Mungu , Mungu ailinde Tanzania
Hajui hata anachoongea hakuna amri yeyote ya polisi iliyosema watu wasiaende mbaya na kama walifanya kosa ilibidi washtakiwe wameachiwa bila kesi hawakuwa na makosa
mh acha njaa na unafki kaka mungu haruhusu binadamu yeyote yule kumuhukumu binadamu mwenzie kwakua nayeye anasubir hukumu kua makin na maneno ya mungu kua na hofu ya mungu acha kufundisha kua wew
Hili lijamaa limechanganyikwahalina akili timamu, likapimwe akili, kwanza lilitakiwa litekwe lenyewe au mke wake ndiyo litaona maumivu, sijui linatimwa maana mimi huwa silielewagi kabisa, kwanza livyoongea huwa linanitia kichefuchefu sana, nahisi likibaraka la ccm, sura yanyewe ya pombe tupu
Mzee Lusekelo hueleweki hata kidogo unauma na kupulizia, unapinga utekaji lakini mtu akikusikiliza kwa umakini unaunga mkono utekaji na watekaji, HUSOMEKI.
Watanzania wengi sio waelewa mnasema vibaya huyu mchungaji kupitia haya alioyaongea ila naamini wengiwenu hamjamuelewa nini amemaamisha mana ameongea kwatumia mafumbo sana.
Wanaomkosoa hawajamsikiliza kwa umakini au hawana bando la kutosha wanamuhukumu kwa kichwa cha habari tu 😂ndivyo WA Tanzania tulivyo tunaangamia kwa kukosa maarifa
@@GodfreyOswardmlevi huwa anaongea chochote biblia haijaruhusu udhalimu eti kwa kuwa ni kiongozi basi unaweza kuua utakavyo ndiyo maana Mungu aliteua manabii wa kiwaonya na kiwatangazia wafalme adhabu wanapomwaga damu za watu mfalme Ahab alimuua mwananchi wake baada ya kumkatalia kummuzia shamba lake MUNGU akamwadhibu yeye na mkewe Jezebel
@@Kwelihukuwekahuru sawa, yeye transformer, kaongea Juu ya kukiuka kiapo. Kwamba unaweza kusababisha mmoja wa mla kiapo kutekwa na kuawa na wenzake. Mfano ni wapiganaji wao mau mau ya Kenya. Kundi jingine la leo ni wapiganaji wa Mai Mai wa DRC. Hawa usadikiwa kuwa wamekula Amini kwamba Nchi yao haitagawanywa vipa vipande kuwa nchi zaidi ya moja. Wana kiapo cha Mila. Ukiwa mmoja wao ukakiuka mashariti ya kiapo yanakuhusu. Mara nyingi kifo. Mzee Kawawa aliulizwa Mwl Nyerere alijificha wapi wakati wa jaribio la Mapinduzi. Alijibu nilimwahidi Mwl kwamba sitasema Siri hiyo mpaka kufa. Hapo anachotwambia hawezi kukiuka kiapo. Nyerere aliulizwa je na wewe utawala wako uliuwa? Alijibu kuwa ukiwa dreva wa basi la abiria 60 na gafla ukaona kichaa anakatiza unafanya nini? Umkwepe kichaa na upindue gari wafe abiria wote 60 au mkanyage kichaa ukoe abiria 60. Ni katika mazingira ya namna hiyo utawala unaweza kuondoa uhai. Anachosema transformer. Yeye anaungana na wewe kukataa hali ya mambo ya hapa nyumbani. Nafikiri kajenga hoja nzuri tu.
Ukiwa salama wewe ni rahisi sana kuona jambo fulani halikuhusu lkn likigeuka unalia na kusaga meno hata Nape alikuwa hajui kama itatokea siku atishiwe bastora na ashukuru Mungu ingekuwa usiku tungekuwa tunasoma historia yake tu hivyo hata huyu mzee kwa vile yy ana kila kitu anaona yote heri lkn pia amuulize Moo Dewji
kuna watoto wa familia za chini hawaaminiwi lakini wanamaono makubwa kuliko watoto wa wanaojiita miamba ila shida watanzania wenzetu wanamfumo wakutokuona mbali
Wewe usicheze na mungu ilotumbo lako lakusapoti ujinga nakushauri fanya kazi yamungu achana na sissa ila viongozi wako wanapo kosea kazi yako ni kumuomba mungu na si ushabik wako
Lakini mimi nawaambieni, wapendeni maadui zenu na kuwaombea wale wanaowadhulumu nyinyi, ili mpate kuwa watoto wa Baba yenu aliye mbinguni. Kwa maana yeye huwaangazia jua lake watu wabaya na wema, na kuwanyeshea mvua watu wanyofu na waovu (Mathayo 5:44-45).
Mimi ninamkubali Mzee wa upako kwa hili . Lakini pia watu tunashindwa kuelewa kwa nini Polisi dunia nzima wamekabidhiwa na kuruhusiwa kutunia silaha za moto na wanazunguka nazo mitaani mchana na usiku. Au Polisi hao wanawinda swala na nyumbu huku mitaani kwetu? Halafu serikali na bunge kwa nini linaidhinisha pesa za kununulia silaha za moto kwa ajili ya kuulia binadamu. Halafu utekaji mwingine ni wa kutengenezwa ili tu kuichafua serikali hasa wakati wa uchaguzi kila chama na kila anayetaka uongozi ana mbinu zake za kupata kiki na wengine wanatumia kafara za damu za watu kutafuta madaraka. Kwa nini watekwe hata watoto wadogo wameikosea nini serikali ? Kama si ushirikina basi mambo ya kuichafua serikali.
Mbona watz mna vichwa vigumu kasema anaekula kiapo kibibilia km kiongoz akikiuka ndo auwawe sio kina sativa au aliechachoma picha sasa hapo hamuelewi nn kukosa elimu bana
Siku ya kiama watu wengi wataukumiwa kwa kuzitumia sheria vibaya mfano mwizi anatakiwa akatwe mgono au mzinifu aliewa au kuolewa na ambao awajaowa au kuolewa wanaazabu zao siotu unakurupuka utajikuta wewe ndio unaenda motoni kwakutofata utaratibu
Wewe nakuchukia nitamuomba mora akutwae ahela ukae kuzimu usubiri hukumu ya kristo anaemkana na kupotosha amri zake eti kuua ni lazima hivi wewe ni mchungaji Gani usiejua amri kumi za mungi ikiwa na pamoja usiue.
Uniambie nisile chakula eti kwasababu ya amri wewe ngumi za uso zinakuhusu,we niambie usile kwasababu kinasumu hatakama hakina nitakuelewa,Amri ya police bilasababu za msingi ni chanzo cha vurugu .
Wewe umezeeka vibaya Wala sio role model ya mtu yeyote na what kind of legacy do u leave us. Ustahili kuwa mchungaji ulisema yesu hakuwa mkiristo wakati tunaomba kwa jinanlabyesu kristo
Mzee Mwema, Mzee Ali Hassan Mwinyi angekuwa ndiyo Rais Leo, angesema "Jamani waacheni waseme, hata wakinisema mimi. Acheni wachane picha na wazichome hata zangu, rukhusaa!
Asante sana mtumishi wa Mungu ukweli mtupu watu jaribuni kumwelewa kabla ya kuandika chochote na watanzania tuache unafiki
Uwe japo unakunya kabla ucoment mafiii
Mungu akubariki sana kweli umesema kweli
tuwaombee watumishi wa mungu sana vikra zao wengine wametekwa
Mzee Rusekero, umekuwa kama ccm.
Umeanza vzr ukamaliza vibaya.
Daaaaah,hili ni jini limechomoka kwenye chupa 😢
Nawaheshimu Sana viongozi wa dini, ila huyu kwangu kapoteza mwelekeo siyo WA kiimani Tu hata kwenye uchambuzi WA mambo ya msingi.
Hakuna alichokosea, hii ni busara kubwa sana.
Upo sahihi
Kama hapo ameongeeje vibaya msipende kuchambua mambo bila kuangalia pointi
Unaitumia Biblia vibaya, hufai kuwa Mchungaji
hafai kabisa Magufuli alipokuwa anapoteza watu na kuua vyama vya siasa alikuwa anamshangilia wkt kama kiongozi wa kidini alitakiwa kukemea lkn asilimia kubwa walimshangilia
Tumia wewe kutapeli sadaka za watu
very correct
UNASEMA BIBLIA INALUHUSU KUUA WAKATI AMRI YA SITA INASEMA USIUE AU NA WEW NI MUHUNI KAMA KIBOKO WA WACHAWI.. NAOMBENI LIKE JAMNI NIPO KENYA
Kaongea vizuri tu sema watu hamna jema
@@sambulugu9988 KUHUSU BIBLIA AMECHEMKA KABISA.
Anatakiwa afanyiwe opresheni ya akili
Tena huyo ni mnafiki ña chawa mkubwa. Unastahili kuitwa uchungaji. Kukaa kimya nayo busara. Anajipendekeza ili kupata che0
@@sambulugu9988 Hajaongea vzr Biblia imekataza kuhukumu na watu kutekwa au kuuwawa is wrong maana mahakama zipo kudili na hao watu na sio binadamu mwenzako aamue mtu mwingine afe bila due process
Ww ni mtumishi acha kuwa mtabili CCM tupo tunaokuja kuiweka online na wananchi wanyonge we gonna grow well and more
Uko sahihi mtumishi wa Mungu
Ukweli tunaitaji kuimbea Tanzania sana Nyerere aliturithisha Nchi yenye SIFA ya amani Lkn Leo Iko wapi Mungu tusaidie Huyu shetani anaetaka Tanzania iharibike akome na hongera kwa watumish Nyie ndio walizimzi Tuzid kuimbea tukikumbuka Bwana asipolinda mji walindao wakesha Bure MUNGU awalinde watumish Wa Mungu , Mungu ailinde Tanzania
MANENO ULIOONGEA LEO MZEE WA UPAKO YAMEFUTA UBAYA WAKO WOTE KABISA AMINI AMINI NAKUAMBIA WANAOONGEA KAMA HIVI NDIO WATAKAO IPONYA INCHI LEO ❤❤❤❤❤😂
Yana maisha yangu yote nilijuaga we ni mtu wa maana kumbe mjinga Kisi hiki, umenikosea Sana.
Acha kukurupuka hebu msikilize kwa kina huyu mzee
Sasa kwenye interview hii amekosea nini
Hamjamwelewa mzee anasema hivi watu ambao wangetekwa ni wale walioaapishwa maana ndo wanao leta vurugu! Akimaanisha ndani ya viongozi wenyewe
Umekurupuka
Na qasiotekwlwza viapo vyao tuwafanyeje mbona hao ni wengi hata hatuwafanyi kitu?
MNA MKOSEA MTUMISHI HUYU MBONA HAJAPENDEZEWA NA UTEKAJI
Umeongea vizuri sana,siasa zina fitna sana,wanasiasa tusiwaamíni sana.
Umezungumza vizuri sana mchungaji
Yaani ukimsikiliza vizuri utamuelewa ukinyimwa kusema ni hatari sana
Tatizo watanzania hawasikilizi wakaelewa bali wanasikia neno moja na kutukana tu
Leo mzee kazungumza points kabisa
Hongera sana umechambua vizuri sana
Subiri likufike ili umpongeze vzuri
Ujumbe.....
Hajui hata anachoongea hakuna amri yeyote ya polisi iliyosema watu wasiaende mbaya na kama walifanya kosa ilibidi washtakiwe wameachiwa bila kesi hawakuwa na makosa
Wewe ndio mchawi imekuingia vzr kama wewe ni mtekaji acha Mungu atakunyoosha siku mmoja
@@musa-v3fwewe mwenyewe hujui unaongea nn muache aongee yake na wewe jitahidi kusema yako au hauna macho huoni yanao endelea
Wewe ndio muhuni msenge wewe
Huyu mzee mtu muhimu sana ndani ya hii nchi
Mhim kwako
Huyu Mzee mpuuzi Sana,inaonekana katiba ya nchi huijui
Sawa chapoo
Fact sana
mh acha njaa na unafki kaka mungu haruhusu binadamu yeyote yule kumuhukumu binadamu mwenzie kwakua nayeye anasubir hukumu kua makin na maneno ya mungu kua na hofu ya mungu acha kufundisha kua wew
Hili lijamaa limechanganyikwahalina akili timamu, likapimwe akili, kwanza lilitakiwa litekwe lenyewe au mke wake ndiyo litaona maumivu, sijui linatimwa maana mimi huwa silielewagi kabisa, kwanza livyoongea huwa linanitia kichefuchefu sana, nahisi likibaraka la ccm, sura yanyewe ya pombe tupu
Mzee Lusekelo hueleweki hata kidogo unauma na kupulizia, unapinga utekaji lakini mtu akikusikiliza kwa umakini unaunga mkono utekaji na watekaji, HUSOMEKI.
Ukweli mimi binafsi siangalii bunge kabisa mzee wangu barikiwa kwa kusema ukweli wako no matter what ujumbe amefika
Uko vizuri lakn naomba viongozi wadini muungane mumwite rais mzumgumze naye huenda tukapona
KWA HAPO MZEE WA UPAKO NAKUPA IOO KWA IOO.UMEONGEA VEMA.AMEN.
Hapo mzee wa upako umenene,utekaji sio afya kwa taifa.
Unaongea vizuri halafu unaharibu Hatukuelewi Mr Upako
Watanzania wengi sio waelewa mnasema vibaya huyu mchungaji kupitia haya alioyaongea ila naamini wengiwenu hamjamuelewa nini amemaamisha mana ameongea kwatumia mafumbo sana.
Sisi Tz ni kama bomu hua tunaripuka tu kabla kuelewa huyu mzee ameongea nini hawajamsikiliza
Wanaomkosoa hawajamsikiliza kwa umakini au hawana bando la kutosha wanamuhukumu kwa kichwa cha habari tu 😂ndivyo WA Tanzania tulivyo tunaangamia kwa kukosa maarifa
Hivi kumuuwa binadam ni rahisi kweli mbona kama huyu siyo mtumishi wa mungu
MI NAKUELEWA SANA MZEE WA UPAKO, TENA NAKUPENDA SANA, MUNGU WA MBINGU NA NCHI AKUPE MAISHA MAREFU, AMINA.
Yaani hili lizee la hovyo kweli kwahiyo we unafurahi watu.kuuliwa? Waajabu sana ww
Kakosea wapi, msikilize vizuri.
Acha kujibu watu wanaokulupuka kusikiliza wengi hapa wana mihemko ya kichadema badala ya kumsikiliza vizuri na kumuelewa,@@GodfreyOsward
@@GodfreyOswardmlevi huwa anaongea chochote biblia haijaruhusu udhalimu eti kwa kuwa ni kiongozi basi unaweza kuua utakavyo ndiyo maana Mungu aliteua manabii wa kiwaonya na kiwatangazia wafalme adhabu wanapomwaga damu za watu mfalme Ahab alimuua mwananchi wake baada ya kumkatalia kummuzia shamba lake MUNGU akamwadhibu yeye na mkewe Jezebel
@@Kwelihukuwekahuru sawa, yeye transformer, kaongea Juu ya kukiuka kiapo. Kwamba unaweza kusababisha mmoja wa mla kiapo kutekwa na kuawa na wenzake. Mfano ni wapiganaji wao mau mau ya Kenya. Kundi jingine la leo ni wapiganaji wa Mai Mai wa DRC. Hawa usadikiwa kuwa wamekula Amini kwamba Nchi yao haitagawanywa vipa vipande kuwa nchi zaidi ya moja. Wana kiapo cha Mila. Ukiwa mmoja wao ukakiuka mashariti ya kiapo yanakuhusu. Mara nyingi kifo. Mzee Kawawa aliulizwa Mwl Nyerere alijificha wapi wakati wa jaribio la Mapinduzi. Alijibu nilimwahidi Mwl kwamba sitasema Siri hiyo mpaka kufa. Hapo anachotwambia hawezi kukiuka kiapo. Nyerere aliulizwa je na wewe utawala wako uliuwa? Alijibu kuwa ukiwa dreva wa basi la abiria 60 na gafla ukaona kichaa anakatiza unafanya nini? Umkwepe kichaa na upindue gari wafe abiria wote 60 au mkanyage kichaa ukoe abiria 60. Ni katika mazingira ya namna hiyo utawala unaweza kuondoa uhai. Anachosema transformer. Yeye anaungana na wewe kukataa hali ya mambo ya hapa nyumbani. Nafikiri kajenga hoja nzuri tu.
Amri za Mungu zinasema usiue yeye kasema ua
Ukiwa salama wewe ni rahisi sana kuona jambo fulani halikuhusu lkn likigeuka unalia na kusaga meno hata Nape alikuwa hajui kama itatokea siku atishiwe bastora na ashukuru Mungu ingekuwa usiku tungekuwa tunasoma historia yake tu hivyo hata huyu mzee kwa vile yy ana kila kitu anaona yote heri lkn pia amuulize Moo Dewji
Mzee niko pamoja na wewe baba tusaidie tuwe huru kweli ata mimi naona kama nimetekwa
Kusikiliza,kuelewa,nakutafakari kwa kina kauli ya mtu ni bora zaidi kuliko kutukana.
Upo sawa mzee wa upako
Mzee wa KONYAGÍ, DUH!!!Hilo Kanisa limejaa wapiga KONYAGÍ DAH!
Mzee leo umeingoe vtu vya muhimu sana
Rushwa imeharibu saana nchi yetu.
Sasa ninanitumwendee ambae si mla rushwa,
Hata viongozi wadini wamekuwa machawa,makunguni ni hatari tupu.
Hili la mbeya mzee upako sikuelewi kabisaaaa!.
Huyu Alisha poteza dira hivyo ni mzigo kwa waelewa! Ni mshauri tu akite kwenye mahubiri ya watu kuacha dhambi
Mzee hujui sayansi ya gvnt
Watanzania uelewa wenu wengi wenu mnao toa comment kumkosoa mzee wa upako unakosea ufikili kwanza na uelewe sio kupayuka
kuna watoto wa familia za chini hawaaminiwi lakini wanamaono makubwa kuliko watoto wa wanaojiita miamba ila shida watanzania wenzetu wanamfumo wakutokuona mbali
Ahsante sana Mzee wa upako tumekuelewa sana
Ukishiba bwana ... raha sana ... kwa umri huu unawahi kinafki mpka kufa ... uwiiiiiii
Ana ujumbe mzito tumwelewe anatoa tafadhali kwa baadae
Amri ya sita Usiue
Huwezi kuin'goa ccm kwa vurugu,ni mipango ya mda mrefu.
Chawa hiyo, imeshapitwa na wkt
Wewe usicheze na mungu ilotumbo lako lakusapoti ujinga nakushauri fanya kazi yamungu achana na sissa ila viongozi wako wanapo kosea kazi yako ni kumuomba mungu na si ushabik wako
Kama wafanyabiashara wa songea, wameenda kwa mganga lkn ishasemwa wametekwa
Jamani mskilizeni mwanzo mpaka mwisho, kuna mambo amesema ni sahihi.
Nimekulewa leo
Lakini mimi nawaambieni, wapendeni maadui zenu na kuwaombea wale wanaowadhulumu nyinyi, ili mpate kuwa watoto wa Baba yenu aliye mbinguni. Kwa maana yeye huwaangazia jua lake watu wabaya na wema, na kuwanyeshea mvua watu wanyofu na waovu (Mathayo 5:44-45).
Mimi ninamkubali Mzee wa upako kwa hili . Lakini pia watu tunashindwa kuelewa kwa nini Polisi dunia nzima wamekabidhiwa na kuruhusiwa kutunia silaha za moto na wanazunguka nazo mitaani mchana na usiku. Au Polisi hao wanawinda swala na nyumbu huku mitaani kwetu? Halafu serikali na bunge kwa nini linaidhinisha pesa za kununulia silaha za moto kwa ajili ya kuulia binadamu. Halafu utekaji mwingine ni wa kutengenezwa ili tu kuichafua serikali hasa wakati wa uchaguzi kila chama na kila anayetaka uongozi ana mbinu zake za kupata kiki na wengine wanatumia kafara za damu za watu kutafuta madaraka. Kwa nini watekwe hata watoto wadogo wameikosea nini serikali ? Kama si ushirikina basi mambo ya kuichafua serikali.
Km Huna d 2 huwezi elewa
Kauli kama za kina Nape, kina Marko Ng'umbi yule kidada CCM aliemweka Mungu kando!
Juu ya hili upo sawa japo mengine huwa unatuchanganya
Biblia gani inaluhusu kuteka kweli Kuna wachungaji mataila wa kubadili maandiki kifungu gani hicho baba nasi tukisome
NGOJA WAJE WALIFUNGE KANISA LAKO KAMA WALIVYOMFANYIA KIBOKO WA WACHAWI
Mbona watz mna vichwa vigumu kasema anaekula kiapo kibibilia km kiongoz akikiuka ndo auwawe sio kina sativa au aliechachoma picha sasa hapo hamuelewi nn kukosa elimu bana
Kweli
Siku ya kiama watu wengi wataukumiwa kwa kuzitumia sheria vibaya mfano mwizi anatakiwa akatwe mgono au mzinifu aliewa au kuolewa na ambao awajaowa au kuolewa wanaazabu zao siotu unakurupuka utajikuta wewe ndio unaenda motoni kwakutofata utaratibu
Unauma na kupuliza ila umeuma ila umepuliza
Sikilizen mpaka mwisho ndiyo mtamuelewa
Hizi ndo busara za wazee kweli, ugonjwa wa akili unawateza watu wengi sana kwa sasa,
Muwe huru kusema msifiche tatizo vyombo vya Dora ndogo tatizo wasikubali kuvun ja Shelia waviache ivi vyama
Anaomba huruma kwaselikali kwavitendo alivyofanya kwenye shambalake kujipendekeza sasa huko
...vikra ni fikra
Wewe huna mpya yako yanaendelea wenzio wanateseka unajipendeza kwa viongozi huna lolote mchungaji gani
Yuko huru kutoa mawazo yake na kulisemea hilo kwani mnataka aongee mnavyo taka nyinyi. mzee wa upako ukovizuri unafrika huru.
Nimekuelewa kiongozi
Uchungaji umekushinda umeakimbilia kuwa chawa
Wewe nakuchukia nitamuomba mora akutwae ahela ukae kuzimu usubiri hukumu ya kristo anaemkana na kupotosha amri zake eti kuua ni lazima hivi wewe ni mchungaji Gani usiejua amri kumi za mungi ikiwa na pamoja usiue.
Picha ya rais ipo kwenye magazeti, magazeti hayo hayo tunatawazia chooni
Ushaur wako ni muhim Ila itakuwa na nguvu endapo viongoz wa din mtakuwa wa moja kutoka kauli moja juu ya mstakabali ya nchi yetu
Tuna enda nchi ya ahadi wao wanataka kurudi Misri haipo,hiyo
Uniambie nisile chakula eti kwasababu ya amri wewe ngumi za uso zinakuhusu,we niambie usile kwasababu kinasumu hatakama hakina nitakuelewa,Amri ya police bilasababu za msingi ni chanzo cha vurugu .
Ni wahuni tu ndiyo wanaoambatana na the so called " kiboko ya wachawi"!
Ccm na police ndio wanaoteka watu ipo wazi kwa kauli zao
Wewe toka Kenya watu waMungu walifanya nini walipo zuiwa kweda Canan?
Mzee wa upako amewaponda ndo maana mmevuluga mawasiliano ili asieleweke lakini ameeleweka
Mtanzania jilinde, ukitegemea ulindwe wewe imekula kwako.
Wewe umezeeka vibaya Wala sio role model ya mtu yeyote na what kind of legacy do u leave us. Ustahili kuwa mchungaji ulisema yesu hakuwa mkiristo wakati tunaomba kwa jinanlabyesu kristo
Vipi mganga wakienyeji ajichukulie maamuzi ya kuzika mtu bila kushirikisha angalau tu hata serkali ya mtaa/kijiji?
Walio apishwa ndio watekwe
Mzee Mwema, Mzee Ali Hassan Mwinyi angekuwa ndiyo Rais Leo, angesema "Jamani waacheni waseme, hata wakinisema mimi. Acheni wachane picha na wazichome hata zangu, rukhusaa!
Mmmmh wabongo bhana hana hawackilizi mpaka mwisho
Hufai hata kuwa mjakazi wangu wa kuwapa mbwa wangu chakula eti biblia inasema watu watekwe na kuuawa.
Huyu mzee amefilisika mawazo eti biblia imeruhusu kuua toa aya😢😢😢
Low knowledge is an addiction
Chadema niwahuni
Watanzania tunashida gani!?,au hatuna bando lakumsikiliza mtu mwanzo mwisho tunakimbilia comment.Sasa hapa huyu mtu kakosea wapi?!