MARTHA MWAIPAJA ~NINAKUITA (OFFICIAL VIDEO) For skiza SMS: Skiza 6983289 to 811

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 ноя 2024

Комментарии • 870

  • @filexingutia3620
    @filexingutia3620 Год назад +7

    Nakuita mungu kwenye kipindi hiki kigumu mungu anisaidie

  • @julievideo9126
    @julievideo9126 Год назад +2

    Leo Niko WA 20 nakupenda san my sister mungu akutunze zaidi mfarij wetu unaye jua kutusemea kwa baba

  • @elevit9391
    @elevit9391 Год назад +51

    Whoever reading this, I pray that God visit your home with healing, blessings and miracles. Amen.💕

  • @marthamwaipajabackup
    @marthamwaipajabackup Год назад +314

    Ninakuita Yesu kwenye maisha yangu na family yangu na kwenye huduma ya mama yangu mbariki zaidi 😢❤

    • @AmIna-hb4jv
      @AmIna-hb4jv Год назад

      ​@@gosbertmuta5421😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊

    • @jasmineedamu6089
      @jasmineedamu6089 Год назад

      ​@@gosbertmuta5421👏

    • @johnntakirutimana4097
      @johnntakirutimana4097 Год назад +1

      Tena zaidi 🙏🙏

    • @chancelinebuntu1238
      @chancelinebuntu1238 Год назад +2

      Ooooooh là là😢😢😢😢ukwel chr wangu Joan welcom Burundi tunawapenda sana turabakunda can❤

    • @madammartha
      @madammartha Год назад +1

      Amen Amen Amen

  • @rispaqueen
    @rispaqueen Год назад +3

    Nakuita kwa njili ya binti yangu yangu halie kataliw na babake after passing form four 4⃣ exams antil know no break through of joining university after what have been through with her in high school God intervine. 😢😢😢

  • @CholelaRobert-lm7ro
    @CholelaRobert-lm7ro Год назад +1

    Nakuita yesu wangu nisaidie🙏🙏🙏

  • @eliyaelisha-gg4hi
    @eliyaelisha-gg4hi Год назад +1

    Hongera Sana mm hii nyimbo imenibariki sana

  • @vincianekyose2674
    @vincianekyose2674 Год назад +1

    Samahani sana maman isikuake kwanyuma tuambilie kama ulikua nachikiana na chetani kama wanamusic wengine, n'a barikiwaga sana na we mama

  • @aluochviolet8490
    @aluochviolet8490 Год назад +1

    This song wueeeh chesa 💯💯💯💯✨✨✨✨✨✨

  • @patrickkalahuka6340
    @patrickkalahuka6340 Год назад

    Martha hapo ni mekupenda gitsi una vala vizuli apana kuwa n'a vaakama malaya kama una penda tu kufate nyimbo zako zina tujenga sana

  • @marthamashinji6830
    @marthamashinji6830 Год назад +1

    Tukumbuke mungu Asante martha

  • @Hellenah_Sufii
    @Hellenah_Sufii Год назад +1

    Mom delivers. Nyimbo zako nizakufariji na kutia moyo sana.
    Mungu nakuita katika maisha yangu , familia yangu ,marifiki zangu, kanisa lako na hata nchi yangu ya 🇰🇪🇰🇪🙏🙏.
    Wakenya wekeni bedara hapa kama unakubaliana🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪.

  • @neemachalamila590
    @neemachalamila590 Год назад +3

    Yesu ingia kwenye Tanzania yetu,pita duniani Yesu tunaangamia ,hofu yako hamna tena duniani watu hatijaliani tena

  • @mubengasinga65
    @mubengasinga65 Год назад +1

    Barikiwa sana

  • @kamwanacommedy4935
    @kamwanacommedy4935 Год назад

    Kali Sana mum huku Kenya tunakutabua 🙏🙏🌹🌹🌹

  • @ToshJnr
    @ToshJnr Год назад +4

    Hapa nilipo katika Hali yangu,,nakuita❤❤
    Yeye aliyeumba sikio,,Je,hasikii??😭😭
    Dunia Haina majibu,,maswali tu😭😭
    Nakuita wewe mwenye huruma

  • @UwimanaJeanine-gr3lt
    @UwimanaJeanine-gr3lt Год назад +6

    Unaimba vizuri mama Martha mwaipaja ❤mno mungu akubariki zaidi akulindiy uduma yako

  • @glorysarah_Music
    @glorysarah_Music Год назад +1

    Huu wimbo kweli unabariki sana,,,ewe baba turehemu tu maana sote tuko chini ya mamlaka yako

  • @samuelkiprono-l3j
    @samuelkiprono-l3j 9 месяцев назад +1

    Wimbo huu unanipa matumaini kwa Mwenyesi Mungu

  • @larbankasingu7902
    @larbankasingu7902 Год назад

    Upako wa kweli, Mungu wako habahatishi anaponya kweli, anainua, anatia nguvu, anaganga mioyo...... Mungu sifiwa

  • @delliphermaudesthersakala5697
    @delliphermaudesthersakala5697 Год назад +1

    Nakuitaji Yesu moyoni mwangu

  • @PoulHassan
    @PoulHassan Год назад +2

    Oohh Asante wimbo wanitia nguvu sana ninakuita yesu njoo baba unirehemu walimwengu ni wabaya sana nirehemu nilipokukosea 😥😭🙏mimi ni mwanao tyu huruma yako iniguse na mm barikiwa ewe marikia wa kututia mioyo kupitia nyimbo zako 💞🥰😍 penda sana mama angu martha ❤❤❤💯 ninakuita masia nirehemu nyakati ni nyingi kwangu kuna za mates,kukata tmaa😢 nisamehe baba nikimbuke mwanao😢😭🙏

  • @alicemjomba2644
    @alicemjomba2644 Год назад

    Ninakuita Baba unirehemu, unikumbuke Asante Yesu 🙏🙏

  • @minzasamwel6874
    @minzasamwel6874 10 месяцев назад +1

    Martha Mwaipaja mimi nakupenda sana na mungu akubariki ❤❤❤❤❤❤

  • @collinskenya3630
    @collinskenya3630 Год назад +3

    Approved in Kenya 🇰🇪.
    ✅Vocals zimeenda skuli.
    ✅Ujumbe asilimia 💯.
    ✅Beat lakutuliza roho,mwili na akili.
    Bila shaka 'Tunakuita' malkia wa Nyimbo za injili Africa.
    Huku Kenya you earned your respect for the good work you're doing.Ubarikikwe sister ❤❤❤❤.

  • @ackimmutale6322
    @ackimmutale6322 Год назад +3

    dada matha,nyimbo zako huniburudisha roh yangu.b, blesed coz i listen u here in mbala zambia.amen

  • @anaiskafilleaineedejesus3642
    @anaiskafilleaineedejesus3642 Год назад +1

    Hakuna jina kubwa lingine tume pewa kama sio jjna la yesu.jina kubwa lenye uwezo na mamlaka.upewe sifa milele

  • @LuckyMukhwana
    @LuckyMukhwana Год назад +1

    Nakuita yesu njooo kwa maisha Yangu baba

  • @mercyjunne
    @mercyjunne Год назад +3

    Natamani Nami pia uimbaji wangu ufikie kiwango hiki 🙏🙏❣️❣️

    • @carobodashady1597
      @carobodashady1597 Год назад

      Ucijali my d,a utafika to

    • @AachiEpem
      @AachiEpem Год назад +1

      Kabza

    • @AachiEpem
      @AachiEpem Год назад

      Mungu anatulinda siku zote mbali na makoza ahmbazo tuna fanya , lakini mungu anatulinda 2

  • @angelachepngetich-k9r
    @angelachepngetich-k9r 7 месяцев назад +1

    tunakupenda ❤ sana wimbo zako zinabembeleza sana hapa nchi ya Kenya 🇰🇪

  • @AgnesJiston-bo2ox
    @AgnesJiston-bo2ox Год назад +5

    Tunakuita Yesu kwenye familia yetu roho ya umauti kwenye Familia yetu aina nafasi tena mwaka huu, anakuita baba angu pia ni mgonjwa umponye, Mungu tusaidie, Amina.

  • @aimecesaire7197
    @aimecesaire7197 Год назад +1

    Ndagukunda nkumi ya kristu

  • @MuriakReshMa
    @MuriakReshMa Год назад +36

    When GOD call someone to do his Work,HE equip and perfects him or her..Thank you MARTHA for frequent blessings.. Listening from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @laxmajor
    @laxmajor Год назад +1

    Nomaa mtumishi wamungu❤

  • @Caroh-i2j
    @Caroh-i2j Год назад +7

    Hongera kwako MARTHA, nyimbo zako hunitia nguvu kwa hii safari ya kwenda mbinguni.Listening from kenya

  • @MukristuMukizwa
    @MukristuMukizwa Год назад +2

    Nakupenda sana muimbaji mungu akubaliki

  • @hellen-kh2xm
    @hellen-kh2xm Год назад +3

    Ninakuita yesu kwa ajili ya maisha yangu na ya Familia yangu 🙏🙏🙏ukatukumbuke yesu na utatupe nyota

  • @OkitoNatacha-mw5bu
    @OkitoNatacha-mw5bu Год назад +1

    Barikiwa. Dada Martha

  • @msa3957
    @msa3957 Год назад +3

    Mama ubarikiwe. Mungu alikuita kweli sauti ya kutufanya tumukaribie mungu. God bless you. 🇰🇪

  • @frerehenrytv66
    @frerehenrytv66 Год назад +1

    Asate saaanaaa dada Martha

  • @davidmupenzi8997
    @davidmupenzi8997 Год назад +8

    Amen🙌🙌🙌🙌🙌🙌Nikweli mama yangu ,Mungu akubariki mara miya akupe mwisho muzuri kuliko mwanzo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Siku la leo Niliita Mungu wetu akanisikiya wimbo huu unani bariki saaaaaaana

  • @ThomasMpagama-vv2lm
    @ThomasMpagama-vv2lm Год назад +1

    Aminaa sana dada

  • @michaelmakokha8225
    @michaelmakokha8225 Год назад +6

    Huduma njema dada,hapa kenya tunakupenda sana❤

  • @EstherRioba-l6i
    @EstherRioba-l6i Год назад +1

    Siku zote nyimbo zako hunipa tumaini katika maisha yangu. 😢

  • @selestinfrancis5904
    @selestinfrancis5904 Год назад +1

    Mungu azidi kukuinua Dada yangu ktk utume wako,zaidi tuu Mungu akusaidie usiwe na majivuno,ubinafsi na kudharau wengine,zaidi akubariki uweze kuwainua na wengine.❤❤

  • @nyemowanyotanjemaudm4360
    @nyemowanyotanjemaudm4360 Год назад

    Safi Sana madam Kaz nzuli Sana hii naamin hujawah kukosea,mwisho na sema ninakuita yesu

  • @JohnMatsalia-b7h
    @JohnMatsalia-b7h 8 месяцев назад +2

    Mungu amuuongezee mama yeti wa Imani miaka mingi

  • @CynthiaMepz
    @CynthiaMepz Год назад +1

    Nakuita yesu kwenye maisha yangu

  • @jamilahnechesa519
    @jamilahnechesa519 Год назад +2

    Amen Utukufu kwa mungu❤❤

  • @simonmwasonywamwamengo5303
    @simonmwasonywamwamengo5303 Год назад +1

    5:47 Nabalikiwa na nyimbo zako dad

  • @vonialiune9668
    @vonialiune9668 Год назад +1

    Mungu akubariki i love your songs inanitia moyo God blessings upon you always.

  • @UncleBengospelministry
    @UncleBengospelministry Год назад +1

    Wonderful song inaguza moyo thank you martha mwaipaja this song imekuja kwa wakati mzuri ninaomwiita
    MUNGU maishani mwangu
    Benson listening from Kenya God bless you I like your songs too like umeniitika na this one very touching songs

  • @milkacyrus240
    @milkacyrus240 Год назад +9

    I thank God for minister Martha, she understands time and seasons .Nena nasi ,tukumbuke yesu.we love your songs from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 kenya.

  • @measlaomari7703
    @measlaomari7703 Год назад +1

    Dada yangu Martha Nakupeda sana nyimbo zako ninazipeda saaaaaan

  • @RichardMuteke
    @RichardMuteke Год назад +1

    Kila nikiutazama wimbohuu unanipa kumsogeleya Mungu mwenye uruma naamini ataniurumiya MUNGU Linda maisha ya dada Martha nawaimbaji wote katika dunihii kamaukopamoja Nami leta link

  • @pascaliatkalekye9336
    @pascaliatkalekye9336 Год назад

    Oh yes njoo yesu unirehemu

  • @kelvinsalasya8031
    @kelvinsalasya8031 Год назад

    Wimbo huu unabariki Sana 🙏
    Hakika ni Mungu ambaye ameshikilia Sisi bila Mungu hatuendi popote.
    Mungu Aturehemu 🙏
    Asante Sana Kwa wimbo huu ni wa Baraka 🙏
    Na ni wimbo Mzuri Sana 👍

  • @MercyMof-rc3lz
    @MercyMof-rc3lz Год назад +1

    Nakuita baba sababu bila wewe siwezi chochote, love your songs always ju zanipa moyo, love you mamangu wa kiroho

  • @barakatele823
    @barakatele823 Год назад +1

    Mungu Mbele.

  • @catherinemaithya9924
    @catherinemaithya9924 Год назад +2

    Tunakuita Yesu utureheme, I love you Martha Catherine maithya from Kenya ❤

  • @CentyKamai-m3j
    @CentyKamai-m3j Год назад

    Dunia kweli haina majibu kwa tunayoyaona.tuzidi kumuita mungu atusaidie asante martha kwa ufunuo wa wimbo huu ubarikiwe zaidi.

  • @MariaMahenge-j5h
    @MariaMahenge-j5h 5 дней назад

    E yan wewe dada nyimbo zako zinanibari sana kama ikiwezekana tunaomba mtusapoti na ss huku vjijin na mungu atawbariki

  • @annex1889
    @annex1889 Год назад +2

    I comment ... This world is so wicked only such wailing souls needed to cry for our rescue ... Martha keep it up to worship God in truth and in Spirit

  • @acaciamushiya1621
    @acaciamushiya1621 Год назад +1

    Ubarikiwe dada martha

  • @YasintaShemu-ot7xy
    @YasintaShemu-ot7xy Год назад +1

    Ni kweli tunamhitaji Mungu alie mwingi wa rehema,barikiwa mama

  • @raphaelsms599
    @raphaelsms599 Год назад +11

    Mungu akubariki martha

  • @DavidKalole
    @DavidKalole Год назад +3

    Even this one is best song be blessed Martha Mwaipaja.kwa kutulisha mafunzo ya Mungu

  • @GiltonHwarang
    @GiltonHwarang Год назад +2

    Mungu awe nawe.

  • @murianzi6336
    @murianzi6336 Год назад +1

    Nakuita Mungu👐👐

  • @musaliaeugene7975
    @musaliaeugene7975 Год назад

    Kwakweli nyimbo zako zanibariki sana

  • @Pkitungulu
    @Pkitungulu Год назад +1

    Huu wimbo umenizungumuzia Kwa ajali ya maisha yangu na mwanangu. Mungu najua unanipa jibu Kwa hiya nipitiayo Kwa Sasa🇰🇪🇰🇪🇰🇪 . Martha nakuombea Mungu akuzidishie haswa Kwa hiki kipaji cha uimbaji

  • @joanjoan5995
    @joanjoan5995 Год назад +2

    Nakuita baba kwenye mahusian yang py nakuita kwa mama Ang hyu Martha mwaipaja 😭😭😭😭😭😭😭🙏💓👍

  • @PamellaMugisha
    @PamellaMugisha Год назад +1

    Ninakuita Yesu kwenye maisha yangu
    Ninakuita baba Ninakuita wewe nioneye uruma baba yangu
    Nachoka bila wewe kunijibu nani atajibu maombi yangu 🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @SaraAmani-z2r
    @SaraAmani-z2r Год назад +1

    ubarikiwe dada nyimbo zako zinatupa faraja mungu akulinda

  • @DianaKaimuiri
    @DianaKaimuiri Год назад

    Martha napenda wimbo zako sana ,yenye mm upenda sana ni adui

  • @edwardmmbagaya
    @edwardmmbagaya Год назад +1

    barikiwa sana dadangu

  • @franciscodibagula5624
    @franciscodibagula5624 Год назад

    HONGERA SANA KWA UJUZI KUTOKA KWA YEHOVA

  • @mil580
    @mil580 Год назад +1

    Ninakuita mungu kwenye maisha yangu nione huruma yesu 😢mkumbuke mwanangu yesu 🙏🙏

  • @mwadeghuagnes4841
    @mwadeghuagnes4841 Год назад +1

    Ubarikiwe sana dada martha wimbo mzuri huu na unatia moyo kwa yale tunapitia

  • @HeritierWata-hk7jl
    @HeritierWata-hk7jl Год назад +1

    😭😭😭nakuitaji yesu kwenye maisha yangu Martha ubarikiwe mungu akuinuwe kwenye uduma Yako🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Congo tupo ndani kwenye mji ya lualaba

  • @heriethinnocent3283
    @heriethinnocent3283 Год назад +1

    MUNGU akubariki sanaaaaa Dada angu ♥️♥️♥️♥️ ni Mungu tu pekee mwenye huruma

  • @fatinamhidini-zn1ck
    @fatinamhidini-zn1ck Год назад +9

    Ninakuita yesu uishi nami moyoni mwangu,ninakuita usimame na familia yangu mungu wangu ninakuita ubariki uzao wa tumbo langu!!! Mungu wangu ninakuita❤🙏🙏🙏

    • @RachelJohn-h8z
      @RachelJohn-h8z 10 месяцев назад

      Baliki maombi yang eee mung mim mwanao 🙏🙏🙏🙏 nipo kwaajili yako na pia nisameh. Niliyotend mabay kwa watu wot eee mung nipe hulum yako ya milel

  • @UwimanaJeanine-gr3lt
    @UwimanaJeanine-gr3lt Год назад +1

    ❤nakuta yesu wewe kwama ishayangu na family nauduma yangu

  • @Ikello-f7m
    @Ikello-f7m Год назад +2

    My favorite Martha also much love from Uganda and God bless you family

  • @EstellaNshimirimana-up9jo
    @EstellaNshimirimana-up9jo Год назад +5

    Waaaooooooo,good song,dunia haina majibu bola Mwenyezi Mungu aturehemu.❤❤❤❤,good job.

  • @nzeyimanamarcelline-qf8qw
    @nzeyimanamarcelline-qf8qw Год назад +2

    Mungu wa mbinguni akubariki sana dada kabisa unanibariki usiku na muchana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @kakoi428
    @kakoi428 Год назад +13

    Am always be encouraged by your songs even at the most trying moments of my life. I get to listen to your songs I get more strength to face another day

  • @PBeauty-bd9ks
    @PBeauty-bd9ks Год назад +1

    Nakuita mungu mwenye huruma ooooh halleluya 🤲🤲 mungu akubariki dada Martha kwa kazi yko nzuri much love frm kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @NicholasMakuthi
    @NicholasMakuthi Год назад +15

    Greatest of all times,Serving for Gods Glory.Much love from kenya🇰🇪

  • @maryfatuma7243
    @maryfatuma7243 Год назад

    Martha umekuwa wabaraka katika maisha yangu, nyimbo zako dadangu zinanitia nguvu pale napofika mwisho wa mawazo

  • @janedicky6595
    @janedicky6595 Год назад

    Hakika mungu akuinue zaidi na zaidi

  • @gloriaamase9764
    @gloriaamase9764 Год назад

    Amen Amen Amen baba nakuita uirehemu inchi yangu Kenya🙏🙏🙏🙏 Martha barikiw mum❤

  • @pendofrances617
    @pendofrances617 Год назад

    Aminaaaàa, Mungu aitike Sasa atusikie ,Haleluya

  • @MariamuSalimu-c6r
    @MariamuSalimu-c6r Год назад

    Mungu akuweke Martha

  • @edwinomwamba98
    @edwinomwamba98 Год назад +1

    Huu wimbo ni sehemu ya maisha yangu
    Hongera sana MUTUMISHI

  • @geofreykoech4279
    @geofreykoech4279 Год назад +1

    Mungu bado akupe nguvu uwe baraka kwa wengine Martha...

  • @zipporahmacharia7520
    @zipporahmacharia7520 Год назад +1

    Tunakuita Mungu come and heal our nation

  • @StephenWagithi-sz4ld
    @StephenWagithi-sz4ld Год назад +6

    When I listen to your songs,I àlways get more faith in God

  • @irlandedubois5660
    @irlandedubois5660 Год назад +5

    J’aime beaucoup vos chansonsl lorsque je suis triste en écoutant vos chansons je me sens forte sachez que vous aviez une maman qui vous aime et qui prie pour vous et votre famille depuis Haiti 🇭🇹

  • @yustomakangula2361
    @yustomakangula2361 Год назад +1

    Mungu abariki huduma yako ya uimbaji