😂😂 waandishi habari ccm eti raisi kaja na takwimu sahihi😂😂endeleeni kulinda ugali wenu mcje fungiwa 😅😅nchi changa inafananishwa na nchi inayojiweza 😂 nyie mnakopa mpaka vifuu marekani wanakopa baadhi y mambo sio kila kitu mikopo km nyie Hadi vifuu Kwa uchumi Gani kwmfno? Utalii au karafuu ??😂😂
HAPA MIMI NAONA KABISA HAKUNA WA KUPAMBANA NA OMO JAMAAA NI KICHWA AMBACHO KIKISEMA KINA UHAKIKA NA UKIANGALIA HUTBA HII NA ILE YA OMO UTACHEKI RAIS WETU KAMA HAPA KAZUNGUMZA LAKINI MAJIBU YAKE HAYAJAFUTA MANENO YA OMO HATA KIDGO
Huyu mwandishi wa habari au kuandika habari?kwanini unahukumu wewe kwamba Rais amekuja na takwimu sahihi?hii ya Makamo wa Kwanza ameyanukuu kutoka Kwa vyanzo sahihi kutoka Benki kuu sasa kama ni muandishi kweli ungefuatilia ktk vyanzo hivyo!
Mungu atuwexeshe kulipa
Act tunasema ,uwezekano wa kukopa kopa unatia umasikini zanzibar .mbona miradi unayofanya mbona hutupi muongozo umetumia bei gan
Je walio uliwa bure mbona hajasema kitu
Mwinyi ww ndo muongo na mara hii tutakutudisha kwenu bara hatutaki mgeni atupelekeshe mambo ya ukoloni ushapita
Wewe. Muandishi. Pungikweli. Wewe. Mwehuu. Muandishiii
Ni kweli musitutie madeni
Si ametoa ufafanuzi au hata hapo huekewi
Mwinyi kasema maneno anayo yasema ni uongo kakiri mwenyewe kua anasema uongo
Na hicho kisiwa cha fungu mbaraka muache kukitolea macho ccm ya visiwani na bara maana nyie ni wezi munajinufaisha nyie tu ila yutaelewana tu one
Hata report
Ya bank ni uongo
KILA MWEZI DOLA MILIONI KUMI🤣🤣🤣 DR MWINYI MUONGO MKUBWA ONA HAYA!
Serekali maranyingi haiongei ukwelii, hivi kwamfano mijengo yote inayojengwa pesa uhakika ni zamkopo,, tusipende kupinga kila kitu
Ccm munajifanya mumefunga lakin munasikia vizuri sana ila naamini mtaelewa tu nini act tunamaanisha
Hawajamaa hata asijibazane nao maana hawa jamaa hawana jioyaaa
Mwinyi ana PHD ya uongo
Anazuga tu Biyusra utapata usafiri jasho la pua
MH:vp joto sanaaaa!
😂😂 waandishi habari ccm eti raisi kaja na takwimu sahihi😂😂endeleeni kulinda ugali wenu mcje fungiwa 😅😅nchi changa inafananishwa na nchi inayojiweza 😂 nyie mnakopa mpaka vifuu marekani wanakopa baadhi y mambo sio kila kitu mikopo km nyie Hadi vifuu Kwa uchumi Gani kwmfno? Utalii au karafuu ??😂😂
HAPA MIMI NAONA KABISA HAKUNA WA KUPAMBANA NA OMO JAMAAA NI KICHWA AMBACHO KIKISEMA KINA UHAKIKA NA UKIANGALIA HUTBA HII NA ILE YA OMO UTACHEKI RAIS WETU KAMA HAPA KAZUNGUMZA LAKINI MAJIBU YAKE HAYAJAFUTA MANENO YA OMO HATA KIDGO
eehh jaman nyii wanzanzibar sie sio wajingaaa mwinyi hajajihu hoja ilaa ndo kenda kutufanya tuone asaa km yy muongo na anatutia kwenye nakama ya maden
Huyu mwandishi wa habari au kuandika habari?kwanini unahukumu wewe kwamba Rais amekuja na takwimu sahihi?hii ya Makamo wa Kwanza ameyanukuu kutoka Kwa vyanzo sahihi kutoka Benki kuu sasa kama ni muandishi kweli ungefuatilia ktk vyanzo hivyo!
Nyumba ya horofa hailali kuku ikilala kuku yanuka harufu watizameni CCM wajinga watupu
Akaaaa ba Husein?watufanya Wajinga ivyooooo?
Bukinafaso kwasaii haikopi na isha lipa madeni yake yote, saiv haikopi inajiendesha mwenyewe
Mwinyi ww ndo muongo na mara hii tutakutudisha kwenu bara hatutaki mgeni atupelekeshe mambo ya ukoloni ushapita