WAKILI MADELEKA AGEUKA MBOGO MAHAKAMANI, JAJI ALIAGIZA JESHI LA POLISI KUWATAFUTA WALIOTEKWA(SOKA)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 сен 2024
  • #freeDeusdedithSoka #madeleka #polisi #mahakamani #mahakama
    WAKILI MADELEKA AGEUKA MBOGO MAHAKAMANI, JAJI ALIAGIZA JESHI LA POLISI KUWATAFUTA WALIOTEKWA(SOKA) • WAKILI MADELEKA AGEUKA...
    Tupo Mahakama kuu masijala ndogo ya Dar es saalam katika kesi namba 23998 madai ya Deusdedith Soka na wenzie dhidi ya IGP,AG,DPP,DZPC,ZCO,OCCID TEMEKE,OCS TEMEKE
    Waleta maombi Soka na Wenzie wakiwakilishwa
    1.Adv.Peter Madeleka
    2.Adv.Paul Kisabo
    Mawakili wa serikali kwa niaba ya Wajibu maombi
    1. Adv.Jennifer Masue
    2.Adv.Cuthbert Mbilinyi
    Jennifer Masue: Kesi imekuja kwa ajili ya hukumu,Kwa upande wa wajibu maombi tupo tayari kusikiliza hukumu
    Wakili Peter Madereka:
    kwa kuweka kumbukumbu sawa, leo tumekuja kwa ajili ya uamuzi ,ila kuna amri ya Mahakama wenzetu walete kiapo kinzani.
    Vinginevyo tupo tayari kwa uamuzi
    Jaji Wifred Dyansobela : Wakili wa serikali kwaniaba ya wajibu maombi ,jibu hiyo hoja.
    Wakili Jennifer Masue:
    kweli kulikuwa na amri ya kuleta kiapo kinzani,na tayari upande wa Jamuhuri tuneshafile krk mfumo na tayari tumeshawapatia mawakili wenzetu kwa email kama kuna maelekezo mengine tupo tayari kupokea maelekezo.
    Adv Peter Madereka: Mheshimiwa jaji tunaona tupate hiyo nakala kabla ya hatua yeyote ile kuendelea kwasababu Kiapo kinzani ni takwa la kisheria.
    Adv Jennifer Masue : Mheshimiwa jaji ni kweli kwa madhumuni ya fair trial ni sahihi tunatakiwa kuwasilisha kiapo kinzani
    Lakini kwa uamuzi unaoenda Kutolewa leo hauna uhusiano wowote na Kiapo kinzani
    Tunaomba Mahakama iendelee ,kwakuwa muda wa kazi bado haujaisha tutafaili kabla ya muda wa kazi haujaisha
    Lakini Mahakama hii ikiona kuwa hatuwezi kuendelea ,basi tupo tayari kesi ihairishwe hadi tutakapo faili.
    Adv Peter Madereka: Mheshimiwa hitaji la kutusave kiapo kinzani ni paramount haiwezi kupuuzwa kwa namna yoyote
    Hitaji la Kuleta Kiapo Kinzani ni takwa la Mahakama na takwa la Kisheria,kama wana nakala yao hapo tunaomba watupe tuweze kujiridhisha
    La sivyo kuendelea na kesi wakati hatujaona kiapo kinzani ni kupuuza Mahakama kwakuwa hatujaona mawasiliano.
    Jaji Wifred Dyansobela : Kama alivyosema Wakili wa serikali Jennifer Masue, swala hili la kusoma uamuzi ni tofauti na Kiapo kinzani
    Palikuwa na Hoja ya Wakili Kisabo ambapo nakumbuka alisema tunajua wajibu maombi hawajaleta kiapo kinzani,lakini watu wetu wamenyimwa haki ya dhamana,Tunaomba tuendelee wakati tunasubiri kiapo kinzani
    Kwa maana hiyo naomba tuendelee
    Mawakili wa pande zote wanakubaliana na Amri ya Jaji
    Jaji Wifred Dyansobela Maombi haya yamekuja chini ya hati ya dharula
    Waombaji wanaomba Mahakama hii itoe amri ya Waombaji kuachiliwa mara moja
    Wanaomba bila kuathiri kilicho ongelewa paragraph 1 kutoa amri ya kuzuia kuwashikilia waombaji kinyume na sheria
    Wanaomba

Комментарии • 19

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 16 дней назад +3

    Mungu atulinde,amesikia kilio cha wanaododonsha machozi.

  • @JOHNKIMORI-w6z
    @JOHNKIMORI-w6z 15 дней назад +2

    HAKI UINUA TAIFA

  • @user-nn1zo3lr2x
    @user-nn1zo3lr2x 16 дней назад +3

    Kesi ya ngedele hakimu nyani

  • @didimusirakoko9437
    @didimusirakoko9437 16 дней назад +2

    Wa Tz waamue wenyewe hatma Yao ! Kwingine kote fedhea aibu ni kubwa kwenye taaluma.

  • @MkudeSimba-fg1sf
    @MkudeSimba-fg1sf 16 дней назад +1

    ATUTA WAAMINI TENA. AUKO MAKINI KABISA

  • @bakermusa9033
    @bakermusa9033 16 дней назад +2

    Mwandishi mwenzangu mwenye D mbili jina kutjibati ni kathibati .kopsi ni kopas karibu

    • @medanews-
      @medanews-  16 дней назад

      Wewe mimi nina D¹ usinipandishe kiasi icho

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 16 дней назад

    Hold deusi soka with the tanzania Police lntansion of crush tanzania opposition but tanzania opposition if are not going to change group scape of political fighting put more pressure on ccm leadership Curt case under ccm leadership you will not win case just imagine Masai community it has been open case underground without head of Masai community been there what are thinking ccm leadership can respect your curt case ally wich curt control by ccm leadership

  • @GeraldLembris-jr3yz
    @GeraldLembris-jr3yz 16 дней назад +1

    We mtangazaji uwe unaweka vdeo tuchambue wenyewe acha huu ulimbukeni wakuandika kichwa cha habr af unakuja kuongea mwnyw

  • @happymrema7487
    @happymrema7487 16 дней назад

    Wamuachie huru

  • @MkudeSimba-fg1sf
    @MkudeSimba-fg1sf 16 дней назад

    Kaka mleta habari unajishusha video uliacha kwako nyumbani uoneshe familia yako

  • @barakaleveria
    @barakaleveria 13 дней назад

    Kwanini,unaongea,ww, 4:36

  • @AnnaFelix-p1z
    @AnnaFelix-p1z 16 дней назад

    Wemtangazaji tutakuaminije? Wakati unaongea wewe video imealibika? ACHA vieleele

    • @medanews-
      @medanews-  16 дней назад

      Ukitaka amini utaki acha

  • @HamisiNguche
    @HamisiNguche 16 дней назад

    Ukiona unaongea tuuuuuuuu mwenyewe pasipo ushahidi wa video za tukio lenyewe Basi ujue ni waandishi Feki nyieeeee. Namkubali milardAYO tuuuuuuuu. Basi

    • @medanews-
      @medanews-  16 дней назад

      Sasa si uende kwake kwani hapa umeitwa

  • @ObadiahMutambo
    @ObadiahMutambo 7 дней назад

    𝑴𝒎𝒎 𝒖𝒔𝒉𝒂𝒊𝒅𝒊 𝒏𝒊 𝒄𝒉𝒖𝒌𝒖𝒘𝒂 𝒑𝒊𝒌𝒊𝒑𝒊𝒌𝒊 𝒘𝒂𝒏𝒂𝒕𝒂𝒌𝒂 𝒖𝒔𝒉𝒂𝒊𝒅𝒊 𝒈𝒂𝒏𝒊 𝒘𝒂𝒂𝒄𝒉𝒆 𝒖𝒐𝒏𝒆𝒛𝒊