- Видео 528
- Просмотров 2 372 859
MEDA NEWS
Добавлен 20 июн 2022
News & Politics
MAAFISA WA MAREKAN WANATHIBITISHA MAREKAN IMEISHIWA NA MAKOMBORA YA ULINZ WA ANGA YA KUISADIA ISRAEL
#hamas #hezbollah#sakatalabandari #israel #hamasvsisrael #ukrainewar #urusileo #iran #iraq #al_aqsa #vitavyaisraelnapalestinaleo
kutazama video za vita vya hamas na israel na Hezbollah bonyeza link hii👇👇👇
t.me/medanewz
MAAFISA WA MAREKAN WANATHIBITISHA MAREKAN IMEISHIWA NA MAKOMBORA YA ULINZ WA ANGA YA KUISADIA ISRAEL ruclips.net/video/gk8Blvbiuog/видео.html
hamas,upinzani wa palestina,vikosi vya kazi,gaza,brigedi ya quds,kambi ya beach,urusi,netanyahu,bbc hindi,urusi leo,benjamin netanyahu,habari,israel news,biden,israel english news,israeli news,iran news,israel supreme court,judicial overhaul israel,vita ya urusi na ukraine leo,ukraine,bbc swahili leo,bandari,sakata la bandari,Habari,Wasa...
kutazama video za vita vya hamas na israel na Hezbollah bonyeza link hii👇👇👇
t.me/medanewz
MAAFISA WA MAREKAN WANATHIBITISHA MAREKAN IMEISHIWA NA MAKOMBORA YA ULINZ WA ANGA YA KUISADIA ISRAEL ruclips.net/video/gk8Blvbiuog/видео.html
hamas,upinzani wa palestina,vikosi vya kazi,gaza,brigedi ya quds,kambi ya beach,urusi,netanyahu,bbc hindi,urusi leo,benjamin netanyahu,habari,israel news,biden,israel english news,israeli news,iran news,israel supreme court,judicial overhaul israel,vita ya urusi na ukraine leo,ukraine,bbc swahili leo,bandari,sakata la bandari,Habari,Wasa...
Просмотров: 1 492
Видео
WAZIRI WA ULINZI WA IRAN ALITAKA JESHI KUJIANDA KWA VITA NA ISRAEL BAADA YA TAMKO LA IRAN HUKO UNSC
Просмотров 1,5 тыс.7 часов назад
#hamas #hezbollah#sakatalabandari #israel #hamasvsisrael #ukrainewar #urusileo #iran #iraq #al_aqsa #vitavyaisraelnapalestinaleo kutazama video za vita vya hamas na israel na Hezbollah bonyeza link hii👇👇👇 t.me/medanewz WAZIRI WA ULINZI WA IRAN ALITAKA JESHI KUJIANDA KWA VITA NA ISRAEL BAADA YA TAMKO LA IRAN HUKO UNSC ruclips.net/video/YbVBe9DUMCE/видео.html hamas,upinzani wa palestina,vikosi vy...
AFRIKA KUSINI IMEWASILISHA USHAHIDI WA KURASA 750 KATIKA ICJ DHIDI YA MAUAJI YA KIMBARI YA ISRAEL
Просмотров 3188 часов назад
#hamas #hezbollah#sakatalabandari #israel #hamasvsisrael #ukrainewar #urusileo #iran #iraq #al_aqsa #vitavyaisraelnapalestinaleo kutazama video za vita vya hamas na israel na Hezbollah bonyeza link hii👇👇👇 t.me/medanewz AFRIKA KUSINI IMEWASILISHA USHAHIDI WA KURASA 750 KATIKA ICJ DHIDI YA MAUAJI YA KIMBARI YA ISRAEL ruclips.net/video/x-V4ArTv5xE/видео.html hamas,upinzani wa palestina,vikosi vya ...
HEZBOLLAH YATEKETEZA VIFARU VYA MERKAVA VYA ISRAEL NA KUIANGUSHA NDEGE ISIZO NA RUBANI YA ISRAEL
Просмотров 3 тыс.9 часов назад
#hamas #hezbollah#sakatalabandari #israel #hamasvsisrael #ukrainewar #urusileo #iran #iraq #al_aqsa #vitavyaisraelnapalestinaleo kutazama video za vita vya hamas na israel na Hezbollah bonyeza link hii👇👇👇 t.me/medanewz HEZBOLLAH YATEKETEZA VIFARU VYA MERKAVA VYA ISRAEL NA KUIANGUSHA NDEGE ISIZO NA RUBANI YA ISRAEL ruclips.net/video/ypiaCDzm6z4/видео.html hamas,upinzani wa palestina,vikosi vya k...
URUSI YAZINDUA ZOEZI LA SILAHA ZA NYUKLIA LINALOSIMAMIWA NA RAIS VLADIMIR PUTIN
Просмотров 5099 часов назад
#hamas #hezbollah#sakatalabandari #israel #hamasvsisrael #ukrainewar #urusileo #iran #iraq #al_aqsa #vitavyaisraelnapalestinaleo kutazama video za vita vya hamas na israel na Hezbollah bonyeza link hii👇👇👇 t.me/medanewz URUSI YAZINDUA ZOEZI LA SILAHA ZA NYUKLIA LINALOSIMAMIWA NA RAIS VLADIMIR PUTIN ruclips.net/video/ONHqOAwUkeE/видео.html hamas,upinzani wa palestina,vikosi vya kazi,gaza,brigedi ...
WANAJESHI WA YËMENI WASHAMBULIA VIWANDA VYA ISRAEL HUKO ASHKELONI KWA KUTUMIA NDEGE ZA KAMIKAZE
Просмотров 3,5 тыс.10 часов назад
#hamas #hezbollah#sakatalabandari #israel #hamasvsisrael #ukrainewar #urusileo #iran #iraq #al_aqsa #vitavyaisraelnapalestinaleo kutazama video za vita vya hamas na israel na Hezbollah bonyeza link hii👇👇👇 t.me/medanewz WANAJESHI WA YËMENI WASHAMBULIA VIWANDA VYA ISRAEL HUKO ASHKELONI KWA KUTUMIA NDEGE ZA KAMIKAZE ruclips.net/video/Py3W5zdrO38/видео.html hamas,upinzani wa palestina,vikosi vya ka...
IRAN WATANGAZA RASMI KUISHAMBULIA ISRAEL MBELE YA BARAZA LA USALAMA LA UN NA KUIONYA MAREKANI
Просмотров 6 тыс.2 часа назад
#hamas #hezbollah#sakatalabandari #israel #hamasvsisrael #ukrainewar #urusileo #iran #iraq #al_aqsa #vitavyaisraelnapalestinaleo kutazama video za vita vya hamas na israel na Hezbollah bonyeza link hii👇👇👇 t.me/medanewz IRAN WATANGAZA RASMI KUISHAMBULIA ISRAEL MBELE YA BARAZA LA USALAMA LA UN NA KUIONYA MAREKANI HADHARANI ruclips.net/video/tZkSovHC5BU/видео.html hamas,upinzani wa palestina,vikos...
WANAJESHI WA YÉMÉN WASHAMBULIA MELI TATU ZA ISRAEL KATIKA BAHARI YA ARABIA NA BAHARI NYEKUNDU
Просмотров 2,1 тыс.2 часа назад
#hamas #hezbollah#sakatalabandari #israel #hamasvsisrael #ukrainewar #urusileo #iran #iraq #al_aqsa #vitavyaisraelnapalestinaleo kutazama video za vita vya hamas na israel na Hezbollah bonyeza link hii👇👇👇 t.me/medanewz WANAJESHI WA YÉMÉN WASHAMBULIA MELI TATU ZA ISRAEL KATIKA BAHARI YA ARABIA NA BAHARI NYEKUNDU ruclips.net/video/pmjak_D91TE/видео.html hamas,upinzani wa palestina,vikosi vya kazi...
HEZBOLLAH YASHAMBULIA NA KUITEKA KAMBI NYINGINE YA JESHI LA ISRAEL KASKAZINI MWA ISRAEL
Просмотров 4 тыс.2 часа назад
#hamas #hezbollah#sakatalabandari #israel #hamasvsisrael #ukrainewar #urusileo #iran #iraq #al_aqsa #vitavyaisraelnapalestinaleo kutazama video za vita vya hamas na israel na Hezbollah bonyeza link hii👇👇👇 t.me/medanewz HEZBOLLAH YASHAMBULIA NA KUITEKA KAMBI NYINGINE YA JESHI LA ISRAEL KASKAZINI MWA ISRAEL ruclips.net/video/3W96TYt5Xb0/видео.html hamas,upinzani wa palestina,vikosi vya kazi,gaza,...
MKUU WA MAJESHI WA ZAMANI WA ISRAEL AMKOSOA NETANYAHU NA KUMUAMBIA KUWA VITA YAKE HAINA MALENGO
Просмотров 1,7 тыс.2 часа назад
#hamas #hezbollah#sakatalabandari #israel #hamasvsisrael #ukrainewar #urusileo #iran #iraq #al_aqsa #vitavyaisraelnapalestinaleo kutazama video za vita vya hamas na israel na Hezbollah bonyeza link hii👇👇👇 t.me/medanewz MKUU WA MAJESHI WA ZAMANI WA ISRAEL AMKOSOA NETANYAHU NA KUMUAMBIA KUWA VITA YAKE HAINA MALENGO ruclips.net/video/0njxz61vrYo/видео.html hamas,upinzani wa palestina,vikosi vya ka...
HEZBOLLAH WAMTANGAZA SHEIKH NAEEM QASSEM, KIONGOZI MKUU WA HEZBOLLAH MPYA
Просмотров 3692 часа назад
#hamas #hezbollah#sakatalabandari #israel #hamasvsisrael #ukrainewar #urusileo #iran #iraq #al_aqsa #vitavyaisraelnapalestinaleo kutazama video za vita vya hamas na israel na Hezbollah bonyeza link hii👇👇👇 t.me/medanewz HEZBOLLAH WAMTANGAZA SHEIKH NAEEM QASSEM, KIONGOZI MKUU WA HEZBOLLAH MPYA ruclips.net/video/pVh14QgvYkM/видео.html hamas,upinzani wa palestina,vikosi vya kazi,gaza,brigedi ya qud...
KAMANDA WA JESHI LA ISRAEL AMPINGA NETANYAHU, ASEMA "UNAILETEA MATATIZO NA KUIDHOOFISHA ISRAEL"
Просмотров 6 тыс.2 часа назад
#hamas #hezbollah#sakatalabandari #israel #hamasvsisrael #ukrainewar #urusileo #iran #iraq #al_aqsa #vitavyaisraelnapalestinaleo kutazama video za vita vya hamas na israel na Hezbollah bonyeza link hii👇👇👇 t.me/medanewz KAMANDA WA JESHI LA ISRAEL AMPINGA NETANYAHU, ASEMA "UNAILETEA MATATIZO NA KUIDHOOFISHA ISRAEL" ruclips.net/video/jSSaucohbaU/видео.html hamas,upinzani wa palestina,vikosi vya ka...
WANAJESHI WA IRAQ WAISHAMBULIA KAMBI YA MAREKAN NCHINI IRAQ ILIYOTUMIWA NA ISRAEL KUISHAMBULIA IRAN
Просмотров 10 тыс.4 часа назад
#hamas #hezbollah#sakatalabandari #israel #hamasvsisrael #ukrainewar #urusileo #iran #iraq #al_aqsa #vitavyaisraelnapalestinaleo kutazama video za vita vya hamas na israel na Hezbollah bonyeza link hii👇👇👇 t.me/medanewz WANAJESHI WA IRAQ WAISHAMBULIA KAMBI YA MAREKAN NCHINI IRAQ ILIYOTUMIWA NA ISRAEL KUISHAMBULIA IRAN ruclips.net/video/mx0XPMTtpaM/видео.html hamas,upinzani wa palestina,vikosi vy...
MKUU WA MAJESHI WA IRAN ATANGAZA VITA RASMI NA ISRAEL, ALIAGIZA JESH KUJIANDA KWA VITA VYA MDA MREFU
Просмотров 5 тыс.4 часа назад
#hamas #hezbollah#sakatalabandari #israel #hamasvsisrael #ukrainewar #urusileo #iran #iraq #al_aqsa #vitavyaisraelnapalestinaleo kutazama video za vita vya hamas na israel na Hezbollah bonyeza link hii👇👇👇 t.me/medanewz MKUU WA MAJESHI WA IRAN ATANGAZA VITA RASMI NA ISRAEL, ALIAGIZA JESH KUJIANDA KWA VITA VYA MDA MREFU ruclips.net/video/l-obSjY_dGU/видео.html hamas,upinzani wa palestina,vikosi v...
SPIKA WA BUNGE LA IRAN ASEMA : IRAN BILA SHAKA ITAJIBU UCHOKOZI WA ISRAEL NA KUIONYESHA ISRAEL NGUVU
Просмотров 6954 часа назад
#hamas #hezbollah#sakatalabandari #israel #hamasvsisrael #ukrainewar #urusileo #iran #iraq #al_aqsa #vitavyaisraelnapalestinaleo kutazama video za vita vya hamas na israel na Hezbollah bonyeza link hii👇👇👇 t.me/medanewz SPIKA WA BUNGE LA IRAN ASEMA : IRAN BILA SHAKA ITAJIBU UCHOKOZI WA ISRAEL NA KUIONYESHA ISRAEL NGUVU ruclips.net/video/vawX-yzoPb4/видео.html hamas,upinzani wa palestina,vikosi v...
IRAN INATOA WITO KWA BARAZA LA USALAMA LA UMOJA WA MATAIFA KULAANI UCHOKOZI WA ISRAEL
Просмотров 2864 часа назад
IRAN INATOA WITO KWA BARAZA LA USALAMA LA UMOJA WA MATAIFA KULAANI UCHOKOZI WA ISRAEL
HEZBOLLAH WASHAMBULIA KAMABI ZA JESHI LA ISRAEL KWA MAKOMBORA NA MIZINGA MIZITO
Просмотров 2,1 тыс.4 часа назад
HEZBOLLAH WASHAMBULIA KAMABI ZA JESHI LA ISRAEL KWA MAKOMBORA NA MIZINGA MIZITO
WANAJESHI WATANO(5) WA ISRAEL WAMEUAWA KUSINI MWA LEBANON NA MWINGINE HUKO GAZA
Просмотров 1,7 тыс.4 часа назад
WANAJESHI WATANO(5) WA ISRAEL WAMEUAWA KUSINI MWA LEBANON NA MWINGINE HUKO GAZA
RAIS WA IRAN ATANGAZA VITA RASMI NA ISRAEL "IRAN ITATOA JIBU LINALOFAA KWA MASHAMBULIZI YA ISRAEL"
Просмотров 3,4 тыс.4 часа назад
RAIS WA IRAN ATANGAZA VITA RASMI NA ISRAEL "IRAN ITATOA JIBU LINALOFAA KWA MASHAMBULIZI YA ISRAEL"
JINSI ISAEL INAVYO PATA TAARIFA ZA KIJASUSI KWA NJIA YA MAONI BAADA YA KUSAMBAZA TAARIFA POTOFU
Просмотров 2374 часа назад
JINSI ISAEL INAVYO PATA TAARIFA ZA KIJASUSI KWA NJIA YA MAONI BAADA YA KUSAMBAZA TAARIFA POTOFU
HEZBOLLAH YASHAMBULIA NA KUITEKA KAMBI YA ZOVULON YA JESHI LA ISRAEL KASKAZINI MWA HAIFA
Просмотров 18 тыс.7 часов назад
HEZBOLLAH YASHAMBULIA NA KUITEKA KAMBI YA ZOVULON YA JESHI LA ISRAEL KASKAZINI MWA HAIFA
SHAMBULIZ LA LORI LA HAMÂS UKO ISRAEL LIMESHABISHA KIFO CHA MWANAJESHI 1 WA ISRAEL NA 50 KUJERUHIWA
Просмотров 1,9 тыс.7 часов назад
SHAMBULIZ LA LORI LA HAMÂS UKO ISRAEL LIMESHABISHA KIFO CHA MWANAJESHI 1 WA ISRAEL NA 50 KUJERUHIWA
KAMANDA WA JESHI LA ISRAEL AMPINGA NETANYAHU, ASEMA "TUTALIPA GHARAMA KUBWA KUPELEKA JESHI LEBANON"
Просмотров 12 тыс.7 часов назад
KAMANDA WA JESHI LA ISRAEL AMPINGA NETANYAHU, ASEMA "TUTALIPA GHARAMA KUBWA KUPELEKA JESHI LEBANON"
RAIS WA POLAND AKATAZA KUTUMA SILAHA MPYA KABISA KWA UKRAINE
Просмотров 5247 часов назад
RAIS WA POLAND AKATAZA KUTUMA SILAHA MPYA KABISA KWA UKRAINE
IDADI YA VIFO KUTOKANA NA MASHAMBULIZI YA ISRAEL DHIDI YA IRAN IMEONGEZEKA NA KUFIKIA WATU WANNE
Просмотров 1,2 тыс.7 часов назад
IDADI YA VIFO KUTOKANA NA MASHAMBULIZI YA ISRAEL DHIDI YA IRAN IMEONGEZEKA NA KUFIKIA WATU WANNE
KIONGOZI MKUU WA IRAN (ALI KHAMENEI) ATANGAZA VITA RASMI NA ISRAEL, ALIAGIZA JESHI KUJIANDA KWA VITA
Просмотров 8 тыс.7 часов назад
KIONGOZI MKUU WA IRAN (ALI KHAMENEI) ATANGAZA VITA RASMI NA ISRAEL, ALIAGIZA JESHI KUJIANDA KWA VITA
RAIS WA IRAN ASEMA WATAJIBU KILA UCHOKOZ WA MAADUI ZAO "TUTALIPIZA KISASI DHIDI YA KITENDO CHOCHOTE"
Просмотров 1,2 тыс.7 часов назад
RAIS WA IRAN ASEMA WATAJIBU KILA UCHOKOZ WA MAADUI ZAO "TUTALIPIZA KISASI DHIDI YA KITENDO CHOCHOTE"
MKUU WA MAJESH JESH LA ANGA LA IRAN LILINASA MAKOMBORA MENGI YA ISRAEL NA KUZUIA NDEGE KUINGIA IRAN
Просмотров 4,1 тыс.7 часов назад
MKUU WA MAJESH JESH LA ANGA LA IRAN LILINASA MAKOMBORA MENGI YA ISRAEL NA KUZUIA NDEGE KUINGIA IRAN
JESHI LA IRAN LATANGAZA WANAJESHI WAKE WAWILI WALIOUAWA KATIKA MASHAMBULIZI YA ISRAEL NCHINI IRAN
Просмотров 4,1 тыс.9 часов назад
JESHI LA IRAN LATANGAZA WANAJESHI WAKE WAWILI WALIOUAWA KATIKA MASHAMBULIZI YA ISRAEL NCHINI IRAN
IRAN: JESHI LA ULINZI LA ANGA LAFANIKIWA KUZUIA MASHAMBULIZI YOTE YA ISRAEL
Просмотров 2,6 тыс.9 часов назад
IRAN: JESHI LA ULINZI LA ANGA LAFANIKIWA KUZUIA MASHAMBULIZI YOTE YA ISRAEL
😂😂😂😂 kwanini wanasjinda wakijitetea walipikwa wakapikika
NETANYAHU SIO MUISRAEL NI MPOLISH NDIO ANAWAUA
Wauongo hao wanataka mtu ajichanganye
Ila Afrika kusin munajitaid sana kupambana kuliko misri Morocco Algeria Libya
Ilani we ingia tu ili wakuzarau watu
Mashoga sasa wamekubali nabado hawajasema mpaka shoga waite uyoga❤.
Vizri sana HIZBU ULLAH ALLAH namuomba azidi kiwafanyia wepese na kuimariza kabisa izilael
Mutuombee allaah atupe ushindi na nusra maana Niko hapa Beirut 🇰🇪🇱🇧
Pumbavu zao
Sasa Irani ndo inakwenda kupata kichapo sasa
Kichapo wakipate wapo hanunuwi silahaa yule muajemi nakupa Cod vita vya Afghanistan kawasaidia silahaa na kuwafunza watelabani mziki ukanza marekani na NATO yake wakakimbia upo marekani akanzisha yeye na israeli wa mchongo wake wakatengeneza makundi kwenye ardhi ya sham Syria na iraki wakanzisha kundi la isis vita vilikuwa vikubwa kweli kweli irani wakaingia mzigoni na makundi yake ya izbulah na walitembeza mtutu waliwasambalatisha wamarekani na waisrael mpaka milimani huko ya golani wamekimbia sasa leo hapo makundi yake tu yanawatoa jasho sembuse yeye mwenyewe irani anaunda mwenyewe sio huyo shoga mzayuni mpaka apewe silahaa na bwana wake
Mtingo unataka kuaza tena na israel
Hii ni juhudi za heshima kwa waislamu na bado
Safi sana pigeni mazayuni hao
Kujifariji ni mihimu katika maisha na chuki huleta maumivu tele wakati mtu hafanikiwi kama alivyo tarajia. Uongo KATU hautibi kubali matokeo.....
Sijui weye utayakubali yepi taarifa za habari huzitaki basi waambie weye yalo na ukweli
Mine is just, be honest when giving out news over issues and stop this pleasing people to be aploud. No matter how much you can try to down play some issues but a fact stands tall ma dear.
Ilahawa kilasehem wanapeleka makombora'namwawe izrayli anapigiga nisawa anapigana marekani
Niwaongo mbwa hao
Wazungu ni wanafiki sana
Mpaka warudi Poland, Wanawasrael wa mchongo. Kwa uwezo wa MwenyeziMungu atawaangamiza wazayuni wote na washirika wake wamarekani. Batili haishindi haki ata siku moja.
Na ninyi Afrika kusini, kimbele mbele chenu, kitawafikisha kati kati ya uharibifu.
Safi sana. Nipo huku moto wake si kitoto wanajeshi wa Israel wanakufa Natenyau Hataki takwimu itolewe Hezbollah inafanya kazi yake. Mungu ibariki Hezbollah, Mungu ibariki Palestine. Biden anaomba mazubgumzo kumaliza vita. Hezbollah fanya kazi Mwamba ☝️ibariki
Vita inashikiriwa na Marekani. Natenyau ni kibaraka wa Biden
Safi sana Hezbollah Mungu azidi kuwapa nguvu 🎉🎉🎉
Pigen mashoga
Wanafiki hao sio wakuwaamini
Tutakuwa hatufunguwi mnaandika uwongo chini ya sauti zenu
👍
Africa ya kusini imejitahidi kutaka haki ya miaka yote na nchi zote zinafahamu ukweli huo ila imeasahau kuwa jumuia la mataifa lote tunaweza kusema 3% ya nchi zote ndio hutaka haki ila haziwezi kwa sbb mahakama yote inaendeshwa na israeil na America zikisaidiwa na baadhi ya nchi za kiaraab ambazo zimeisha kuwa viongozi wake ni wayahudi
Sema hamasi waachilie mateka vita iishe, ili tukuelewe.
@@PlacidiaMbekenga sema israil waache maeneo ya wapalestina na iwaachie huru wafungwa wa kipalestina
Kazi kazi
Safi sana mbwa hawa mazayuni
sawaaa Libanon
Piga Hilo taifa la magaidi wa kizayun mashetan Yan Adolf hitra bola angeyamaliza
Free Palestine 🇵🇸 🎉
OK SAFI SANA
Israeli vita mpya mpaka mfikisike maana vita ni gharama sana hakuna mshindi ila mwisho wa siku tunaangalia nani kapata hasara zaidi😊
Unatafutwa pepo usingalie hasara hasala kitu gani wale makafiri wanauwa watu hovyo kwa nini wale ni wazungu wamarekani waigereza wamewekwa kule kuleta tafrani ili waibe mafuta sio waisraeli wale taifa limeanzishwa juzi tu mwaka 48
Piga wa kuu wa mashoga hao
Jamaa hawa hawakoseagi, wangekua na silaha za kutosha leo israel ingekuwa historia tu
Baraqa za ALLAH ziwejuuyenu wana mqawama YAARABI awalinde awazidishie maalifa ISHALLAH❤.
Hawana jeuri hiyo, mikwara tuu
Muongo msenge huyu
Tunaambiwa Waisraeli ndio wataalamu zaidi wa silaha na mifumo ya ulinzi, na kwamba wao ndio wanaoiendesha Marekani. KUMBE NI PROPAGANDA?
EBANA HAKUNA MUME WAWAUME NDUGU ZETU KAZI WANAYO MBAYA SANA UNAMPIGA, MTU MPAKA ANAZI,MA AKIZINDUKA , UGOMVI UNAENDELEA KUNA SIKU UTAMUOGOPA TU
Houth inawanyoosha kweli
KUBADILISHANA WAFUGWA TU NDIO MWISHO WA MATATIZO MWANAJESHI KAONA MBALI ❤
Kweli brother unajitahidi Sana kutuletea madini lkn kiswahili chako kibaya Hadi matamshi
Mtangazaji mzushi Tuuyu
🐒🐒🐒🐄🐄🐄💯😂😂
Tangaza yako
Huyu jamaa nita mu unfollow soon...baada atafute TAARIFA za UHAKIKA akuze channel yake Yeye analeta uongo uongo tu
Lete zako za ukweli
🐒🐒🐒🐒🐄🐄🐄💯😂
Za ukweli ni zipi
😂😂😂😂😂😂tulia dawa iingie,wakilete taarifa za uongo za Israel kumpiga Hizbullah mna chekelea ooooooh Taifa teule😂😂😂😂😂tulia pokea kila taarifa km ilivyo
habar zako ni nzur Ila kajifuze Kiswahili na matamshi halafu ndipo uripori habari
Watu wenyewe ni wachache kisha wanapigwa alafu wanagombana wenyewe kwa wenyewe sasa sindio wataisha .
Brigadier general Yahya saree🙌
Irani na washirika wako wote, mnafanya upatu kwa uangamivi wenu. Nyotetafanywa kama Gaza.
🐒🐒🐒🦍🦍🦍💯😂😂😂 Fack youuuuuu Manyani Meusi yanayoishi Tanzania
Chiziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii 🌈💯
@aediaygo8546 😂😂😂😂
Jua la uhai wa israeli na marekani linaelekea kuzama .kilakitu kina mwazo namwisho isipokua muumbaji pekee.
Isilael inanguvu nyingi inapigana nanchi 6 irampakasasa ikojuusana wara isirael haigopi mashetani kama irani nawengineo
Akili ndogo😂
Pumbavu wewe!
Weeeee kweli mbwa neta paka hajasoma alama za nyakati sasaivi kila nchi wameamka wamesoma wanaunda masilahaa yeye mpaka apewe na bwana wake marekani na UK 🇬🇧 na France na ujerumani bira mataifa haya mzayuni angefutika kabisa
Kichwa kipo Israel kikifanywa upasuaji kitiwe matango pori mwili upo Tanzania mpaka unasahau nyuma ya Israel Kuna mataifa ya mashoga ya magharibi Kila kitu anapewa km yatima linahitaji mzungu nalo ilo.