I love this GWAJIMA.... just preaching and teaching na kuchekesha and to have fun while preaching. That's what you were born to do Baba. Thank you so much.... This isbbetter than politics. God bless you baba Gwajima. We love you... TEAM USA 🇺🇸❤
@@rockygappi1018 Nimekosea hapo sitaanza na small letter I will start with upper case here in America we call it upper case but in Africa we call it capital letter am sorry Brother
KATIKA JINA LA YESU KRISTO ALIYE HAI NAKUOMBEA ILI UJE UWE RAIS YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. HAYUPO WA KUKUZUIA ISIPOKUWA MUNGU PEEKEE. NA WATU WOTE WASEME AMENI.
Kifo ni kitu kimeandikwa tokea siku unaumbwa mungu amesha kuandikia siku yako ya kufaa na haitozidishwa wala kupunguzwa kwa ajili ukamilishe ndoto zako. Ingekua hivyo mtoto anayekufa masaa baada ya kuzaliwa vipi alikua na ndoto ika kamilika ndoto yake?
Haleluyah Asante Yesu Kwa mafundisho haya nakuombea MUNGU wangu unitimizishe katika ndoto zangu ziende zikatimie katika JINA la YESU
I love this GWAJIMA.... just preaching and teaching na kuchekesha and to have fun while preaching. That's what you were born to do Baba. Thank you so much.... This isbbetter than politics. God bless you baba Gwajima. We love you... TEAM USA 🇺🇸❤
Utukufu umrudie Mungu wetu, Yesu simamia watu wako na mwili wako ujengwe, barikiwe baba askofu Gwajima wetu.
Amen amen pst sitakufu bali nitaishi mupaka tondoyangu itimilike
Ameen 👏👏👏hakika uhai wa mtu upo mikononi mwa Mungu
❤I so understand your teaching my spritual father❤
Na kataa kujiuwa kwa Maneno yangu kwa jina la Yesu
Mungu akubaliki sana Baba kwa somo nzuri la ndoto Nimepokea kwa jina la Yesu
Asante Kwa Yesu na kwako mchungaji
Ameen Ameen baba ndoto yangu lazima itatimia kwajinala YESU KIRSITO 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amena sana nabarikiwa sana na mahubiri yako Mtumishi wa Bwana aliye hai
Amina mtumishi wa bwana barikiwa sana,🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mungu akubariki sana mchungaji nimebarikiwa mno
I'm real blessed dady thank you very much
Upo sawa bishop ,Umeitwa kufunua siri za shetan,na kuondoa hofu yya kifo ,sifi kamwe mpaka ndoto yangu itimieeee.
Barikiwa mtumishi
Hallelujah hallelujah amen
Napendaga sana mifano yababa kwa maana inanifundishaga
Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah
Amen Amen Baba Mungu akupe maisha marefu, na Ubarikiwe.
Ahsant Baba GWAJIMA
Ameen watainama tu kwa jina la Yesu wote wenye mipango mibaya na Mimi na Familiya yangu
Ameeen daddy Gwajima
Mungu akutunze askofu
Thank you so much you have really helped me to understand how the spiritual world look like.
Asante baba kwani kupitia ibada hii naona hatimiliki yangu
Mimi sifi mpaka Ndoto yangu itimie kwa damu ya yesu kristo Halellujah Ameeeen asante Baba Barikiwa Sana .
@Josy Ngumbi.. samahani Ndugu yangu kwa upendo tu.. ukiandika jina Yesu Kristo anza na herufi kubwa..
@@rockygappi1018 Nimekosea hapo sitaanza na small letter I will start with upper case here in America we call it upper case but in Africa we call it capital letter am sorry Brother
@@jossyngumbi1916 😂😂👍..Be blessed brethren..I know the upper case cause am using Mac doing my graphics design..by the way how's US..??
@@rockygappi1018 We are Doing Well with Christ
@@jossyngumbi1916 Amen..🙏🙏..nice to hear that bro
Ubarikiwe
Sema baba upako
Amen Amen Amen ,lazima ndoto yangu itimie
🇧🇮 Mimi sifi kwa jina la Yesu Kristo. Mungu akubariki Sana Baba yangu
Amen. Man of God
Hafi mtu kwa Corona hapa kwa jina la Yesu
Ameeen Bwana akutende mema daimaa Masih wa Bwana,unamuwakilisha christo vyema
Baba mungu WA mbinguni siishi hapa hadi ndoto yangu iitimiye
Glory be to God Amen
Ameeen👏👏👏👏👏👏👏
Hakika baba wa taifa
Ameen Baba Mimi ninayo ndoto yangu
Amen baba ndoto yangu lazima itimie
🙏🙏🙏
Ameeeen
asante kwa somo zuri
Ikiwa Mungu kaluhusu uwe raisi utakuwa
Muota ndoto ha-fi-Baba asante
Powerful 🙏.
Muota ndoto afi sifi kabla ndoto yangu aijatimia
Ameeeeen
KATIKA JINA LA YESU KRISTO ALIYE HAI NAKUOMBEA ILI UJE UWE RAIS YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. HAYUPO WA KUKUZUIA ISIPOKUWA MUNGU PEEKEE. NA WATU WOTE WASEME AMENI.
Ameeeeeen
Will not die until my dream come true.
Am blessed by Gwajima ministry,is such a blessing to many.
Karbunjombeeee
Ameeeeeeeeeeeeen
Amen
Tatizo ukisema uko vizuri vibomu vinaanza mzee wangu ndio maana watu wanasema wanabangaiza au wanapambana kuepusha Shari🤣🤣🤣🤣
Mda Wa watoto kuimba lazima sauti iwe Hakuna
Amina baba nakuelewa.
stokufa. Kajinara. Yeah. mpakandoto. Tangy. hitimiee
Kwajina la yesu ndoto zangu razima zitimie
Hafi
Sijamwuona pasta Amosi siku nyingi
Lazim nandoto yako itimie jasus lambingun
Amen baba.
A men
Mwandovu wa mumba +254
💃💃💃💃💃💃
🤣🤣🤣🤣👏👏👏👏Enderea na Neno la Mungu Baba
Mm ninayo ndoto
Imeandikwa kwenye kitabu gani hiyo topic yako ya leo?
tunashindwa kusikia sauti hamna kama mimi nimeweka mpakao 100 kabisa kwenye computer lakini sisikii hata moja naona picha tuu
Computer yako labda haina speaker
Mwuoato ndoto hafi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yule dongo wa juzi hakika uhai wa mtu uko mkononi mwa Mungu Ameen Baba
Shawasi sauti hakunaa Kila wanapoimba
Kweli shetani mnafiki😂😂
SITOKUFA KWA KILA JAMBO NKLIFANYALO NIPO ISLAEL 🇮🇱 USHIND HAKIKA
Lisemwalo lipo kama halipo? Laja, wananchi ndio wanaotaka ugombee uwaongoze leo Yao iwe njema
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hakuna network kuongea kishwahili
🤣🤣🤣🤣🤣Hakuna anayeweza kusimama karibu na majambanzi
Kifo ni kitu kimeandikwa tokea siku unaumbwa mungu amesha kuandikia siku yako ya kufaa na haitozidishwa wala kupunguzwa kwa ajili ukamilishe ndoto zako.
Ingekua hivyo mtoto anayekufa masaa baada ya kuzaliwa vipi alikua na ndoto ika kamilika ndoto yake?
Ameeen
🤣🤣🤣🤣🤣
Ameeen👏👏👏👏👏👏👏👏
Ameeeen