MUME ATEKWA SIKU 30 HAONEKANI, MKE APIGIWA SIMU WAKITAKA PESA, INAHUZUNISHA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 ноя 2024

Комментарии • 99

  • @RoseKillian-b8k
    @RoseKillian-b8k Месяц назад +5

    Waah,pole sana dada....zidi kumueka kwa maombi. .....peleka jambo Kanisani .. Mungu atafungua njia... Amina

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 Месяц назад +5

    Daah pole sana katika kipindi hiki kigumu unachopitia ,Mungu akutie nguvu.

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 Месяц назад +1

    Dada nenda kanisani au msikitini toa Sadaka mwambie Mwenyezi kama kweli alibaka Mungu atoe hukumu lah kama hajabaka hao watoto mwenyezi Mungu ashuhulike na hao watu , pole sana Dada yangu

  • @IdrisaTuppa
    @IdrisaTuppa Месяц назад +5

    Hiyo Kesi Inahusu Nini Maana Mambo Mengine Kuna Watu Huwa Wanalipiza Visasi. Yote Kwa Yote Pole Sana Dada.

  • @SophiaKamgunda
    @SophiaKamgunda Месяц назад +2

    Pole sana Mwanangu naamini mwisho utapatkana kwakuwa umejtokeza

  • @JumaKomba-ws4xb
    @JumaKomba-ws4xb Месяц назад

    Pole sana shemeji yangu nimekupata vizuli kutoka apa kongo kcc zidi kumuomba mungu kama mumeo nilidhiki yako utampata usiku mwema

  • @janetchinga695
    @janetchinga695 Месяц назад +3

    Kwahiyo imekuwa biashara yakuteka watu apo Tanzania 😢😢😢??? Watching from Capetown

  • @MwanaHamis-y4e
    @MwanaHamis-y4e Месяц назад +4

    Waitwe wenye iyo kesi waojiwe na wawekwe ndani wabanwe hata kama ningekuwa mimi ningewaisi hao hao

  • @EstherJerald-tc6ct
    @EstherJerald-tc6ct Месяц назад

    Pole sana dada Mungu akutie nguvu hatimae apatikane huyo mumeo akiwa hai

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 Месяц назад +1

    Pole sana dada. Ndiyo dunia. Kikubwa zidi kumwomba mungu.

  • @boscomakala.3923
    @boscomakala.3923 Месяц назад +2

    Mungu hajawahi shindwa kitu tuwe na imani na tuwe na subira.....😭😭😭😭

  • @julianapeason6254
    @julianapeason6254 Месяц назад

    mwachie Mungu ndo anaejua kila kitu, muombee mumewako huko alipo Mungu amfanyie wepesi, hakuna jambo linalomshinda Mungu. Hakuna haki duniani mwenye nafuu ni yule anaemuamini Mungu pekee, tunaishi nyakati ambao Mungu pekee ndo mtetezi wetu. Jamani tuombe Mungu akatutetee pekee

  • @ireneshao7950
    @ireneshao7950 Месяц назад +2

    Mungu ondoa hii changamoto katika taifa letu Mungu naomba msaidie huyu mama na wanae wape nguvu😢

  • @mamakayla6697
    @mamakayla6697 Месяц назад +1

    Tumaini Mwanangu,mwambie MUNGU pia,yeye ni zaidi ya waandishi wa habari.

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts Месяц назад +2

    Siku hizi kutoa lift imekua ni tatizo kubwa sana....hasa kwa watoto wadogo .

  • @aishakambenga6191
    @aishakambenga6191 Месяц назад +1

    Nimekumbuka nyimbo ya Ferooz ya wema wako umeniponza sasa machungu ya Dunia nayahonja 💔😢

  • @HanifaChalresy
    @HanifaChalresy Месяц назад

    Wema uliponza daah,mungu tusaidie,saizi hajulikani mwema wala mbaya

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin Месяц назад

    Tanzania siku hizi imekuwa kama Nigeria. Polisi mnachekesha sana

  • @ErizicDaud
    @ErizicDaud Месяц назад

    Najisikia vibaya Napo ona inchi yangu inapo chafuka sifa yake iliyo tukuka Kwa miaka 60 inahalibika mungu ingilia kati juu yahaya Mambo mbn tunakuwa Kama wanyama inaishi Kwa mashaka ikijua mda wowote inakuwa supu tusifike huko jaman

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 Месяц назад

    Na hao wazazi waliodhubutu kusema kuwa watoto wamebakwa na sio kweli Laana wanainunua kwa mikono Yao wenyeweee Jamani Duniani hapa tuishi tu kwa wema kukomoana tukumbuke kuna kesho pia watoto watakuwa Salamaa ???? Tumwogopee Mungu

  • @bishopmosesmagadula7572
    @bishopmosesmagadula7572 Месяц назад +2

    JANGA HILI LIMEKUWA KUBWA HAPA TZ MUNGU ATUOKOE..

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 Месяц назад

    Pole sana Mungu afanye wepesi apatikane akiwa hai

  • @SostenesMabala-tt8pt
    @SostenesMabala-tt8pt Месяц назад +1

    Pole jumatatu tuungane kwenye maandamano

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 Месяц назад

    Jamani hii Dunia tulikofika nowadays mzuri humjui mbaya humjui

  • @justinekiminu8940
    @justinekiminu8940 Месяц назад

    Mungu akusaidie ni kipindi kigum kweli umepitia Mungu ni mwema atafanya njia.

  • @rosemkeleja7768
    @rosemkeleja7768 Месяц назад

    Duuuu,Police wasaidieni watu,

  • @Mwalimujumajuma
    @Mwalimujumajuma Месяц назад

    Pole sana dada kwa mitihani hiyo

  • @vincej9275
    @vincej9275 Месяц назад

    Walimwengu wakati mwingine tunateseka kwa wema wetu. Unasaidia mtu lift bure sababu ya mvua halafu sasa haya yote yanatokea. Matapeli nao hawana huruma. Very sad news.

  • @RehemaMtono
    @RehemaMtono Месяц назад

    Wema ulimponza maskini daaa

  • @annehaysanday9214
    @annehaysanday9214 Месяц назад +2

    Sasa matapeli wamepata nafasi ya kukudanganya ili wakuibie.pole sana Mungu afanye wepesi usitumie watu pesa ni matapeli

  • @ElizabethWamcha
    @ElizabethWamcha Месяц назад

    Sasa kesi mahamani mala katekwa na mapolisi mala unaisi waliomteka wenye kesi😢dah kikubwa mungu amlinde na kumludishq

  • @RehemaMtono
    @RehemaMtono Месяц назад

    Msiwape lifti watoto wawatu siku hizi unaweza ambiwa wewe ni mtekaji hata mvua ikinyesha waacheni wanyeshewe huruma sana dunia iko mwishoni

  • @mamakayla6697
    @mamakayla6697 Месяц назад

    Tumaini mwanangu,umeongea vzr sana juu ya wito.

    • @hamisijuma3276
      @hamisijuma3276 Месяц назад +1

      Mungu akutie moyo Sana,, umeongea kwà umakini sn,
      Tuzidi kukuombea pamoja na wengine.wote 🙏

  • @marygregory7566
    @marygregory7566 Месяц назад +1

    Nenda na kwenye maombi dada

  • @saidalhinai1131
    @saidalhinai1131 Месяц назад +1

    Dada nenda kwenye kampuni ya simu anayotumia upate kujua mtu aliempigia mwisho na akamatwe na ahojiwe

    • @stevemabalangu8018
      @stevemabalangu8018 Месяц назад

      Tungekuwanna keshi la police hiyo ni kazi ndogo sana, wangeshapata taarifa, lakini sasa 😅,

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 Месяц назад

    Wasomewe kisomo hao watu Dada simama kwa Mungu

  • @celinamosha9420
    @celinamosha9420 Месяц назад +4

    Kwa sasa hakuna upendo maana mimi ndio nawabeba kila siku watoto wa shule kumbe mbaya eee haya

    • @rehemavickie6521
      @rehemavickie6521 Месяц назад +3

      Dada ikiwezekana acha

    • @celinamosha9420
      @celinamosha9420 Месяц назад

      @@rehemavickie6521 nimecha kuanzia Leo ndugu yangu

    • @dorahmushi-we6ts
      @dorahmushi-we6ts Месяц назад +3

      Acha kabisa mpendwa.

    • @ElizabethWamcha
      @ElizabethWamcha Месяц назад +2

      Tena koma usije kuludia wema umegeuka uhadui kwa ss

    • @celinamosha9420
      @celinamosha9420 Месяц назад +2

      Juzi tu Niko tazara hapo tulisimamishwa tren inapita bac inaondoka tu wanafunzi hao Kama sita wamefika wamebaki wameduua nikawaita niliwaonea huruma Sana tukaondoka mpk goms Sasa nyie wazazi endeleeni tu kuwa Fanya watu wajinga watoto wenu wanateseka Sana huku barabarani NIMEUMIA mno

  • @lucksonsikaona505
    @lucksonsikaona505 Месяц назад +2

    Watanzania tunatakiwa tuamuke tuaze kujitetea polis hawawezi kututetea

  • @AnastasiaKilonzi
    @AnastasiaKilonzi Месяц назад

    Pole atapatikana tu

  • @Hapygideon
    @Hapygideon Месяц назад +1

    Kinachoshangaza polisi mnafatiliaga simu zikipotea na zinaonekana lakini mtu anapigiwa simu na watekaji hamtaki kuchukua namba na kufatilia inapigwa kutoka wapi,,,R.I.P MAGUFULI

    • @upendogreutert199
      @upendogreutert199 Месяц назад +1

      Kwa kweli Magufuli tutamkumbukaaaa mnooo

    • @AnethMushi-c3e
      @AnethMushi-c3e Месяц назад

      Tena tutamkumbuka Kwa mema​@@upendogreutert199

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th Месяц назад

    mhhh unamume mzuri mwenyewe

  • @PaulinaNyanzalashija
    @PaulinaNyanzalashija Месяц назад

    Dada pole sanasana jambo la kushangaza namba zako wanazipata wapi? Mimi naamini waliomteka ni hao waliompa kesi ,watoto wa shule kuomba lift kwa kila mtu inasikitisha sana tumuombe hemed

  • @veronicanabina3380
    @veronicanabina3380 Месяц назад

    Mm nina hofu kwa kweli, ambao mna Amani hongereni.

  • @HusnaAbdalla-c2g
    @HusnaAbdalla-c2g Месяц назад

    Pole dada sana

  • @EliasCosmas-qp6gn
    @EliasCosmas-qp6gn Месяц назад

    pole sana jmn MUNGU ni mwema

  • @nanaritho6850
    @nanaritho6850 Месяц назад

    Kwa nini usipeleke hizo namba police kuzitrack?

  • @FatumaSaid-t4r
    @FatumaSaid-t4r Месяц назад +1

    Dhurma zimezidi mno.

  • @MamgazaYohana
    @MamgazaYohana Месяц назад +1

    Husitume pesa hanajua wewe muanga hanakutapeli

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 Месяц назад

    Police wapo busy na maandamano 😢

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th Месяц назад

    Tena huyo mama ndo usimtaje kabisa maana hanaga msaada wowote huyo kazoea kununua magori ya yanga tu

  • @DaynaBenedicto
    @DaynaBenedicto Месяц назад +1

    Nenda kwa mwamposa

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc Месяц назад

    Pole sa dada ila usiwatumie pesa watu

  • @evaemil856
    @evaemil856 Месяц назад

    Ona majanga yanaendelea halafu mnakataza maandamano Ya Amani kupinga Utekaji. Jeshi limeshindwa kutatua tatizo na msikubali kukutana na watu ovyo kwa kupigiwa simu. Cyber Security Ya Tanzania hawawezi kutatua mambo Ya cyber for community unless it is for CCM so hatuna true Cyber Security.

  • @SaraSara-i1l
    @SaraSara-i1l Месяц назад

    😢taifa linateketea kwa itekaji

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 Месяц назад

    Sali Sana Dada

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 Месяц назад

    Tarehe 20 kwake ni mbaya sana😢😢😢

  • @crytonsijaona6164
    @crytonsijaona6164 Месяц назад

    Safi sana , Kijana tembea kifua mbele , kama alivyosema Mzee Magu " Sisi ni Matajiri".

  • @estertiffa-ew5id
    @estertiffa-ew5id Месяц назад

    Mmh wema ajari jmniiii

  • @neykombe8831
    @neykombe8831 Месяц назад

    Tanzania kutekana kimekuwa kitu Cha kawaida serekali inatakiwa kukemea vikali na kuchukua hatua hv vitu sio vya kuchea

  • @rahma6189
    @rahma6189 Месяц назад

    Umempa pesa yanini

  • @justinekiminu8940
    @justinekiminu8940 Месяц назад

    Jamani pole Dada

  • @ElizabethWamcha
    @ElizabethWamcha Месяц назад

    Kumbe kesi ya kumuisi kabaka😢

  • @eliambowe2576
    @eliambowe2576 Месяц назад

    Police tena daaa

  • @begukulemosobe9685
    @begukulemosobe9685 Месяц назад +2

    Aeleze vizuri ilikuwa kesi ya nini? Muulizeni vizuri jamani

    • @ElizabethWamcha
      @ElizabethWamcha Месяц назад

      Toka nianze kumsikia ajataja ni kesi gn iliokua inamuhusu

    • @asinahussein2176
      @asinahussein2176 Месяц назад

      ​@@ElizabethWamchaametaja labda ulitoka kidogo.

    • @MatildaFrank-bp5oq
      @MatildaFrank-bp5oq 19 дней назад

      Mbona ametaja kesi inayomkabili mume wake,au wewe kipengere hicho hujakisikia? .

  • @alphoncejohn6308
    @alphoncejohn6308 Месяц назад

    Iv ni kwnn ni kipind hiki

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 Месяц назад +1

    Ukiwa na Hela watu wana wivu wanatafuta njia ya kukurudisha nyuma

  • @NdayishimiyeERickson
    @NdayishimiyeERickson Месяц назад

    Sasa sikuna vipimo? Acha wafanye vipimo kwanza

  • @HassinaAlharthi
    @HassinaAlharthi Месяц назад

    Matapeli wakubwa wengi wamekua na wauaji tele

  • @JosephineApporinary-cg5wl
    @JosephineApporinary-cg5wl Месяц назад

    Ondoa swala la kusema alifanya wema,hukuwepo WAKATI anatoa lift acha kulaumu,unachotakiwa kufanya ungenyamaza kimya siyo kwenye media unajidhalilisha tu kwahiyo sababu,endelea na MAOMBI tu

  • @mamakayla6697
    @mamakayla6697 Месяц назад

    USITUME PESA TENA MWANANGU KWA MTU YEYOTE

  • @AtifaIslam-t6g
    @AtifaIslam-t6g Месяц назад

    Kwani askari kazi zao nini hasa mana sioni faida kama awawezi kusaidia wafutwe kazi

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q Месяц назад

    Mh hapo kuna mengi. Maana wanaume wana mambo mengi. Yawezekana alikuwa anafanya vitendo sivyo kwa watoto.

  • @gfydfdf8869
    @gfydfdf8869 Месяц назад

    My goodness Tanzania machozi ya watanzani watu wanatekwa,tukimbilie wapi,pole DADA

  • @PascalSabonga
    @PascalSabonga Месяц назад

    MUNGU ATUREHEMU

  • @sifajumaabdalaabdala3920
    @sifajumaabdalaabdala3920 Месяц назад

    😢😢😢😢

  • @MikeMwema-i9l
    @MikeMwema-i9l Месяц назад

    Pole dada kwa yaliyo kupata mungu yupo pamoja nawe

  • @StephenSelelya
    @StephenSelelya Месяц назад +1

    Acheni urongo mke gani asimsindikize mumewe polisi/mahakamani kwa kesi nyeti hivi!

  • @lovenesdickson1824
    @lovenesdickson1824 Месяц назад

    Jamani haya mambo yataisha lini?

  • @Haarun-h4q
    @Haarun-h4q Месяц назад

    Kesi ya kuɓambikiza,huyo alompa kesì ano madaraka serikalini.