Shekh ni vzr ungetupa dalili ni wapi mtume aliwasomea marehemu khitima??? Rasulluh llah alifiwa na mkewe khadija,,, wanae,, ibrahimu,, kasimu,,, Abdallah,,, umu kututhumu,,, rukahya,, akafiwa na ami yake jaafari,, katika vita vya mutaa na alizika wengi katika maswahaba walotangulia,, wapi alikaa kuwasomea khitima??? Na Allah ametuambia,,, rakad kana lakum fiii rassulu llahy husna hasana,,,mnae mtume kiigizo bora kwenu,,, hii dini haipelekwi kimatamanio ikhitilafu za ulamaa so hojaa kauli zote zitarudishwa isipokuwa ya mjumbe wa Allah,,, kuhitilafiana so hoja tunaangalia wapi waliosimama katika dalili na hoja yenye nguvu ilomfata mtume,,, ndo tunachukua sisi hii dini haipelekwi kimatamanio.
Mashaallah tabarak Allah akuhifadhi