SHEIKH KISHK AGEUKA KUNGWI/HIKI HAPA KITCHEN DAAWA/WASIA 10 KWA BIBI HARUSI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 40

  • @aishamumy8402
    @aishamumy8402 2 месяца назад +1

    MashaAllah Allah akuzidishie sheikh wetu

  • @NTUNZWENIMANAKurusumu
    @NTUNZWENIMANAKurusumu 2 месяца назад

    Ma Shaa Allah Tabarakallah ALHAMDULILLAH 😊

  • @mams1892
    @mams1892 2 месяца назад

    Jazzakallahu khairan tunasubiri na wasia wa mabwana harusi please

  • @AlkafaaMarket
    @AlkafaaMarket 3 месяца назад +1

    Mashallah sheikh kishki tunakupenda sana unatuelimisha ila ilo bunduki hadi nacheka shukran sana tunawapata vyema oman

  • @ManirakizaIkhlas-xu4vi
    @ManirakizaIkhlas-xu4vi 3 месяца назад +1

    Sheikh kishki leo umenipa Raha Sana kwa kweli umejuwa kutuchana Live bila cenga kbs Allah Akuifadhi Shekh wetu

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 2 месяца назад +1

    Mashallah zinahitajika kuwandikwa kwa wino wa dhahab🥺Sheikh Si wasia wa Bib harusi tu Ata tulioko kwenye ndoa zinatufaa Turenew ndoa zetu penye mapungufu🥰Allah atusaidie Khalid kwakwel tucheke tu😂😂😂hakika naumwa ni mbav kwakucheka😂😂Sheikh Nurdiin Allah akuhifadh 😢ukwel mtu unayoyasema Wallah Iv unasema najikumbuka mim Sik naolewa🥴Mabiharusi wa sik hizi Yarabistara🥺hilo jicho tu analoangaliwa mume Bi harus Anaonesha Dhahir Yes niko tayar 😭Subhanallah Allah atuongoze Kwakwel Aibu imepotea na zaid Imepotea kwa utandawaz uliopo watoto wanaona kila kitu 😭Subhanallah Msiba mzito huu 🤲🤲🤲Allah atuongoze na Vizaz vyetu

  • @mutaladjasmini4815
    @mutaladjasmini4815 3 месяца назад +1

    Masha Allah

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 2 месяца назад

    Masha ALLAH 🎉🎉🎉❤

  • @NaifatSaidi
    @NaifatSaidi 3 месяца назад +1

    Mashallah Allah akuzdshie shehe kwa wasia

  • @TajudinMohammad-hy1nh
    @TajudinMohammad-hy1nh 2 месяца назад

    shekhe kishki ninakupenda kwa ajili ya allaah

  • @zainabshariff114
    @zainabshariff114 3 месяца назад +2

    Mashaalla mimi ni bibi harsh mutarajiwa nimefaidika allhamudulillah

  • @HadijaSilimu
    @HadijaSilimu 3 месяца назад +1

    Mashaallah

  • @Ukhtytifah
    @Ukhtytifah 3 месяца назад

    MaashaAllah

  • @museepasclia7706
    @museepasclia7706 3 месяца назад

    MashaAllah

  • @zafarmohamed9413
    @zafarmohamed9413 2 месяца назад

    ❤❤❤

  • @Veronicahcharles61comAsia
    @Veronicahcharles61comAsia 2 месяца назад +1

    Sheikh asalam aleikum yaani hapa jamani Allah atujalie subira wamama, wasichana ukweli twjitahidi inauma zaidi unajisitili kabisa kumtimizia ndio Anatoka poa sasa😢😢 vilio tupu

  • @Mamiisalehe
    @Mamiisalehe 3 месяца назад

    Alhamdulillah🥀🌹

  • @fatumanurdin
    @fatumanurdin 3 месяца назад

    Mashaallah 🎉

  • @a.856
    @a.856 3 месяца назад

    Jazaka Allah khayran

  • @Fathasssane-vs2th
    @Fathasssane-vs2th 3 месяца назад

    Mashaallah ❤

  • @zafarmohamed9413
    @zafarmohamed9413 2 месяца назад

    hahahaha sheikh nakupenda kwajili ya Allah mawaidha yako mazuri sanaa napenda unavyofafanua kila hatua

  • @AlkafaaMarket
    @AlkafaaMarket 3 месяца назад

    Mutuwekee na wabwana harusi inshallah kheri

  • @neemamwachepha213
    @neemamwachepha213 3 месяца назад

    Shukran sana kwa walia sheikh

    • @BahatiIrakoze-z4y
      @BahatiIrakoze-z4y 3 месяца назад

      Shekh allah akuhifadhi apadunian na akhera😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤

  • @mwajayhaxxan5507
    @mwajayhaxxan5507 3 месяца назад

    Shukran

  • @rahmahty7026
    @rahmahty7026 3 месяца назад +2

    Kama wote wangehifadhi haya na kuyafanyia kazi.., basi zingedumu hadi uzeeni isipokua amri ya Allah

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 3 месяца назад

    Shukran saana

  • @rahmahty7026
    @rahmahty7026 3 месяца назад +2

    Wala sichoki kukusikiliza na huu wasia 10 sheikh. Jazakallahu kheir. Allah atupambe na wasia hizi daaiman sisi wanawake tupambe ndoa zetu... amiin

  • @zafarmohamed9413
    @zafarmohamed9413 2 месяца назад

    na bundudki lake hhahahaha

  • @Mamiisalehe
    @Mamiisalehe 3 месяца назад

    😂😂😂😂❤❤❤❤❤

  • @حليمهتوتو-ح6ت
    @حليمهتوتو-ح6ت 3 месяца назад

    🤣🤣😂😂😂😂😂😂❤❤❤😍

  • @sakinasakku8340
    @sakinasakku8340 3 месяца назад

    Shukran sheikh kwa wasia

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 3 месяца назад +7

    Mi nasubiri Wosia wa bwanaharusi insha Allah 😂😂

    • @UwumuremyiKhurusumu
      @UwumuremyiKhurusumu 3 месяца назад

      Nazan wa sia kwao hawuwahusu sana mke akiwa sawa kwamalezi hawa waume hawanashida sana mtihan nisisi😅

    • @MamahetuChikuti-mp5lj
      @MamahetuChikuti-mp5lj 2 месяца назад +1

      ​@@UwumuremyiKhurusumuwaume pia waitaji wasiha sana maana mume akiwa kiongozi mzuri mke Hana shida kabisa

    • @UwumuremyiKhurusumu
      @UwumuremyiKhurusumu 2 месяца назад

      @@MamahetuChikuti-mp5lj Ndiyo

  • @SabrinaAlShukairi
    @SabrinaAlShukairi 2 месяца назад

    nipo oman lakini umenifunza

  • @zeharaz4116
    @zeharaz4116 3 месяца назад

    Hahaha 😂 sheikh Leo umetoa kali

  • @nuriatihdjasumin1548
    @nuriatihdjasumin1548 2 месяца назад

    Mashaallah ❤❤❤