SHEIKH KISHKI AWA KUGWI WA WANAWAKE AONGEA MANENO MAZITO AJAWAHI ONGEA, ATOA SIRI ZILIZO KWENYE NDOA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 янв 2025
  • • SHEIKH KISHKI AWA KUGW... #KHIDMATV #sheikhnurdeenkishki #siokilaaliyeachika #siomke #talakarejea #eda #mawaidha #ndoa
    =
    Tufuatilie mitaondao ya kijamii;-
    Facebook: / mzeewakhidma
    Instagram: / khidma_tv
    Tiktok: / khidmatv1
    RUclips: / @khidmaonlinetv350

Комментарии • 157

  • @mayasamissanga3736
    @mayasamissanga3736 4 месяца назад +9

    Shekhe leo Alhamndulillah nakushukuru umenijibia maswali yangu mengi kuhusu talaka yaani kila nikisema mbona hichi hajasema mbele anakifafanua Shekhe Akulipe kheir akupe umri mrefu uzidi kutupa Elimu nimefurahi sanaaa MashaAllah

    • @zulfazulfa1454
      @zulfazulfa1454 2 месяца назад

      Assalamu alaikum mimi tulikuwa mbalimbali kutoka 2013 haya hilivyofika 2018 ndiyo hikaelezea kama niko pekeangu hivi juzi hakanipa talaka moja jee shekhe yafaa kuolewa

  • @halimahatibu5299
    @halimahatibu5299 21 час назад

    Shukran shekhe maana wengine tulikua hatujui MUNGU akubariki

  • @maryamadam5622
    @maryamadam5622 4 месяца назад +12

    Amma ni darsa nzito hii Wanawake na waume pia kujuwa haki zetu na taratibu zote husika. Mashallah Sheikh Kishki. Tunafaidia sana. Raha pia kusikiliza ukisoma Quraan. Quraan isomeni kwa sauti njema na kufuata amri zake zote. Watching.from Canada

    • @SiwemaRwanja
      @SiwemaRwanja 3 месяца назад

      😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊

  • @sabrasaid7739
    @sabrasaid7739 4 месяца назад +2

    Shukran Sana Shekh hili Dars muhimu Sana tena Sana Allah akulipe Tupe Duruus za Talaka bado hujamaliza Shekh lete mpaka tulifahamu Sisi na Waume Pia Talaka za Uongo pia Zimejaa

  • @MejumaaRashid-s8g
    @MejumaaRashid-s8g 4 месяца назад +5

    Allah akupe umri mrefu shekhe uzidi kutuelimsha shukurani jazillah

  • @ShabaniMwalyawa
    @ShabaniMwalyawa Месяц назад

    Shukran sana shekh maana tulikua ahujitambui kabisa dah Allah akupe umrimrefu yakher na barka

  • @aishamumy8402
    @aishamumy8402 4 месяца назад +1

    Shukran sheikh Allah akujalie afya njema na umri wenye kher, Alhamdulillah twajifunza mengi kutoka kwako

  • @HawaaUmibrahim-um7zi
    @HawaaUmibrahim-um7zi 3 месяца назад +1

    Mashallh
    , shukran kwa darsa nzuri🤲

  • @QueenMuniiza
    @QueenMuniiza 3 месяца назад +1

    اللهم آمين ثم آمين يارب العالمين جزاك الله خيرا

  • @LUTFIAAHMADA
    @LUTFIAAHMADA 4 месяца назад

    Shukrani sanaa Jazzaka Allahu kheir... Kwa kweeli hili darsa ni muhimu saana wengi wetu hatulifahamu

  • @AbasHabimana
    @AbasHabimana 4 месяца назад +2

    Sheikh kishki Allah akuifazi akupe umri mrefu wenye manufaa uzidi kuelimisha jamii

  • @MwaliSuleih
    @MwaliSuleih 3 месяца назад

    ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Masha'Allah sheikh wetu baraka'Allah fiika wa jazaka'Allah Khair insha'Allah mafunzo mazur xan Iman uzidi kua nasi tuzidi kuishi katika ndoa halali ya mwenyezi Mungu, Aamin ya rabby Aamin 💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕 alhamdulillah rabbil Aalamin

  • @رحمةمحمد-ش1ه
    @رحمةمحمد-ش1ه 3 месяца назад +1

    Mashaallah tabaarakahllah sheikh Allah akupe kheri ya dunia na akhera.

  • @mansour123beastshassan9
    @mansour123beastshassan9 2 месяца назад

    maashaa Allah darsa zuri allahu baarik shekhe.uzidi kutupa daawa.

  • @AlbaloshiAlbaloshi-f1w
    @AlbaloshiAlbaloshi-f1w 3 месяца назад

    Barakallahu fiika yaa sheikhe Nuurdeen kishki❤ Allah azidi Kuku hifadhi sheikhe wetu mpendwa na akujalie mwisho mwema

  • @sein.208
    @sein.208 4 месяца назад +6

    Masha Allah
    Amiiiiiiiiiiin yaa Rabby 🤲
    Allah akulipe mema mengi Sheikh wetu
    Jazaakallah kheiry

    • @Baushi-t6z
      @Baushi-t6z 3 месяца назад

      Mashaallah barakaLlah 🥰🥰🥰

  • @AdamJuma-i9q
    @AdamJuma-i9q 3 месяца назад

    Darsa nzuri sana Allah akupe umri mrefu tuzidi kuelimiswa habari ya Allah.

  • @KhairatRashid-c1h
    @KhairatRashid-c1h 2 месяца назад

    Mashallah shekhe unafanya kazi nzur ya kutoa elimu kwa jamii

  • @omarjuma3146
    @omarjuma3146 4 месяца назад +2

    Mashallah baraka Allahu fiik

  • @MustafaOsman-oc7ly
    @MustafaOsman-oc7ly 3 месяца назад +3

    Mwili hunisisimuka wakati sheikh Noor Din Kishki akisoma Qur'an tukufu yarab mungu azidi kukupa uwezo wakutujuza kuusu dini yetu ya kiislam

  • @Husna-z6f
    @Husna-z6f 3 месяца назад

    shukran sheikh wetu kwa mawaidha mazur jazakah Allah kheir

  • @QueenMuniiza
    @QueenMuniiza 3 месяца назад +1

    عليه افضل الصلاة والسلام على رسول الله صل الله عليه وسلم ❤❤❤❤❤❤❤

  • @IDRISANTILA
    @IDRISANTILA 4 месяца назад

    Walillahi-lhamd, Allah amjaze kher nyingi Shekh wetu

  • @BatuliHamis-z8q
    @BatuliHamis-z8q 3 месяца назад

    Allhamdulilah mashallah allah akulipe heri akupe umri mrefu wenye kheri naww

  • @ZuberiKikoti-zo2on
    @ZuberiKikoti-zo2on 3 месяца назад

    Alhamdulilah mwenyezi mungu akulipe kwa darsa unayotupa inshaallah na akupe maisha mema inshaallah

  • @MunnahAchaniAchani
    @MunnahAchaniAchani 3 месяца назад

    Shukran Sana sheikh wetu Allah baarik.Allahuma Amiin

  • @Husna-g9k
    @Husna-g9k 3 месяца назад

    Nashukul sana kwa kutufahamisha allah akuzidishie

  • @IssaDulle
    @IssaDulle 4 месяца назад +2

    #mashallah nafaidi darasa hapa youtube pia na faida darasa nyumbani maan mke wangu alihudhuria #Al- hikma Allah akulipe sheikh

  • @ShadyaCHORA
    @ShadyaCHORA 2 месяца назад +1

    MA shaa Allah shukran sana kwa darsa sheikh kishik. Lkn nina swali ktk Hilo.
    Kwa mfano mume kaniacha talaka moja, na eda nikakaa kwake, lkn kabla eda haijaisha akaja kunitamkia mke wangu nakurejea, lkn mimi nikakataa. Na hatimae nikakaa hadi nikamaliza eda. Je hy imekaaje?

  • @AbdiHassan-n6s
    @AbdiHassan-n6s 2 месяца назад

    Allah akuzidishie❤

  • @MilupoAly-tl1pk
    @MilupoAly-tl1pk 4 месяца назад +2

    Alhamdulilah rab lalamin Mashaallah shek kushik Allah akulinde na mahsad akuoe umri mrefu ila ss wengine tu ZNZ tunaomba na simu zikuwepo iyo siku ya maswalu tunataka fursa ya kwenda umra ishaallah

  • @meowzna
    @meowzna 3 месяца назад

    Jazak'Allahu Kheir Sheikh🙏💫

  • @BinaminOmari
    @BinaminOmari 2 месяца назад

    Allah akulipe shekhe kishk

  • @AnifaJuma-p9c
    @AnifaJuma-p9c 4 месяца назад +1

    Mashallah ,Amina yaaraby

  • @kenedyNdosa
    @kenedyNdosa 2 месяца назад

    Mashaalah jamn Allah akupe kher 😂😂😂 natamani tuyashiks

  • @MilupoAly-tl1pk
    @MilupoAly-tl1pk 4 месяца назад +2

    Tunakupebda sana kwa ajili ya Allah

  • @QueenMuniiza
    @QueenMuniiza 3 месяца назад +1

    الله اكبر ولله الحمد ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @fatumalaay
    @fatumalaay 3 месяца назад

    Alkhamndulillshi.asante sana shekh kishki kwa darsa laleo.

  • @AishaJuma-zz2rj
    @AishaJuma-zz2rj 3 месяца назад

    Shekh shukran san Allah akujaalie

  • @shamimuleslie1703
    @shamimuleslie1703 3 месяца назад +1

    Amina shekhe Alhamdulillah kwa darasa zur umetutoa gizan ,shekhe Kama unataka kujivua na mume hakumaliza mahari he unalipa alichotoa au unalipa mahar yote?

  • @mctoman-op1zx
    @mctoman-op1zx Месяц назад

    Amina❤❤

  • @mwanasomomuhaji6130
    @mwanasomomuhaji6130 3 месяца назад

    Allah Akuhifadhi Atujalie wenye kusikia na kufuata amiin.

  • @KhadiaAli
    @KhadiaAli 3 месяца назад

    Shkh nchoo na zanzibar utupe elimu InshaAllah

  • @AshuraAyubomar
    @AshuraAyubomar 3 месяца назад

    Asante sana shehe nitaufanyia kazi

  • @zuwenapandu3955
    @zuwenapandu3955 2 месяца назад

    Mashaa Allah❤

  • @AshuraLikwaya
    @AshuraLikwaya 4 месяца назад +2

    Asalam alykm shekhe...mimi nimetelekezwa yapata mwaka wa 3 huu..nanikimwambia nipe talaka yangu..majibu yake mimi najua kuoa sijui kutoa talaka..lkn pia kwenye mawasilianonaweza akaa hamiezi..6 bila mawasiliano...kwaupande wa matumizi.anaweza akakaa hata mwaka akatoa matumizi mara 3..sasa mimi nifanyaje shekhe..na pia yeye hana pakuishi mpka sasa anaishi kwa dada yake...tafadhali nipe mwongozo...nilienda mpaka bakwata wakalijadili ..wakanishauri nimpigie tena sm niombe talaka..lkn majibu yake ni kwamba mimi najua kuoa sijui kuacha..na mimi ni binadam ninakula nashiba..na waume wakunioa wapo...nifanyeje.tafadhali shekhe nijibu...

  • @salmaalkyumi6030
    @salmaalkyumi6030 4 месяца назад +2

    Allahumma Ameen Yaa Rabby 🤲🤲🤲

  • @rahmaally5128
    @rahmaally5128 3 месяца назад

    Masha Allah, tabaarakallah

  • @IsaKitagame
    @IsaKitagame 3 месяца назад

    Allah akbar nashukur kwa hii darsa

  • @fatmabunu5145
    @fatmabunu5145 4 месяца назад

    Jazaka llahu khery

  • @halimayusuf3501
    @halimayusuf3501 4 месяца назад

    Masha Allah tabaraka Allah

  • @RehemahasaniDadi
    @RehemahasaniDadi 3 месяца назад

    Mawaiza manzuri kwetu sote tunashukulu kwa kutupa dawa kishki Allah akuongoze ishaall

  • @halimamsafiri288
    @halimamsafiri288 3 месяца назад

    Shukran Sheikh ❤❤❤

  • @HadijaSilimu
    @HadijaSilimu 4 месяца назад +2

    Allahuma Aminii

  • @aminaabdulghanim8256
    @aminaabdulghanim8256 3 месяца назад +1

    ❤ Jazakallahu kheir sheikh

  • @KhadiaAli
    @KhadiaAli 3 месяца назад

    Shekh nakusikiliza sana darsa zako na mawaidha yako na nimejifunza mambo mengi kupitia elmu unayotupatia .

  • @MadinahusseinHussein
    @MadinahusseinHussein 2 месяца назад

    Kweli shekh

  • @Wattingalby
    @Wattingalby 4 месяца назад +1

    Asalam alayekum warahmatullh wabarakati naomba mawasiliano Na taasisi hii Nina maswali ya Dini yalio nichanganya Na mm sifahamu vzr maswala hayo ya talaka

  • @NasraNasra-l9q
    @NasraNasra-l9q 4 месяца назад

    Mashaa-Allah darsa nzito na ina rahaa😊

  • @HadijaSilimu
    @HadijaSilimu 4 месяца назад

    Mashaallah

  • @MwanaishaZakaria
    @MwanaishaZakaria 3 месяца назад +1

    Shekhe hao wanaume wenyewe hakikuacha hataki hata kukuona mpaka kipigo

  • @JabuMohd
    @JabuMohd 4 месяца назад

    Allah atufanyie weps

  • @omanmct135
    @omanmct135 4 месяца назад

    Subhanalllah

  • @omanmct135
    @omanmct135 4 месяца назад

    Masshalllah

  • @meowzna
    @meowzna 3 месяца назад

    Ameen Yaarab🙏

  • @bintomar8653
    @bintomar8653 3 месяца назад +2

    Sheikh kama chumba kimoja tunafanyaje sasa na wasema hatufai kulala chumba kimoja wala kitanda kimoja.

  • @HabibaMussa-x6p
    @HabibaMussa-x6p 2 месяца назад

    Asalam alaykum shekhe

  • @UmmulsalamaMuhammed
    @UmmulsalamaMuhammed 4 месяца назад +1

    Asalam aleykum shekh, mm naomba namba za cmu nina maswali

  • @ZakharaNdimanga
    @ZakharaNdimanga 2 месяца назад

    mashaallah shukran san

  • @balkissMuhammad-sk1ic
    @balkissMuhammad-sk1ic 4 месяца назад

    Bismillah

  • @AminaAbubakare
    @AminaAbubakare 4 месяца назад +1

    Nimepewa talaka. 1. Kisha. Yapili. Waa. Mudomo'i. Nimeikaa. Mwaka. 18 bila cakula malazi. Nika mupa mimitalaka. Mwaka. 20. Anatala. 'irusi. Akidayi nii mkewe.

    • @BakaryOmally
      @BakaryOmally 3 месяца назад +1

      Hapo sio mkewe au alikurejea?

  • @Raissaabdoul
    @Raissaabdoul 3 месяца назад

    Sheikh Allah akulipe kila laheri nataka kuuliza sheikh mimi mume aliniacha ndani ya nyumba tena nyumba ya kupanga tena kaniacha na watoto akuna ata uduma watoto sheikh uyo ndaweza murudisheya pesa zake sheikh na omba jibu

    • @BakaryOmally
      @BakaryOmally 3 месяца назад

      Ulimuomba akuache au vipi hapoo

  • @SalmaChota
    @SalmaChota 3 месяца назад +1

    Sheikh niponyumban sijapewa talaka na mume alinikimbia nikaamua kwenda nyumban

  • @CishahayoDeborah
    @CishahayoDeborah Месяц назад

    Shekhe wanaume wemgine hawataki kutowa talaka mwaka mbili

  • @zubeidahamad-vn4ri
    @zubeidahamad-vn4ri 3 месяца назад

    Hii ndio sababu Sheikh watu wanakupenda human upendeleo wa wanawake Wala wanaume upo ktk haki ambapo masheikh wengi hawapo ivo

  • @ZuenaHaji-t2r
    @ZuenaHaji-t2r 3 месяца назад +1

    Asalam ghaleikum samahani shehe wangu ninashida na namba Yako ninamtihani na mume wangu
    Naomba nisaidie

  • @JabuMohd
    @JabuMohd 4 месяца назад

    Ishallah

  • @ZaynabJumaaa
    @ZaynabJumaaa 3 месяца назад +2

    mnaoomba namba za $hekh mkipata mnipe na mm maana mimi ni$haongea ad na katibu wake miez miwili xaxa cpat majibu yoyote napgwa kalenda tu😢 namtu unakuta unachangamoto nzito ha$aa unaona kabxa apa nikiongea na uyu $hekh ntapata $uruhu lakn kalenda kibao 😢daaah

    • @FatumaMuya-w5h
      @FatumaMuya-w5h 3 месяца назад

      Mimi mwenyewe nahitaji namba yake

  • @HusseinMsham
    @HusseinMsham 3 месяца назад

    Swaddaqta sheikh

  • @zuhramwavyoni8400
    @zuhramwavyoni8400 4 месяца назад

    ❤❤❤

  • @jasminsaidshabani7339
    @jasminsaidshabani7339 Месяц назад

    Samahani shekhe nisaidie mimi nilifunga ndoa tukawa tumeshindwa na leo ninamiaka 7 hajawahi nitafuta wala mimi sijawahi kumtafuta na nimepata naye watot 2 na hawatunz je na mimi hapo nafanyaje

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 4 месяца назад

    Talaka moja ni talaka !!!

  • @RidhaaHamisi
    @RidhaaHamisi 4 месяца назад +2

    Asalm aleykum?mm mume wang alinitumia talk kweny sm tatu zote? Lakin hakunihudumia had miez mitatu ikaish ni sahihi

    • @BakaryOmally
      @BakaryOmally 3 месяца назад +1

      Hiyo sio talaka rejea ila Allwah ndie mjuzi

  • @halimandune7317
    @halimandune7317 3 месяца назад +1

    Asalam alykum warahmatulahi wabarakatuh. Sheikh hio umeeleza vizuri, lkn mm nakuuliza nilikuwa mjane,nikaa eddah,Kisha nikaolewa tena,huyu bwana akauguwa,familia nzima ikaniambia mm ndo sababu ya maradhi yke,hii ikabidi nitoke kwake toka 2014 hdi sasa,mm nikiolewa ni vibaya?.Aliniacha na mtoto na hashughuliki hdi sai,je nn lakufanya?.

  • @BuhiteAlly
    @BuhiteAlly 3 месяца назад

    Upo.eda.ya.talaka

  • @othmanhaji1832
    @othmanhaji1832 4 месяца назад

    Nimependa uadilifu wako wa talaka 3 kwa 1. Na mimi naona 3 kwa 3.

  • @nkurunzizaabdul-aziz7211
    @nkurunzizaabdul-aziz7211 3 месяца назад

    Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh sheikh wetu kishik jazakhallah kheir mada ya leo inaweka wazi kila kitu.
    Sasa sheikh kuna swali :--ikiwa mwanamke amerudutadi huo kuna haja ya talaka na kuika eda ima kupewa cocote kifungasha cakwenda naco kama inavyositahiki kupewa wanapotolewa kwenye nyumba zao bada ya talak? Naomba jibu

  • @karimdaud3993
    @karimdaud3993 4 месяца назад

    Wanawake wakiislam waongo sana . Wana zaa sana kabla ya kuolewa au wana zini sana .pls shekh kishki kemea sana sanaa pls HAYA YAMEKUA KAMA ADA .MITOTI YA HARAM MENGI SANA .WANANYANGANYIANA URITHÍ IN

    • @sharmilarashid8196
      @sharmilarashid8196 3 месяца назад

      Izo mimba wanapewa na wanawake wenzao au wanaume nyie ndo waongo mngekuwa hamleti tamaa zenu basi watoto wa zinaa wasingekuwepo wala hiyo zinaa uwe unafikil ndo uongee

    • @BakaryOmally
      @BakaryOmally 3 месяца назад

      ​@@sharmilarashid8196bongo hakuna mtoto aso na baba japo wa nje ya ndoa tofauti na zanzibar ukizaliwa nje ya ndoa huna urithi unatakiwa umtafutie zawadi yake mtoto lakini Zanzibar ukizaa nje ya ndoa hupati urithii sema uku bara katiba kule zanzibar wanaangalia dini juu ya hili

    • @kautharjay5868
      @kautharjay5868 3 месяца назад

      Kama huyo mwanaume angemuo huyo mwanamke Wala asingezaa ila wanaume ndo waongo unataka kuchezea wanawake n

  • @HasnaNassoro-n1v
    @HasnaNassoro-n1v 4 месяца назад

    Majibu pls

  • @MaryanMaryam-lc1et
    @MaryanMaryam-lc1et 11 дней назад

    Samahan ndugu zangu mim nimeachn na mume wang tangu nwez wa kumi na moja mwaka jn ila hajanp talak hata moja je siruhusiw kuolewa

  • @GhaniyeHaji-hv3je
    @GhaniyeHaji-hv3je 3 месяца назад

    Kama hana nyumba je sheikh

  • @zawadimzee8770
    @zawadimzee8770 4 месяца назад

    Mm ni Shafi, tamka babu

  • @MariamShabani-eb3oh
    @MariamShabani-eb3oh 3 месяца назад

    Some kuubwa natamani niifadhi ila inatoka ya rabby nipe wepesi wa kuhifadhi

  • @AhmedLavezzi
    @AhmedLavezzi 3 месяца назад

    Sheikh, unaweza kukaa ndan alaf mume atakaka tendo la ndoa tena kwa kufox wala hajatamka nimekurejea hii inakuaj

  • @JabuMohd
    @JabuMohd 4 месяца назад +1

    ❤❤❤❤❤❤❤💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚

  • @GhaniyeHaji-hv3je
    @GhaniyeHaji-hv3je 3 месяца назад

    Ikiwa mjamzito je inafaa hii

  • @SamirKhamis-s8t
    @SamirKhamis-s8t 3 месяца назад

    ASSAALAM ALEYKUM ME NINASWALI NAULIZA JEE? MWANAMKE AMEENDA KUNUNUA TALAKA KWA SHEKH PASINA SHAHID WA MUME AU SHAHID WA MKE AU MUME WAKE HAYUPO JEE? HIYO TALAKA IMESIHII NAOMBA JIBU JAMANI.

  • @MariamJuma-pe4sy
    @MariamJuma-pe4sy 3 месяца назад +1

    Kiukweli wanaume wengine nimtihani kabisa talaka ataki kutoa na anasema yeye anajua kuoa aui kuacha na kwangu sitaki arudi ba nimtihani kwakweli. Shehe kishk tupe muongozo nini tufanye ili kila mtu awe huru?? Yani kama anataka kukomoa 😢😢

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 3 месяца назад

      Nenda bakwata kadai haki yako

    • @MariamJuma-pe4sy
      @MariamJuma-pe4sy 3 месяца назад

      @@kamarhelo bakwata nilienda nikapewa barua niende mahakamani wakaniambia mahakama itaenda kuamua kama kupewa talaka au laa nikpewa talaka mahakamani yani serekalini. Sasa nasikia kuwa talaka inatakiwa itoke bakwata bac naona kama wananichanganya

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 3 месяца назад +1

      @@MariamJuma-pe4sy usikate tamaa pia ukienda sema wew mwenyew humtak na umemchoka usitoe sababu yeyote Ile ukitoa sababu mumeo ataichukulia kama kosa lake na ataahid kujilejebisha na mkilud nyumbani ataludia Yale Yale

    • @MariamJuma-pe4sy
      @MariamJuma-pe4sy 3 месяца назад

      @@kamarhelo sawa nitafanya hivyo nikirudi TZ kwasasa nipo uwarabuni

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 3 месяца назад

      @@MariamJuma-pe4sy hata mim nipo huku na Wala sitaki tabu na kiumbe kinacho itwa mwanaume kwani yalio nikuta ni makubwa

  • @AishaAisha-u1q
    @AishaAisha-u1q 4 месяца назад

    Jee mwanaume akimwita mke wake mbwa bado ni mke wake

  • @dulasele-ud8cw
    @dulasele-ud8cw 3 месяца назад

    Sheh VP kumuacha mwanake wakati anaujauzito inafaa