Dada mwenyewe vera nzowa, ninampenda kupita maelezo tangu usichana wake alikuwa mdada poa sana na Mungu ni Mkubwa amembadilisha sana. Mungu azidi kujitukuza ndani yako apostle sijawahi kuacha kukupenda. Barikiwa mtumishi. Shena asante kwa interview ya mrembo wa Yesu, 👏🏾👏🏾
HAYO UNAYOONGE MAMDOGO NI KWELI KABISA. NIMEONA WENZETU WA WEST AFRICA, WANATIMIA SANA MAOMBI ILI KUFANIKIWA. TATIZO SISI WATANZANIA MUNGU AU MAOMBI HATUJAYATILIA MANANE. ASANTE SANAA KWA USHAURI MZURI . UBARIKIWE.
Dada mwenyewe vera nzowa, ninampenda kupita maelezo tangu usichana wake alikuwa mdada poa sana na Mungu ni Mkubwa amembadilisha sana. Mungu azidi kujitukuza ndani yako apostle sijawahi kuacha kukupenda. Barikiwa mtumishi. Shena asante kwa interview ya mrembo wa Yesu, 👏🏾👏🏾
Mungu azidi kutubariki sote
Hapo kwa Mungu ndiyo kila kitu nakubaliana kwa asilimia 💯
Amenifanya siku nzima nawaza mahusiano yangu na Mungu upya.
Nimefurahi sana kwa hii interview nimejifunza mengi. Mungu ndio kila kitu kwenye maisha
Amen apostle nimebarikiwa sana Vena
Nimefurahi sana na nimejifunza kitu kikubwa mno God bless you🙏
Nimenjoy hii interview kwanza unavoice ya mamulaka ubarikiwe sana,Funguo nimaombi tuu,God is good
Mungu akubariki sana dada nimejifunza
Sheena unafanya kazi kubwa sana. Asanteh kwa apostle Vera
Nataman kuokoka soon, nmeipenda hii interview 🎉
Wow.... Mungu akubariki Sana Mtumishi na Mrembo wa yesu.... hiyo Sauti yako nzuri Sana
Shena hongera kwa kazi yako nzuri
Huyu Dada Jamani nilipita naye kwenye Magumu mno , nimesali naye sana Live miaka 3 iliyopita kupitia Yeye Mungu alinifanyia NJIA , Ahsante sana
Glory to God 🙏
Nimekupenda sana Vera kwa kuongea ukweli wko,naendelea kujifunza👍🏻.
Amina Mtumishi wa Mungu 🙏🙏🙏
Wow... Mama etu wa kiroho❤️
Ni kweli Apostle, usialike waafrika watakuharibia, wengi hatuko waaminifu, tumejawa na maroho ya udanganyifu.
Apostle Mungu ni mkubwa sana. Anaweza badili histori ya mwanadamu kadi apendavyo. Wewe ni ushuhuda ulio hai.
Kumtumaini Mungu kuna faida amen
Asante kwa maelezo mazuri Mungu akubaliki
Amen, Apostle Vera, God is everything.
Shena na mimi niko Georgia. Natamani kujua kanisa like wapi niweze kwenda jamani
Waoooh Apostle Vera👏👏
Mama Angu Mimi Apostle vera 🙏
HAYO UNAYOONGE MAMDOGO NI KWELI KABISA. NIMEONA WENZETU WA WEST AFRICA, WANATIMIA SANA MAOMBI ILI KUFANIKIWA. TATIZO SISI WATANZANIA MUNGU AU MAOMBI HATUJAYATILIA MANANE. ASANTE SANAA KWA USHAURI MZURI . UBARIKIWE.
❤❤❤ 🔥🔥🔥🔥 in Jesus name
My Apostle, may God bless you
Innterviee ya leo imeniongeza iman🇿🇦🇿🇦🇿🇦
Nimempenda sana huyu dada,ameongea vizuri sana,tumejifunza sana
I'm blessed 🙌 i receive my blessings in Jesus name.
Amen Amen and Amen 🙏🏻
Nimebarikiwa sana
Mungu ni mwema kweli
Wooh Apostle Vera
Waw..beautiful to see u Apostle Vera...thank u Shenna!
You are so welcome 🙏
AMINAA SANAA. MUNGU AZIDI KUKU BARIKI.
Amina shukrani
❤❤❤nimepona
Ameen
Mungu anamaajabu yake
Very well spoken 🙏🏽
Mama yangu❤❤❤❤
Nice interview da shena na da da
Nimefurahi kumuona Apostle Vera mdogo wangu alinipa link yake toka hapo nimekuwa namfuatilia.. Asante kwa maelezo mazuri
Jamani kunakuomba kunakubisha ,na kutafuta
Amen
Hongera sana a postal
God was chosen you
Amen 🙏
MUNGU atusaidie na ss tupat nafasi ya kwenda kupamban huk,tunaamiin wakat wa MUNGU utafik tu
❤❤❤
Itabidi akupe recommendation uweze Kuongea na Patricia, jamani. It will be fun talking to her and hearing what she has got to say.
Umeongea ukweli ndugu wanakukasirikia km hauwapatii pesa
👌👌👍👍🙏🙏
Usije ukajaribu kualika wabongo watakuharibia wengi sio waaminifu
Madini kama yote
Apostle toa mwaliko watu waje USA nchi ukubwa haiwezi kujaa watu
Apostle awe mkweli hawa watoto wa dogo sio wake ni wa mwanaume alizaa na mke wake Mganda ambae amekufa ameacha hawa watoto wadogo mapacha
Unamaanisha nini
Amen 🙏 🙏