MAHITAJI MAWILI YANAYOHARIBU ZAIDI NDOA | DEO SUKAMBI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 янв 2025

Комментарии • 25

  • @SubiraSanga
    @SubiraSanga 10 месяцев назад +2

    Ahsante! Kwa somo zr

  • @AgnesMbilinyi-d3g
    @AgnesMbilinyi-d3g 2 месяца назад

    Mafundisho ni mazuri Asante

  • @rizikimanamaua9216
    @rizikimanamaua9216 10 месяцев назад

    Shukrani kwa mafundisho yote unayofundisha pastor. Mungu akubariki na kukutunza ili ndoa nyingi zipo. Unayoongea ni kweli kabisa,ila nyakati hizi ni hatari kuusu hayo mambo mawili. Eh Mungu, ponya wanandoa wa nyati hizi.

  • @SimonLyamuya-pe1gg
    @SimonLyamuya-pe1gg 11 месяцев назад +1

    ni kweli kabisa changamoto za kiuchumi wake zetu wanatukandamiza

  • @rithakiondo1099
    @rithakiondo1099 10 месяцев назад

    From United States of American...God bless you Pastor..Nimebarikiwa

  • @ashurarugakingira1682
    @ashurarugakingira1682 10 месяцев назад

    Uko vizuri .Tukiyaelewa haya ndoa zitakuwa imara

  • @martinsungwa1329
    @martinsungwa1329 11 месяцев назад

    Mtumishi wa mungu hongera sana,mungu akupe maisha marefu,ni kweli huwezi kutatua tatizo la mwenza wako wakati yeye mwenyewe lilikwisha kushinda Asante

  • @carolinenakirutimana1559
    @carolinenakirutimana1559 10 месяцев назад

    Hiyo ni kweri. Wana wake wengi wako hivo hawezi kuangali uwezo wa wanaume zawo. Anaangalia mavazi , viato, au vinginevyo. Anahitaji vili najapokua huo uwezo mme we hana hawo wake wengine labda waume zao wana pesa za kutosha.

  • @gracemlawa0015
    @gracemlawa0015 10 месяцев назад

    Mungu azidi kukubariki kwa masomo mazur

  • @jenifaamosi8649
    @jenifaamosi8649 10 месяцев назад

    Be blessed Pastor

  • @yollamniko5090
    @yollamniko5090 10 месяцев назад

    Deo naomba nikwambie kwamba mm nishabiki wako no 1pili SoMo Hili Leo umenigusa Yani Kama ulikua unaongelea maisha yangu tu,,barikiwa mtumishi,

  • @marianabuhorera6149
    @marianabuhorera6149 10 месяцев назад

    Asante sana

  • @wilsonbaraka5970
    @wilsonbaraka5970 10 месяцев назад

    Very helpful 29:46

  • @nengaisamwel8416
    @nengaisamwel8416 11 месяцев назад

    Ubarikiwe Sanaa. Nimejifunza

  • @neisamartin4087
    @neisamartin4087 11 месяцев назад

    Mungu akubariki: marelani

  • @nyiranzimami728
    @nyiranzimami728 11 месяцев назад

    Nakupenda bure ❤ Unasema Ukweli

  • @BarnabaBuhoma
    @BarnabaBuhoma 11 месяцев назад +3

    Mimi naomba uniombee Mungu anifungulie mlango nipate mke…nimekuwa na changamoto za kiuchumi kwa mda sasa. Kila nikitatua hili, linakuja lingine. Kila nikiongeza kipato changu, mara nafukuzwa kazi, halafu nakaa mda wa kutosha bila kazi kutoka na ugumu wa kupata nyingine, halafu kile nilichokipata nakitumia. yaani ni taabu tupu. Na hapa nimeeleza ki juu juu sitafunguka sana. Ila naamini Mungu anaweza kujibu hata kama sijakweleza kila kitu kinachonisibu. Mimi ni mtu ambaye huwa sishirikishi changamoto zangu, huwa na pambana nazo mwenyewe mpaka mwisho. Kwa hiyo ukiona nimekushirikisha, aisee ujue nishapambana mpaka basi.

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 11 месяцев назад

    Kwani live a dk ngapi mbona gafla imeisha

  • @SimonLyamuya-pe1gg
    @SimonLyamuya-pe1gg 11 месяцев назад

    Amani na furaha zinatoweka ndani ya nyumba

  • @loycemalach9662
    @loycemalach9662 10 месяцев назад

    Kana hujui kipato chake je

  • @ElishaDaniel-k3d
    @ElishaDaniel-k3d 10 месяцев назад

    Ni kwel doctor mm hayo mahitaj mawaili yameleta mgogoro kweny ndoa yngu

  • @ZenaBatte
    @ZenaBatte 10 месяцев назад

    Niombee nipate mme mwema