@DeoSukambi Nimeelewa sana na nimegundua why kuna watu unashangaa wanakuwa wakali ovyo na visiran visivyoeleweka kumbe washadevelop Madonda ya kihisia miaka mingi huko na hawajapona.. Emotional stability ni changamoto kwa wengi maana hata wazazi wengi hata katika malezi yao hawajali malezi bora kihisia.. mtoto kugombezwa, kupigwa ovyo.. kulinganishwa na kukosolewa ovyo lazima athari zijitokezw kwa mtoto Nina client wako🙂
Nmnm....umejua kunichambua Mr. Deo. Barikiwa sana sana sanaaaa...daah
Asante mtumishi nimejifunza vitu vingi sana umeni saidia mnoo nikikuwa napitia mambo magumu sana
Mzee baba mzee baba ya moto sanaa hii imenisaidia sana sana 🔥🔥🔥🔥
Nimeona umeirusha mahali mzee..umetisha sana
Asante sana kaka Deo kwa kuifundisha jamiii.
Nimejifunza mengi kutoka kwako. Be blessed 🙌 😇
Amen
Hilo somo limetoka kwa ajili yangu
Nashukuru sana nimegundua kumbe tatizo ni mm pastor naomba unifundishnamnabya kupona maumivu haya
Hii inahitaji tiba sio mafundisho kaka..mafundisho pekee hayatoshi
Asante chifu nimeelimika kupitia hii klipu
Aiseeeeh!!! Kutoka KATAVI ubarikiwe sanaaaaana,🤗🙏
Nakusikia kutoka Manyara.Barikiwa sana mtumishi.
Hayo ni kweli kabisa
ubarkiwe sn kk Deo
Barikiwa sana
Nimelielewa sana somo hili.. Asante mno Mwl. Je Emotional trauma ni jamii mojawapo ya moyo mgumu?
Ndio kaka yote yanaangukia kwenye dhana ya Moyo Mgumu
@DeoSukambi Nimeelewa sana na nimegundua why kuna watu unashangaa wanakuwa wakali ovyo na visiran visivyoeleweka kumbe washadevelop Madonda ya kihisia miaka mingi huko na hawajapona..
Emotional stability ni changamoto kwa wengi maana hata wazazi wengi hata katika malezi yao hawajali malezi bora kihisia.. mtoto kugombezwa, kupigwa ovyo.. kulinganishwa na kukosolewa ovyo lazima athari zijitokezw kwa mtoto
Nina client wako🙂
Unaniongelea mpaka nasikia haya mwenyewe!!!
nipo oman ,naitwa Blandina
Nipo manyanyara nimepeda mafundisho yako sn
Kuna rafiki yangu aliolewa wakajenga Nyumba na mme wake Waka achana akapata mme mwingine huyo nae amemwambia wajenge Ila naogopa
Mtumishi kama sahivi nimenenepa ila nafanya bidii nipungue nitakua nami ninatatizo hili
Yani deo unaaki li nyingi sn,unapigaga kwenye mshono kabisaa,,kunarafiki yangu anatabia hizo hizo,MTU anawezaje ss kutoka huko??
Mmmmmmh aseee it's what's it's 🥺. So kwa mtu mwenye hizo dalili asizae?? Je kuna namna ya kutoka katika hali hizo??