Bila Babu Njenje Kilimanjaro Band ikoje? Waziri Ally afunguka kwa huzuni kifo chake kilivyowaathiri
HTML-код
- Опубликовано: 7 фев 2025
- Kiongozi wa The Kilimanjaro Band (Wana Njenje) Waziri Ally anaelezea pengo lililoachwa na marehemu Mabrouk maarufu kama Babu Njenje
#ChillnaSky
Sky thank you kutuletea gwigi wa the kilimanjaro band wana, njenje Waziri Ali,Poleni pia kwa kuondokewa na kipenzi chetu mabrouck, Allah ilaze pema peponi roho take,(amin)tunapenda sana nyimbo zenu,na midundo yenu ipo 🔥🔥ni adimu sana kupata hii ni kwenu tu, tupeni burudani tafadhali
This is the best interview 😇😎
One of the best interviews.
Interview bora ya mwaka ubarikiwe 😘😘😘😘
Tuliokuja hapa baada ya waziri Ali kufariki tujuane
Wa kwanza kwa kutazama 👌
Waoo I miss njenje walaah hasa mzee waziri na mkewe ❤🇹🇿🇨🇭
Hakika imetu-hit wengi sana.
Daah jaman Mungu awapokee wazee wetu wapendwa.
Hawa walikuwa mahiri sana
Allah amlaze peponi amin
This man was a pure genius musican rest well mr waziri
In fact Waziri was a pure artist
Nmeiludia hii interview rip babu wazir
R.I.P Mzee Waziri Ally mpigajj wa kinanda mahiri.
Amakweli tumepoteza moja ya mboni ya jicho la muziki Tanzania. Mungu amuepushe na adhabu ya kaburi. Nakumbuka niliwahi mualika Kibo Palace Hotel Arusha mwaka 2010 ktk mwaka mpya na hakusita kuja na bendi ya Wana Jenje na walitumbuiza usiku kucha. Kifo chake kimeacha kovu kwangu; maana kabla hajaenda kutembelea mbuga za wanyama na familia yake alinipa CD ya Wana Njenje. Mpaka sasa ninayo.
Hawa jama mziki wao ulitingisha sana yani atari nakumbuka enzi hizo njenje ilivyo vuma
Sky mtafute na nguli mwingine anaitwa Bob Rudala wa In Africa Band alitamba sana. Sasa hvi nasikia yupo Australia.
Daaah nimeumiaa jamanii ulikuwa unakuja job kwetu huna shida na mtu jamani lazima utamsalimia kila binti unamuitaa binti ako kila kijana pale kazini unamuita kijana pumzika
Weacha ndugu mm mpk leo bad nahuzunika hap yenyewe narudiarudia hayamahojiano yake
Safisana
Dah R. I. P
R.I.P WAZIR ALLY
Munqu amrehemu babunjenje
🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏
Kweri kabisa
Nipenda huyu baba anamadini sana
Umesema hilo akiwa hai
Vizuri sana
❤🇹🇿
MwenyenziMungu amrehemu na amuondolee adhabu ya kabri
@@tanzaniaoman6423 Aamiin
R.I.P