Hongera Sana mweshmiwa Rais na Mwenyekiti wetu wa chama Cha mapinduzi Taifa kwa kazi nzuri sana unastahili pongezi Rais wetu na kazi iendelee kidumu chama Cha mapinduzi
Like Father like daughter ❤ love you from Kigali 🇷🇼 your excellence Dr samia . Your work is really appreciated as what our brother HE kagame keep doing for rwandaise. Keep it up hereos ❤❤❤❤
Hivi wa 🇹🇿 mtabadilika lini mkokumpongeza rais kwa kwa lak5 badala ya kumtolea vilio huduma , mahitaji ,chakula na bidhaaa ashushe bei mpo tu kupiga makofi fanyeni mabadiliko wa🇹🇿 amkeni kumekucha washa tuchezea sana hii nchi nitajiri sana ila wanao faidika niwachache wasio na uzalendo ..... ✌️✌️✌️📢📢📢
Mungu akulinde na wenye nia mbaya nawewe wasio litaki taifa letu amani mama kwakweli umeupiga mwingi naoba iendelee ivyo hivyo kuwajali wanyonge👏👏👏🇹🇿🇹🇿🙏🏾🙏🏾
kabisa mm ndio namshangaa mbona asisaidie familia ya warda mtoto alipotea miezi na yuko kimya na mwalim yuko huru kwa nini samia ungekua mjukuu wako alipotea ivi ungenyamaza fatilia Sakata la bint apatikane mana yule mwalim akikamatwa na kufinywa mahali atasema mtoto aliko
Yan mama hao wakina mama ulioahidi kuwasaidia Kama ni pesa ungewagea hapo hapo otherwise hao unaowakabizi hayo majukumu wallahi mama zetu watapigwa na kitu kizito😂😂😂😂😂
Wabongo bana… yaani akili zao wanazijua wenyewe… chaguzi zimekaribia na tutaona mengi! Mtagaiwa mchele, elfu kumi kumi, mtatembelewa masokoni na maHospitalini BORA TU muwapigie kura!!! AMKENI KUTOKA KWENYE USINGIZI😮
Nimekupenda hadi nimesisimkwq na mwili kwa roho nzuri ulionayo mama Mungu akutunze Mungu akubariki Mungu akupe maisha marefu Mungu akukumbuke usiku na mchana katika uongozi wako Mungu aufanye uongozi wako kama uongozi wa suleimani akivyopewa hekima na maarifa.
Ee hee! ndo hivyo maisha tunavyo ishi kwa hili na mimi nimeipenda maana ukiwa hivyo ni lazima ujue hali ilioko katika watu! Hiyo" na mimi mama" nipo nawe? pia
Bora kupita na huku mitaani kujua hali na maisha kwa ujumla ya wananchi ili pindi mnapo pandisha vitu bei na kuwafukuza watu kwenye biashara zetu sisi wananchi za kujipatia vijisenti ndiyo muone sasa mtafanyaje lenu huko viongozi wetu.na tunawapenda sana. Tena sana
Saiz nineanza kuelewa kumbe mama yetu anawapenda watoto wake ukiwa mtukutu anakuchapa mama tunakupenda pamoja na yule kaka yetu makonda nakupenda Tanzania kwa moyo wangu wote
Imependeza sana kuona Rais anacheka na kutabasamu na watu wake. Nivizuri viongozi wote kuiga. Karibu na kyerwa mbona kyerwa hatupati ziara kama hizi, au wawakirishi wetu, kyerwa tunataka kukushukuru Kwa bei ya kahawa
Samia mama angalia kitakacho wanufaisha watu wa hali ya chin kwa ujumla mfan shusha bei ya chakula imarisha taasisi ya mikopo na vipaumbele vyake kwasabab weng tunashida hauwez tueneza mama❤
Mama mawazo yangu baada ya kutembelea sokoni na baazi wafanya biashara kuwapa au kuwaangezea mitaji jambo zuru sanaa Mungu akuweke lakini ungefanya wafanya biashara wadogo wadogo ungetuondoshia kodi ndogo ndogo.wangefurahi sanaaa huo ndo ushauri wangu kuwapa mtaji si solution.
Hii nimeipenda mama ukiendelea hivi itakufanya kujua maisha ya watu wako wasio na mshahara Kwa mwezi kula ya kwangu chukua nawengine 100 walio nyuma yangu lazima nikupe 2025 na zaidi Mungu akulinde na madui uwe mshindi Kila eneo la maisha Yako
Huyu ni mnafki tuu,mwenzie hakuwa mtu wa kutafuta kiki kipindi uchaguzi unakaribia Kwa sisi tulio soma katiba huwa tunasema "SAMAKI MTUNGONI" Kwa wale wa kyuba watanielewa
Natamani nicomment Lakin wananchi wapuuzi wasio juwa nin maana ya siasa wataona namponda Rais wao, siasa ni mchezo mchafu mnatengenezewa mazingira ya utoaji kura 2025, na vigelegele mnapiga Tanzania tutaishi maisha magumu kwa upofu wa akili, tumbaka
Hongera Sana mweshmiwa Rais na Mwenyekiti wetu wa chama Cha mapinduzi Taifa kwa kazi nzuri sana unastahili pongezi Rais wetu na kazi iendelee kidumu chama Cha mapinduzi
Mama hongera sana. Mungu akulinde umetugusa wengi
Tunataka rais kama huyu jamani hongera sana mamalao❤
Ndyo nimependa Sana raisi kujishusha kuongea na wana nchi safikabisaaaa
Asante Mama! Mwenyezi Mungu akutie nguvu. Huu ndio ukweli wa kuyajua maisha ya walalahoi. Hongera mh Rais
Mungu akulinde Rais wangu ili tuwe na amani tanzania, mungu akulinde na hao wakimbia ulaya
Rais wetu mungu akupe maisha marefu nakupenda sana
Mama Samia, Rais wetu, Mungu akupe hekima zaidi. Nimefurahi kukuona ukitafiti maisha ya watanzania wa hali ya chini. Nakuombea afya njema.
Rais wangu kazi nzuri sana pita na mkoa mingine 👍👍👍🙏🙏
Nampendaga sana rais wang walai ningekuwa na wezo ningemtembelea hata siku moja
Mama ni mtu poa sana, shida ipo kwa watendaji tu. Ila mama anatosha kwenye nafasi yake
Mama safi sana Mungu akuepushe na Kila Shari tunakuombe Mungu akufikishe mama mwenzetu kazi iendelee
Like Father like daughter ❤ love you from Kigali 🇷🇼 your excellence Dr samia . Your work is really appreciated as what our brother HE kagame keep doing for rwandaise. Keep it up hereos ❤❤❤❤
Hakika Mama ni kipenzi cha wengi Mungu akujalie afya njema na maisha marefu
Hongera Rais leo umenikosha! Hivi ndiyo vitu watanzania tunataka siyo katiba
😮😮😮😮😮
😮😮😮😮😮
Jameni tazania mpo vizuri 👏👏👏👏 rais Ako sawa mama Samia am frome 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Anachea Kodi za wanaichi
Nampenda sana huyu mama yaani yuko na very simple...l wish MARAISI wote wangekua kama yy,,,
HAPO MAMA NDO UJIULIZE HIZO PESA WATU WAKO WANASEMA WAMEWAPA WAKINA MAMA MBONA WANALIA NA MITAJI HIZO PESA ZIMEENDA WAPI
Safi Sana muheshimiwa Rais Samia pamoja sana mama.hakika Mama unaupiga mwingi mno 🤝
Hakika mama Umeupiga mwingi, hongera Sana
Mama kwa hili ume tukumbusha mzee wetu safi sana 🇹🇿🇹🇿❤
Hongera mama unafanya kazi mzur
Hapo wenyeroho mbaya inawauma kazi iendelee MUNGU amlinde ampe afya rais wetu
Hivi wa 🇹🇿 mtabadilika lini mkokumpongeza rais kwa kwa lak5 badala ya kumtolea vilio huduma , mahitaji ,chakula na bidhaaa ashushe bei mpo tu kupiga makofi fanyeni mabadiliko wa🇹🇿 amkeni kumekucha washa tuchezea sana hii nchi nitajiri sana ila wanao faidika niwachache wasio na uzalendo ..... ✌️✌️✌️📢📢📢
Mama yuko vizuri sana,ila akina Mwigulu Mchemba ndo wanamchonganisha na Wananchi kwa kauli zao za kifedhuli.
Yani najiskia raha sana rais wetu anavyotujali mama safiiii
Weeeee mama kajipanga,hataki mchezo😂😂😂😂😂
Mama mtanii.... Hapo ndo ataelewa maisha ya mwananchi wa kawaida👍 Diamond Platnumz amesha sema... Mama for Life 👏👏👏👏👏🇹🇿
Watz tunahitaji katiba mpya. Hayo aliyoyafanya Mh Rais. Yatakuwa maradufu ya hayo. Tusiache Mbachao kwa msala upitao.
mungu akupe afya njema,barka ,aman ,subra na alinde mamlaka yako inshaallah safi na badooo uko vzr mama yetu
Mungu akulinde na wenye nia mbaya nawewe wasio litaki taifa letu amani mama kwakweli umeupiga mwingi naoba iendelee ivyo hivyo kuwajali wanyonge👏👏👏🇹🇿🇹🇿🙏🏾🙏🏾
Hongera sana mama etu mpendwa RAIS SAMIA ❤❤❤❤
Hongera ,Mh. Raisi Samia, , Uje na Chekereni ya Mabogini hali ya soko na Barabara ni mbaya ,.
Congratulations keep it up good job 👏👍❤
Kama kweli mama umeamua kusaidia walaia wako msaidie na mama Warda apate mtoto wake tafadhali
Hapo tu ndo atakuwa katupata wamama wengi ila haya maigizo mengine 😢
@@marthagabriel3417magu ndo alifanya maigizo ya kutosha.Acha unafiki
nilitaka kuliongea hili ila umenisaidia natamani kama ao kina mama wangeli mwambia rais samia kuhusu warda
kabisa mm ndio namshangaa mbona asisaidie familia ya warda mtoto alipotea miezi na yuko kimya na mwalim yuko huru kwa nini samia ungekua mjukuu wako alipotea ivi ungenyamaza fatilia Sakata la bint apatikane mana yule mwalim akikamatwa na kufinywa mahali atasema mtoto aliko
Safi saaana mama.. huko kutakusaidia kujua maisha halisi ya wananchi wako hasa wakawaida
Yan mama hao wakina mama ulioahidi kuwasaidia Kama ni pesa ungewagea hapo hapo otherwise hao unaowakabizi hayo majukumu wallahi mama zetu watapigwa na kitu kizito😂😂😂😂😂
Twakupenda Mama❤❤ kenya 🇰🇪
Maa shaa allah❤❤❤
Perfect smart intelligent mama❤❤❤🎉🎉
Hua nampenda Mh.Bashe Sana kwa Kujieleza
Uyu nd raisi inavyo paswa awe aje kuangalia changamoto za mitaani🎉🎉❤
Mama honger sana unapambana mwenyezi mungu akupe maisha marefu
Thanks for the humility ❤
The best president ❤️ 🙌🏽
Mama.mashallh.na.sisi.pemba.uje.mama.samia.mungu.akuondoshee.husda
SAFI SANA MAMA SAMIA RAIS WETU UMEJUA KUWAFURAHISHA WANANCHI WAKO NA UMEFANYA KITU CHA TOFAUTI SANA MUNGU AKUBARIKI
Safi kabisa Mama
Hongera mama ume show love kwa wanyamwezi wa Tabora
Kazi iendelee mama Samia unaupiga mwingi
maama Huyoooo🎉🎉🎉❤
Mama ubarikiwe Raisi wetu Mungu atakujaria na kurinde Sana nakupeenda
Ndagukunda cyanepe💟💛💖💙💚❤❤💚💙💙💚💛💖💟💞💗🧡🙏🙏🙏🙏🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼
Mansh Allah nakupend saan mma samiya❤❤❤
Da mwenyezi Mungu akuzidishie mama yetu
Maaaaama mama mama uwezo wakukulipa sina mama mungu akupe🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Mama usisahau kutupatia katiba mpya tume huru ya uchaguzi ndio mambo yote
Wabongo bana… yaani akili zao wanazijua wenyewe… chaguzi zimekaribia na tutaona mengi! Mtagaiwa mchele, elfu kumi kumi, mtatembelewa masokoni na maHospitalini BORA TU muwapigie kura!!! AMKENI KUTOKA KWENYE USINGIZI😮
Ma Shaa Allah anafuraisha😘❤️🤲
Hongera mama😅😅😅😅😅 usha maliza kila kitu mbele kwa mbele ❤❤❤❤
Mm nimfunga Leo! Nimeipenda hii
Uchaguzi huo😊
Nimekupenda hadi nimesisimkwq na mwili kwa roho nzuri ulionayo mama Mungu akutunze Mungu akubariki Mungu akupe maisha marefu Mungu akukumbuke usiku na mchana katika uongozi wako Mungu aufanye uongozi wako kama uongozi wa suleimani akivyopewa hekima na maarifa.
Good Dr Mother NTNL mgfl 1
Ee hee! ndo hivyo maisha tunavyo ishi kwa hili na mimi nimeipenda maana ukiwa hivyo ni lazima ujue hali ilioko katika watu! Hiyo" na mimi mama" nipo nawe? pia
😂😂mama kafika gengeni mwenyewe yan akina mama kwa mapishi bn hahah
LEO MAMA SAMIA UMEUKONGA MOYO WANGU. KEEP IT UP MOM!
Bora kupita na huku mitaani kujua hali na maisha kwa ujumla ya wananchi ili pindi mnapo pandisha vitu bei na kuwafukuza watu kwenye biashara zetu sisi wananchi za kujipatia vijisenti ndiyo muone sasa mtafanyaje lenu huko viongozi wetu.na tunawapenda sana. Tena sana
Mama anaongea vizuri mpaka raha!
That's our mom ❤️❤️❤️
Eeeeh mumgu tunawakusanyia mapato mnasema hali ngumu! vipi sisi tusemeje lakini Mungu ni mwema sana tunaishi kwa Nguvu za Mungu
Hongera mama Kwa kuchangamana na wananchi wako
Safi Mama, umeanza vizuri. Pita alimopita mtangulizi wako. That is real politics ambayo wabongo wanapenda kuona
Mama mama mama mama nakupenda mama yangu
Mungu akupe maisha marefu mama
Saiz nineanza kuelewa kumbe mama yetu anawapenda watoto wake ukiwa mtukutu anakuchapa mama tunakupenda pamoja na yule kaka yetu makonda nakupenda Tanzania kwa moyo wangu wote
Imependeza sana kuona Rais anacheka na kutabasamu na watu wake. Nivizuri viongozi wote kuiga. Karibu na kyerwa mbona kyerwa hatupati ziara kama hizi, au wawakirishi wetu, kyerwa tunataka kukushukuru Kwa bei ya kahawa
Mashalwahu mama samia oyeeeeee
Hongera madame President ❤
Mama na mimi njaa kali ❤
Mashallah allah akulipe dheri mama yetu❤❤❤❤❤❤❤
Mama upendo wangu ni mwingi sana kwanguama mpenda maendeleo oyeee
Samia mama angalia kitakacho wanufaisha watu wa hali ya chin kwa ujumla mfan shusha bei ya chakula imarisha taasisi ya mikopo na vipaumbele vyake kwasabab weng tunashida hauwez tueneza mama❤
Masha Allah. Hii ndio maana halisi ya kiongozi, kujua bei za bidhaa na maisha halisi ya wananchi wa kipato cha chini.
Ubariki Sana mama
Mama mawazo yangu baada ya kutembelea sokoni na baazi wafanya biashara kuwapa au kuwaangezea mitaji jambo zuru sanaa Mungu akuweke lakini ungefanya wafanya biashara wadogo wadogo ungetuondoshia kodi ndogo ndogo.wangefurahi sanaaa huo ndo ushauri wangu kuwapa mtaji si solution.
Mama ni mama ❤❤❤❤❤
Siyo kila kitu anachofanya bi mdashi basi nipinge,, hapa hongera mama
Nakupenda mama samia❤❤❤❤
Hii mama imekaa sawa kabisa ,Mungu akubariki sana ukipita mtaani ukawaona wananchi wachini Mungu akupe afya njema
Mama sante kwakazi nzuli hongera sana
Hii nimeipenda mama ukiendelea hivi itakufanya kujua maisha ya watu wako wasio na mshahara Kwa mwezi kula ya kwangu chukua nawengine 100 walio nyuma yangu lazima nikupe 2025 na zaidi Mungu akulinde na madui uwe mshindi Kila eneo la maisha Yako
kind leaders ,,,kind people i love tanzania viva tanzania
Mashallah Uongozi Mzuri, malkia Suluhu hassan
mama kama mama❤❤❤
Niwapi uko mama amefanya vizuri hivyo kumbe nitabora Mungu akubariki mama
Uchaguzi umekaribia, Wengi sana wataanza kujifanya watukufu.. Kumbe ni mashetani walewale..
Asante sana ila wanadhani ndio uhalisia ulivyo kumbe tunatapeliwa kuwapa ulaji nchi ya kudanganywa tunazipenda sana
Yupo hivyo kitambo ubaya hamjawahi kuuona waliotangulia kutoka kusokojulikanA
Huyu ni mnafki tuu,mwenzie hakuwa mtu wa kutafuta kiki kipindi uchaguzi unakaribia
Kwa sisi tulio soma katiba huwa tunasema
"SAMAKI MTUNGONI"
Kwa wale wa kyuba watanielewa
Safi sana mh rais umefanya jambo jema hakika mungu akulinde uendlee kutuongoza mama hakuna kama mama
Hongera mno Mheshiniwa RAIS
Safi sana madam president. Nimeipenda hii
Natamani nicomment Lakin wananchi wapuuzi wasio juwa nin maana ya siasa wataona namponda Rais wao, siasa ni mchezo mchafu mnatengenezewa mazingira ya utoaji kura 2025, na vigelegele mnapiga Tanzania tutaishi maisha magumu kwa upofu wa akili, tumbaka
We hutaki. Jichague sasa
Watu wanatekwa akili mbila kutambua
MiMi nime kuelewa ila usiongee saana watakudunda Hawa😅😅😅
@@Kasonadi-hp1lv miongoni mwa wapuuzi wa akili😂
@@sunaybrajabu238 kwa hiyo na wewe unatuteka akili tukukubali sio? Acha unafiki
Akifanya ohooooo
Asipofanya ohoooo
Tunakupenda sana mama samia