DR.MO AFUNGUKA KUMKAMATA KOMANDOO WA YANGA ALIYEMPIGA KOFI/AMENIUMIZA SANA/NAMPELEKA MAHAKAMANI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 янв 2025

Комментарии • 9

  • @godfreykarigo6404
    @godfreykarigo6404 11 часов назад +1

    Komaa naye mwanetu gharama za kesi tutakuchangia kukomesha wanaojifanya mabaunsa kumbe vyakula vya viongozu

  • @ahmedabdalah3
    @ahmedabdalah3 9 часов назад

    Alafu mbona viongozi wa yanga awakemei au wanawatumwa na ndio maana hata katika mikutano yao hawataki hata mas walikuwa

  • @stephanobhoke6723
    @stephanobhoke6723 13 часов назад

    Uyu jamàa fara sana anastaili kipindi we sio msenaji wa timu kafie mbali uko

  • @IdrisaTuppa
    @IdrisaTuppa 16 часов назад

    Eti Akafanye brain 🧠 Scan Marekani😂😂😂

  • @saidbakari7998
    @saidbakari7998 17 часов назад

    Vitendo vya kukemea kabisa hiv

  • @thomaswilbert6431
    @thomaswilbert6431 День назад

    Alafu nyinyi waandishi wachonganishi sasa unapata nn mbona hamujaenda kumuhoji shabiki wa yanga aliepigwa na mashabiki wa simba au mchome mbona alichaniwa jezi

  • @Rachelmilinga-q6g
    @Rachelmilinga-q6g 9 часов назад

    Mashabiki.wasimba.acheni.unafiki.mbona.ss.tunafanyiwa.fujo.atusemi