TRENI YA UMEME YAFIKA DODOMA KADOGOSA AFUNGUKA "HII NGOMA NI NZITO,TUMETUMIA UMEME WA MIL.1.2"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 апр 2024

Комментарии • 194

  • @danogeto78
    @danogeto78 Месяц назад +3

    mimi kama mkenya 🇰🇪
    Nasema hongera kwa kazi nzuli ariofanya Magufuri,mbio za East ➡️ Africa ziendelee 🇰🇪🇺🇬🇹🇿

  • @zakariamachinga151
    @zakariamachinga151 Месяц назад +45

    Tutamkumbuka Magufuli milele ametufungua macho Tanzania inaweza

    • @birianination7097
      @birianination7097 Месяц назад

      Huu ni mpango wa Mkapa, Ila hitimisho ni hao wengine, ila mama katenda sana

    • @herodiduma9906
      @herodiduma9906 Месяц назад

      @@birianination7097 mpango wa Nyerere huu

    • @amanimeela1106
      @amanimeela1106 Месяц назад

      well said @birianination7097

    • @clementhiddi1486
      @clementhiddi1486 Месяц назад +2

      @@birianination7097 Mpango kila mtu anaweza, ni sawa na kuchora tu ila mtelezaji ndiyo Mwamba. JPM your legacy is here to stay forever

    • @bavonnyaulingo4188
      @bavonnyaulingo4188 Месяц назад +1

      Bibi mkubwa apewe maua yake,kwa kufanikisha zoez zima la SGR congole sana

  • @user-xs6sh5wh4p
    @user-xs6sh5wh4p Месяц назад +42

    Rip baba magu.tumeona kazi yako😢😢😢

    • @elibarikikivuyo5946
      @elibarikikivuyo5946 Месяц назад

      😂😂😂achana misimu ww

    • @user-xs6sh5wh4p
      @user-xs6sh5wh4p Месяц назад

      Nikweli vpofu viziwa vichaa nawasiojua nakuthamini chanzo chamto hawafkiriagi kua kunamaali ayo maji yalianzia.naww ni miongoni mwao

  • @mopalmo5818
    @mopalmo5818 Месяц назад +29

    Magufuli 💯

  • @edisonpeter3894
    @edisonpeter3894 Месяц назад +11

    JPM for maisha

  • @user-ys3gt8lp5h
    @user-ys3gt8lp5h Месяц назад +4

    Hongera Jpm

  • @mgongolwajoseph6901
    @mgongolwajoseph6901 Месяц назад +51

    Magufuri nijuudi zako daima tutakukumbuka mzeewetu

    • @hemedrashid2921
      @hemedrashid2921 Месяц назад +3

      hizoo nijuhudiii za mama yetu acheni chukiii na wala hatutorudii kbs enziii ya mwalimmmm😂😂😂😂

    • @gazzomaster9462
      @gazzomaster9462 Месяц назад +5

      ​​@@hemedrashid2921 Uongo peleka kwenu hata like aupat ushtuk

    • @hassanmsumari1200
      @hassanmsumari1200 Месяц назад +1

      Wewe mfwate basi

    • @ibrahimallyweunaijuahiyoco8608
      @ibrahimallyweunaijuahiyoco8608 Месяц назад +1

      mfuate huko alipo umpe pongezi

    • @its_khalidy_46
      @its_khalidy_46 Месяц назад

      Acha afe tu katuachiaa bungee la hovyo sana

  • @devotamutayoba9373
    @devotamutayoba9373 Месяц назад +12

    RIP Mzee Magu,maono Yako yameendelezwa na mama

  • @user-fl3fb5gh6b
    @user-fl3fb5gh6b Месяц назад +33

    RIP JPM,ulikuwa kiongozi moja na nusu

  • @YugoAlly
    @YugoAlly Месяц назад +7

    Hongera magufur

  • @anwaritesal4695
    @anwaritesal4695 Месяц назад +9

    Pongezi zimfikie mjomba Magufuli

  • @josephmathayo5139
    @josephmathayo5139 Месяц назад +9

    Hongera Mh: Rais S.S. H Kwa kuendeleza Kwa Kasi miradi mliyoianzisha na Mwendazake J.PM. Kila la Kheri.

  • @fredrickmassawe2437
    @fredrickmassawe2437 Месяц назад +6

    Mungu mpokee mtumishi wako Magufuli

  • @herrysonk.edward609
    @herrysonk.edward609 Месяц назад +15

    Umeongea vzr sana ila bila magufuli hizo pesa mngezipeleka sana nje RIP Jpm 😥💪

    • @birianination7097
      @birianination7097 Месяц назад

      Magu kakuta mradi, infact kati ya magu na huyu mama, mama katenda sana maana Magu miaka sita aliachia mradi bado Moro, huyu miaka mitatu kafikisha Mwanza

  • @abrahammollel3558
    @abrahammollel3558 Месяц назад +4

    Hii ndio tunachotaka mama uendelezaji wa mtangulizi wako mungu Akubariki kwa kutuandalia maisha ya mama Tanzania ya baadaye

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 Месяц назад +5

    MUNGU AKUBARIK SANA MAMA SAMIA UNAUPIGA MWING PIA UMEMUHESHIMISHA MAGUFULI KAMA UNGEUPUUZIA HUU MLAD KAMWE MAGU LEO ASINGEKUMBUKWA

  • @kassebo
    @kassebo Месяц назад +6

    Magufuli. Dreams

  • @nth3512
    @nth3512 Месяц назад +6

    Wamejitahidi sana, kwa bus ni masaa hata 7, sasa hiyo testing tu imewahi ivyo masaa 3, Kwa maana hiyo mwenye bus yuko morogoro wenyewe wako dodoma. Ni vizuri sana

  • @user-ts9lp4rm9j
    @user-ts9lp4rm9j Месяц назад +5

    VIVA JPM ULITHUBUTU BABA

  • @herrysonk.edward609
    @herrysonk.edward609 Месяц назад +14

    Maono ya mwamba kutoka kijijini chato tunayaona endelea kupumzika kwa amani JPM

    • @martinisadru9899
      @martinisadru9899 Месяц назад

      Sio kweli, alianzisha kikwetwe huo mpango, japo yeye hakua na wazo iwe ya umeme. Alicho ongezea hapo mafuli ni umeme.

    • @martinndunguru6358
      @martinndunguru6358 Месяц назад +1

      ​@@martinisadru9899 kwani ukiukubali huo ukweli, ndio atafufuka?!!!! Magu alikua kichwa Mzee

    • @crershawmafia1009
      @crershawmafia1009 Месяц назад +1

      Ameacha alama

  • @user-kk6bf6bt6f
    @user-kk6bf6bt6f Месяц назад +1

    Hongeraaa maguful uliyoyaacha yanaendelezwa

  • @elinamilyatuu7337
    @elinamilyatuu7337 Месяц назад +2

    Kazi nzuri...mwezi wa saba sio mbali tunahitaji huduma

  • @HansChuma
    @HansChuma Месяц назад +2

    Tanzania mbona tunaweza sema kunamijitu haisikii yani wao kuiba tuu hawachoki na hawana hata huruma kwa maendeleo yetu sote yani wao wizi tuu kujilindikizia pesa nakufanya maendeleo ya nchi nyungine Rip mzee wangu Magufuli❤❤❤❤

  • @MikidadiSalim-xk9dc
    @MikidadiSalim-xk9dc 3 дня назад

    Mashallah...

  • @ramadhanramadhan3698
    @ramadhanramadhan3698 Месяц назад +7

    Naaam, Tumefika hatua nzuri, Bei iwe rafiki ili wananchi wanyonge wafurahie matunda ya jasho lao, basi ni vyema hata uendeshaji wakapewa mashirika ya ndani, endapo serikali ikishindwa kufanya hivyo, suala la usalama dhidi ya matishio yote kwa ujumla wake lipewe kipaumbele kwani huu ni uwekezaji wa kimkakati. Mungu awe mbele yetu, ALUTA CONTINUA.

    • @sarahgaula2220
      @sarahgaula2220 Месяц назад

      Matunda ni ya walipa Kodi Ila usafiri ni WA public

    • @MethodJulius-fu9hf
      @MethodJulius-fu9hf Месяц назад

      Stareh gharama unataka kufika haraka, na luxury then uende moro kwa 15 elf, mnyonge atapanda la mkokoteni na kku wake na mafuta ya mawese😂

  • @t1910j
    @t1910j Месяц назад

    Oh wow!

  • @hasaabdi7199
    @hasaabdi7199 Месяц назад +5

    Hongera Mama samia piga kazi

  • @Ben-gj6is
    @Ben-gj6is Месяц назад +1

    yani huyu Mkurugenzi hana facts zake kabisa, eti piga hesabu apo, utajua..😂😂

  • @malupex6299
    @malupex6299 Месяц назад

    Hongereni sn viongozi wetu mnafanya vizuri chini ya uongozi wa Rais SSH

  • @mosesbuhilya4348
    @mosesbuhilya4348 Месяц назад

    Inabariki sana

  • @shedrackmutalemwa7310
    @shedrackmutalemwa7310 Месяц назад +1

    Tukumbuke kumshukuru Mungu.

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 Месяц назад

    Niceeee

  • @khamissaleh921
    @khamissaleh921 Месяц назад +2

    Hongera MAMA SAMIA KWA KUIWEZESHA RELI YA SGR NA KULETA MABEHEWA NA TRENI ZA KISASA ...

  • @potiyowatz836
    @potiyowatz836 Месяц назад +4

    Good news

  • @user-mm4uy7cy9w
    @user-mm4uy7cy9w Месяц назад +1

    Allah ampe amlinde na ampe afyanjema raisi wetu

  • @MasoudyMichael-ox7xl
    @MasoudyMichael-ox7xl Месяц назад +1

    Kile kichwa Cha magu kingepimwa Kwanza aisee🎉

  • @bakarinondi6979
    @bakarinondi6979 Месяц назад +1

    Jpm hata wasipo mtaja na kumpongeza Watanzania watampongeza, Rest in Peace Jpm

  • @SuzanacMgonukulima
    @SuzanacMgonukulima Месяц назад +15

    Huu muendelezo mzuri wa rais Wetu

  • @kelvinmgendwa1438
    @kelvinmgendwa1438 Месяц назад

    Good

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si Месяц назад +1

    Watanzania tuache kuzima data lazima tumpe maua kiongozi pia aliyeanzisha kazi na hasa umeme wa ziada RIP Magu

  • @joshuajackson3827
    @joshuajackson3827 Месяц назад

    Point

  • @esromkanubo815
    @esromkanubo815 Месяц назад +1

    Naona akija Rais kama jpm na hiyo yazamani inadilishwa itumie umeme

  • @justice607
    @justice607 Месяц назад

    Duh gharama kubwa mno but big up to JPM

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 Месяц назад +3

    Bado umeme unatumika mwingi kunatakiwa kuwe na ubunifu zaidi kupunguza gharama za umeme

  • @mhammadmahfudh1324
    @mhammadmahfudh1324 Месяц назад

    Duh 1.2 million 😮😮 so mchezo

  • @sunsetstudioz
    @sunsetstudioz Месяц назад

    OKE

  • @hawaally2308
    @hawaally2308 Месяц назад

    Huu sasa ndio usafiri uliotakiwa kutangulia kuinua uchumi na utakaofikia wananchi wa daraja lililo na wengi na hatimaye uchumi wetu kupanda kama tu urasimu na ubinafsi utakuwa hakuna. Hongera kwa mtoa wazo na mtekelezaji

  • @husseinkombomwachikobe8828
    @husseinkombomwachikobe8828 Месяц назад +1

    Tujulishsni....nauli

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 Месяц назад +3

    UchaguZI UBAKARIBIA

  • @user-xm2xi9qj9n
    @user-xm2xi9qj9n Месяц назад

    Bei iwe rafik

  • @JacklineswaniMakindo
    @JacklineswaniMakindo Месяц назад

    I'm in love with you 😍 masanja kadogosa

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 Месяц назад

    Haya ndio mambo tunayataka Kwenye nchi yetu Tanzania.

  • @Manase-uj7lj
    @Manase-uj7lj Месяц назад

    Rip magu

  • @user-nl3vn6dg6j
    @user-nl3vn6dg6j Месяц назад

    Asante sanaaaaaa mama Samia, kazi unayoifanya tunaiona, mwenye macho anaona .

  • @PaulDavid-yk9xo
    @PaulDavid-yk9xo 27 дней назад

    Reli ya watanzania,umeme wa watanzania,tumpongeze alieanzisha pia anaendeleza,swali langu mbona nauli za SGR za kuu kukaribia za ndege?

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 Месяц назад

    Hiyo test mnatumia tlain ya abiria badala ya tlain ya mizigo?!

  • @fredyjunior6961
    @fredyjunior6961 Месяц назад

    #NASIMAMA NA SAMIA

  • @user-hm9bd8nv9h
    @user-hm9bd8nv9h Месяц назад +4

    Muunganiko huu wa usimamizi wa Maendeleo ya nchi ndio ulitakiwa ufuatwe tangu uhuru , sio kila anayeingia madarakani anaanzisha ya kwake na haikamiliki .
    Mama Samia Suluhu Hassan Rais wetu unastahili pongezi sana , umekamilisha Bwawa la Nyerere ,SGR na Miradi mbalimbali .
    Hongera sana pamoja na Wasaidizi wako.
    BE BLESSED MADAM PRESIDENT .

    • @joycelinelyimo-fenske8745
      @joycelinelyimo-fenske8745 Месяц назад

      Kama bwawa la nyerere limekamilika! Sasa mbona umeme bado unakatikakatika!!!????😮

    • @user-uo8xw9kr4b
      @user-uo8xw9kr4b Месяц назад +1

      Shida miundo mbinu ya kupokea umeme na kusambaza ndio mibovu hawasemi ukweli umeme mwingi unapotea bure.tu.

    • @ibrahimallyweunaijuahiyoco8608
      @ibrahimallyweunaijuahiyoco8608 Месяц назад

      @@joycelinelyimo-fenske8745 una kichwa kigumu kuelewa itakua umepata zero formfour

  • @aliferuzi1537
    @aliferuzi1537 Месяц назад +1

    HONGERA KWA SERIKALI KUFIKISHA MRADI HUU HATUA KUBWA ILA IFANYWE KUMBUKIZI BASI YA MUANZILISJI WA HILI WAZO LA UJENZI HUU

  • @rajjoshua7328
    @rajjoshua7328 Месяц назад

    Itatumia mwingi zaidi sababu wanataka itembee chini ya speed yake, halafu hizo nisiasa tu umeme niwakwwtu wala hawahitaji kuanza kutuletea story za gharama za umeme ilihali niwakwetu wenyewe, hatupewi kutoka nchi jirani.

  • @whatisthetruth.8793
    @whatisthetruth.8793 Месяц назад

    Dosho hilo treni

  • @user-hn7uv4yg2q
    @user-hn7uv4yg2q Месяц назад +2

    chaajabu mzee wamsoga alitaka ajenge yamafuta😂

    • @hemedrashid2921
      @hemedrashid2921 Месяц назад

      achaaaa fitinaa na uaduii wenu tunawajuaaa na wala hatutolalalaaa tenaa futa kichwaa ujingaa wakoo

  • @saididodi3988
    @saididodi3988 Месяц назад

    Tanzania sasa imeanza kuonekana kwenye ramani ya dunia kweli tunaweza

  • @shaqdizo7678
    @shaqdizo7678 Месяц назад +1

    WAKENYA BADO WANATUMIA TRENI YA MAKAA 😂😂😂 WAAMBIENI WAJE KUJIFUNZA HAPA😂😂

    • @Soon815
      @Soon815 Месяц назад

      😁😁😁😁😂😂😂

  • @nicodemusfidelis3772
    @nicodemusfidelis3772 Месяц назад +1

    MAGUFULI hoyeeeee

    • @OmariHamza-eo8tq
      @OmariHamza-eo8tq Месяц назад

      hoyee tena hoyeeee hata hiyo tren ingeitwa Magufuli

  • @andrewbigambo6721
    @andrewbigambo6721 Месяц назад

    Ukichanganya mwambie aweke free kupunguza gharama ya unit.

  • @sherallyabdallah248
    @sherallyabdallah248 Месяц назад +1

    Hajui kuongea

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si Месяц назад

    Acheni kumsahau aliyedhubutu wamepita wangapi RIP Magufuli

  • @KhaleedHamad-vl7lz
    @KhaleedHamad-vl7lz Месяц назад

    Million moja laki mbili subiri ianze kazi rasmi utaskia milioni 2

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 Месяц назад

    Rip uncle Magufuli

  • @mansooralaisri5200
    @mansooralaisri5200 Месяц назад

    Kadogosa amezungumzia umeme zaidi, kuliko kuzungumzia Reli. Mwananchi wa uvinza atakushangaa😅😅

  • @SaimonAmedeusTenga
    @SaimonAmedeusTenga Месяц назад

    Magufuli😢😢😢

  • @tintin0019
    @tintin0019 Месяц назад

    NA TANESKO WANAVYO KATA KATA STIMA MUNGU ATUSTIRI😅

  • @wozanawewoz979
    @wozanawewoz979 Месяц назад

    Biashara za mabasi sasa basii😂

  • @majaliwawilson9372
    @majaliwawilson9372 Месяц назад +1

    Kichwa Cha mchongoko kikowap tulion mlisema vimefika vikowap mbona hicho chakawaida

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 Месяц назад

    JPM ulale salama!!

  • @asungushepatrick5414
    @asungushepatrick5414 Месяц назад

    Magufuli alikuwa kiongozi.

  • @OmariHamza-eo8tq
    @OmariHamza-eo8tq Месяц назад

    Ndan ya trein au mabehewa yana Wifer

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole7714 Месяц назад

    Jamani njiani jaribuni kuwa makini na ajari maana mmm

  • @kalokolamulumbe8445
    @kalokolamulumbe8445 Месяц назад +1

    Jpm

  • @justice607
    @justice607 Месяц назад

    Daima tutakukumbuka Bulldozer, jembe, JPM ulikuwa na nia njema na nchi yetu hii TZ😢

  • @JumaAbdalla-xm9pb
    @JumaAbdalla-xm9pb Месяц назад

    Ww acha kuongea pumba kama si magu tungeendelea kuona kwenye tv tu wamepita wangu mbona hata wazo hawakuleta magu tunakukumbuka

  • @mariamjamali1444
    @mariamjamali1444 Месяц назад

    Hivi nyie viongozi ambao kila siku ni kusifu tuu Mh Rais Mh Rais je nafasi ya wananchi ambao ndio wanaomlipa huyo mnaemsifu iko wapi?! Naamini ipo siku watanzania wataipata nafasi yao.

  • @laurenciamwalongo8165
    @laurenciamwalongo8165 Месяц назад

    Magufuli tunakupenda daima

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION Месяц назад +1

    Umeme wa mil 2 ,,kama faida IPO piga kazi kama hakuna faida piga chini

    • @Soon815
      @Soon815 Месяц назад

      Faida ipo kubwa mno

  • @maternmkomange5389
    @maternmkomange5389 Месяц назад

    Yani kama nauli tu ikiwa chini yani tufanye sh 35000 kama Kila kichwa Cha TREN kikibeba watu 60 na vichwa 35000 mara 60 nipesa ndefu Haina mfano

  • @omaryluambano3495
    @omaryluambano3495 Месяц назад

    Rest in peace Jmp 🕊🙏

  • @MzaziMzazi
    @MzaziMzazi Месяц назад

    Ukiwa wewe ni mwalimu wa dini siku nyimgine, ukitoa maelezo, ongela kiswahili Moja kwa Moja, sisi wengine ni waswahili, hapa ni tz,, acha zalau ,mwalimu gani wewe,,,,,makini

  • @vero57
    @vero57 Месяц назад

    MAGUFULI BABA , ULIFANYA KAZI NZURI SANA, KWAHIVYO TANESCO WAKIKATA HAKUNA SAFARI?????

  • @vintagemusicgroup9236
    @vintagemusicgroup9236 Месяц назад

    Wangetumia mafuta ya milioni ngapi?

  • @shomarymussa6970
    @shomarymussa6970 Месяц назад

    Sasa naizo treni za zamani zinatumia nin kamapesa haziendinje

  • @ellenirelli4912
    @ellenirelli4912 Месяц назад

    Njoo uchukuwe ubunge nafasi ni yako, hakika tunakuamini

  • @izack9191
    @izack9191 Месяц назад

    QttMlisema kichwa cha nyoka mbona sikioni 😂

  • @JumaAbdalla-xm9pb
    @JumaAbdalla-xm9pb Месяц назад

    Hayati JPM hakika ww ulikuwa na maono tunakukumbuka sana

  • @barakarobert1029
    @barakarobert1029 Месяц назад +3

    Mnazingua kila cku majaribio tunataka lianze kaz

    • @brandsmedia4861
      @brandsmedia4861 Месяц назад +6

      Kutest ni muhimu sana, unataka ajali zisizo za lazima?

    • @magorymara5515
      @magorymara5515 Месяц назад

      Watakuja kulikabizi lilishachoka na pili kama kweli lingekuwa linashida wasingepanda unamaanisha sumu ya panya mara ya kwanza kuileta bongo kunamtu aliitest kwa kunywa ​@@brandsmedia4861

  • @omariathumani-em1lw
    @omariathumani-em1lw Месяц назад

    Usimpambe saana mama apongezwe magufuli kuwa mkwel acha sela

    • @Abuu-gs1yi
      @Abuu-gs1yi Месяц назад

      Kama asingeendeleza ungefanya nn

  • @denisrukangula2227
    @denisrukangula2227 Месяц назад +1

    Masaa maatatu na nusu hivi kutoka dar to dom
    Ila inatakiwa iwe masaa mawili tu

    • @sibtwunyangeonlinetv7825
      @sibtwunyangeonlinetv7825 Месяц назад +2

      Imebeba viongozi wa nchi pamoja na dini haiwezi kutembea mwendo huo + ni majaribio2 kwahyo wataongeza mdogo mdogo

    • @Adamadam-du5vx
      @Adamadam-du5vx Месяц назад +1

      Wanafanya majalibio kaka awawez kukuambia wabongo jaman umuishi kukusow

    • @nth3512
      @nth3512 Месяц назад

      Wamejitahidi sana, kwa bus ni masaa hata 7, sasa hiyo testing tu imewahi ivyo. Kwa maana hiyo mwenye bus yuko morogoro wenyewe wako dodoma. Ni vizuri sana

  • @user-zg4yz7je8d
    @user-zg4yz7je8d Месяц назад +2

    Kwendeni uko kazi ya magufuri na mlimbeza leo anapewa sifa mwingine? Ivi mnafikiri mtawadanganya watanzania mpaka lini

    • @herrysonk.edward609
      @herrysonk.edward609 Месяц назад +1

      Hata hawawezi kudanganya lbd tufe kwanza sisi tulioshuhudia mwamba akipigwa vita kila kona eti leo hongera mama duuh unafiki sio mzuri

    • @user-vw6er5rz2y
      @user-vw6er5rz2y Месяц назад

      Wakupongezwa mama samia

    • @daudimichael7338
      @daudimichael7338 Месяц назад

      ​@@user-vw6er5rz2yBila JPM kumchagua Samia awe makamu wake hata usingemjua. JPM kwanzaaa

  • @jameshoya2115
    @jameshoya2115 Месяц назад

    Mbona bado wanatumia hivi vichwa walivyosema ni vya treni ya mzigo?? Na wakati vichwa vya mchongoko vilishafika!!

  • @tevintevin6254
    @tevintevin6254 Месяц назад

    Magufuli ndio alikua mwanaumee