Sale mimi nakufatilia sana kwenye hii account yako na nina penda sana mawazo yako, ila admn wa hii page ni plastic yenyewe sasa unayozungumzia sijaona sehem uliyozungumzia habari za mpanzu ila kicha habari kimeelezea mpanzu. Admn wako ataanza kua anaifatilia hii page yeye na marafi zake maana huu ni upuuzi kabisa. Shenzi sana.
Kwa kweli hili limekuwa gonjwa sugu utaona kichwa cha habari na maelezo tofauti
Kichwa cha hbr ninini ukiona nimefungua page yako Tena Niko pale
Sasa hao makomandoo wamevunja sheria na waandishi kichwa cha habari na kinachosemwa ni tofauti hivyo wote ni sawa
Jembe hii ni chanel yako? Na unakubali huu upuuzi wa kichwa cha habari cha uongo, na unaongea mwenyewe? Kabisa?