Ghaiiiii woeeeee😭😭😭😭💔💔💔yaani mtoto wa mtu anachinjwa hivo ,,mama Shifuna ulaaniwe ,siku zako zinakam ..wewe unaamini Babu sisi tunaamini Mungu...Raff and Erick may God Protect you,....
Mungu BABA uliye Mbinguni tulindie Lions wetu na watoto wetu. Watoto wanauawa bure 😭😭😭, wanachinjwa kama Ngo'mbe ili mababu wakunywe damu. Mungu BABA tusamehe . Okoa Nchi yetu kutokana na jaya mauaji ya wototo wasio na atia 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Plan zako Mama shifuna hazita faulu in Jesus name 🙏🙏🙏 nasambaratisa mipango zako zote in Jesus name natuma moto wa yesu uteketee na hao waganga wako 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 in Jesus name
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 their plans will not work in Jesus Mighty Name 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥we have to stand with the truth of our Lord Jesus Christ to ashame the devil in Jesus Mighty Name 🧎🧎
We sent 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 in the mighty name of Jesus hii ng' ombe imenisinya Walah sijui ata atakufa Lin bt mungu nsamehe kwa Kuongea hayaaan uyu mama kashazid sasa nahawe waganga wake 😢😢
But raff mngejoin hakina riaga Hii war haingeisha haraka sana please pray for AZIZI WE Know nothing can happen we are winners in jesus name for Now you have to pray
Kila watu wako na instructions, na mtume wao so akina riaga wako kivyao na raf wako kivyao hamkusikia wakisema ukiemda mission hauja tumwa haukuangi na cover so kufa ni rahisi,hata kwa mungu huwezi enda kwa vita bila instructions za mungu
Oh God mtoto wa wenyewe amekufa hivo jesus Christ njoo naomba by fire by force shukisha moto wako qwa hawa watu aki woiye huyu mama anaua kama ni kuku anachinja mtume Aziz endelea kutokezea in jesus holy name
Nimeona hii shetani mama ikijinja mtoto hadi nikajigojolea,plz lord ulisema watoto wadogo waje kwako plz saidia, kuondoa hawa wamama okoa watoto plz lord
Hii imezidi hii imezidi hii imezidi 😭😭 we cannot allow this anymore, Mama shifuna umezidi wewe ni mnyama unasitahili kufa. Mungu nyosha mkono wako Baba✋. Huku ni wapi? Huyu mama mwovu
Aki woiyee 😭😭😭 uyo ni mtoto WA MTU anachinjwa shingo nikiona Tu Aki ya mungu 😭😭😭😭 Huyu mama alaaniwe kwingia kwake na kutoka kwake na iyo damu ya watu ameua wamunyoge usiku na mchana
Mtoto handsome wallah roho inaniuma vibaya nahisi nguvu zinaniisha 😭😭..ewe MNGU tusaidie kumuua uyu mama shifuna 🤲
Mama shifuna anamwamini babu sisi tunamwini mungu 😂😂
Ajui baba naye hako hustle yake 😅😅
Amtegemeae mwanadamu amelaaniwa
@@millycentmwanisa2004 huyo amelaaniwa wallahi mama shifuna kila kitu babu
@@CarolKemei hahahaha
❤
Walahi mama shufuna umezidii, unachinja tu bila huruma, kiboko ya mungu hutaamini
Ghaiiiii woeeeee😭😭😭😭💔💔💔yaani mtoto wa mtu anachinjwa hivo ,,mama Shifuna ulaaniwe ,siku zako zinakam ..wewe unaamini Babu sisi tunaamini Mungu...Raff and Erick may God Protect you,....
Ushindwe kwa la yesu namfunika raf kwa damu ya yesu nina tuma 🔥 moto 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 kuteketeza wewe mama shifuna na team yako
May thunder strike mama shifuna God save your people 🙏
Mungu BABA uliye Mbinguni tulindie Lions wetu na watoto wetu. Watoto wanauawa bure 😭😭😭, wanachinjwa kama Ngo'mbe ili mababu wakunywe damu. Mungu BABA tusamehe . Okoa Nchi yetu kutokana na jaya mauaji ya wototo wasio na atia 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Hakuna mahali mtafika,mukongwe na radi ya yesu
Mtume Aziz will destroy all your Plans in Jesus Mighty Name 🙏
Plan zako Mama shifuna hazita faulu in Jesus name 🙏🙏🙏 nasambaratisa mipango zako zote in Jesus name natuma moto wa yesu uteketee na hao waganga wako 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 in Jesus name
Ameeen
Amen
Amen 🙏🙏🙏
Hii pepo ishindwe kwa jina LA yesu guys send 🔥 fire huyu mama haki
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥in the mighty name of Jesus 🙏
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 their plans will not work in Jesus Mighty Name 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥we have to stand with the truth of our Lord Jesus Christ to ashame the devil in Jesus Mighty Name 🧎🧎
We sent 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 in the mighty name of Jesus hii ng' ombe imenisinya Walah sijui ata atakufa Lin bt mungu nsamehe kwa Kuongea hayaaan uyu mama kashazid sasa nahawe waganga wake 😢😢
❤LAILLAH ILA ALLAH ❤
Wewe mama shifuna na wahalifu wako siku zenyu zimehesabiwa mtakufa hivi karibuni damu za innocent kids ziwarudie in Jesus name 🙏🙏
Mtume come and rescue this boy eti sacrifice because of you 🤲🤲🤲🤲🤲🤲
Nahisi moyo wavuja damu haki mama sifuna mungu anakuona,sacrifying innocent soul 😢😢
Ohh my God kwan huyu mama shifuna na kuanga na roho gani surely 😭😭 ww mumama siku zako ziko karibu
Woiiii amechinja mutoi😢😢😢😢😢😢😢😢 God aribu shujuli za huyu mama
Mama sifhuna leo amevaa blue 💙 mungu ata kwangushia mbingu walai
Ajabu sana, Yesu kristo weeee watoto wana teswa kenya,,Kuuwawa kama kuku.
Mama Shifuna hivi hujui mungu anakuona 😢😢😢😢😢mtoto wa wenyewe amekufa
But raff mngejoin hakina riaga Hii war haingeisha haraka sana please pray for AZIZI WE Know nothing can happen we are winners in jesus name for Now you have to pray
Kila watu wako na instructions, na mtume wao so akina riaga wako kivyao na raf wako kivyao hamkusikia wakisema ukiemda mission hauja tumwa haukuangi na cover so kufa ni rahisi,hata kwa mungu huwezi enda kwa vita bila instructions za mungu
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 in the mighty name of jeeeeeesus mupigwe na radi ya moto 🔥🔥🔥🔥🔥🔥mipango yenu haitafaulu kwa jina layesu
Mama shifuna mbonaa😭😭😭😭😭😭
Huyu mganga ni mwongo ,ingieni maombi mliie mungu
Aki Mungu shuka usitumane😢😢😢😢Yaani mtoto wa mtu anachinjwa kama kuku soo painful
omg mama shifuna unachinja mtoto wa mtu kama kuku aki😢😢😢 utajua Mungu yupo
Mungu anaenda kukudhalilisha utashangaa.
Aki uyu mama atauwa watoto mmbaka lining?God protect our children.
Katoto kazuri woye😢😢😢
Ooh my God 🙏🙏 am tired of this evil, may you send your Engel to rescue our rotten generation please 🙏🙏😭😭😭😭😭😭
Wui Ngai watoi wetu mungu chuka
Kwani Mtoto wa mtu anachinjwa kama kuku 😢 Mungu kasirika mara moja na uyu Mama.
Oh God mtoto wa wenyewe amekufa hivo jesus Christ njoo naomba by fire by force shukisha moto wako qwa hawa watu aki woiye huyu mama anaua kama ni kuku anachinja mtume Aziz endelea kutokezea in jesus holy name
Ghai Mungu wangu 😢😢😢hii peponi nyeusi nitakufa lini
Yaa allah tuonee uyo mwanamke mbona anafanyia watto ivi
Hiyo haitafanyika in the name Jesus Christ 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 .
Mumg.wamg😢😢😢😢😢mutoto.wawenyewe😢😢😢😢amekufa.hivi😢😢😢😢
Ghai Jesus Christ 😭😭😭😭😭😭mama shifuna ulaaniwekweli aki
Waaa !!!😭😭😭 mtoto kachinjwa vibaya jamani, serikali iko wapi???🤔🤔🤔
Tafteni Riaga afunze huyu mama amechija mtoto wa wenyewe vibaya 😢😢😢😢😢😢
Raff nd Eric may God protect you wherever you are ndto each nd every step you make may God guide you always
WEWE Dio utakufa mama shifuna
Ww mama siku zako ziko karibu utajua hujui
I can't stop crying.haki mama shifuna may thunder strike u
Mungu anakuona, ipo siku
😢😢😢😢sasa hizi ni gani inoccent soul
SubuhanaAllah SubuhanaAllah huyu mama sijui kifo chaki kitafika lini wallah
It's very painful same one's kids oh God protect our innocent children all the world,
In the name of Jesus Mtume Azizi must appear
Aki huyu zainabu atakufa lini eeeh mungu haya yote unaona utafaulu kwa jina la yesu 😢
Aki mtume angetokea aokoe 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Eric and Raf this journey it has been long bt yu are going to succeeded Never give up , Our GOD will give yu more wisdom 🙏
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mama shifuna ufe kifo cha ujungu kwa jina la yesu
Mungu wangu zaidi mungu mtume Azziz please maliza huyu mtu
Mama shifuna madiku Yako imehesa.biwa na mungu hutaeda sana uko kwa trap ya mungu
Mama shifuna uta shidwa kwajina layesu Amen Amen
Woiye innocent child
RAFF ITA MTUME AZIZ,
Kwani kamchinja au sijaona vizuri
Nimeona hii shetani mama ikijinja mtoto hadi nikajigojolea,plz lord ulisema watoto wadogo waje kwako plz saidia, kuondoa hawa wamama okoa watoto plz lord
Ak mtoto wa mtu
Huyu msichana ueni😢😢😢
Mungu nakuona wewe fatuma siku ya mwisho utajibu maswali
Mtu mzima matako mengi ela ujinga tu mungu alali utakufa vibaya uyu mtu
Mungu wangu watoto wetu 💔💔💔🥹😭😭
We will always be a head of you everytime siku zako zimefika shindwe kabisa
Aki inaumiza Sana Mtoto anachinjwa Kama kuku
Akky mungu atupiganie😢
Father God in your Holy sanctuary, do something about these people, Amen.
Gai mtoto anachinjwa aje hivi woooi😢😢😢God radi igonge uyu mmama
Mbona watu v waue uyu mama ataliza watoto wa mungu aii
God is great mtume Aziz will appear in the mighty name of jesus Amen
Mipango yako yote haitafaulu katika Jina la Yesu
Huyu mama jamani 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢🙊
Mama shifuna shindwe katika jina la Yesu.. asifiwe Yesu
Amen
Yaani huyu mama mungu wake nibabu yake subhanallah siku yako itafika nahuyo babu yako😢😢😢😢
Woi Ngai 😭😭😭😭😭😭😭I have no words
Shikeni uyo 😢😢😢😢
Hii imezidi hii imezidi hii imezidi 😭😭 we cannot allow this anymore, Mama shifuna umezidi wewe ni mnyama unasitahili kufa. Mungu nyosha mkono wako Baba✋. Huku ni wapi? Huyu mama mwovu
Yaani mtoi anachinjwa kama mbuzi surely mungu anawaona atadeal na nyinyi abundantly
Mama shifuna ushindwe katita jina la yesu Christo
Mungu wangu did huyu mama sifuna akufe akufe kabisaa
Aki woiyee 😭😭😭 uyo ni mtoto WA MTU anachinjwa shingo nikiona Tu Aki ya mungu 😭😭😭😭 Huyu mama alaaniwe kwingia kwake na kutoka kwake na iyo damu ya watu ameua wamunyoge usiku na mchana
Imgn kama kuku😢😢😢😢
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
God,🤲🤲🤲🤲🤲🤲do something to this evil woman plzzzzzz anamaliza malaika wako 😭😭😭😭
Mtume Aziz is going to go for those names from that ( Babu) your game is over.Raf is covered by the blood of Jesus 🙏
Raf😢😢😢mukimupata😢😢😢mumuwuwe😢😢😢.kicwamigu😢😢😢mikono😢😢
🙆🏽♂️🙆🏽♂️🙆🏽♂️🙆🏽♂️🙆🏽♂️jameni 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Raff erick and chisaka you are lions mnapea hadi mganga hard time na mama shifuna kuwateka lakini wap
Mama Shifuna umekuja Sana. Huwezani na Mtume Aziz waendelea kujichimbia kaburi utajua hujui
Aki mungu shuka aki mama shifuna siku yako itafika tu
In the mighty name of the Lord.. Lazima mtume akuje na Mama Shifuna utakufa soon
Mungu wetu wa milele waganga wachawi wote watakufata ss tunamtegemea mungu na awezi tuacha Ata siku moja wewe siku yako moja 2
Wee mama unabelieve kwa babu sisi tunajua kuna mungu
Aki huyu mama anauruma .unaua mtoto hivyo.mungu akuone.hizi damu zikufwate.
Let God protect you guys
Jamani mama shifuna ana kata mtoto wa mwenyewe bila huruma