BABA YANGU KIPOFU Full episode /21/

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 янв 2025

Комментарии • 875

  • @SaumuhamisiHamisi-w9r
    @SaumuhamisiHamisi-w9r 5 месяцев назад +23

    yaani hata natamani hiyo 22 kesho iwe uwanjani wallah naxipenda movies zako baba joan kwa kweli mungu akulinde ns akuongoze ufike mbali sana kwa kweli🤲🤲🤲💓💓💓🎉

  • @PiliMundu
    @PiliMundu 5 месяцев назад +32

    Wow nmewahi wa kwanza leo kutoka kenya 🇰🇪 mob love to team baba karobo

  • @erickathurima43
    @erickathurima43 5 месяцев назад +17

    Baba Joan nakukubali mwanangu...much love from Kenya

  • @AghHh-v3f
    @AghHh-v3f 5 месяцев назад +10

    Pore sana baba karobo 🇧🇮 nafata movi zako kiramara nifasi yakujifuza kabisa ❤❤❤❤❤

  • @NijimbereGREGOIRE-u4u
    @NijimbereGREGOIRE-u4u 5 месяцев назад +25

    Nafulaha Kuwait sana ntindi njowakwanza wakufunxa mayisha salafi mimi namupendasana karobo mwezimungu mwenye Rehman amurinde kwakazi ana anza angari mudogo anajuwa sana Love you karobo❤

  • @LewisHamiltonGLD
    @LewisHamiltonGLD 5 месяцев назад +135

    Nimewahi Namimi leo kutoka Kenya wapi likes za wakenya jameni 🎉🎉🎉

  • @ATHUMANSALIM-c3v
    @ATHUMANSALIM-c3v 5 месяцев назад +16

    ❤🎉 Babajoan kazi inajieleza yakubalika watching from Kenya

  • @IshakaMachanoMakame-sb2xx
    @IshakaMachanoMakame-sb2xx 5 месяцев назад +56

    Nimewahi Leo wakwanza jamani ila sitaki like zenu Mana ubaguzi ni mwingi

  • @MasnamussaPp
    @MasnamussaPp 5 месяцев назад +35

    Anae mkubali mama karobo alike hapa ili kuonesha upendo kwa mama karobo

  • @swediPacificswedi
    @swediPacificswedi 5 месяцев назад +18

    Safi sana ba2 kalobo Leo mimi ni wa pili courage vraiment 🎉🎉🎉🇨🇩🇨🇩

  • @suleimankipyego5143
    @suleimankipyego5143 5 месяцев назад +82

    Nipeni like jamani from Kenya 🇰🇪 mombasa County 🇰🇪

  • @gladysnatecho7476
    @gladysnatecho7476 5 месяцев назад +12

    Congratulations kwenye waikizaji wa hii kipindi mungu awabariki sana kwenye mafunzo me mema 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @OrnellaNdabarushimana
    @OrnellaNdabarushimana 5 месяцев назад +24

    Unaitizama mouvie haitoku kwenye iko jamani fanyeni bas mutufuraishe Sisi Team baba karobo bna

  • @Junior-l4u4p
    @Junior-l4u4p 5 месяцев назад +44

    Leo nimewahi hata nimetoka burundi nime jithahidi naomba like zangu

  • @JjshHh-wp6rp
    @JjshHh-wp6rp 5 месяцев назад +10

    Ndazindutse baga mama kalobo tulia sikuzamwizi ni40🤣🤣🤣🤣♥️♥️♥️♥️

  • @alexandrodieumerci
    @alexandrodieumerci 5 месяцев назад +16

    Jameni BURUNDI 🇧🇮 nitaweza pata hata like moja mbona wote mnatoka katika nchi za mbaliiiiii

  • @AishaJafari-sh4pe
    @AishaJafari-sh4pe 5 месяцев назад +154

    WAOOOO TEAM STRONG WANAOKUBALI KAZI YA BABA KALOBO TUJUANE KWA LIKE APA 🎉🎉❤

    • @AmenaMm-r5t
      @AmenaMm-r5t 5 месяцев назад +6

      Mi.mi ap namkubal kinoma 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @Marim-sj7oi
      @Marim-sj7oi 5 месяцев назад +3

      Tunamkubali kinoma🎉🎉🎉🎉

    • @maalimali5513
      @maalimali5513 5 месяцев назад +1

      Yupo vizuri Sana ❤❤❤

    • @pendotv5110
      @pendotv5110 5 месяцев назад +1

      Karobo ataweza kweli?

    • @PaulOjiambo-p1f
      @PaulOjiambo-p1f 5 месяцев назад +1

      mimi hapa nakupali🎉🎉

  • @SaumuhamisiHamisi-w9r
    @SaumuhamisiHamisi-w9r 5 месяцев назад +69

    jameni nani amkubali baba kalobo kwa kazi zake gonga like kaa zote hapa ili tumfikishe mbali baba kalobo

    • @martinkioko6437
      @martinkioko6437 5 месяцев назад +1

      Tuko pamoja kumsuport baba karobo

    • @ZuleikhaMvury
      @ZuleikhaMvury 5 месяцев назад

      pamoja penda sna babakarobo❤❤

  • @PostineYesare
    @PostineYesare 5 месяцев назад +24

    Ba karobo anajua kingereza wapi like zakeee❤❤😂

  • @VailertJila
    @VailertJila 5 месяцев назад +8

    Hongereni sana kazi yenu ni Zur baba kalobo na kalobo nawakubali sana

  • @kingchiefking9265
    @kingchiefking9265 5 месяцев назад +16

    Hii sasa ni bonge la tz kutoka kwake baba kanusu na mukewe duuu!!! Movie nkali saana❤❤❤🔥🔥🔥❤️❤️❤️🔥🔥

  • @ZEPHANIAH.1588
    @ZEPHANIAH.1588 5 месяцев назад +252

    Leo ilikua jumapili njema kwangu imagine nmekua wakwanza toka Kenya nafurahia hiking kipindi Sana wapi likes za wakenya wenzangu

  • @BothainaBothaina-k6c
    @BothainaBothaina-k6c 5 месяцев назад +9

    Woow movie nzuri sana next plz 🎉🎉❤

  • @DianeNduwamariya-t7t
    @DianeNduwamariya-t7t 3 месяца назад +3

    Baba Joana nakubali sana💓 from🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @Officialtz01
    @Officialtz01 5 месяцев назад +18

    Mnaelekea kuiharibu movie sasa😢😢😢

  • @IssaAbdillah
    @IssaAbdillah 5 месяцев назад +17

    Ila Kwa ss yabadilika sna 🎉🎉🎉,,,

  • @EdikingMoz
    @EdikingMoz 5 месяцев назад +11

    Wa kwanza naoba like zangu from mozambique 🇲🇿🇲🇿

    • @graffinamisi
      @graffinamisi 5 месяцев назад +1

      Hungesoma hungekuwa hunaomba like kwa mitandao,,,,,hona sasa

  • @ewoiekaale
    @ewoiekaale 5 месяцев назад +37

    Safi kabisa 🇰🇪

  • @mokenyejosiah5101
    @mokenyejosiah5101 5 месяцев назад +7

    Josiah mokenye from Kenya following your movie nicely bro my likes hizo

  • @HidayaJumaRavino....Sakina
    @HidayaJumaRavino....Sakina 5 месяцев назад +4

    🎉🎉🎉mwajua jamn mashallah ❤❤

  • @OdetteNITUNGA-qy3vk
    @OdetteNITUNGA-qy3vk 5 месяцев назад +10

    Vizuri sana🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @spanishboi001
    @spanishboi001 5 месяцев назад +10

    Baba kipofu lakini zuzu akiskia atapewa kinyangala😂😂😂😂shikamoo kinyangala

    • @RosemaryWilbard
      @RosemaryWilbard Месяц назад

      😂😂😂😂eeeeeh kinyangala😂😂😂😂😂

  • @zeinabuAchiengOkara
    @zeinabuAchiengOkara 5 месяцев назад +8

    Mungu awapee nguvu muweze kutoa zingine nzuri

  • @BensonEvaristo
    @BensonEvaristo 5 месяцев назад +4

    Baba kalobo na mama kalobo wanajua sana hadi mmeifanya mov kuwa nzur sana

  • @karembo7082
    @karembo7082 5 месяцев назад +12

    Yule mdada ambe hayuko ndie atawasidiea kwasababu dawa hikumpata😊😊

  • @johncharlie6161
    @johncharlie6161 5 месяцев назад +16

    Wangapi wamechukia mama karobo kuwategea metego kibanio na akafanikiwa gonga likes za kutosha

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp 5 месяцев назад +4

    Hongera baba karobo kadri kazi inavotok ndipo unapo nawiri tupo pamoja from 🇲🇫

  • @LoisemwendeMutembei
    @LoisemwendeMutembei 4 месяца назад +1

    Woow nazipenda vipidi za baba karobo Sana mungu akubariki

  • @tumusiimepeace543
    @tumusiimepeace543 5 месяцев назад +5

    Maama karobo fake siku moja otakuja sindwa namuganga wako iyi 😂😂😂. Baba kalobo be strong with faith there's no weapon formed against you shall prosper in Jesus Christ name Amen 🙏🙏

  • @SafiaSafia-g1c
    @SafiaSafia-g1c 5 месяцев назад +1

    Jmn mm nasema t mama karobo punguza kupagawa Sana ukiongea ww mzur t ila unapagawa sana❤❤❤❤❤❤ love you mama kalobo

  • @JudcBen-ye9cy
    @JudcBen-ye9cy 5 месяцев назад +15

    Wa 1 mm leo like zangu jamn😂😂❤

  • @arikibok4735
    @arikibok4735 5 месяцев назад +2

    Courage ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @rajabokio
    @rajabokio 5 месяцев назад +4

    Mbona zujari mzuri hivo mtoto amebeba KWELI.mwaja lini Kenya nampenda😂😂

  • @NtirenganyaNahasoni
    @NtirenganyaNahasoni 5 месяцев назад +3

    Hata kama nimechelewa afadhali nimeona na ninawapenda sana tuko pamoja kutoka burundi 🇧🇮

  • @StellaKugomwa
    @StellaKugomwa 5 месяцев назад +5

    Movies mkiiendesha San mwisho mnaiharibuu sasa ebu jaribuni kuiangalia vzr

  • @Officialtz01
    @Officialtz01 5 месяцев назад +17

    Nimeanza kukelekwa na hii movie maana mambo yamekua mengi😢😢

  • @valentineonyoni9065
    @valentineonyoni9065 5 месяцев назад +3

    Representing Mombasa Kenya 🎉❤

  • @Azizajangobo
    @Azizajangobo 5 месяцев назад +3

    ❤❤❤naipenda sana hii movie

  • @Lucywanjirukagonye
    @Lucywanjirukagonye 5 месяцев назад +6

    Leo nimejalibu nimefika mapema 🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🤸🏾‍♂️🤸🏾‍♂️

  • @manirakiza-y7v
    @manirakiza-y7v 5 месяцев назад +1

    Maman kalobo acha roho mbaya ulezidisha ss eeeeeeh jamani mm umenikera kwl mauwa yenu vipenz vyang 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @pilisaidbokoko7031
    @pilisaidbokoko7031 5 месяцев назад +2

    Nimewai Leo big up wadau wangu from 254

  • @AliMunga-c8n
    @AliMunga-c8n 5 месяцев назад +2

    Hahaha 😂mama karobo Big up sana kazi nzuri

  • @imtvisaacmediatv9178
    @imtvisaacmediatv9178 5 месяцев назад +1

    Number 2 watching from Kenya keep it up I really love the show

  • @AbigaelKeziah
    @AbigaelKeziah 5 месяцев назад +2

    kwakweli kuna majini dunia hii waa nazubaa tu

  • @AXELLAassia
    @AXELLAassia 5 месяцев назад +3

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂mama kanusu😂😂😂kudada deki kachawi balaaaaaa uchawi upo kbx

  • @fatumaselemani3807
    @fatumaselemani3807 5 месяцев назад +1

    Mashallah asanteni sana washilika mungu abaliki kazi zenu ❤❤❤❤❤❤❤

  • @PAVLOVEAUGUSTINMERVEILLE
    @PAVLOVEAUGUSTINMERVEILLE 5 месяцев назад

    Hii safi kinoma naipenda kutoka Kivu D.R.C Congo❤❤❤

  • @abdallahassan6378
    @abdallahassan6378 5 месяцев назад +3

    Uzuri hii move inatoka kwa wakaty ❤🎉🎉

  • @spanishboi001
    @spanishboi001 5 месяцев назад +2

    Nishawai babakalobo😂😂 🇹🇷 🇹🇷 tutapambana hadi mama kalobo feki akuue😂😂😂

  • @HidayaJumaRavino....Sakina
    @HidayaJumaRavino....Sakina 5 месяцев назад +1

    I LOVE Tz🇹🇿🇹🇿🎉🎉🎉you're the best

  • @VictorOmusula-yu2cn
    @VictorOmusula-yu2cn 5 месяцев назад +64

    Ma karobo makelele wueh wapi likes za wakenya wenzangu

  • @NyagaEric
    @NyagaEric 5 месяцев назад +1

    Woiii fashion mtoto ana nyash kweli 😂😂😂😂😂 wangapi wamesikia

  • @barasaclaris6221
    @barasaclaris6221 5 месяцев назад +15

    Wa kwanza Leo from Kenya nipeni likes

  • @benjamimantoniomangoni6765
    @benjamimantoniomangoni6765 5 месяцев назад +3

    Kazi nzuri sana 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @lahayloyniyokwizera2400
    @lahayloyniyokwizera2400 5 месяцев назад +4

    Jameni niwaombe kitukioma muceze série n'a mama kalobo akutane namatatizo basi n'a sisi tufulah kawaomba

  • @TreasurezThomas
    @TreasurezThomas 5 месяцев назад +2

    Mam kalobo kaz anayo kwa mganga wake 😂😂😂😂😂 vioj si viola jamn

  • @MumbaMgandi
    @MumbaMgandi 5 месяцев назад +1

    Hongereni sana yani mwanifurahisha sana mm kama mkenya nafurahia sana

  • @brightonvictorkimsehyeon7892
    @brightonvictorkimsehyeon7892 5 месяцев назад +1

    Niliisubiri kwa hamu sana hii episode Asanteee sana mtunzi @BabaJoan🙏

  • @SpystersEkered
    @SpystersEkered 5 месяцев назад +6

    Mama karobo ananiudhi from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Vanessa-xr4qn
    @Vanessa-xr4qn 5 месяцев назад +3

    Yani hii movie nzurii ila kilamtu anamuogopa mama karobo

  • @Hadijawashuma
    @Hadijawashuma 5 месяцев назад +7

    Nime wah Leo naombeni like hata moj tu

  • @Imahela375.
    @Imahela375. 5 месяцев назад +3

    Mnapotezaaaa radhaa ya Movie Sasa

  • @FlorenceWabiwa
    @FlorenceWabiwa 5 месяцев назад +1

    Hongereni sana tena sana. ila musiwe nakawisha bana❤❤❤❤❤

  • @herryngala6946
    @herryngala6946 5 месяцев назад +5

    Wakwanza mkenya❤❤❤

  • @asmoretune
    @asmoretune 5 месяцев назад +10

    wakwanza kiroho safi usiponipa likes labda ww mchawi

  • @Peternyamsogoro
    @Peternyamsogoro 5 месяцев назад +3

    Hongera kwa kazi nzuri

  • @SaumuhamisiHamisi-w9r
    @SaumuhamisiHamisi-w9r 5 месяцев назад +8

    jamani hii movie yani kila.uchao yazidi utamu tuu ,baba kalobo hongereni na team yako kwa jumla we bado robo ufikie kanumba.steveni wallah maana si kwa movies zako hizi kali kali

  • @mathewmuthokaofficial1626
    @mathewmuthokaofficial1626 5 месяцев назад +1

    Tamthili nzuri nangojea episode 22

  • @achilaleziki
    @achilaleziki 5 месяцев назад +1

    Kabisaa kazi nzuri hii baba kanusu😂😂

  • @gatocarenzipporah6843
    @gatocarenzipporah6843 5 месяцев назад +2

    Natumai Karobo atafanikiwa kufanya alivyoagizwa akamsaidie baba yake

  • @EleuterioMangoni
    @EleuterioMangoni 5 месяцев назад +2

    Nainjoy vzr nikiwa Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @EvansMwenda-d1t
    @EvansMwenda-d1t 5 месяцев назад +2

    Kazi nzuri baba koroo😂

    • @EvansMwenda-d1t
      @EvansMwenda-d1t 5 месяцев назад

      Tangu series ianze sijawahi pewa likes ata 300

  • @OmarYassin-q9o
    @OmarYassin-q9o 4 месяца назад

    Big up 👍👏 good moves respect 👍

  • @monicahnjoroge5075
    @monicahnjoroge5075 5 месяцев назад +1

    Nirikuwa nimengoja kwa ham na ngam❤from Kenya 🇰🇪

  • @ErickNganyi
    @ErickNganyi 5 месяцев назад +3

    Team baba karobo kazi nzuri

  • @Terry-e8e
    @Terry-e8e 5 месяцев назад +4

    Gen z from Kenya wapi likes zangu🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @elvinakalu6991
    @elvinakalu6991 5 месяцев назад +1

    Kazi nzuri sana 🎉🎉🎉🎉

  • @mashatlu1779
    @mashatlu1779 4 месяца назад

    Mimi hapa kutoka 🇰🇪 like zangu

  • @OrnellaNdabarushimana
    @OrnellaNdabarushimana 5 месяцев назад +6

    Tunapoelekea iyi mouvie ndaacha kuitizama kuliko baba kalobo apate apate ata nafu kidogo naona SS munaanza kutudanganya

    • @salmasalam3268
      @salmasalam3268 5 месяцев назад +2

      Mm mwenyew nimechoka kbc awaeleweki inarudi nyuma badara iende mbele 😢

    • @HappyKibure-iz9xk
      @HappyKibure-iz9xk 5 месяцев назад +3

      Wanazegua tu tushawachoka muvii ikwede mbere . yenyewe unaludi nyuma

    • @OrnellaNdabarushimana
      @OrnellaNdabarushimana 5 месяцев назад +1

      Gani mouvie haitoki kwenye iko niatar kweri tunapoelekea ndaacha ata kuitizama

    • @gatocarenzipporah6843
      @gatocarenzipporah6843 5 месяцев назад

      Hii episode ya mwisho siitazami tena

  • @maylucson001
    @maylucson001 5 месяцев назад +4

    Hii movie mbna haisongiii jmn makelele tu ya mama karobo angalau na yy afanye kitu ashindwe aaah😢😢

    • @ShaymaaMlanza
      @ShaymaaMlanza 5 месяцев назад +1

      Kweli mpk inaboa kila siku yy

    • @maylucson001
      @maylucson001 5 месяцев назад

      @@ShaymaaMlanza eeeeh wafanye ashindwe pia yy khaa

  • @CarolineImbwaga
    @CarolineImbwaga 5 месяцев назад +1

    ❤❤❤❤🎉🎉

  • @AishaKera-op9rm
    @AishaKera-op9rm 5 месяцев назад +2

    Mchumba wa kalobo 😂

  • @InnocentNiyonkuru-j5f
    @InnocentNiyonkuru-j5f 4 месяца назад +1

    Burundi 5/5

  • @laviestanley-wi9uk
    @laviestanley-wi9uk 5 месяцев назад

    Mbona film haiishe naitazama toka congo kusini

  • @ChristopherBonfils-dk1tx
    @ChristopherBonfils-dk1tx 5 месяцев назад +1

    ❤❤❤❤

  • @HellenWafula-b4x
    @HellenWafula-b4x 5 месяцев назад

    Baba Joan nakubali mara Mia hucheleweshi mambo wajiamini Sana KAZI hii nzuri sana

  • @Cynthiamogy
    @Cynthiamogy 5 месяцев назад +1

    Mbona watu wenye roho mbaya hushinda hamgepeleka hadi akarudi kwa mganga wake tena nimechoka kulia mnajua😂😂😂😂badilisheni mama karobo pia ateseke nawapenda from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @esperanceirakoze4616
    @esperanceirakoze4616 5 месяцев назад

    Namukubali baba karobo but mama karobo utakuta tu anaroho mbirraya Maana watu wakonde ivo bara❤❤❤from Nairobi Kenya

  • @ZonemohammedMohammed
    @ZonemohammedMohammed 5 месяцев назад

    😂😂😂😂😂😂 s KWA huyu mganga

  • @doreenkbdjb
    @doreenkbdjb 5 месяцев назад +1

    Yani huyu anapenda mwingine juya matako😮😂I'm from +254🇰🇪