Live: Cheche za Fei Toto Kuhusu Yanga, Hivi Ndivyo Alivyoamua Kusema Kila Kitu | Atema Nyongo!!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 ноя 2024

Комментарии • 33

  • @allybtz1263
    @allybtz1263 Год назад +4

    Aiseee nchii hii ukiwa mnyongeee juaa huna haki kwenye haya maisha

  • @abdallahsharif426
    @abdallahsharif426 Год назад +1

    JAMANIIIIII KAMA WEYE NI UDONGO NA UDONGONI UTARUDI........
    KAMA KOMBE LA CAF LIKO KWENYE JANGWA MAANA YAKE NINI?????
    NA JANGWANI LITARUDI INSHAALLAH ❤❤❤❤❤❤❤❤
    NI RAHAAAA HADI NDANI YA BUNGE LA TANZANIA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ChristianMaganga-b9h
    @ChristianMaganga-b9h 6 месяцев назад

    Wanazingua mara ulkuwa na miaka??miaka inahusu nn?

  • @matiankomola2391
    @matiankomola2391 Год назад

    Nyie Waandishi mbona mna vita kubwa sana na yanga hatuoni maantiki ya kurusha mahojiano haya ya mtu ambaye tayari kamaliza maisha yake Yanga.

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 Год назад

    Watangazaji hamumpi uhuru fei kujieleza kwa utulivu mnarukia rukia mazungumzo

  • @songombingo108
    @songombingo108 Год назад +1

    Acheni USENGE. Eti amesema kila kitu... Atema nyongo...labda atema nyoko.

  • @jilalajr_official
    @jilalajr_official Год назад

    Mshikaji fei kama vip yakiisha haya njoo 2 simba upoe kwa MO

  • @AbtwalibuChepa-hc2cx
    @AbtwalibuChepa-hc2cx Год назад

    Stori inanoga halafu mnazingua mamae

  • @tumainielmremi7912
    @tumainielmremi7912 Год назад +6

    Umeambiwa na nani? Mama Yako anafuata Nini kambini? Kwanini wewe peke Yako ule ugali na sukari?

  • @ChristianMaganga-b9h
    @ChristianMaganga-b9h 6 месяцев назад

    Nyie watangazaji ovyo kabsa yan badala mmwache aongee mnaingilia maongezi kana kwamba point za msingi inabidi aziruke ovyoo nyie

  • @wakunatahafai1969
    @wakunatahafai1969 Год назад

    Tukiachana na utani Kipanya sio kwamba alipenda FEISAL akielezea haki anayoitaka ni unafiki tu kiukweli uto wote Tanzania hii Huwa wanahangaika kukwepesha haki ya FEITOTO ukweli usemwe tu hata KIPANYA nae kijiInterview chake hiki kunavipengele vya hovyo kavikazia kwa kuhoji hoji lakin panapo haki kwa Fei anakwepesha 🐸🐸🐸bn 🙌

  • @neemamsigwa6760
    @neemamsigwa6760 Год назад +2

    Ndio maana hata shule ukumaliza kumbe

  • @rodgersgregory7198
    @rodgersgregory7198 Год назад

    Wenzake wanajiandaa na mechi ya fainali yeye yupo redioni. Such a shame!!!

    • @BigfarryG77
      @BigfarryG77 Год назад

      Unaongea kiushabiki sana

    • @hanafhamad2801
      @hanafhamad2801 Год назад

      huyu jamaa hana akili kucheza fainal na mtu kuondoa kero zake inahusiana na nini

  • @rangyatarimu3716
    @rangyatarimu3716 Год назад +1

    Bu seriously Masoud na wenzako mmejidhalilisha sana pale mlipokuwa nyuma ya pazia mnamlisha Fei maneno ya kuongea huku mmesahau kuzima microphone. This is so unproffessional.

  • @maalimdaudy7298
    @maalimdaudy7298 Год назад +1

    Pambania maisha yako dogo utatusua tu, wajinga ni wengi sana..

  • @zakayomhina
    @zakayomhina Год назад

    Chipisi yai tu ukatulia 😅😅

  • @kasimfuraha
    @kasimfuraha Год назад

    Acheni usimba na uyanga.wachezaji wanapata tabu mnawatolea maneno mabovu.simba na yanga wewe unazozitetea zinakupa angalau mkate?kuna watu wanafaidika na hizi issues.kinachotakiwa tulichunguza kwanza hili suala kabla kuropoka kumshambulia huyu kijana.nlichogundua nikuwa watu wengi wanamapenzi ya simba na yanga kuliko kuangalia namna gani ya kuinua soka letu.hizo timu zenyewe zinaendeshwa na wageni hadi zisonge.bila mayele na wakali wakigeni kutoka simba na yanga hatuna mpira bado.kama kuna tatizo tulisolve kwanza tuangalie wapi lillipo sio kuleta uyanga na upenzi.dogo kama ananyanyaswa ama anakosea tuchunguze sio kuropokwa.pira la bongo bado bovu sana.

    • @ghulamhaji7856
      @ghulamhaji7856 5 месяцев назад

      Umeongea vitu muhimu sana Tz bro tutachelewa kupata maendeleo ya mpira hatutengenezi wachezaji na wala hatuthamini vya kwetu na Tff wanaimarisha zaidi simba na yanga

  • @dottonyanda997
    @dottonyanda997 Год назад

    Wewe omba msamaha urudi yanga kiwanga chako kinaisha

    • @hajirama4270
      @hajirama4270 Год назад

      Acheni ushamba hakuna Zanzibar atakae kubali kuzulumiwa

  • @edwardmizambwa237
    @edwardmizambwa237 Год назад

    Mwanasheria mbobezi nimemuona kwenye clip moja anasema ' kuna sababu mbili tu za kuvunja mkataba, kwanza kwa mchezaji kutotimiliziwa haki zake kama mkataba unavyo sema na mchezaji bila sababu yeyote ile kataka kuuvunja '.
    Ya kwanza inakubaloka kisheria lakini ya pili hau haikubalki kwa kua utakua umevuruga mipango ya Club.
    Swali:- ukiachana na maswala ya maslahi, hii ya kuambiwa wewe mchezaji UNAUZA Team na kauli za kejeli kama ' tutakurudisha kwenu ' za mara kwa mara, hatakama mambo hayo hayapo kimkataba haiwezi kua ni sababu tosha ya kuvunja mkataba?
    Maana tuhuma za aina hiyo moja kwa moja mchezaji asiwe na ari/ moyo wa kucheza kabisa.

  • @michaelhaule5199
    @michaelhaule5199 Год назад

    Dogo amepotea mazima😂😂

    • @jilalajr_official
      @jilalajr_official Год назад +1

      Hamna ki2 kama icho hata mloge vip feisal atawaka tena hata akiwa na miaka 30 nasemajeeeeee #mpira hauna adabu

    • @michaelhaule5199
      @michaelhaule5199 Год назад +1

      @@jilalajr_official anajiroga mwenyewe kwakukosa elimu na busara😂😂

  • @thompsonmkwanda3809
    @thompsonmkwanda3809 Год назад

    Nonsense

  • @neemamsigwa6760
    @neemamsigwa6760 Год назад

    Hapo studio wenzio wanaigiza pesa wewe jinga unaongea upumbavu

  • @tumainielmremi7912
    @tumainielmremi7912 Год назад

    Wewe ni mtoro Rudi kambini.

    • @muhamedjaffar5653
      @muhamedjaffar5653 Год назад +1

      Kambini kwenye mateso.viongozi wa yanga wapigaji.malipo ya dhulma hapa hapa duniano

    • @hajirama4270
      @hajirama4270 Год назад

      Bwege uyo anajifanya yanga damu

  • @tumainielmremi7912
    @tumainielmremi7912 Год назад

    Pointless.

  • @neemamsigwa6760
    @neemamsigwa6760 Год назад

    Umebakisha umbea tu wewe mtoto